So sharp president I have ever come through this Guy was not ordinary chap from the street read my lips, Mzee Mungu akuweke mahali pema peponi, Mzee mwenye hekima kama Solomon
Huyu alikuwa kiongozi mwenye hekima a busara tele. Aliweka msingi thabiti kwa taifa la Tanzania kuwa na umoja na utengamano. Mambo ambayo sisi wa Kenya hatuna. Fare thee well your excellency!
Mwalimu nyerere nakupenda toka moyoni, na hata hivyo naahidi cku moja ntakuja nifanye uliyofanya kwa sehemu yangu japo najua ni kazi ngumu lakini Baba ntafanya hivyo kadiri ya mazingira ya Leo! Niombee Baba wa taifa! Najua sifahamiki lakini ntafahamika kwa wakati bwana akiniinua hivyoo!
Africa's greatest leader of all time. Progressive and honest to a fault. Every time Africa is scorned and belittled on the account of poor leadership, I get encouraged that Mwalimu JK Nyerere existed. Proud of Mwalimu and Tanzania. Regards from Kenya.
Dah,chombo hicho na lingine kilichotutoka 2020 vilikuwa lulu haswa isiyo na chembe za kughushiwa kabisa.Adante Mungu aliwayumia vyema kuiwajibikia nchi yetu Tanzania♥️😭
Namkubali sana kafanya mengi sana kwenye nchi hii mbaka mungu anachukua roho yake nipengo kubwa kwataifa kwaujumla pumzika kwa amani baba wataifa we remember your slogan says “TOGETHER WE CAN”
A philosopher colossus that strode along our paths professing and teaching true pan african ideology.Mwalimu lived ahead of his nation's time.I remember his funeral in 1999 at the age of 12 years.I felt a void in my life as he was lowered in his Butiama masoleum.RIP Mwalimu Nyerere!
Siku alipofariki nikifundisha Tosa Sec,nilitoka machozi na kumwomba Mungu aniwezeshe siku 1 kuliona japo kaburi lake.June 2016 nilishinda siku zima Butiama.Ahsante sn Mungu kwa kuniwezesha.
My dad's independence generation in Kenya was a very hopeful one, gave us names like Nyerere, Kaunda, Nkrumah, Mandela etc. and then proceeded to divide along tribal lines - we are still widening the divide. I miss Nyerere
JK alizungumza maneno haya mwaka 1995 kuhusu kutamalaki kwa rushwa, ukabila na udini, sijui angekuwepo leo hii, angezungumza kwa maneno gani kuhusu rushwa, ukabila, udini uvyama, ukanda na mengine mengi sana
Huyo nyerere anazungumza kinyume ya sheria ya mungu kabisa kwanza huezi kusema udini au mtu mwenye kufwata dini ni upumbavu katika nchi ya tanzania aliye umba ulimwengu alituamrishe kubudu yeye bila ya dini utaua utachukua reshwa sasa huyo alikaa miyaka thelathini NA tano rais mbona nchi haikuendelea NA kwanini anataka wananchi wamchague mgombea kutoka ccm kapila mungu alisema magapila kwa ajili ya kujuana huyo hivi huyo mzaramu huko muhaya kuna ubaya gani hapo haifai kusema nynye wasawahili NA kutharau wananchi wewe au kutharau maimamu watu wa dini ndio watu wa mungu sio wahuni hata wala rushwa au kuzini au kuiba sasa wewe wanashambulia dini NA unasema tuondoe upumbavu NA sisi hatujengi misikitini mambo yako nashangaza wewe husali wewe huna dini mbona makufuli hatukani kama wewe anatembela misikitini anava kanzu NA kofia anauliza hali za watu watu walipenda NA kila akisema anamtaja yesu NA ni mtu wa dini inchi imeendelea wakati wa magufuli basi umri wake mfupi makosa mengi alifanya huo nyerere vita kila mahali amepoteza uchumi wa tanzania ndio maana ikawa nchi maskini wakati makufuli anasema nchi yetu ni tajiri sana tafauti kubwa baina yao kwa hiyo watu wasikiliza mahutuba ya sio NA maana
greatest talk,by the time it was difficult for myopic mind to fully complihend the message.But now the political status of the country objectively verify its inner meaning.
Eu tenho muito saudades do nosso Pai mwalimu Nyerere. Um homen muito simpatico e divertido. Viva Nyerere para sempre na nossa historia da Tanzania apesar voce nao esta connosco.
