Mabishano ya Zitto na Chenge juu ya matangazo ya TBC bungeni

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 289

  • @magufulitz6847
    @magufulitz6847 8 ปีที่แล้ว +44

    Zitto wewe ni mbunge wa Tanzania nzima, tunakuombea kwa Allah piga kazi ,all the best!

  • @kachasagynoma1756
    @kachasagynoma1756 6 ปีที่แล้ว +2

    Vp tena mwenye kiti anafosi zito big up sana

  • @prosperjohn6
    @prosperjohn6 5 ปีที่แล้ว +12

    Zito ni zaidi ya wa bunge 1000 wa ccm

  • @obbikosianga7432
    @obbikosianga7432 6 ปีที่แล้ว +2

    Chama changu ccm muwe mnawasikiliza wapinzani hao nao ni ndgu zetu na wanahaki..ccm naipenda ina inaenda pabaya

  • @afroluvanda6773
    @afroluvanda6773 5 ปีที่แล้ว +50

    kama una mskia mdee gonga like

  • @kinakithemr9259
    @kinakithemr9259 8 ปีที่แล้ว +10

    yaan cjajua Uhuru wa kweli utapatikana lini ktk nyanja zoote za maishaaa!!
    tunaishi kama giningi

    • @abbyrwilemela4354
      @abbyrwilemela4354 6 ปีที่แล้ว +1

      Uhuru wako fanya kazi kwa bidii ule usomeshe watoto

    • @nawihadj6674
      @nawihadj6674 6 ปีที่แล้ว

      ww sali muombee ALLAH acha uzembe

    • @mariyamzuheir6255
      @mariyamzuheir6255 5 ปีที่แล้ว

      KINAKI THE MR :UHURU WA KWELI HAPA DUNIANI HUWEZI UPATA KTK NCHI YOYOTE KWASABABU SISI SOTE NI WANAADAMU TUNAMAKOSA KIBAO HIVYO UHURU WA KWELI UKO KWA M/MUNGU PEKEE WW WALA USIPATE TAABU WA KUULIZA HILO !

  • @yaspizaro1447
    @yaspizaro1447 5 ปีที่แล้ว +3

    bungeni km watoto😂😂😂 et mwanaime babaako kwambari nasikia sauti ya halima mdee

  • @josephhaule6309
    @josephhaule6309 7 ปีที่แล้ว +15

    tunataka bunge lioneshwe moja kwa moja, ili wananch waone na kusikia kod zao zinavyo tumika

    • @nawihadj6674
      @nawihadj6674 6 ปีที่แล้ว

      unaangariagaa bungee au unaftaa mkumbo bab na season utamuachia nan

  • @mroshojuma2816
    @mroshojuma2816 8 ปีที่แล้ว +12

    Mbunge alie jibu mwaume babako achukuliwe hatua

  • @salumuhamissi3492
    @salumuhamissi3492 6 ปีที่แล้ว +2

    Ccm tumeishiwa hoja wapinzani wapo juu! Cjui nihame hii ccm?

  • @fredymbawala3483
    @fredymbawala3483 5 ปีที่แล้ว +2

    Siku zote mti wa matunda ndio unapigwa mawe zito wananchi wako tunakuombea vzr ili uwachane wapinzani.

  • @jummahusher7074
    @jummahusher7074 6 ปีที่แล้ว +1

    mungu wabariki upinzani

  • @azizhamed6320
    @azizhamed6320 8 ปีที่แล้ว +3

    Hili ni bunge la wahuni wote hawajui kuongea siasa wanafanya ubabe tupu bado wabivu kwenye siasa hawo

  • @andersonmwenda6390
    @andersonmwenda6390 2 ปีที่แล้ว

    Tumemis bunge kama hili lililokuwa bunge la wananchi,siyo bunge la wezi ccm kama leo

  • @kanisiamkoko7051
    @kanisiamkoko7051 5 ปีที่แล้ว

    Halima Mdee Nakupenda Sana .

