Vituko vingine vya Mbunge BWEGE bungeni leo, “tutaandamana”

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
  • Mbunge wa Kilwa Kusini Selemani Bungara maarufu Mbunge BWEGE amelieleza Bunge kuwa atahamasisha Wabunge wote wa kusini kuandamana endapo Serikali itashindwa kuwalipa pesa zao za korosho wanazodaiwa na wakulima.

ความคิดเห็น • 431

  • @lydiathadeous6644
    @lydiathadeous6644 6 ปีที่แล้ว +29

    Umetishaaaaa sanaaaaaa Mh. Bwegeeeeee🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾 can’t deal yank nairudiaaa kuangalia kila dk jamaniiiiii unaniuaaa Hakiiii yananiiii. Kama hatuna shida Tz tunavyochekaaaa haki yananii

  • @lubatikoseme6613
    @lubatikoseme6613 4 ปีที่แล้ว +14

    Mbunge apendwae na watz wote🇹🇿👍

  • @ambrosdavid3239
    @ambrosdavid3239 5 ปีที่แล้ว +26

    noma sana , yaani mpaka raha. bonge la mbunge

  • @josephlyatuu3520
    @josephlyatuu3520 3 ปีที่แล้ว +2

    Aliyesikia
    Mmechukua, mmeweka, waaaaah..!!!
    Agonge like

  • @huldamichael4445
    @huldamichael4445 6 หลายเดือนก่อน +1

    Daah,nakuombea Mungu akuponye mheshimiwa,nakupenda sana

  • @abdulseif4093
    @abdulseif4093 6 ปีที่แล้ว +37

    Me ktk wabunge ambao nawaelewa huyu ni the best 😂😂😂

    • @olexanderj.6969
      @olexanderj.6969 4 ปีที่แล้ว

      A Parliament where real People's issues are discussed.
      Hongera Watanzania kwa kujadili maswala yanayowahusu wananchi wenu.
      Sisi hapa Kenya ni ng'o!

  • @bennitezcharles5369
    @bennitezcharles5369 6 ปีที่แล้ว +20

    bwegee 2, hongera mzee wng. uzee ni dawa bwege.
    hii srkl y ccm ni mabavu tu na c democracy.

  • @victorguardian3377
    @victorguardian3377 4 ปีที่แล้ว +10

    This guy is a hero... Naona kwa mbaaaaaaaaaaaaali🇰🇪

  • @ramadhanihassani256
    @ramadhanihassani256 5 ปีที่แล้ว +28

    huyumzeeee anaongea alichotumwa jimboniiiii kunahaja ya wabunge kuigaaa kwahuyuuu mzee bundalaa

  • @majumbatv1116
    @majumbatv1116 4 ปีที่แล้ว +8

    Huyu akili zake za kawaida anaakili sana halafu kasoma mambo saikologia

  • @viorasaimon8934
    @viorasaimon8934 4 ปีที่แล้ว +2

    Aaa,bwanaweee,bwegeeeee,jimbo lako wanabahati kukupata,mwenyez mungu akupe nafasi nyingine tena yakuwa mbunge Mala kwa mala uwe unaingia bungeni kila mda,nipate kucheka niongeze siku zakuishi.

  • @thomasnaibala6171
    @thomasnaibala6171 2 ปีที่แล้ว +1

    Waaah mbunge bwege wewe umetisha sana big up sana

  • @abdillahichicha8035
    @abdillahichicha8035 6 ปีที่แล้ว +21

    Big up Spika kwa kwenda na move pia big up kwako Bwege kwa kuonyesha njia nimekubali

  • @RajabMaulid-u3h
    @RajabMaulid-u3h 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hongera sana huwa naku sikiliza kila wakati

  • @SaidSaid-vs6ye
    @SaidSaid-vs6ye 4 ปีที่แล้ว +1

    Namkubali sana bungara km unamkubar km mm gongs like

  • @ShortyShorty-mr3jb
    @ShortyShorty-mr3jb 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nimemiss sana mzee bungara

  • @hawaaally1639
    @hawaaally1639 6 ปีที่แล้ว +26

    tunashukur wa kwetu hakika atujakosea kukuchagua

  • @abasiachimika541
    @abasiachimika541 5 ปีที่แล้ว +41

    Nahuyu ndio mbunge alioingia bila rushwa natman angekua mbunge wngu mtafnya kosa sana bila kumrudisha ten bwege