Nashukuru sana hayati baba wa taifa, mwalimu Nyerere. Yaani huyu alikuwa mmoja wa watu adimu sana duniani. Alikuwa ni Magufuli lkn naye hayupo ameshafariki. Mdogo wake baba wa taifa bac alikuwa ni Magufuli. Huyu naye alikuwa jembeeeee sijawahi kuona. Wote hawapo leo. Cjui nilie!!! Leo hii hakuna watu kama hawa wawili, Nyerere na Magufuli.
Amazing,this was a wise man!Africa is still struggling to fight the four vices he mentioned,Corruption,poverty,religion and tribalism.He foresaw these!we are in 2020 and still we can't overcome these and its still getting worse.
The only president that i ever had passion for his leadership....only african president that loved his people wish he was my president...mapenzi tele kambarage
Thank you Mwalimu, you were a unique leader in Tanzania, and in Africa. Its sad that present Tanzania does not such leader anymore, And maybe Tanzania will never have one in future.
The best you can learn from him is to make sure every citizen of Tazanis gets best education in political science and History of Africa. Tanzanian will have good leaders in future. Tanzania is like mini India. United with different citizens of different cultures and languages. Stay United. And also save the wildlife of your country. Your country is blessed. Protect your country from western culture. Maintain and develop your own culture in art and music. God bless beautiful people of Tanzania. Start a fund raising so you can build a big statue of Mwalimu. UHURU NA UMOJA.
08/09/2020 natazama na kusikiliza hotuba ya Mwalimu JK na bila shaka najifunza kitu kikubwa kuliko nilichojifunza miaka yote nilipokuwa shuleni.... Wisdom floats his head for sure.
there is no hell, and if hell existed, the foolish man speaking in that video would be in hell right now. IT'S GOOD THAT HE LET THE MICROBES FREE OFF HIS BODY AND HIS DECAYING BODY MADE GOOD FERTILIZER FOR THE FUTURE. THE FOOLISH MAN LEFT US NOTHING BUT THE ABOVE. tanzania is full of FOOLISH PEOPLE. PEACE PLUS POVERTY EQUALS DISEASE,VIOLENCE AND FOOLISHNESS. going to dig up the body of the foolish man and put a bullet on his head. i will kill him again.
Nyerere was a president of the 21st century, nyerere didn't like a leader who is of selfish but he liked a strong leader who can fight against corruption in the country. R.I .p mwalimu
there have never been a leader in Tanzania like Nyerere, kizazi cha sasa hivi hamna shukrani, mnaibuka na kumsema vibaya baba wa taifa. yeye ni binadamu kama wengine, aliyoyafanya tunapaswa tumshukuru kwa hayo na sisi twendeleze hapa tulipo.
Huyu ndo kiongozi ninayemtamani kwn alitetea wote kwa usawa kulikuwa hakuna matabaka,alipigania unyonyaji, na hata akikemea kitu hakuwa na hofu kwani alijiamini ni Kiongozi mwema. Aliweza kutunza mali za watanzania bila tamaa. Baba wa Taifa nakukumbuka sana. Lala kwa Amani
Msidanganyike,baada ya kifo hukumu, haijalishi wewe ni nani !! Yesu ndiye anasamehe mtu dhambi Zake na siyo papa au binadamu fulani.. hata hivyo namkubali sana Mwl.. in a very natural way alituma msg mzito sana !
"freedom without discipline is slavery"..... kama watu wanaweza kutoa maoni kuhusu Baba wa taifa lenye amani duniani.... ambaye kila philosophy alizoamini na kuhubiri zinaonekana mpaka sasa katika hali ya nchi na matatizo yanayoikumba nchi, basi huyu mtu atakua na walakini katika reasoning yake.. honestly, Utani's comments are perverse.... it does not reflect mtoto wa kiafrika aliyelelewa na wazazi wake vyema. NYERERE WAS A GREAT LEADER.. May his soul RIP
Tunaotazama hii hotuba 2024 gonga like hapa
Speech yake inadumi milele
namutaka huyu ras sana
kuyapata ndani ya ccm ni ngumu
Mwalimu your voice will never die! Heshima tokea 254🇰🇪
Mwaka huu ndio ninazaliwa Kisha legendary ndio anahutubia🤗🤗🤗🤗🤗
michaelgreysonw
mwenyezi mungu alitupatia Mwl Nyerere akamtwaa,sasa ametupatia mhe,magufuli.Hapa kazi tu.
