Zitto Kabwe aliposimama kuuaga mwili wa Samuel Sitta
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 27 ส.ค. 2024
- Mbunge wa Kigoma mjini kupitia tiketi ya ACT Wazalendo ni miongoni mwa wabunge waliopata nafasi ya kutoa neno katika tukio la kuaga mwili wa aliyekuwa spika wa bunge Samuel Sitta aliyefariki nchini ujerumani.
Umeongea ukweli na kumtendea haki mzee Samwel John Sitta. Tuendelee kumuombea kwa Mwenyezi Mungu amuweke Mahali panapomstahikia, AAAMIN.
Ni speech inayoniliza mno,
this speech so touching,you did zitto,May his soul rest in peace our Speaker
poleni san familia yamarehem Mungu amlaze mahari pema peponi.Asant nakwako @Millard Ayo kwakutufikishia ........
Zitto kabwe unahutuba nzuri Sana mungu akuongoze inshallah
Tangulia Baba Samuel Sita. Mungu akupe pumziko nzuri Mbinguni.
Ee-Mungu uliye mweza wayote ilaze roho ya malehem Samwel Sitta mahali pema pepon amina
Daaah imeniumaaa sanaaa RIP SITTA SIJAWAHI PENDA SPEAKER ZAIDI YAKO LABDA HUKO MBELENI ATOKEE MWENYE MISINGI KAMA YA SAMWEL SITTA BABA S SITTA TULIKUPENDA ILA MUNGU AMEKUPENDA ZAIDI PUMZIKA KWA AMANI BABA YETU 😭😭
Lydia Thadeous exactly😥
Samweli Sita was a fair leader and he will be remembered for that.
Zitto speach yako imentoa machoz..!! Mungu akupokee na akuepushe na moto wa milele Samwel Sitta.
hinaumaa Sana but sote ni wa mungu na kwake tutalejeaa
Top speech
tulikupenda babu ila mungu kakupenda zaidi bwana alitoa na bwana ametwaa mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi amen
Zitto speech yako imentoa machoz.. R.I.P Samwel Sitta.. Mungu akusamehe dhambi zako
R.i.p BABU tutakukumbuka daima kwa mengi uliyoyafanya tulikuwa tunakupenda sana tena sana ila yupo mwenye ila yupo mwenye alikupenda zaid na zaidi .MWENYEZI MUNGU AILAZE ROHO YAKO MAYALI PEMA PEPONI.Ila speech yako ZITO imenitoa machoz mengi.
kiukweli msiba wa sitta ni msiba wa taifa tangulia ss vyuma kwani ss wote tuwasafili
What a speech from Zitto Kabwe Speech inasisimua sana
sana. Art in IT
kweli kabisa zitto kabwe hakujali itikadi yake ya chama
Apumzike kwa amani .
mungu akulaze mahali pema peponi amen S,Sita
Perfect speech ever!!!😢 safi Sana zitto.z.kabwe👏👏
zito kabwe speech yako nimeipenda
R.I.P Hope we will rule out the negatives and learn the positivity that he has left behind.
zitto uko vzr sana nakukubali sana
safari ni moja wote tutafika huko pumzika baba tuandalie makazi huko nasi tuko njiani
Erick Haule
rip sitta...Hii speech ya zito inaweza kukuliza
Zitto upo vzr
RIP 6
mungu aiweke roho yake pema peponi.
jamani, kila nikisikiliza hotuba hii ya zitto huwa natokwa machozi. RIP baba
Uko sawa na mimi, nalia hivyohivyo
zitto mungu akuzidishie, r i p Sita
apumzike kwa aman Mzee wetu
ivi kwa hotuba hii hawa jamaa wanasema sio mzalendo,dooooo! wabongo vichwa maji kweli kwa usahaulifu
Zitto poa,kiboko yao👍👏
all time speech kabwe zitto
R.I.P Mh. Sammy.the speaker of people!!!!!
hakika hatutaweza kumsahau
Zitto umeongea sawa
most sadness speech by zitto. r.I.p the people speaker
aah Sitta ilikuwa makini wewe tunakukumbuka
alale Salama.
Rest in peace Samwel sitta, Rest in peace Speaker wa watu.
Tutakukumbuka mzee wetu......RIP
dah I can't stop my tears asee very touching.
majambazi
Pole
r.i.p samweli sita..tutakukumbuka milele
RIP
Hotuba yako mh zito inaliza
Duh this speech it's so touchable, rip
innalilah wain Lilah rajun
R.I.P.,ww mbele cc nyuma
rip sitta
I have never found such speaker, well integrated man, your deep voice leading our Parliament always be remembered. May you rest in God's peace.
R.I.P BWANA AMETOA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIBARIKIWE
Zitto umetoa hotuba nzito na ya kizalendo mno.
Spika aliopo ni nani sio makinda au ni brother ndugai
Mungu aiweke roho ya marehem mahalipema aamin
Rip
nice hotuba
R.I.P Sitta
R.I.P.mzee samwel ssita
pumzika baba pumzika.... ulifanya mema kati ya watu. tutakukumbuka
Diomond
R.I.P COMRED SITTA
RIP Samwel Sitta
R.I.P Samwel Sitta
R.I.P baba samwel sitta.
So emotional🌷🌷🌷🌷
R.I.p babu
majambazi arusha
RIP father Samwel Sita, Inna lillah wainna ilaih rajiuun
R.I.P the people's speaker
Zitt0
hotuba nzuli
Mubona magu hayupo hapo ama.....
Wewe ndio mbunge
R,I,P
R. I. P
6 nikafiri
r.i.p
Samuel sitta ,umeondoka poke lewa vema hko ahera
😥😥😥R.I.p
hakika Zitto speech yako itabaki pia kuwa historia.inagusa sana mioyo ya watu.RIP the Great Speaker Samwel Sitta.your legacy will always linger and lives in people's hearts.Amen.
R.i.p
Mwandu Msendo nin maana ya R. I. P nijue
alifanya nini.my he rest in peace
Rest In Peace Speaker Samwel Sitta. You fought a good fight, your legacy will live forever in our lives.
R.I.P
zitto kabwe umeongea vingi vya point ila maswala ya simba na yanga yanafata nn kwenye msiba kama huu ?
Sauli Mwakyusa Ile si nikama Chombezo la Speech Dada
sasa si historia jamani
+Roger Mwinyi
bora umwambieb
r I p
Speech ilikua nzuri ila uwasilishwaji wake upo boring and annoying sasa anavyojilambalamba na kuvuta lips kila seconds maana yake nini? Utafikiri nyau, usomaji wa kishamba
Takataka ww chuki za nn utaenda jehanam ww
Alikuwa ana lia ndan kwa ndan ndo maana alikuwa anateseka sanaaa kusoma
R.i.p BABU tutakukumbuka daima kwa mengi uliyoyafanya tulikuwa tunakupenda sana tena sana ila yupo mwenye ila yupo mwenye alikupenda zaid na zaidi .MWENYEZI MUNGU AILAZE ROHO YAKO MAYALI PEMA PEPONI.Ila speech yako ZITO imenitoa machoz mengi.
R. I. P
r i p
R.I.P
R.I.P