  • @wardakweka547
    @wardakweka547 6 ปีที่แล้ว +2

    Mbona mwenyekiti unatabia za kagame jamani ukifanya hivyo tutafika kweli

  • @raphaelsamwel2640
    @raphaelsamwel2640 5 ปีที่แล้ว

    Cchenge bhana!! Kengeee!! Mwizi cheki macho

  • @ibrahimmkoko5850
    @ibrahimmkoko5850 8 ปีที่แล้ว +2

    CCM waoga sana

  • @allymohammedy7470
    @allymohammedy7470 8 ปีที่แล้ว +4

    Poleni sana ndugu zangu huko Bukoba kwa kupatwa na athari kubwa sana lakini kikubwa yatupasa kuwa na shahuku ya kumtafuta Mungu muda wote kwani hii yote ni dalili yakuja kwa kristo akitupa dalili zake.

    • @shd12m55
      @shd12m55 8 ปีที่แล้ว

      mashauzi taalabu

  • @alfredanthony6282
    @alfredanthony6282 5 ปีที่แล้ว

    Zitto nakukubali sn nyendo zako i real apriciate

  • @ibrahimjuma8349
    @ibrahimjuma8349 5 ปีที่แล้ว

    Msukuma bwana eti we mwanaume kaaa kumbe mwaume mwenyewe ni halima mdee😁😁😀

  • @annamhanje9254
    @annamhanje9254 7 ปีที่แล้ว +4

    hivi Wabunge mbona mnaleta mzaa Sana mnakua kama Watoto Wadogo muwe nanidham bungeni pia Inaonekana Wapinzani hata adabu hamuna kwatabia munayo ionyesha hapo nidhahili ninyi niwapenda vulugu hamuna Sifa yakua viongozi

    • @ramadhanichausa2598
      @ramadhanichausa2598 6 ปีที่แล้ว

      acha kuzingua ww Kwan spika ni MUNGU au binadam?????

  • @rebiammwilike1458
    @rebiammwilike1458 5 ปีที่แล้ว +1

    Zito yupo sahihi kabisa

  • @mwasitsafina265
    @mwasitsafina265 8 ปีที่แล้ว +10

    yaan watu wengine cjui upo vp?!!! ustaarabu mmeuona kwa halima mdee tu?!! yule aliomwiita Halima mwanaume yeye ni mstaarabu?!!! watu km nyie mkipelekwa bungeni ndo 0%0.....

  • @ken-ul2jg
    @ken-ul2jg ปีที่แล้ว

    Kuwa mpinzani lazima uwe mbabe nchi hii. La sivyo tutaburuzwa sana.

  • @saidimilanzi6403
    @saidimilanzi6403 6 ปีที่แล้ว +6

    wabunge wanyonge ndio wanaotutetea sisi wananchi

  • @michaelmwalupale3354
    @michaelmwalupale3354 6 ปีที่แล้ว +1

    Jamii forums muwe mnaweka date of publishing kwenye description/caption jamani. Video inakuwa inaelea tu

  • @stanleykimani937
    @stanleykimani937 6 ปีที่แล้ว +1

    Daaaa bunge letu bwana kama midoli

  • @kibidyaabdul5737
    @kibidyaabdul5737 7 ปีที่แล้ว

    mdee unanifurahisha sana. natamani nikutane nikuone nikuhag. kwa pongezi Asante

  • @mosesjonathan4586
    @mosesjonathan4586 6 ปีที่แล้ว +2

    Zitto ucje ukayumbishwa na MTU mcmamo wako baba

  • @bunnasib1961
    @bunnasib1961 4 ปีที่แล้ว

    Umemuona Nape wa habari na michezo 😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣 alivokua anamuangalia zitto. Maskini hakuwaza kuwa atatimuliwa🤣🤣🤣🤣🤣

  • @ashuulwavu4941
    @ashuulwavu4941 8 ปีที่แล้ว

    yani zitto namkubali akitoa hoja yupo makini na anacho ongea hongera sana baba natamani uje kuwa rais siku zijazo na unaweza kuwa ukitaka