I like listening to this great late man. A great orator. I like his tonal variations
So sharp president I have ever come through this Guy was not ordinary chap from the street read my lips, Mzee Mungu akuweke mahali pema peponi, Mzee mwenye hekima kama Solomon
What a great speech wish we had someone like you in Uganda (RIP)
...Thank u Nyerere for coming in Tanzania and share with us the gifts that GOD has given U !
Huyu alikuwa kiongozi mwenye hekima a busara tele. Aliweka msingi thabiti kwa taifa la Tanzania kuwa na umoja na utengamano. Mambo ambayo sisi wa Kenya hatuna. Fare thee well your excellency!
Daima hatuta kusahau baba wataifa
Mwalimu nyerere nakupenda toka moyoni, na hata hivyo naahidi cku moja ntakuja nifanye uliyofanya kwa sehemu yangu japo najua ni kazi ngumu lakini Baba ntafanya hivyo kadiri ya mazingira ya Leo! Niombee Baba wa taifa! Najua sifahamiki lakini ntafahamika kwa wakati bwana akiniinua hivyoo!
Amina utafika tu
True
Amina
Amen
😮😮@@mwaminijoseph
HII ITAENDELEA KUWA ONE OF THE BEST
Ungeya una ya leo mzee ungeli Mungu akulaze pema pepon .Amen::
2020. Gonga
Like kama bado unaicheck hii, tujuane, haichuji
Watching in 2021 and Admiring Mwalimu Julius Hapa Kenya
Napenda xan kauli yak mzz ulikataz udn ukabil ulikuwa unaona mbali xan Baba wa taifa nataman Ata leo ungekuwep baba
Sana babayetu tuna kukumbuka sana baba WA taifa
baba wataif ahsante
baba wataif ahsante
Aise kama unakubali mzee wetu gani like yako ili tukuone.
uzinduzi wa kampeni za uchaguzi wa yanga
zawadi Omary
zawadi Omary ninaimani huyu mzee angerikuepo hakika Tanzania ingerikua tofauti kbxa
tuliozaliwa 2000 tujuane kwa kumsoma huyu babu
Hakuna hayupo kama nyerere
Africa's greatest leader of all time. Progressive and honest to a fault. Every time Africa is scorned and belittled on the account of poor leadership, I get encouraged that Mwalimu JK Nyerere existed. Proud of Mwalimu and Tanzania.
Regards from Kenya.
Jamani wanao mkubal mkono juu.wale wezangu waliozaliwa mwakaa 1999 achia like
Hahhahjahdhshsijcbhd
Dah,chombo hicho na lingine kilichotutoka 2020 vilikuwa lulu haswa isiyo na chembe za kughushiwa kabisa.Adante Mungu aliwayumia vyema kuiwajibikia nchi yetu Tanzania♥️😭
Namkubali sana kafanya mengi sana kwenye nchi hii mbaka mungu anachukua roho yake nipengo kubwa kwataifa kwaujumla pumzika kwa amani baba wataifa we remember your slogan says “TOGETHER WE CAN”
Hongera sana Baba yetu. Hivyo maneno yako bado yanaishi, umetatua mengi hivyo naona mchango wako. Mwenyezi Mungu akusamehe madhambi yako.
A philosopher colossus that strode along our paths professing and teaching true pan african ideology.Mwalimu lived ahead of his nation's time.I remember his funeral in 1999 at the age of 12 years.I felt a void in my life as he was lowered in his Butiama masoleum.RIP Mwalimu Nyerere!
L
He was a great man indeed
Legend don't die🇰🇪
Baba mutu akisema ukweri nikichaa mupeleke mirembe akanyogwe
Great man of the people, great father of the nation, baba wa taifa 🙏🏽
Siku alipofariki nikifundisha Tosa Sec,nilitoka machozi na kumwomba Mungu aniwezeshe siku 1 kuliona japo kaburi lake.June 2016 nilishinda siku zima Butiama.Ahsante sn Mungu kwa kuniwezesha.
The late President Magufuli was the reincarnation of Mwalimu Julius Nyerere's legacy and vision. May his soul rest in eternal peace.