    • @hilalhazil8727
      @hilalhazil8727 4 ปีที่แล้ว +3

      Hilo jembe labda life, cc tutamrudisha kila mwaka

    • @ibrahimchediel4867
      @ibrahimchediel4867 4 ปีที่แล้ว +2

      Huyo namkubali asilimia mia anaushawishi HIYO NDIYO SIFA YA KIONGOZI SIO HASIRA

  • @peterndossy3008
    @peterndossy3008 5 ปีที่แล้ว +25

    Bwege yupo kiutan ila anafikisha ujumbe vilivyo

  • @husseinyusuph6838
    @husseinyusuph6838 6 ปีที่แล้ว +20

    Yani huyuuu bwege namuelewa sana hanaga woga

  • @bakarikisimbo3919
    @bakarikisimbo3919 6 ปีที่แล้ว +16

    Serikali ya ccm ni kama patasi haifanyi kazi mpaka igongwe

  • @omarmahundu8545
    @omarmahundu8545 6 ปีที่แล้ว +4

    mbunge bungala uko vizuri sana pambana mpaka damu ya mwisho wewe mbunge uko sawa tetea wananchi wako woga mwiko! Sasa kilwa tumepata mbunge mtetea Wana kusini Kwa maslahi mapana ya wakulima.......jamani wabunge wa kusini unganeni mutetee wakulima ilitupate maendeleo tumeonewa saaana hongela mbunge bungala........👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏 👍👍👍👍👍👍👍

  • @LeopardsHereThere
    @LeopardsHereThere 2 ปีที่แล้ว +1

    would listen tp him all day

  • @paulokilenga1116
    @paulokilenga1116 6 ปีที่แล้ว +2

    He is soo bright

  • @zulfasaeed7445
    @zulfasaeed7445 4 ปีที่แล้ว +2

    Daaah kichwa sana wallah hy mh bwege😍😍😂😂😂

  • @mosamossile9113
    @mosamossile9113 4 ปีที่แล้ว +2

    Uyu dingi Ana Akir Nyingi sanaaa

  • @JohnJohn-ec5wz
    @JohnJohn-ec5wz 6 ปีที่แล้ว +37

    Sijawahi kuchukukia MANENO ya m,bunge wa kusini MUDA MWENGINE NATAMANI kama huyu ndo angekuwa M,BUNGE WA JIMBOLANGU.

  • @mohameddyandumbo2826
    @mohameddyandumbo2826 6 ปีที่แล้ว +10

    Bwege hongera sana

  • @mrishompulu7302
    @mrishompulu7302 6 ปีที่แล้ว +31

    "Kwa sababu serkali ya ccm inaonekana kama patasi aifanyi kazi mpakkka igongwe"

  • @kenethndambile3960
    @kenethndambile3960 4 ปีที่แล้ว +4

    Kaka selemani naku kubali sana sana kwa ucheshi wako

  • @extramen5534
    @extramen5534 6 ปีที่แล้ว +8

    Da!! Bungeni kuna burudani, 2020 lazima niingie

    • @dodoshavu488
      @dodoshavu488 5 ปีที่แล้ว

      😃😃😃😃😃

    • @paulamani3936
      @paulamani3936 4 ปีที่แล้ว

      Kila kheri 2020 ndio hii

    • @mohammedmhina3973
      @mohammedmhina3973 4 ปีที่แล้ว

      @@paulamani3936 vp alifankiwa😂

    • @paulamani3936
      @paulamani3936 4 ปีที่แล้ว

      @@mohammedmhina3973 Hahaaa...we mchokozi eee

  • @ahmadsayyeed7910
    @ahmadsayyeed7910 4 ปีที่แล้ว +2

    Hahahahhaaaaaa yaani huyu mbunge bwege lakini bwege mtetezi wa wanyonge napenda sana kazi zake

  • @allymbonde4525
    @allymbonde4525 3 ปีที่แล้ว

    Bunge limepoa 2021 tutamis sana ivivi2

  • @komboomar8275
    @komboomar8275 6 ปีที่แล้ว +23

    Cku zote unapo ongea ww mimi huwaga nakuvulia kofia kando na ujumbe wako unaouwasilisha kwa kuchekesha lakini hutoki kwenye points zako za kuwatetea wanyonge wako waliokuchaguwa.. natamani ungekuwa mbunge wangu wa micheweni pemba.