  • @goodluckmachangu5941
    @goodluckmachangu5941 3 ปีที่แล้ว

    Hahahah duuh tutalimiss hili bunge jamani

  • @allyrashidi933
    @allyrashidi933 5 ปีที่แล้ว +1

    Kabisa zito uko sawa tibis tunataka irudi

  • @tobalismwengere800
    @tobalismwengere800 5 ปีที่แล้ว

    Ccm ipunguze wabunge bungeni wapo wengi lakini msaada zilo wapinzani ndio wengi wanachochea chachu za maendeleo kwa kukosoa serikali

  • @leonardissaay581
    @leonardissaay581 6 ปีที่แล้ว

    Mh Zito ni chachu ndan ya Bunge!. Uwepo wake ni wa thamani kubwa sanaaaa

  • @RobbyRunnerON3
    @RobbyRunnerON3 5 ปีที่แล้ว

    Mwanaume babako 😁
    Soma wewe 😂 #6K

  • @kassimcharles4940
    @kassimcharles4940 5 ปีที่แล้ว +1

    zito ni mbuge mwenye akili

  • @magembekisabo9632
    @magembekisabo9632 9 หลายเดือนก่อน

    Hizi njaa ndo zimepelekea Chenge elimu yake kutokuwa na thamani tz

  • @doctorjuniour9459
    @doctorjuniour9459 5 ปีที่แล้ว +1

    CHENGE LENYEWE JIZI PUMBAVU ZAKE.....

  • @jonaslameck1563
    @jonaslameck1563 6 ปีที่แล้ว

    zito ni hazina ya taifa safi sana mkulu

  • @jogoomzoefu4271
    @jogoomzoefu4271 8 ปีที่แล้ว +4

    tuache uchama huusiwakati wake nimda wa kufanya mliyotumwa

  • @abeidmayanga809
    @abeidmayanga809 8 ปีที่แล้ว +2

    halima ndonn sasa wananchi wako wakawe hatujakutuma kujibisha mbovu wakatae siyomwanaume baba ako aaaaah cyobhana

    • @erickrobinson8826
      @erickrobinson8826 8 ปีที่แล้ว +1

      Sasa kwan huon aliambiwa nin kwanza? Hv mbunge kuropoka na kumuita halima mwanaume kwel sahihi? Eti anaambiwa ule mwanaume akae!!!!! Huu c udhalilishaji? Na aliyesema mwanaume babako ni mbnge mwngne ,yeye alisema tuuu na ww mwanamke cmama

    • @danielpanga4372
      @danielpanga4372 7 ปีที่แล้ว

      Erick Robinson i

    • @alphamaninga8237
      @alphamaninga8237 6 ปีที่แล้ว

      ivi alianza kulopa ni alima au mbunge wa ccm achen unafki nyie

  • @djgmp8140
    @djgmp8140 4 ปีที่แล้ว

    Mzeee kadata huyu zitto ni jiwe ni hatar zaid ya moto

  • @hawawezidianakukushusha756
    @hawawezidianakukushusha756 8 ปีที่แล้ว

    Huyo halima mdee angejua sauti lake lilivyokua baya yupo kama mtt mdogo ana kiherehere sana

  • @victorjames3730
    @victorjames3730 4 ปีที่แล้ว

    Mwenyekiti anapingana na kanuni zake mwenyewe

  • @ezrajosephkarege6772
    @ezrajosephkarege6772 7 ปีที่แล้ว +1

    upo sawa zito

  • @nuhumabondo9101
    @nuhumabondo9101 5 ปีที่แล้ว

    Hahaha hakuna watetezi kwa...watanzania..Bali kupiga karere bila action.. Kidogo zitto..ila sheria za.
    Bunge.. Hazifuatwi au...kwavile...niwanasiasa..kila.kitu...siasa..wabunge mnaboa..sana.

  • @AbdulRahman-wx6iv
    @AbdulRahman-wx6iv 5 ปีที่แล้ว

    Ukweli usimame kwa maslahi ya wananchi tuache utumwa mamboleo..bado tutawaliwe kwa maslahi ya watu wa wachache..