Good speech
Bigap
Saluti Sana Baba yetu. R.i.p Babu yetu.. Maneno yako hayawezi potea milele, pia wewe haujafa Roho yako, ila mwili umepumzika kwa mda tuu..👏👏👏👏👏🔥🔥🔥💯💯💯
What a Man! May Africa get more of such calibre
My dad's independence generation in Kenya was a very hopeful one, gave us names like Nyerere, Kaunda, Nkrumah, Mandela etc. and then proceeded to divide along tribal lines - we are still widening the divide. I miss Nyerere
He was very peaceful ruler and love to his people
Always legendary never die much respect kwa baba wa taifu MUNGU aendelee kukulaza mahala pema
JK alizungumza maneno haya mwaka 1995 kuhusu kutamalaki kwa rushwa, ukabila na udini, sijui angekuwepo leo hii, angezungumza kwa maneno gani kuhusu rushwa, ukabila, udini uvyama, ukanda na mengine mengi sana
Next level
Nyerere ni kiongozi hatari Sana kuwah kuwepo, Mungu alimpa hekima isiyo ya kawaida
THIS IS GOOD FOR US FROM KENYA
Kama na wew bad unaipenda historia hii had Leo 2020 gonga like twnd pamoja
Huyo nyerere anazungumza kinyume ya sheria ya mungu kabisa kwanza huezi kusema udini au mtu mwenye kufwata dini ni upumbavu katika nchi ya tanzania aliye umba ulimwengu alituamrishe kubudu yeye bila ya dini utaua utachukua reshwa sasa huyo alikaa miyaka thelathini NA tano rais mbona nchi haikuendelea NA kwanini anataka wananchi wamchague mgombea kutoka ccm kapila mungu alisema magapila kwa ajili ya kujuana huyo hivi huyo mzaramu huko muhaya kuna ubaya gani hapo haifai kusema nynye wasawahili NA kutharau wananchi wewe au kutharau maimamu watu wa dini ndio watu wa mungu sio wahuni hata wala rushwa au kuzini au kuiba sasa wewe wanashambulia dini NA unasema tuondoe upumbavu NA sisi hatujengi misikitini mambo yako nashangaza wewe husali wewe huna dini mbona makufuli hatukani kama wewe anatembela misikitini anava kanzu NA kofia anauliza hali za watu watu walipenda NA kila akisema anamtaja yesu NA ni mtu wa dini inchi imeendelea wakati wa magufuli basi umri wake mfupi makosa mengi alifanya huo nyerere vita kila mahali amepoteza uchumi wa tanzania ndio maana ikawa nchi maskini wakati makufuli anasema nchi yetu ni tajiri sana tafauti kubwa baina yao kwa hiyo watu wasikiliza mahutuba ya sio NA maana
Kwanza ukiwa unamsikiliza tuu saut namaneno yke nifraha tyuuu daah❤❤❤
let me say it again. tanzania, indeed afrika, will never have a leader like him. forever my hero.
greatest talk,by the time it was difficult for myopic mind to fully complihend the message.But now the political status of the country objectively verify its inner meaning.
Critics are unavoidable but nyerere is an intellectual to me, and his thoughts will dwell 4ever.....................R.I.P MWALIMU & KARUME.
Richard Msongolo ok
Amiin.. but don't worry about the critics Almighty knows the intentions .. R. I. P Teacher..
Tutakukumbuka daima,Raha ya milele umpe na Mwanga wa milele umwangazie Ampmzike kwa Amani Amina
Eu tenho muito saudades do nosso Pai mwalimu Nyerere. Um homen muito simpatico e divertido. Viva Nyerere para sempre na nossa historia da Tanzania apesar voce nao esta connosco.
Nashukuru sana hayati baba wa taifa, mwalimu Nyerere. Yaani huyu alikuwa mmoja wa watu adimu sana duniani. Alikuwa ni Magufuli lkn naye hayupo ameshafariki. Mdogo wake baba wa taifa bac alikuwa ni Magufuli. Huyu naye alikuwa jembeeeee sijawahi kuona. Wote hawapo leo. Cjui nilie!!! Leo hii hakuna watu kama hawa wawili, Nyerere na Magufuli.
ungekuwepo 2019 ukampa Jpm jeuli
Pumzika kwa amani baba wa Taifa, ulituacha wakati bado tunakuhitaji❤❤❤❤
Mungu atupee kiongozi kama huyu Kenya na African
pumbavu
Kiongozi thabiti, mwenye maono na upendo kwa Afrika kipenzi, kwa wanyonge na kwa waTanzania.
