Ni Tundu Lissu na Joseph Mbilinyi tena Bungeni leo May 5 2017

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 พ.ค. 2017
  • May 5, 2017 mkutano wa saba wa bunge umeendelea ambapo Wabunge walikuwa wakijadili na kuchangia mapendekezo ya makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Habari, utamaduni, sanaa na michezo kwa mwaka wa fedha 2017/2018.
    AyoTV imenasa hizi za Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi 'Sugu' na Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu.

ความคิดเห็น • 436

  • @robbiejerrson7437
    @robbiejerrson7437 ปีที่แล้ว +13

    Tundu Lissu ni kiboko. Speech yako imetuliza bunge lote. Wabunge wa CCM wametulia kimya wakinyonya madini ya mbunge mwelimishaji kuliko wote. Asante TL, Wewe ni hazina ya taifa hili

  • @jumameneja1245
    @jumameneja1245 3 ปีที่แล้ว +17

    Nice speech Mr. Lisu , hakika mchango wako bungeni hautasahaurika milele na Mungu akupe maisha marefu

  • @pendosml4928
    @pendosml4928 4 ปีที่แล้ว +110

    Wanaoangalia comments kwanza gonga like

  • @josephezekielmasolwa8283
    @josephezekielmasolwa8283 4 ปีที่แล้ว +6

    Lazima nitamzaa lissu katika Jina LA YESU.AMINA

  • @geofreymollel6973
    @geofreymollel6973 3 ปีที่แล้ว +13

    Hakika lisu ni kichwa cha wa Tanzania Mungu akup maisha km yote

  • @theodorychristopher4795
    @theodorychristopher4795 4 ปีที่แล้ว +14

    Hapa Lisu alijitabiri na kumbe michango yake yote bungeni ni utabiri hapo badae fuatilia kwa makini gonga like ukipata ukweli.☝👏👏💓💓

  • @hamisimhenwa7082
    @hamisimhenwa7082 4 ปีที่แล้ว +8

    Safi sana kwa hoja nzuri, Tuisimamishe nchi kiukweli ukweli na sio kwa poroja bhana

  • @hekimagadiel618
    @hekimagadiel618 4 ปีที่แล้ว +23

    Mtashughulikiwa ninyi na hakuna atakayewapigia kerere kwasababu wengine wote tutakuwa tumenyamanzishwa .like kama umemuelewa.

  • @ezrawaya8377
    @ezrawaya8377 4 ปีที่แล้ว +12

    Sichoki kumsikiliza Mh. Lissu🙏

  • @mathayomkumbuchile1569
    @mathayomkumbuchile1569 7 ปีที่แล้ว +98

    Lissu Mungu akupe maisha marefu,tunajifunza mengi

  • @kazzihusein3810
    @kazzihusein3810 7 ปีที่แล้ว +38

    Nakuelewa sana baba yangu Lissu Mungu akubariki kutetea taifa hili.

  • @gaspermassawe7397
    @gaspermassawe7397 6 ปีที่แล้ว +74

    Lisu alikuwa amejitabiriwa yatakayo mpata,Mungu mrudishie afya aweze kupona kwa haraka,amen

  • @benardkatemi3371
    @benardkatemi3371 3 ปีที่แล้ว +2

    Mh mwenyekiti Zungu namkubali Sana he is unbiased ukimlinganisha na Spika wa bunge 2015-2017

  • @ndenmunis5007
    @ndenmunis5007 4 ปีที่แล้ว +8

    Ww lisu umeteuliwa na mungu...

  • @jacklinejonas5096
    @jacklinejonas5096 3 ปีที่แล้ว +16

    Nyie mmemdharau nyerere sembuse ss kudharau mwenge... 😂😂😂😂😂😁

  • @allympili3437
    @allympili3437 5 ปีที่แล้ว +21

    Mungu akubariki Mh: Tundu Lisu.