  • @jacobkajingati6065
    @jacobkajingati6065 6 ปีที่แล้ว +1

    MDEE UNAROPOKA HADI KERO
    UNAOWAONGOZA NA KUWAWAKILISHA WANAKUCHUKULIAJE?
    THINK BEFORE DOING

  • @josephmateru8892
    @josephmateru8892 6 ปีที่แล้ว +4

    Bora Mlitoa Bunge Live Coz Wabunge Mnazingua Matusi, Kejeli,dharau, Wananchi Huku tunatabika Htr

    • @mchechumsisi3257
      @mchechumsisi3257 5 ปีที่แล้ว

      Hutubaya tundu lissu tuna rais wa ajabu

  • @yonakottpe8346
    @yonakottpe8346 6 ปีที่แล้ว

    Humu bungeni wengine washazeeķa sana ndio mana hawalewi hata hoja za wengine ila wamekaa tu na kukariri kuwa wapo katika upinzani na huu ndio upuuzi amabao nyerere hakupenda

  • @ezekielmwadomba4675
    @ezekielmwadomba4675 5 ปีที่แล้ว

    ETI WA TANZANIA WANNA WASIKILIZA!! KWELI BUNGE NIDHAIFU PAMOJA NA KITI CHAKE! KWA WOGA WENU MNATUFUNGIA WATANZANIA TUSIONE WA BUNGE WETU NA HUKU MNASEMA NYINYI NI VIONGOZI WA WANYONGE NA HUKU MNA NYONGA WANYONGE!! IKO SIKU NAYO YAJA AMBAYO MUNGU ATALIPAZA KISASI JUU YENU NANYI MTANYONGWA TUU!!

  • @kibidyaabdul5737
    @kibidyaabdul5737 7 ปีที่แล้ว

    huo sio ujanja sisi kutokuwa na kanuni. majinga majinga tu. mnatutia umaskini sisi kimya, tunakufa mahospitali sisi kimya. katiba haibadiliswi sisi kimya. nchi tamu hii jamani

  • @immamlowe7151
    @immamlowe7151 5 ปีที่แล้ว

    Hatutaki lionyeshwe coz wabunge hawana ustaarabu kwahiyo watadhalilisha bunge

  • @whatisthetruth.8793
    @whatisthetruth.8793 8 ปีที่แล้ว

    kuna njia nyingi za kupata habari sio ndani ya nchi tuu bali dunia nzima na wala hizo habari huzipati moja kwa moja ...acheni uboza fanyeni vuti muhimu vyenye manufaa na vya kujivunia ndani ya nchi zetu za Africa

  • @janieanthony594
    @janieanthony594 8 ปีที่แล้ว

    mawazr msifuate maneno ya wapinzan, hao shida yao posho na kutoa maneno ya kukatsha tammaa, hata hvo hawana umuhimu wowote ktk maendeleo ya nchi

  • @zolongOne
    @zolongOne 8 ปีที่แล้ว +1

    Yani hawana tofauti na watoto wa chekechea

  • @jahhloveyou4462
    @jahhloveyou4462 5 ปีที่แล้ว

    Mwenyekiti alichemka Zito (Mmezima duu!)uu

  • @charlesmasele2991
    @charlesmasele2991 6 ปีที่แล้ว

    pamoja sana itv

  • @kisangageorgethomasi2830
    @kisangageorgethomasi2830 ปีที่แล้ว

    Mendazake aliogopa hoja ya upinzani alikua ajui siasa ndio maana wakapitishwa chechemeee watupu ndio maana bunge sasa lipo live

  • @loatalothi8784
    @loatalothi8784 8 ปีที่แล้ว +1

    NO NO I HAVE A FEELING I THINK KUSEMA BUNGE TUKUFU IS NOT RIGHT IITWE TU BUNGE LAKO /BUNGE LETU AND NOT GLORIFYING IT WHILE.THAT IS MINE

