RAIS SAMIA ATASHINDWA UCHAGUZI 2025/ WANAMDANGANYA/ SIRUDISHI KADI YA CHADEMA/ WANANCHI WANA KERO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ส.ค. 2024
  • Kwa story zaidi za maisha, burudani, vipindi na za kila siku tufuatilie kupitia Mitandao ya kijamii hii :
    ►JOIN OUR WhatsApp Group chat.whatsapp....
    ►SUBSCRIBE / @stbongotv
    ►Instagram / stbongotv
    ►TikTok / stbongotv.tz
    ►Facebook / stbongotv
    ►Twitter / stbongotv
    ST BONGO TV Channel 401 (Dish) 161 (Antena) on Startimes Decoder
    RATIBA ZA VIPINDI VYETU
    THE BANTU JUMATATU HADI IJUMAA KUANZIA SAA 10 JIONI
    SPOTLIGHT JUMATATU HADI IJUMAA KUANZIA SAA 12 JIONI
    TWENDE JIKONI KILA IJUMAA KUANZIA SAA 1:30 JIONI
    FASHIONISTA KILA JUMAPILI SAA 1 USIKU
    MR RIGHT SHOW KILA JUMAMOSI SAA 4 USIKU
    KIU SERIES JUMATATU HADI IJUMAA SAA2:30 USIKU
    THE SPIRIT NA IBADA LIVE KILA JUMAPILI KUANZIA SAA 4 ASUBUHI
    MOVIE NIGHT NI KUANZIA JUMATANO MPAKA IJUMAA KUANZIA SAA NNE USIKU NA MARUDIO MCHANA KILA SIKU #tanzania #siasa #DktSlaa #chadema #ccm #samiasuluhu #RaisSamia #magufuli #actwazalendo
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 140

  • @rithaurassa
    @rithaurassa 4 วันที่ผ่านมา

    Mhe. DR Silaa uko vizuri nimekuelewa sana.Hata ulivyosema kadi ya. Ccm hujui iko wap nimekukubal sana.wew ni mzee kijana.

  • @acquelinapissa2968
    @acquelinapissa2968 ปีที่แล้ว +9

    Slaa alifanya kazi kubwa sana karatu na tunampenda sana mpka kesho na anachokisema ni sahihi hana unafki

    • @istambulahmed6664
      @istambulahmed6664 ปีที่แล้ว +2

      Sio kweli, huyo kinacho mponza ni udini tu, na huyu ni mtu hatari sana hatufayi hata kidogo,

    • @alfredpeter8732
      @alfredpeter8732 ปีที่แล้ว +1

      WASAFI

  • @boniphacemaseromwtta7048
    @boniphacemaseromwtta7048 ปีที่แล้ว +4

    Ningependa doctor uwe rais wangu

    • @hajjiomary2383
      @hajjiomary2383 ปีที่แล้ว

      😳

    • @millowamilonga
      @millowamilonga ปีที่แล้ว

      Utasubiri sana kwa mpumbavu huyo eti awe rais never.
      Huyo jua la jioni tena.

  • @richardmwambene3366
    @richardmwambene3366 ปีที่แล้ว +3

    Asante mzee naomba muendele na siasa

  • @othmanmapunda2310
    @othmanmapunda2310 ปีที่แล้ว +5

    Dr slaa Peter ni mfano wa wanasiasa wazuri Sana ktk taifa hili

  • @thieryniyonkuru5023
    @thieryniyonkuru5023 ปีที่แล้ว +5

    Dah, mzee anaongea points kweli kweli. Mama wanampamba tuu ili wajilambie asali 😂😂😂😂

  • @timboxlee919
    @timboxlee919 ปีที่แล้ว +2

    Doctor wewe ni genius wa siasa

  • @asungushepatrick5414
    @asungushepatrick5414 ปีที่แล้ว

    Naomba Mungu afutilie mbali hii serikali iliyojaa wezi.

  • @peterjohnson167
    @peterjohnson167 ปีที่แล้ว +2

    Duh safi sana Doctor Slaa ushauri muhimu sana! Kustaafu 60 old year Doctor Slaa 74 Old year = 14 sio unamiaka 24...

    • @patricknamangoa6468
      @patricknamangoa6468 ปีที่แล้ว

      Amefanya error kihisabati. Lakini yuko very smart.