    • @upendomasai331
      @upendomasai331 4 ปีที่แล้ว

      Watu Kama Hawa ndoo walikuwa wananifanya nafuatilia bunge saiv ctakuwa na huo muda

  • @fantsonmpango7742
    @fantsonmpango7742 5 ปีที่แล้ว +5

    Japo niko mwanza lakini Bwege nakupendaaaaaaga

  • @hamisinanyata1237
    @hamisinanyata1237 6 ปีที่แล้ว +1

    Bwege haujamboooooo.. Umetisha saaaana

  • @ramadhanyusuph7633
    @ramadhanyusuph7633 4 ปีที่แล้ว +3

    Huyu mbunge anaongea mambo ya maana sana ila tu wana ............wanachukulia masiala na muheshimiwa ..............anampoteza kwa kumvulugia kuna .....pokea

  • @danfordaugustino3461
    @danfordaugustino3461 6 ปีที่แล้ว +4

    Kusini pamoja na kumpata Rais mkapa aliwatelekeza. Mpaka leo ndio mikoa maskini zaidi Tanzania. Komaeni otherwise Hali itakuwa ngumu.gesi wameitelekeza saizi ni strigliers gorge

  • @samwelnyamhanga2265
    @samwelnyamhanga2265 4 ปีที่แล้ว +4

    Sikama wabunge wengine vilaza wana lala tuu bwege upo vzr

  • @shukurukihwelo3084
    @shukurukihwelo3084 6 ปีที่แล้ว +2

    Nakupenda Sana bwege upo vizuri

  • @leahmgunda4154
    @leahmgunda4154 4 ปีที่แล้ว +3

    Jina la Bwege la nini?anajenga hoja vizuri.

  • @jumasaganka8479
    @jumasaganka8479 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah hawa ndio wabunge wanaoitajika

  • @samochristopherroche9953
    @samochristopherroche9953 4 ปีที่แล้ว +3

    Hakika mwaka huu tutamis Sana vituko vya seleman bungara(bwege)

  • @mkayeka
    @mkayeka 2 ปีที่แล้ว

    Hiyo MP ako Sawa Sana.

  • @mwambirekwamboka9525
    @mwambirekwamboka9525 6 ปีที่แล้ว +4

    pewa beer mbili bill kwangu 😂😂😂 big up hon Bwege

  • @salehalzakwani3283
    @salehalzakwani3283 4 ปีที่แล้ว +2

    Gombea uraisi unayaweza mzee

  • @amadmenserpolelisumunguata1818
    @amadmenserpolelisumunguata1818 6 ปีที่แล้ว +1

    Mmmh kweli wamechukuwa wameweka waa bwege bhana

  • @fazeelshomary8743
    @fazeelshomary8743 6 ปีที่แล้ว +7

    Hahahah bwege bhana 😂😂😂😂 eti ajipigae mwenyewe halii 😂😂😂

  • @dusabearafatrwigema9248
    @dusabearafatrwigema9248 ปีที่แล้ว +1

    Huyu Mp watanzania mumulegeshe kazi mana Ni panafricanitse wakikweli. Yasema ukweli kabisa Africa mashariki Ni number wani kutoka tzd ug kenya burundi mpaka Rwanda akuna kama yeye. Uliskia wapi mzee muzima kama yeye

  • @haidanthomas6544
    @haidanthomas6544 5 ปีที่แล้ว +3

    Mh:Bwege uko vizuri

  • @abu-hanifamwenda6852
    @abu-hanifamwenda6852 4 ปีที่แล้ว

    Kwa hakika sikuwa ni mfuatiliaji wa mambo ya kisiasa! ila kwa huyu kiongozi; I love him so much!!! very intelligent!

  • @nantala299
    @nantala299 6 ปีที่แล้ว +11

    Kwer kunafaida ya vyama vingi bungeni.nafuu kuwambiya hvo hvo

  • @aaroneu07
    @aaroneu07 6 ปีที่แล้ว

    Nice. Ni hiyo pesa ikitolewa itakuwa na manufaa makubwa kwa wenzetu wa kusini. Mzalendo atasema wapewe. Mnafiki tuuu ndio atakuwa tofauti. Wapewe pesa ya kilimo. Wapewe pesa yao. Waratibu maendeleo yao.