Roho yake ipate kupumzika kwa amani milele.❤️🇰🇪🇧🇼🇹🇿🇹🇿
Iwapo watanzania na afrika kwa ujumla wangefuata mawaidha ya huyu mzee, hakika tungekuwa mbali
Very powerful, simple and clear even to the smallest person.
different speech makes someone to know what supposed to know and what our philosopher's says (R.I.P FATHER OF OUR NATIONAL)
DILA
unatisha sana we mzee mungu akubariki sana
Amazing,this was a wise man!Africa is still struggling to fight the four vices he mentioned,Corruption,poverty,religion and tribalism.He foresaw these!we are in 2020 and still we can't overcome these and its still getting worse.
The only president that i ever had passion for his leadership....only african president that loved his people wish he was my president...mapenzi tele kambarage
Mwal tunakuhitaji hasa kwakupitia taarifa na speech zako mhimu
I just love this Great Leader❤️❤️🇹🇿👑🌍⭐💯🔥
Asante Nyerere 👏👏👏
#lissa kura yng chukua Babaaa 💪✌✌✌
Thank you Mwalimu, you were a unique leader in Tanzania, and in Africa. Its sad that present Tanzania does not such leader anymore, And maybe Tanzania will never have one in future.
The best you can learn from him is to make sure every citizen of Tazanis gets best education in political science and History of Africa. Tanzanian will have good leaders in future. Tanzania is like mini India. United with different citizens of different cultures and languages. Stay United. And also save the wildlife of your country. Your country is blessed. Protect your country from western culture. Maintain and develop your own culture in art and music. God bless beautiful people of Tanzania. Start a fund raising so you can build a big statue of Mwalimu. UHURU NA UMOJA.
Namupenda sana Mwalimu NYERERE. Viongozi kama yeye barani Africa, siyo wengi.
This speech..... Will forever live in my soul.... Rest easy dad
Mambo
Mkapa alikuwa yuko vizuri, lakini alimpendekeza yule.
Hotuba hii ni hekaya. Mwalimu ni shujaa na bingwa wa Waafrika wote duniani kote.
Peter huyu kiongozi shupavu wa afirica
08/09/2020 natazama na kusikiliza hotuba ya Mwalimu JK na bila shaka najifunza kitu kikubwa kuliko nilichojifunza miaka yote nilipokuwa shuleni.... Wisdom floats his head for sure.
You are immortal though long gone, RIP Julius of Tanzania. Amazing how you could see years ahead of time, you are so missed!
there is no hell, and if hell existed, the foolish man speaking in that video would be in hell right now. IT'S GOOD THAT HE LET THE MICROBES FREE OFF HIS BODY AND HIS DECAYING BODY MADE GOOD FERTILIZER FOR THE FUTURE. THE FOOLISH MAN LEFT US NOTHING BUT THE ABOVE. tanzania is full of FOOLISH PEOPLE. PEACE PLUS POVERTY EQUALS DISEASE,VIOLENCE AND FOOLISHNESS. going to dig up the body of the foolish man and put a bullet on his head. i will kill him again.
There many ,problem is how to spot them!
Actualy he built a very concrete foundation of which mother Tanzania. Stands!
Yanga
Hongera baba WA taifa uliona mbali sana ww ni nabii haswa Mungu akuweke mahali Pema peponi Amina
Ama hakika mwl nyerere alikuwa muerevu,Allah nipe hekima kama za mwl nyerere
Utakumbukwa xna
sawa, lakini ni vigumu. Mwalimu alikuwa kapewa vitu Vingi sana na Mungu zaidi ya upeo wetu wa kawaida
Du ubarikiwe baba yetu mungu akuraZe mahara pema pepon
Mmshenzi tu huyu Hana lolote
@@khamissiali2231 wewe ndio mshenji, umekalia udini nenda uarabuni
Ubarikiwe saana mwalimu heri na tumbo lililokizaaa
This is one of the greatest statesman that ever lived
Kiboko ya hotuba fupi na kali kuliko
Uyo jamaaa kweli alikuwa legend rest in peace
Mungu atupatiye wengine kama huuyu...Africa yote itaendelea sawa!
Teacher...!
mnataka kutambika???? hbu gonga like kama umelipta hilo!!
Kuwa mwenye amani huko uliko....
Nzuri sana hii
Nyerere was a president of the 21st century, nyerere didn't like a leader who is of selfish but he liked a strong leader who can fight against corruption in the country. R.I .p mwalimu
Naomba mungu anipe ata nusu ya hekima ,busara , utii, na ujasil wako Mwl pumzika kwa Amani baba etu Wa taifa
16.01.2019
Amen
Remigius Mwageni d.naombamrzryakoconco
Remigius Mwageni kweri broo huyu mzeee arikua kiongozi mwema
Udini utatusaidia nini sisi big up Baba wa taifa.... RIP you were incredible and serious leader.