  • @salmamasuod1472
    @salmamasuod1472 5 ปีที่แล้ว

    hapa tumeletewa filamu nyingine ili tusijadili maneno ya spika kwa nn aielewi serikali kuhusu bandari so tuataanza kujadili ya t b c nchi inamambo hii

  • @nurdinkalyahi5333
    @nurdinkalyahi5333 6 ปีที่แล้ว

    Mambo ya bunge yakiwekwa wazi ccm itapoteA kabsaaaa..,.
    Maana Hakuna wanyalo. Watetez gani hawa. Serkal ifanyapo makosa semeni. Kwan shida nn

  • @immamlowe7151
    @immamlowe7151 5 ปีที่แล้ว

    Kwann unataka tunings wakati bungeni pamekuwa lama darasa la cheekechea?

  • @nyawitatheboss3449
    @nyawitatheboss3449 4 ปีที่แล้ว

    Still watching this up 2100

  • @chassesinamba3561
    @chassesinamba3561 6 ปีที่แล้ว +1

    fisadichenge turia mbungew\ukweli zitoaongeee

  • @agneserasto9806
    @agneserasto9806 5 ปีที่แล้ว

    Wananchi turio na hekima hatutaki bunge rionyeshwe kwa sababu fujo za wabunge wasionitambua kama kina zitto. Lema mbowe bulaya fujo wanazozifanya bungeni ni haibu kubwa tunahomba bunge risionyeshwe

    • @jamalkingu9221
      @jamalkingu9221 5 ปีที่แล้ว

      rud shule uje uandike vzr kwanza

  • @sulymansaada642
    @sulymansaada642 5 ปีที่แล้ว

    Zito yuko vzr san

  • @janieanthony594
    @janieanthony594 8 ปีที่แล้ว

    bora hata wasioneshe kabsa maswala ya bunge kuliko kuangalia mijitu mikubwa ikibishana, ni aibu. ivi hawa wabunge wanaleaje watoto wao kama wao hawana ndhan!

  • @KUTOKA-ep2fk
    @KUTOKA-ep2fk 8 ปีที่แล้ว

    Chochote kinacholeta vurugu au kinacholeta kutokuelewana ni hatariiiii!!!!
    Wengi wanaenda bungeni kuupeleka ushabiki wa vyama vyao. Na sio matatizo ya wananchi, mahala pa bunge sio mahali pa ushabiki, uchama, ukanda, na sio mahala pa kwenda kujipatia umaarufu kwa kuongeaongea hovyo kama walevi. Mahala pa bunge ni mahala pa kwenda kuongelea maswala yanayohusu wananchi wa mahali ulipotokea (jimboni kwako)
    Yaani mnashangaza kwelikweli mnakwenga kupoteza muda kuongelea TBC kwanini hairushi au haionyeshi yanayoendelea bungeni live!
    Mnadhani kila mtanzania ana tv hata kama wote wanazo tukaamua kukaa na kuwaangalieni ninyi muda wote hiyo hasara tutakayopata kwa masaa hayo ambayo hatujashughulika kwa kuwaangaliani ninyi je, mutaifidia na nini? Lingine ni hili munadhani mpaka sasa mmesababisha hasara kiasi gani? Kwa kuvutanavutana kwa huo ujinga mnaopeleka bungeni.
    Ushabiki mtupu!!!!!

  • @japhetzephania2121
    @japhetzephania2121 5 ปีที่แล้ว

    Hilindio bunge jamani Mungu tusaidie

  • @josephjila957
    @josephjila957 2 ปีที่แล้ว

    Nimeiss sana bunge

  • @elizabethkaswa8661
    @elizabethkaswa8661 5 ปีที่แล้ว

    Safi kaka

  • @benjaminraphael3915
    @benjaminraphael3915 6 ปีที่แล้ว

    Halima mdee ni jembe mii namkubali, aropoki bali anatetea wananchi wake

  • @ezekielmwadomba4675
    @ezekielmwadomba4675 6 ปีที่แล้ว

    CCM MME FANYA DHAMBI MBAYA SANA,KWA KUWA DHULUMU WATANZANIA WALIO WAPIGIA KURA,ILI WASIONE BUNGE LIVE,NA WA WAKILISHI WAO BUNGENI WAKISEMA WALIYO TUMWA NA WATANZANIA.