  • @bonabonala8253
    @bonabonala8253 5 ปีที่แล้ว +94

    Lisu nizaidi ya wabunge wote wa ccm anaafaa kua Rais TZ

  • @gichoautoglass4913
    @gichoautoglass4913 7 ปีที่แล้ว +46

    jamani lisu ana uelewa mkubwa sana Wa sheria sasa wabunge wasipokuwa makini wanafikiri kutunga sheria mbaya ni kuwatungia wapinzani wakumbuke wana watoto wao na hawajui kesho watakuwa Chama gani wakumbuke wangetegemea lowasa angehamia huku

  • @Purity493
    @Purity493 7 ปีที่แล้ว +22

    Safi Lissu kibokoo msema kweli, from Kenya thanks Ayo TV

    • @benardmusa718
      @benardmusa718 6 ปีที่แล้ว

      Hivi Mwenge ni nini dadangu? sisi kenya sijaisikia

  • @benardmusa718
    @benardmusa718 6 ปีที่แล้ว +16

    😂 😂 😂, am dead, all the way from Kenya but i like Tanzanians leaders very brave.

  • @mohamedmnjeja70
    @mohamedmnjeja70 3 ปีที่แล้ว +7

    Back again...Ni yeye 2020 ,,Mr Lisu

  • @philipolubuva4102
    @philipolubuva4102 5 ปีที่แล้ว +22

    Aliyoyatabiri yanatokea tunajionea Lissu Mungu akulinde

  • @leeaglepropeller4549
    @leeaglepropeller4549 3 ปีที่แล้ว +11

    They ll be real missed !!! ,lets wait

  • @divamrembo8788
    @divamrembo8788 5 ปีที่แล้ว +10

    Maneno ya Lissu yanaishi. Sasa tunaongea Lugha moja

  • @gaspermassawe7397
    @gaspermassawe7397 6 ปีที่แล้ว +107

    Mchango huu Wa mh,Tundu lisu bungeni , utadumu mpk kizazi cha TATU kwa wale wanaoelewa maana ya UTAWALA WA SHERIA.

  • @bahatidan4751
    @bahatidan4751 7 ปีที่แล้ว +19

    omg Mh Lissu preach sir ..magufuli thinks his above all laws...

    • @danielreuben5110
      @danielreuben5110 7 ปีที่แล้ว +2

      lisu fanya maendeleo nakupongeza sana

  • @yohanapetro4937
    @yohanapetro4937 3 ปีที่แล้ว +2

    18/3/2021 Nasikiliza mkali Wahoja Nikiwa gomsi yani Gongo lamboto Shelia zote Anazo Kichwani

  • @tanzaniaupdates7592
    @tanzaniaupdates7592 2 ปีที่แล้ว +11

    It is 2022 today and the speech is so relevant!

    • @digostjafety6070
      @digostjafety6070 2 ปีที่แล้ว

      We are together ,,lisse he was really ccm without other parts ,,our government is nothing

  • @respiciusjohn9936
    @respiciusjohn9936 7 ปีที่แล้ว +33

    wako sawa kabisa wana harakati wetu.

  • @rickythobby
    @rickythobby 7 ปีที่แล้ว +19

    these guys speak very defined points halafu wanapuuzwa, why?

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 9 หลายเดือนก่อน +1

    Hamismhenwa,wajifia,yan Asante kw kinyaturu, Uhuru wa Habari ndio haki ya Tanganyika, hatujielewi Tatizo shule,bila katiba hutaona haki,

  • @sonthadei7443
    @sonthadei7443 7 ปีที่แล้ว +42

    Mungu walinde lissu na wengine wote wenye uchungu sana na nchi hii

  • @dmginfo2470
    @dmginfo2470 7 ปีที่แล้ว +48

    hata mm sioni umuhimu wa mwenge wanavizia miradi.