  • @oyay2821
    @oyay2821 5 ปีที่แล้ว +8

    Tena mpaka patasi ambayo ni.... igongwe nyuma ndio ifanye kazi

  • @allymalenga9598
    @allymalenga9598 4 ปีที่แล้ว +2

    Daah...😂😂
    Sauti yake kama ya Joti, Duh

  • @bonnyngowo7567
    @bonnyngowo7567 6 ปีที่แล้ว +44

    Kilwa mrudisheni Bwege tena 2020

  • @hamedalsaadi7350
    @hamedalsaadi7350 6 ปีที่แล้ว +5

    Saw baba upo vizur San

  • @sechomemmbaga1172
    @sechomemmbaga1172 5 ปีที่แล้ว +4

    Huyu mzeee huwaaa namkubali sn

  • @gidionrichard4251
    @gidionrichard4251 3 ปีที่แล้ว

    Nawpata vizuri mubashala

  • @fralex_1276
    @fralex_1276 2 ปีที่แล้ว

    Nice! Tunaanz upyaaaaaa

  • @freddymtashi5020
    @freddymtashi5020 4 ปีที่แล้ว +4

    Unafaa kuwa Rais wa nchi.

  • @quarantine325
    @quarantine325 4 ปีที่แล้ว +1

    This man is very smart

  • @kennyrogers4734
    @kennyrogers4734 3 ปีที่แล้ว +2

    Wana Lindi chonde chonde chaguzj zijazo kama patatendeka haki huyu mpigieni kula za ndio akawatetee kwa nguvu na machungu yote

  • @jumamiraji3081
    @jumamiraji3081 6 ปีที่แล้ว +5

    Wewe bwegee upo vizuri

  • @VillaTemu-k4p
    @VillaTemu-k4p 21 วันที่ผ่านมา

    Tungepata wabunge kama huyu ata 7 Tanzania tungefika mbaliiiiik

  • @husseinitaba8550
    @husseinitaba8550 5 ปีที่แล้ว +2

    Namkubali Sana Bwege

  • @christerrodgers6519
    @christerrodgers6519 4 ปีที่แล้ว +1

    Hahahahahaha nimechekaaaaaaa nakupenda Sana

  • @barakakinogo4427
    @barakakinogo4427 6 ปีที่แล้ว +12

    hakika bwege umesimama vema hiyo patasi igongeni

  • @arabimandindi5930
    @arabimandindi5930 6 ปีที่แล้ว +1

    Dahh uyu mzee balaaaa sanaaaaa

  • @saidmungulu7053
    @saidmungulu7053 4 ปีที่แล้ว +7

    BWEGE tunakupenda sana watanzania. Uko njema sana

    • @dusabearafatrwigema9248
      @dusabearafatrwigema9248 ปีที่แล้ว

      Sio tzd peke, mpaka Rwanda kenya Africa mashariki wote twamutambua

  • @shizoshop2469
    @shizoshop2469 2 ปีที่แล้ว

    Aliyetuhalibia bunge mungu azidi kumlani mpaka kiama na huko aliko malaika ya adhabu aendelee kumpa marungu tu

  • @FabianBwakila
    @FabianBwakila 6 ปีที่แล้ว +1

    Yani viongozu wetu wamekuwa vituko wanatuchekesha sanaaaaa tunaanza upyaaaaa

  • @eliachacky7562
    @eliachacky7562 3 ปีที่แล้ว

    Angekuwa muigizaji ingekuwa noma sn

  • @colombo_2
    @colombo_2 4 ปีที่แล้ว +2

    Pole Sana bwege watakukumbuka Sana

  • @beenarry7233
    @beenarry7233 6 ปีที่แล้ว +1

    Nkuelewaga sana mzee baba

  • @kipwintoadam2556
    @kipwintoadam2556 4 ปีที่แล้ว

    Bwege nakukubali kaka

  • @vincentomambia6949
    @vincentomambia6949 4 ปีที่แล้ว +1

    Toka kenya Bwege ungekua Kenya kura yangu nakupa mimi hapa

    • @saalimmohammed3256
      @saalimmohammed3256 4 ปีที่แล้ว

      Hata mimi niko huku Canada ila namkaribisha kugombea Calgary.

  • @mikelazaro4479
    @mikelazaro4479 6 ปีที่แล้ว +13

    Kweli huyu baba huwa nampenda sana pamoja na kusema kwakwe kwa kuchekesha ila anaongea kwa hisia kali..😂😂😂😂😂

  • @esperancenathali
    @esperancenathali 4 ปีที่แล้ว +1

    Naona mh salome kakaaaa hana maneno mengi leo nimsikivu tuuu

  • @oyay2821
    @oyay2821 5 ปีที่แล้ว +11

    Man dharaba nafsi la yabuke.... Ajipigae mwenywe halii

  • @renatusmatungwa6800
    @renatusmatungwa6800 4 ปีที่แล้ว +1

    Valangati lilelile linaanza tena kusini

  • @elishamollel2131
    @elishamollel2131 6 ปีที่แล้ว +1

    hongera sana mh

  • @suzanampanda6242
    @suzanampanda6242 5 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂sio stakabadhi ghalani ni malipo halali 👐👐👐 bwege bwana.