    • @jumamohamed2466
      @jumamohamed2466 6 ปีที่แล้ว

      Ezekiel Mwadomba hiyo ndio tanzanià udongo wenye dhambi

  • @bakarimngazija6672
    @bakarimngazija6672 6 ปีที่แล้ว

    Chenge hana mpango wowote anataka kulinda maovu. CCM na Chenge hana mamlaka ya kuzuia taarifa kwa umma anachofanya ni kuendeleza ujinga wake.

  • @revocatusvedastus3674
    @revocatusvedastus3674 7 ปีที่แล้ว

    halima mdee wewe hakunaga mbunge km we acha wabunge ccm wengi wao Ni ndiyoooooo hoja hawana

  • @alphoncetheodory41
    @alphoncetheodory41 6 ปีที่แล้ว

    Cku zote uwa nasema na ntaendelea kusema ukweli kuwa hakuna wabunge wenye akili na uwezo mkubwa kihoja kama wabunge wa upinzani hilo lazima niseme ukwel juu ya hilo

  • @josephhaule6309
    @josephhaule6309 7 ปีที่แล้ว

    tunataka bunge lioneshwe moja kwa moja, ili wananch waone na kusikia kod zao zinavyo tumika na sio muoneshe muda wa usiku kwan nao huo ni muda wa kupumzika wengi hawata jua wawakilish wao wanawatetea au wanatetea masilai yao pia watz weng hawana luninga hivyo ni vigum kwenda usiku kwa jiran kuona yanayo jiri Bingen.

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 5 ปีที่แล้ว

    soma bana kwann unachagua vya kusoma ?

  • @josephhaule6309
    @josephhaule6309 7 ปีที่แล้ว

    tunataka bunge lioneshwe moja kwa moja, ili wananch waone na kusikia kod zao zinavyo tumika na sio muoneshe muda wa usiku kwan nao huo ni muda wa kupumzika wengi hawata jua wawakilish wao wanawatetea au wanatetea masilai yao pia watz weng hawana luninga hivyo ni vigum kwenda usiku kwa jiran kuona yanayo jiri Bingen.

  • @pascalmwendakaz7178
    @pascalmwendakaz7178 6 ปีที่แล้ว

    Hii laana cjui Nape anaisolve vp

  • @paulmwarabu6685
    @paulmwarabu6685 6 ปีที่แล้ว

    Hapo nappe alipokua anamuangalia Zitto, sijui kama na leo anaweza kumuangalia hivyo

  • @yasinimwinyi371
    @yasinimwinyi371 8 ปีที่แล้ว +21

    BADO NAONA UMUHIMU WA ZITTO KABWE KUWA NDANI YA BUNGE HILI

    • @mariethagodwin2273
      @mariethagodwin2273 8 ปีที่แล้ว +1

      nmeipenda iyo tupo samba,mba ndugu

    • @atugonzakabamanya9193
      @atugonzakabamanya9193 8 ปีที่แล้ว +1

      Wapinzani wengine wangekuwa wanaiga anavyofanya Zitto wangekuwa mbali, wao wanafanya siasa za wakati wa ukoloni katika serikali isiyo ya kikoloni.

    • @alexandernatani4205
      @alexandernatani4205 6 ปีที่แล้ว

      yasini mwinyi

    • @shavumichael2353
      @shavumichael2353 6 ปีที่แล้ว +1

      Zitto bado tunakukubali chapa kazi

    • @stevintitusmkoreaasijaribu6918
      @stevintitusmkoreaasijaribu6918 6 ปีที่แล้ว

      yasini mwinyi zito nimweu2 yekaziyake nikupinga2 hana lolote

  • @karimngasinda2084
    @karimngasinda2084 8 ปีที่แล้ว +2

    mdee n msenge tuh hana kauli nzur ht kdg jpo m ukawa

  • @ishaq9925
    @ishaq9925 5 ปีที่แล้ว

    mnatuzinguwaa wabunge mmnakura pesazetu arafu mnatukana acheni ujinga

  • @sadickrajabu1191
    @sadickrajabu1191 6 ปีที่แล้ว

    Khaa hili bunge au genge la wauni hadi matusi bungeni ww mwanaume ww mwanamke mwanamke baba yako magu unaangaria nguvu majibu ya upuuzi