    • @fatumachagudadui3138
      @fatumachagudadui3138 3 ปีที่แล้ว

      Kwa vile hujui umuhimu mwa mwenge nenda makumbusho mwenge unamhm mkubwa kwan ni ishara ya amani

  • @nurukapoja7759
    @nurukapoja7759 4 ปีที่แล้ว +8

    Wangapi tunaipenda hoja hii tujuane

  • @hamisgagala4891
    @hamisgagala4891 4 ปีที่แล้ว +2

    Huyu ni mbunge machachali sana. Tanzania imepoteza mchachuaji mzuri sana wa mijadala mbungen.

  • @mathayomkumbuchile1569
    @mathayomkumbuchile1569 7 ปีที่แล้ว +20

    Wabunge wa upinzani wananipa aman sana,they always talk about facts and reality.

  • @benimagaya7966
    @benimagaya7966 6 ปีที่แล้ว +5

    Mungu Akubariki sana

  • @damiankadamaa4046
    @damiankadamaa4046 4 ปีที่แล้ว +3

    Ww ni jasiri wa taifa lako lisu saluti sana popote ulipo kaka

  • @frankkaiza3658
    @frankkaiza3658 3 ปีที่แล้ว +4

    Mungu ni mwema atokuacha kama ulivyo!

  • @ramambongo4069
    @ramambongo4069 7 ปีที่แล้ว +39

    Lisu simba waambie kabisa asiogope kabisa

  • @paulmwarabu6685
    @paulmwarabu6685 5 ปีที่แล้ว +6

    Ai mis yu, nakukumbuka iyeee iyeee

  • @asafudaudi1230
    @asafudaudi1230 5 ปีที่แล้ว +14

    We missed you Lisu

  • @danielmanyama4504
    @danielmanyama4504 5 ปีที่แล้ว +9

    Tuwe wakweli lisu anafaa kuwa si tu mwanasheria Wa kimataifa Bali hata kuwa Rais 2020!

  • @mafuruhatari3434
    @mafuruhatari3434 5 ปีที่แล้ว +5

    Nan furaha sana kuona watu wakijenga nchi

  • @hamisgagala1453
    @hamisgagala1453 6 ปีที่แล้ว +11

    wise words from Lissu.

  • @danhoemanho9856
    @danhoemanho9856 4 ปีที่แล้ว +1

    Angefaa sana kuwa mwanasheria mkuu wa serikali...angetusaidia

  • @alphoncembasa1775
    @alphoncembasa1775 3 ปีที่แล้ว +3

    Duuuu eee mungu wetu. Jina lako lihimidiwe milele

  • @hamisrichard5830
    @hamisrichard5830 4 ปีที่แล้ว +5

    Mwamba sana huyuu....💪💪💪

  • @raphaelsamwel2640
    @raphaelsamwel2640 4 ปีที่แล้ว +1

    Ulitabiri mzee!! Pole kwa ukatili walokutendea kwa kusema ukweli!!!

  • @tumainrenatus3572
    @tumainrenatus3572 5 ปีที่แล้ว +4

    Mungu akulinde Mh lissu,,,,2020 unastahili kbsa

  • @charlestarimo4384
    @charlestarimo4384 7 ปีที่แล้ว +15

    strong message and ccm needs enough time to discuss those words.

  • @mbasabillz7715
    @mbasabillz7715 4 ปีที่แล้ว +3

    Tundu your too good they don't disserve you

  • @jamilaismail5227
    @jamilaismail5227 7 ปีที่แล้ว +16

    pesa nyingi zinatumiwa kwenye mwenge wakati huduma muhimu amna kabisa Tanzania km hospitali azina dawa hakuna vipimo zaidi ya vipimo vya malaria na ukimwi saivi at parasetamol hakuna ,huo mwenge ni wanini? Na raia wakiwa na afya duni au njaa nani ataukimbiza jamani au kuupokea? tuangalieni jamani kuna vitu avina umuhimu km afya kwa binadamu.

    • @joellipunge4593
      @joellipunge4593 7 ปีที่แล้ว +1

      Jamila Ismail Hakuna serikali ni ujinga tu hospitalit ya Serikali kila kitu lazima ununue mwisho wao 2020 tunawang'oa mabwege hawa.