  • @aliyageorge6794
    @aliyageorge6794 ปีที่แล้ว +9

    Doctor very wise man 👨

  • @barakaisiraeli
    @barakaisiraeli ปีที่แล้ว +3

    Hatuna Raisi tumepigwa

  • @hbtv4169
    @hbtv4169 ปีที่แล้ว

    TIMU ZANZIBAR MUNAMSEMA SAMIA SANA KISA MZANZIBAR ILA IKIFIKA 2025 MSIJE MKALIAA TU MACHOZII DAMU

  • @jumawaziri5053
    @jumawaziri5053 ปีที่แล้ว +3

    Kweli kabisa

  • @Epicmarkmedia
    @Epicmarkmedia ปีที่แล้ว +4

    Napataje hicho kitabu

  • @aliyageorge6794
    @aliyageorge6794 ปีที่แล้ว +3

    Noted with thanks, dk Slaah!👍

  • @personpeter2221
    @personpeter2221 ปีที่แล้ว +12

    Samia tunamchinja haturdii kuongozwa na wanawake tena never mwanamke hafai kuwa kiongoz wa taifa

    • @NGINDA99
      @NGINDA99 ปีที่แล้ว

      Person Peter
      NI VIZURI KUTOA MATAMSHI YAKO UKIJUA RAIS SAMIA ANA FAMILIA NI USHUNGU MWINGI SANA WANAWE WAKISIKIA ETI WEWE NI MCHINJAJI . BIBLIA YATUFUNZA LOLOTE ULIFANYALO OMBA MWENYENZI MUNGU AKIKUJALIE NA UNJUE KUNA WATU WENGI TUNAMPENDA RAIS SAMIA NA TUNAJUA WANAWAKE NI WENGI .

  • @godwinshoo5032
    @godwinshoo5032 ปีที่แล้ว +5

    Umeongeza ukweli mtupu

  • @evelynmwaimu-vd9jo
    @evelynmwaimu-vd9jo 19 วันที่ผ่านมา

    Mpenda haki

  • @abisaimsewa1935
    @abisaimsewa1935 ปีที่แล้ว +3

    Samia watampisha ila kiuhalisia hatu saidii chochote

  • @muntueric-oy1ty
    @muntueric-oy1ty ปีที่แล้ว +4

    Ni kweli Samia atashindwa anadutenganisha watanzania kwa misingi ya chuki na fitna kwa wasanii haswa WCB.....Samia must fall#❤❤❤❤❤❤

    • @bigjizee4130
      @bigjizee4130 ปีที่แล้ว +1

      Sasa WCB na samia wapi na wapi

    • @ameedamilja7992
      @ameedamilja7992 ปีที่แล้ว +1

      Acha ujinga wa WCB ha sijui ndio nini Kwa Tanzania. Mtu analima viazi makambako anapata Mbolea kwa bei nafuu na anavuna vya kutosha wewe unamwambia mambo ya WCB wakati hata hajui ni nini.

  • @othmarluwawilo8308
    @othmarluwawilo8308 ปีที่แล้ว

    DR.Slaa rasmi rudi Chadema gombea Urais, una nguvu za kipekee na kuongoza nchi.

  • @user-yb5vk2oo5i
    @user-yb5vk2oo5i ปีที่แล้ว

    Dr Slaa shupavu sana

  • @mohamedrashid9035
    @mohamedrashid9035 ปีที่แล้ว +2

    Huyo Mzee ni Chadema

  • @user-ck9fp3xl8g
    @user-ck9fp3xl8g ปีที่แล้ว +1

    Nabariki uchambuzi mzuri wa Dr. Slaa juu ya Siasa ya Taifa letu.

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 ปีที่แล้ว +1

    Watanzania hatutataka vyamavyama wala mipirapira inaonekana watu wameviweka mbele kuliko Mungu

  • @yusuphchankwa4759
    @yusuphchankwa4759 ปีที่แล้ว +3

    Kiukweri Mzee wangu mm nakupenda sana tena sana

    • @Abdallah-hr3hd
      @Abdallah-hr3hd ปีที่แล้ว

      KAZI YA MUNGU ILIMSHINDA NA KUFUATA KAZI YA SHETANI.