  • @isaacvtv547
    @isaacvtv547 7 ปีที่แล้ว

    hivi hakuna azabu , hivi wanavyo ongeya utafikiri discipline imepoteya kabisaaaaaaaa!!!

  • @suysoni
    @suysoni 8 ปีที่แล้ว

    Zitto namkubali sana

  • @mathayomkumbuchile2808
    @mathayomkumbuchile2808 8 ปีที่แล้ว +13

    Hivi hawa viongozi wa CCM wamesoma wapi? Mbona wanaukwepa ukweli ambao hata mtoto wa chekechea anauona?

    • @adivelakinyamuswaga3841
      @adivelakinyamuswaga3841 6 ปีที่แล้ว

      MATHAYO MKUMBUCHILE

    • @nawihadj6674
      @nawihadj6674 6 ปีที่แล้ว

      upi sasa sema ww

    • @manyamalukac8398
      @manyamalukac8398 6 ปีที่แล้ว

      Chegeunakadamiza.wapizani

    • @sagudamasalu2581
      @sagudamasalu2581 6 ปีที่แล้ว

      MATHAYO MKUMBUCHILE hats mim nashindwa kujua,hta wenyevi vitongoji hawaamru kedi mpaka hela he,kW maskin hana hela c anakufa tu

    • @sagudamasalu2581
      @sagudamasalu2581 6 ปีที่แล้ว

      weng wanapereka kes hta polis wanarudishwa ngaz y chn vitongoji wanaona tukio lakin wanaamuru cvo,hata barua hawatoi mpakawazee wke bila wazee auwawe au pesa mambo hayasomeki

  • @suleimanally3515
    @suleimanally3515 6 ปีที่แล้ว

    yi naonozwa na mwizi wa ESCOW mtapata faida gani?

  • @makongoronyerere2595
    @makongoronyerere2595 4 ปีที่แล้ว

    Hili mwenyekit la, cck

  • @chakodakudungi9551
    @chakodakudungi9551 5 ปีที่แล้ว

    Haki hakna kabisa bungeni ccm acheni mambo ya ajabu

  • @gustaphmapunda3299
    @gustaphmapunda3299 8 ปีที่แล้ว +2

    Demokrasia imekufa

  • @josephmwanda6474
    @josephmwanda6474 5 ปีที่แล้ว

    Watnzania hatuna Uhuru tunadanganywa

  • @allyamri9404
    @allyamri9404 8 ปีที่แล้ว +3

    TUME WACHANGUA MTUSAIDIE KUMEKUA KAMA SHURENI MIMI SIKU ZIMA ACHENI KUTUZINGUA FANYENI KAZI

    • @ezekielmwadomba4675
      @ezekielmwadomba4675 5 ปีที่แล้ว

      WALIYO SABABISHA BUNGE LIWE KAMA SHULE YA MSINGI NIWAO CCM,KWA KUWATUKANA NA NA KUBEZA WABUNGE WA CHADEMA.KILE UPANDACHO NDICHO UTAKACHO VUNA BIG UP WAPIINZANI!!!

  • @goodluckmasinde2058
    @goodluckmasinde2058 5 ปีที่แล้ว

    sana mkuu

  • @rafaelmwanyila33
    @rafaelmwanyila33 5 ปีที่แล้ว

    Waheshimiwa wa watanzani

  • @chimegelsamweli2195
    @chimegelsamweli2195 5 ปีที่แล้ว

    Bunge lilikuwa enzi za baba wa taifa, sio sasa watu wanaongea wanavyojisikia tu.