  • @athumanimashango3204
    @athumanimashango3204 7 ปีที่แล้ว +37

    nimecheka mpaka machozi sikwa maneno ayo ya sugu dah

  • @safaristanley7215
    @safaristanley7215 3 ปีที่แล้ว +6

    Never disappoint

  • @muska4real
    @muska4real 3 ปีที่แล้ว +3

    Nimependa neno “ mkinyamaza kimya ninyi mlio wengi “ from Lissu 💪💪

  • @aloycesambuta9937
    @aloycesambuta9937 2 ปีที่แล้ว +2

    Tunamiss sana hili bunge... Sugu🔥🔥🔥

  • @nkiliyemedia
    @nkiliyemedia 3 ปีที่แล้ว +3

    Hiyo ndio point, gonga like apa kisha subscribe

  • @jumameneja1245
    @jumameneja1245 4 ปีที่แล้ว

    Congrant mh. Lissu unafaa kuwa kiongozi wa juu zaidi

  • @philemondanard2832
    @philemondanard2832 7 ปีที่แล้ว +11

    yap,yap,yap! hongereni sana wapinzani Kwa kuwatetea wanyonge,mungu awe nanyi kwa kila jambo.

  • @francislmrongo244
    @francislmrongo244 5 ปีที่แล้ว +4

    Nakubali sn lisu

  • @ebadmyenda5536
    @ebadmyenda5536 3 ปีที่แล้ว +2

    Hawa ndio viongozi wasema kweli nchi yetu ukisema kweli unapingwa nakuuwawa

  • @marvinomondi8921
    @marvinomondi8921 3 ปีที่แล้ว +1

    Best mp ever in Tz

  • @kelvinkantabula6801
    @kelvinkantabula6801 7 ปีที่แล้ว +4

    Please post majibu ya waziri

  • @bigboyben6932
    @bigboyben6932 7 ปีที่แล้ว +20

    Nakuombea uzima na afya mtu wangu#millardayo

  • @albinamoshiro6773
    @albinamoshiro6773 6 ปีที่แล้ว +7

    ivi ule wimbo wataisoma number umeishia WAP maana tunaisoma number wote

  • @chrisog2498
    @chrisog2498 3 ปีที่แล้ว +1

    2021 twende pamoja

  • @simonmlowe7309
    @simonmlowe7309 7 ปีที่แล้ว +39

    Hikikichwa ni hatari xana good xana

    • @jacobojastini7279
      @jacobojastini7279 6 ปีที่แล้ว

      Simon Mjoshuamaiko82133
      Taarifa ya.habari d wv

  • @geraldmilanzi424
    @geraldmilanzi424 6 ปีที่แล้ว +27

    Hakika ww ni almasi ing'aayo gizani Mungu awe nawe

  • @suleimanmakongoro6513
    @suleimanmakongoro6513 5 ปีที่แล้ว +3

    Ndio maana risasi zote zile ulibaki hai kamanda wewe hakika ni aseti ya hii nchi na dunia kwa ujumla

  • @gastordominic410
    @gastordominic410 4 ปีที่แล้ว +2

    Still living lissu

  • @paulonagila6460
    @paulonagila6460 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu azidi kukulinda mh lisu

  • @kwelidaima7843
    @kwelidaima7843 4 ปีที่แล้ว +2

    Lissu alikuwa Nabii Kwenye Jambo Hili Leo Hii Akina Nape Hata Press Hapana Uwezo Wa Kuzifanya popote Ushahidi ni Namba membe alivyonyimwa Ukumbi