Ooh what a man.... RIP great wise man. African united. Ukabila ni sumu
Mungu aiweke rohoyako Mahali pema
Nyerere Tz One iyo kichwa ni hatar kwa mafisad mrithi wake Anko magu, Mungu awatie nguvu popote walipo.
AMEEN AMEEN
Kaikombowa nchi wao wanataka kutia gundu
May your spirit find a space in our current African leaders.
there have never been a leader in Tanzania like Nyerere, kizazi cha sasa hivi hamna shukrani, mnaibuka na kumsema vibaya baba wa taifa. yeye ni binadamu kama wengine, aliyoyafanya tunapaswa tumshukuru kwa hayo na sisi twendeleze hapa tulipo.
Asante mwalim nyerere mungu akulaze mahari pema
Huyu ndo kiongozi ninayemtamani kwn alitetea wote kwa usawa kulikuwa hakuna matabaka,alipigania unyonyaji, na hata akikemea kitu hakuwa na hofu kwani alijiamini ni Kiongozi mwema. Aliweza kutunza mali za watanzania bila tamaa. Baba wa Taifa nakukumbuka sana. Lala kwa Amani
Julias Nyerere are such people like whom the society especially Tanzanians will dwell to recall forever
I wish this man would be a live & witness what happening now.
This man was straight forward...
ungekuwepo hadi leo nahisi nchi yetu ingekuwa mbali sana
ukweli, upendo vilikuwa ndani ya moyo wa malimu hakika alikuwa mzawa na mzalendo!!! Asante baba wa taifa letu.
He was a rare leader found in affrica
Ooohh mungu msamehe mwalim Na umpumuzishe baba wa taifa retu kwa aman Amin
Dah hiki kichwa Mungu ndo anae jua amjalie huko aliko R.I.P baba yetu.
Mabrouk Abeid amina
This is the wisest president ever in East Africa. Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.
We miss you Mzee Mwalimu Rest in Peace Mzee
TheBigyosef
Safi sana hotuma makini sana. Mungu asaidie nchi itembee kwenye misingi makini sana
I will miss you so much.
Your a mirrow in my future's leader dream.
Nikwel baba wataifa maneno yako mungu akulumie uko ulipo
vizuri sana nimeipenda sana hii tunapenda kama hivi hongera sana ndugu
Legends of Africa. Nyerere(TZ)
Jomo kenyatta( Kenya)
Nelson mandela ( South Africa )
Kwame nkrumah ( Ghana )
What did Kenyatta do?
What did Kenyatta do?
Jommo Kenyatta is a joke and a useless man
Kazi iendelee !!!
mungu amlaze pema peponi mwalimu wetu ameiopigania nchi yetu kwazati
Msidanganyike,baada ya kifo hukumu, haijalishi wewe ni nani !! Yesu ndiye anasamehe mtu dhambi Zake na siyo papa au binadamu fulani.. hata hivyo namkubali sana Mwl.. in a very natural way alituma msg mzito sana !
MUNGU NAKUOMBA NIPE AKILI KAMA ZA MWLM NYR
16/10/2019 still nakula madin ya genius boy wa taifa
Hats me bado naiangaria
Sure👌👌
I love this man with all heart,a true leader
Just one of the 5 who dreamt of USA with Kwame nkrumah
Good ,Mzee,with wisdom
"freedom without discipline is slavery"..... kama watu wanaweza kutoa maoni kuhusu Baba wa taifa lenye amani duniani.... ambaye kila philosophy alizoamini na kuhubiri zinaonekana mpaka sasa katika hali ya nchi na matatizo yanayoikumba nchi, basi huyu mtu atakua na walakini katika reasoning yake.. honestly, Utani's comments are perverse.... it does not reflect mtoto wa kiafrika aliyelelewa na wazazi wake vyema.
NYERERE WAS A GREAT LEADER.. May his soul RIP
Nakupenda mwalimu,nakuamini tena,ni wewe uliye kusimamia salama,hongera
Nan Kama mm Yuko anajifunza leo 18/10/2019
Me nanifuNza leo taRe 10/10/2020
Mimi Leo 05/11/2024....❤🎉 Speech hatari sana
Mungu.akuweke.peponi.mahari.mpema.usiwa.baba.unaendeleya.vizuri.Amina