  • @rodgersabraham1065
    @rodgersabraham1065 5 ปีที่แล้ว +5

    Serikali haifanyi kazi mpaka igongwe hahahahahahahaha

  • @officialsonofficialson253
    @officialsonofficialson253 6 ปีที่แล้ว

    hngera xna muheshimiwa bwege uko vizuri xana

  • @kimweritz6364
    @kimweritz6364 2 ปีที่แล้ว +1

    Ndugu zangu wa kusini tumrudishe Bwege tena

  • @jossekellapopp9404
    @jossekellapopp9404 5 ปีที่แล้ว +1

    nakubali

  • @bashiribashiri5109
    @bashiribashiri5109 4 ปีที่แล้ว +1

    HahahahahaAhaaaaa baba mung aendele kukupa afya njemaa

  • @ggjghh6245
    @ggjghh6245 6 ปีที่แล้ว +33

    Hahahaha we bwegee wasalimie kivinjeeeeee

  • @simonhumphrey4796
    @simonhumphrey4796 6 ปีที่แล้ว

    Hah hah haha Mzee Babu umetisha sanaaaaa

  • @kabangoamini8431
    @kabangoamini8431 4 ปีที่แล้ว +1

    Basi muheshiwa utazimariza mbavu za wabunge

  • @RamazaniMulongeca
    @RamazaniMulongeca 6 ปีที่แล้ว +22

    #BWEGE kanywa #MOFAYA nyingi Leo...

    • @saidishayo1974
      @saidishayo1974 6 ปีที่แล้ว +2

      Msg sent na vichekesho safi xna

    • @abdallahngwame5679
      @abdallahngwame5679 6 ปีที่แล้ว +3

      mze mungu akuweke by ngwame

    • @davidnicas8431
      @davidnicas8431 6 ปีที่แล้ว +2

      Ramazani Mulongeca 😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @AUGUSTMUCHKNOW
      @AUGUSTMUCHKNOW 5 ปีที่แล้ว

      Ramsey hahaha umetishaa mbaya

  • @elizabethmwandu6937
    @elizabethmwandu6937 5 ปีที่แล้ว +6

    Hakika wewe mbunge bwege nimekuelewa sana yaani upo kimatani lkn ujumbe unawafikia.

  • @stadytvonline9572
    @stadytvonline9572 6 ปีที่แล้ว +20

    tunaanza upyaaaaaaaa
    😂😂😂😂😂

  • @gaudiozbernald9905
    @gaudiozbernald9905 6 ปีที่แล้ว +6

    Duuh!!! Kweli huyu bwege kwl.

  • @kelbeckmusicworld1736
    @kelbeckmusicworld1736 6 ปีที่แล้ว +1

    Mbunge uyoo ni rahaa adi baradizo naiona

  • @lydiathadeous6644
    @lydiathadeous6644 6 ปีที่แล้ว +11

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 cant deal na hili bungeee jotii ajee kuchukua koziii kwako aiseeee

  • @emmanuelshitobelo5431
    @emmanuelshitobelo5431 6 ปีที่แล้ว +1

    ardhi ,watu,siasa safi na uongozi bora

  • @mdzainb3722
    @mdzainb3722 4 ปีที่แล้ว +2

    Yani huwa napenda kuangalia bunge sababu ya huyu bwegeeee🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @hamzahamisi4526
      @hamzahamisi4526 3 ปีที่แล้ว

      Bwege Dah Mimi nadhani hata haowabunge wa ccm walio jazana huko Bungeni Mwaka huu sijui watajifunza kwa nani Bila ya upinzani Hakuna kitu maisha yanahitaji changamoto
      Bwege Kaka pole sana kwa kilichotokea lakini Mungu yupo

  • @scolasticamwete754
    @scolasticamwete754 6 ปีที่แล้ว +20

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 mh bwegee kaah nimecheka.. upyaaaaaaaaa hiyo haina kulala

    • @petromakilika1131
      @petromakilika1131 5 ปีที่แล้ว

      huyu mbunge yupo good sanaaaaaa hakika hawa ndo watu wenye uchungu na majimbo yao