  • @yohanakivuyo4261
    @yohanakivuyo4261 3 ปีที่แล้ว +1

    Kwali mimi ni mejivunza mengi kupitia tundulisu

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 5 ปีที่แล้ว +3

    LISSU 4 PREZZO

  • @semanasitv8303
    @semanasitv8303 5 ปีที่แล้ว +5

    2020 chadema tunaomba lisu
    lisu angegombea urais tuipeleke nchi mbele

  • @mkambotv5418
    @mkambotv5418 3 ปีที่แล้ว +1

    Rip bunge la tz. Tutamiss upinzani sana

  • @JicholaAfrika
    @JicholaAfrika 3 ปีที่แล้ว +9

    Missing you All. You will be staying in heart forever

  • @santyhassan4186
    @santyhassan4186 7 ปีที่แล้ว +9

    Ndo hivyo wamejichanganya

  • @benimagaya7966
    @benimagaya7966 6 ปีที่แล้ว +3

    Semani Mkuu Tupate Maarifa

  • @jumamichael4083
    @jumamichael4083 7 ปีที่แล้ว +64

    Uzuri wa sugu hajawahi niangusha

  • @husseinkanjoka1182
    @husseinkanjoka1182 3 ปีที่แล้ว +1

    Dah
    Jamaa yuko makini Lissu anafaa kutuongoza

  • @ayubuponsianomtunge4679
    @ayubuponsianomtunge4679 7 ปีที่แล้ว +15

    Asante lusu zam yetu leo zam yao k esho.

    • @timojonac927
      @timojonac927 4 ปีที่แล้ว

      Ayubu ponsiano mtung'e

  • @husenihamza7591
    @husenihamza7591 ปีที่แล้ว

    Viumbee wagumu lakini lisuu now one like you hata mungu wanampuuza Kama ni fakiti lisuu sio wa sayarii Hiii ni shida we we🙉🙉🙉🙉🙉🙉🙉🙉🙉

  • @rodgersabraham1065
    @rodgersabraham1065 5 ปีที่แล้ว

    Lisu hakustahili kua kiumbe wa sayari hii alitakiwa kwenye sayari ya juu zaidi ,i respect you lisu i will never feel ashemed to call you educated one becouse you know and you mean what you are saying

  • @hamisrichard5830
    @hamisrichard5830 4 ปีที่แล้ว +3

    Mwamba mpambanaji.....Allah akusimamie Lissu

  • @shabanimweusi9151
    @shabanimweusi9151 5 ปีที่แล้ว +11

    lisu yuko sawa

  • @frankmwacha8118
    @frankmwacha8118 3 ปีที่แล้ว +3

    2020 gonga like

  • @mussaalphonce9322
    @mussaalphonce9322 5 ปีที่แล้ว +2

    Nice

  • @salumkhamis7818
    @salumkhamis7818 5 ปีที่แล้ว +2

    Lisu anasimamia hoja muhimu good

  • @wazirikajembe
    @wazirikajembe 4 ปีที่แล้ว +1

    Lisu ni nabii kweli

  • @vinnyjoyful1795
    @vinnyjoyful1795 4 ปีที่แล้ว +1

    mia mia lissu

  • @japhetnzunda99
    @japhetnzunda99 5 ปีที่แล้ว +2

    Mheshimiwa unatufaa sana mbeya

  • @chambasclinton7456
    @chambasclinton7456 4 ปีที่แล้ว +3

    Lissu ulifunzwa sheria na nan?

  • @mohamedmnjeja70
    @mohamedmnjeja70 3 ปีที่แล้ว +1

    Ni yeye 2020 ,,Mr Lisu

  • @yohanapetro4937
    @yohanapetro4937 4 ปีที่แล้ว

    Tundulisu wachadema ni wabunge wote wa ccm Akiwemo na Rais

  • @mbarakagarasian4772
    @mbarakagarasian4772 5 ปีที่แล้ว +1

    nakupenda sana lisu na lema balaaaaaa

  • @mariamariam9239
    @mariamariam9239 4 ปีที่แล้ว +1

    Ninaempenda ni lisu peke yake

  • @officialadon1056
    @officialadon1056 5 ปีที่แล้ว +3

    sugu jiandae lisu aaa kwel ili ndy bunge la bongo

  • @djstone255tz
    @djstone255tz 6 ปีที่แล้ว +1

    lissu ni kwere nakukubali sana