    • @yusuphchankwa4759
      @yusuphchankwa4759 ปีที่แล้ว

      @@Abdallah-hr3hd kwa Hilo mm sihusiki atajuana na Mungu wake

  • @hbtv4169
    @hbtv4169 ปีที่แล้ว

    Zanzibar yote samia anakura zake kma rais wa muungano ni yeye tu samia kusema anataka au hatakiii

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x หลายเดือนก่อน

    Kwakweli wananchi walalamikaji laisi mlalamikaji

  • @josenyambeo3587
    @josenyambeo3587 ปีที่แล้ว +2

    Nyie vijana wa 2000 mnae msema silaa vibaya hamjui siasa anacho kisema mzee kasha jua ukweli

  • @abdulrahmanmohamed7221
    @abdulrahmanmohamed7221 ปีที่แล้ว +1

    Rafiki wa jiwe,mama angemwachia ubalozi asingeongea,njaa tu.

  • @user-ep2cm5xo3k
    @user-ep2cm5xo3k ปีที่แล้ว

    Ni kweli atashindwa, Bora aache kugombea maana ataaibika.

  • @user-bh3ie4rr8q
    @user-bh3ie4rr8q ปีที่แล้ว

    HAJAWAHI KUKOZEA WHEN IT COMES TO ISSUES OF POLYTICAL ANALYSIS

  • @selestiniasenga
    @selestiniasenga ปีที่แล้ว

    Ee Mungu Mfalme wa Ulimwengu, tunaomba Rais wa Tanzania anayetuongoza kwa uongozi unaotoka kwako.

  • @isakhamisi8923
    @isakhamisi8923 ปีที่แล้ว

    Kwani ccm gani aliwahi kushinda uchaguzi c wizi tu wa uchaguzi.

  • @thelivingwordchannel9027
    @thelivingwordchannel9027 ปีที่แล้ว +2

    Huyu ndo mwanasiasa niliyemkubali

  • @komumbughuni8301
    @komumbughuni8301 ปีที่แล้ว

    Ashinde au ashindwe yote sawa lkn bado atabaki ktk kumbukumbu ya kuwa amefanya mambo makubwa sana ❤

    • @talents7934
      @talents7934 ปีที่แล้ว

      Acha uchawa we punguani

    • @komumbughuni8301
      @komumbughuni8301 ปีที่แล้ว

      @@talents7934 be blessed ma men, accepted if matters u anything, FLABBERGASTED

  • @johnsulle4679
    @johnsulle4679 ปีที่แล้ว +2

    Nchi ni kubwa xana kuliko Mama

  • @FaridaJames
    @FaridaJames ปีที่แล้ว +2

    Hayo mabilion yaliyo ibiwa sindio hayohayo yata mpitisha urahisi na watanzania na wanawake eti tunapewa mkopo kumbe hizohizo no Mari za watanzania lichafueni Sana taifa Ila upo mbadala wa jpm zitakuja ziwatokee puan

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 24 วันที่ผ่านมา

    Acha potojo na uzushi mheshimiwa samia atashinda bila wasiwasi .

  • @mrsinia3064
    @mrsinia3064 ปีที่แล้ว

    Dah! kwer saiv pesa imekuw ngum hata kwa tochi ni mbinde🤔🤔

  • @jobdismas1947
    @jobdismas1947 ปีที่แล้ว

    Huo Mkono Wa Kushoto Wa Dk Slaa Umepooza Ama

  • @aliyageorge6794
    @aliyageorge6794 ปีที่แล้ว +2

    Dk angefungua shule ya kufundisha vijana watanzania siasa....

    • @kastulielias496
      @kastulielias496 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa huyo mzee ana madini adimu ya siasa safi

  • @josephnchunga4229
    @josephnchunga4229 ปีที่แล้ว

    Yuko vizuri Sana Ni jasri Sana w,slaa Ni magufuli kabisaa

    • @vitusmdegela5356
      @vitusmdegela5356 ปีที่แล้ว

      Huyu mzee 2025 agombee kura yangu anapata

  • @user-xf8xz1zp6o
    @user-xf8xz1zp6o ปีที่แล้ว

    Kikubwa uhai

  • @lameckbalekere1962
    @lameckbalekere1962 ปีที่แล้ว

    Chadema chawa wa samia

  • @williammbuzimai5744
    @williammbuzimai5744 ปีที่แล้ว +3

    ACT mageuzi!!

  • @othmanmapunda2310
    @othmanmapunda2310 ปีที่แล้ว +1

    Unajidanganya rais Samia atashinda usipoteze watu uchaguzi bado

    • @monicamwita7865
      @monicamwita7865 ปีที่แล้ว

      Kama uchaguzi utakuwa kama zamani atapita
      Kama uvhaguzi utakuwa wa hakisitegemei

  • @charlesseba2000
    @charlesseba2000 ปีที่แล้ว

    Mzee kwanza pole naona mkono wa kushoto una shida ya stroke lakini Kama ulivyosema move on and rest

  • @franciscomasungulwa3575
    @franciscomasungulwa3575 ปีที่แล้ว

    Siku nyingine kijana ujipange kufanya interview na Dr.

  • @muhammedbakari2867
    @muhammedbakari2867 ปีที่แล้ว

    Kwan ccm iliwahi kushinda lin Kwa haki zaid yakupora uchaguzi na kujipa ushind wa uwongo wapate kula asali pekeyao tu..

  • @imanifute-qs7bn
    @imanifute-qs7bn ปีที่แล้ว

    Kuna maeneo Mzee unahoja kimsingi. Hasa ulipozungumzua political maturity lakini Kuna wakati haeleweki kiasi kwamba ninaona unafiki mkubwa na kuona kuwa ni msaka tonge tuu kama wasakatonge wengine.

  • @jpmgwama6960
    @jpmgwama6960 ปีที่แล้ว +2

    Mzee yupo vema sana

  • @vedastusngaiza5960
    @vedastusngaiza5960 ปีที่แล้ว

    Kuacha active party politics sawa je wananchi wakikutaka uhudumie kisiasa?

  • @francisriziki1954
    @francisriziki1954 ปีที่แล้ว +3

    Ni mtu mwenye akili sana Anafanya analysis vizuri mno ,,very objective ,, masomo aliyosoma yamemsaidia sana

  • @user-yb5vk2oo5i
    @user-yb5vk2oo5i ปีที่แล้ว

    Nyuma ya pazia itufie

  • @GeorgeUsele
    @GeorgeUsele ปีที่แล้ว

    Siasa za kimalaya malaya😂

  • @ibrahimngunga8385
    @ibrahimngunga8385 ปีที่แล้ว

    Anayasema hayo kwa sababu ya njaa tu hakuna lolote

  • @ahmedissa7882
    @ahmedissa7882 ปีที่แล้ว

    Wananchi ndio watotowa maamuzi yao

  • @ahmedissa7882
    @ahmedissa7882 ปีที่แล้ว

    Udini ndio tatizo angekuwa muungwana asengeondoka chadema kinachomliza zaidi kwa nini Mama Samia karuhusu vyama Vingi kufanya mikutano yao na kujaribu kuondoa malumbano.Mama Kampiga na chini

    • @emmanuelchiza7733
      @emmanuelchiza7733 ปีที่แล้ว

      Mama hana uwezo wa uongozi kabisa, labda awe kiongozi wa mkoa wa Zanzibar

  • @istambulahmed6664
    @istambulahmed6664 ปีที่แล้ว

    Kuna umri flani ukifika mtu anatakiwa kuwa karibu sana na MUNGU Kwaajili ya kuiandaa safari ya maisha bora baada ya haya ya duniani, kwa mfano mafundisho ya yesu ame fundisha ya kuwa MUNGU ni mmoja, na hakuna mwingine , na amesema MUNGU wake ndio MUNGU wetu, na yeye ni MTUME wa MUNGU tuu, na haja wahi kufindisha utatu, je ana yaamini hayo ili apate uzima wa milele?

    • @allyshija2613
      @allyshija2613 ปีที่แล้ว +1

      Kaugeugeu ndo shida mungu ni mwema

  • @vedastusngaiza5960
    @vedastusngaiza5960 ปีที่แล้ว

    Kumbe bado unakumbuka utaratibu

  • @barakaisiraeli
    @barakaisiraeli ปีที่แล้ว +1

    Watu wa akili hawapatago nafasi za kuongoza nchi

  • @unknownsasha8383
    @unknownsasha8383 ปีที่แล้ว

    Mnapoteza mda wenu tu upige kura usipige utaongozwa na yule usiemchagua anijichagua mwenyewe na watu wake

    • @ahmedzahor2975
      @ahmedzahor2975 ปีที่แล้ว

      Slaa unataka cheo lkn hupewi mfamaji tapa tapa tu

  • @malamlaaj9852
    @malamlaaj9852 ปีที่แล้ว

    Chadema wabebe makapi tena!!??

  • @ashahassan2120
    @ashahassan2120 ปีที่แล้ว

    Wala samia tusimchangue tena

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 ปีที่แล้ว +2

    Masikini Mzee ameshapoteza uelekeo, sasa anawayawaya,,,,,!!!!

    • @salminasalim5630
      @salminasalim5630 ปีที่แล้ว

      Wacha kusema hivyo MMungu ndio anajuwa kila kitu wewe hujui mwache baba wa watu atueleimishe

  • @kapanyaammakitaba1538
    @kapanyaammakitaba1538 ปีที่แล้ว

    Hakutumika bali alitumikia vyama!

  • @johnsulle4679
    @johnsulle4679 ปีที่แล้ว

    Wanawake wanaweza uongo

    • @beatricekatunzi903
      @beatricekatunzi903 ปีที่แล้ว

      Tena wanaume siku hizi ndo waongo usipime

    • @johnsulle4679
      @johnsulle4679 ปีที่แล้ว

      @@beatricekatunzi903 Hautanielewa mpk uwe mkubwa

  • @zainaboniphace
    @zainaboniphace ปีที่แล้ว +2

    Hakika wewe ni nguli wa siasa

  • @rizikimlela8162
    @rizikimlela8162 ปีที่แล้ว

    Hufai kuwa raisi keasababu wewenikinyonga

  • @josephmugala1970
    @josephmugala1970 ปีที่แล้ว +3

    Ulipewa ubalozi na ccm ww ni ccm

  • @mbarakadau7345
    @mbarakadau7345 ปีที่แล้ว

    Mama Samia atashinda kwa kishindo (over 70%) Mzee apumzike naona umri umeathiri ubongo wake kwa kiasi kikubwa

  • @ramadhanjackson8712
    @ramadhanjackson8712 ปีที่แล้ว

    Mwandishi wa habari your immature bado hujajipanga vema kuzungumza na mwanasiasa mkongwe Kama huyo,sio level yako.

  • @millowamilonga
    @millowamilonga ปีที่แล้ว +1

    Slaa ni mjinga tu hana jipya ndumilakuwili huyo.
    CDM yenyewe wanalamba asali kwa kwenda mbele.
    Huyo sio mtu wa kuhojiwa hana msimamo.

  • @froma3732
    @froma3732 ปีที่แล้ว

    Kwani Tanzania tunapiga kura au wanawekwa kwa taarifa yako Rais Samiha atkuwepo mpaka 2030

  • @salehesalehe2967
    @salehesalehe2967 ปีที่แล้ว +2

    Mama atashinda 89%

  • @guugug9gt829
    @guugug9gt829 ปีที่แล้ว

    Mama hatumtaki

  • @eliudmsigwa4947
    @eliudmsigwa4947 ปีที่แล้ว +1

    iv 74 kutoa 60 n 24?

    • @condegsubscribes7911
      @condegsubscribes7911 ปีที่แล้ว

      Huyu mwanasiasa mwanasiasa siku zote mjanjamjanja Sana na masrahi mbele

  • @fredymahinda4024
    @fredymahinda4024 ปีที่แล้ว

    Mama yetu mkuu wa nchi yetu. Chukua maamuzi wawajibishe hao waliokula hizo pesa wanakuharibia wananchi wanakosa Imani kuona madudu yanafanyika unashindwa kuwachukulia hatua. Kamata zuia account zao. Waondoe kazin wafitis Mari zao. Wanakuharibia hao!! Kuwa km JPM. MAAMUZI MAGUMU

    • @LoxloxJuma
      @LoxloxJuma ปีที่แล้ว

      Anaogopa kufa kufanya nikuweka maisha yako hatarini kwakifo mwamba hakukiogopa kifu nandmn kaenda zake afe kwaajili ya tz kwamtto wakike Tena shombe shombe wa kwafalao aache kula Bata mwamba aliokwenda hanaga mfano

  • @allymusira2153
    @allymusira2153 ปีที่แล้ว +2

    Upuuzi mtupu

  • @malamlaaj9852
    @malamlaaj9852 ปีที่แล้ว

    Wacha hiyo. Ashindwe na Nani?!

  • @jumakiduka4625
    @jumakiduka4625 ปีที่แล้ว +3

    Padre Slaa, unapiga Ramli? kwanza unafiki wa kuzaliwa

  • @marijanimohamed8875
    @marijanimohamed8875 ปีที่แล้ว

    usiri wamelambiswa asali serekali haiko makini inaibiwa kila kona ila chadema ndio wako hoi kabisa mana ndio wana wasafisha😅😅😅

  • @saidasimba9979
    @saidasimba9979 ปีที่แล้ว +1

    Mamayao anaongea tu wewe acha tuone mwishowe

  • @cleophacephelician6739
    @cleophacephelician6739 ปีที่แล้ว +2

    MAMA SAMIAH ATASHINDA TENA KWA KISHINDO, HATA BILA USHAURI WAKO MZEE! ONGEA MACHACHE!

    • @abisaimsewa1935
      @abisaimsewa1935 ปีที่แล้ว +2

      Wata mpitisha ila wanainchi hawa mtaki maisha magumu hana kauli yupo Kama tv tu remote control ipo kwingine

    • @kimilasayi2626
      @kimilasayi2626 ปีที่แล้ว

      Kenge wewe utampitisha na familia yako , hatutaki rais mwanamke sasa hivi

  • @billgussy6099
    @billgussy6099 ปีที่แล้ว

    Ndumi la kuwili huyu😂

    • @queenpiscator6117
      @queenpiscator6117 ปีที่แล้ว

      Yuko juuu såna weee ni mtu usiyemjua huyo kichwa

  • @mohamedhaji2200
    @mohamedhaji2200 ปีที่แล้ว

    Slaa kaa ulee wajukuu. Hakuna utakachongea ukaeleweka. Samia atashinda tena 70%

    • @hajjiomary2383
      @hajjiomary2383 ปีที่แล้ว

      Akipewa mkati anakaa ccm fasta

  • @jumakiduka4625
    @jumakiduka4625 ปีที่แล้ว +1

    ulisema si ccm , wala chadema , lakini internally you are very mucb Biased to chadema

  • @barakaisiraeli
    @barakaisiraeli ปีที่แล้ว +1

    Sio karatu tu ni nchi nzimz acha wampake mafuta kwa chupa ya mgongo

  • @richardzakaria8669
    @richardzakaria8669 ปีที่แล้ว +2

    2025 mabadiliko ni lazima

  • @aliyageorge6794
    @aliyageorge6794 ปีที่แล้ว +1

    Maridhiano lazima yawekwe public.
    Kwa kuwa it has something to do with wananchi.
    Hapo mh Mbowe amekosea.
    Inabidi aongee na umma.

    • @kimangu1
      @kimangu1 ปีที่แล้ว +1

      Dr ongoza jahazi la chadema tupate katiba mpya wananchi tunakuhitaji bado

    • @janemwaipopo
      @janemwaipopo ปีที่แล้ว

      Mbivu na mbichi zitajulikana 2025

    • @georgekimasaofficial1629
      @georgekimasaofficial1629 ปีที่แล้ว

      Point sana umeongea

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 ปีที่แล้ว

      @@kimangu1 Katiba ya Chadema ? Katiba ni mkataba mpya Wazanzibar tumechoka na Muungano uliopo unatuaminisha je kusaini mkataba mpya. Ni vigumu sana kupata Katiba mpya Tanzania.

  • @athumanhassani805
    @athumanhassani805 ปีที่แล้ว +2

    Huwa wanao msifia niwale wana piga kisha eti anaipiga mwigi

  • @samwelifundi4394
    @samwelifundi4394 ปีที่แล้ว

    Babu hana sera mbona alikihama chadema hana sera,,
    wenye chadema tuliwaona wakati wa magufuli walipokuwa na watikati mgumu