Mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe alisimama Bungeni kuchangia mapitio na mwelekeo wa kazi za Serikali na bajeti ya ofisi ya Waziri mkuu kwa mwaka 2017/2017
mungu akupe maisha marefu baba ili uikomboe nch yetu. na wabunge wote wasema kwel. mnaahindwa kusema kwel mnamuogopa mtu? ndo alie wachaguwa muwe wabunge?
Charlz Lyimo wala hampondi Ila lazma apewe ukweli wake...kampeni ni njia tu yakutupa kiongozi bora Ila haimaanishi maisha bora... Kukosoana kunajenga, kumbusha na kumrudisha mtu kwenye mstari sahihi
uwwiiiiiiiiiiiii Zitto umenifumbua kichwa Mungu ndiwe usalama wa Maisha ya Mtanzania na siyo mwanadamu
Amen
Zitto ni Akili kubwa Bungeni.
God bless you My Icon leader !!
Bado tupo 2021 tunafatilia content za mwami
Asanteh ZITTO nafikiri wamekuelewa.
zitto your so intelligent... GOD be with you
Thanks brother zitto God give u long life.
Nashukuru binafsi Mh. Zitto kwa namna presentation zako zinavyolenga wananchi wa kawaida.
Appreciation to you our powerful person
Nahitaji wachangia mada kama wewe na tuhitaji Waziri mkuu kama Majaliwa ndipo tutaweza piga hatua za kimaendeleo Mungu awabariki sana
Asante sana Ayo Tv
zitto ur a gentleman
kweli zito tuko vibaya mitaani wao wanapelekewa habar za uongo
mungu akupe maisha marefu baba ili uikomboe nch yetu. na wabunge wote wasema kwel. mnaahindwa kusema kwel mnamuogopa mtu? ndo alie wachaguwa muwe wabunge?
kumbe majaliwa na ripoti yake alitudanganya eeeh😂😂😂😂
zito nakubari sana ww safi sana
Exactly mheshimiwa Zitto
wambie hao walopoka tu wao hawajui watu waumia vipi vitu vimepanda being sana
ivi wtz hatuwaoni viongozi kama akina zito?
TUMELOGWA
huyo ndiye wa kupewa hii inchi
+Rose Hillary umelogwa wewe
Kichaa kweli wewe
Mh! nakaaa kimya ... Asante Mh Zitto Kabwe
Zitto endelea kutetea /kuwasemea wanyonge maana hatuna jinsi nyie ndo wawakilishi wetu tunaumia lkn!!!!!!
Best mp of all time
"THEY DON'T CARE ABOUT US"
kwenye ukweli inawabidi muhongee bila kujali itikadi ya chama , big up viongozi chupavu kwa kuendelea kupambana
You always speak the truth #ZITTO
ni noma sana.
good zito
tukipata wabunge kumi kama ww aki ya nan tutanenepaaaaa maan itakuwa fulu aman,make sa hz tuaish bila raha na nchi ni yetu
You are a good leader!!!!
remija kaduma mmmh
sure ma leader
Zito ur our hero
mkuu wa usalama wa Taifa ni nani!
you are very intelligent zitto
@millard sijamsikia Bashe wapi unakata clip
Safiiiiiiii
umetisha mkuu
kapea sana kisiasa
Mbona mmekata mwongozo wa Bashe na simbachawene?😳😳😡
🙌🙌
kweli kbx zito sema
katka viongoz ambao wanafaa kuingoza kigoma na Tanzania kwa ujumula ni zitto 2
Hakuna shortcut kwenye maendeleo
Huko vizuri
zitto the best
Millard Ayo umekosea kuandika hapo kwenye maelezo yako ni mwaka 2017/2018 na sio 2017/2017
wewe ndo rais wetu unayekuja
mak
ufu
Hii video imekuwa filtered si halisi,Ayo hapa umezingua
Kichwa Huyo Kijana
well speech Zitto
uko vizur
hapo umejichanganya..... maana beni saanane.. niulize mimi.. amepotwezwa na chadema... ili kuichafua Serikalii ushaidi ninao
...acha kudanganya watu
zitto unafaa kiwa presidaa, tunahitaji viongozi shupavu na sio wababe.
aisee
nimekuelewa zito kabwe,ila nasikitika imekua kama Rais hana washauri!
Amran Nunda jimgbn. Lmmmkklgggv4nklooolppphjjkootqq4upyfutuio
Wien as
Fact!
ngoja nkae kimya
tuhurumien tulio waweka hapo nasivingnevyo
Hali mbaya jamani kweli huku sio kuzuri
Ajira ajira umenigusa tunateseka huku mtaan
Jamani jamani nchi hii njaaa nilazima iwepo unga sembe 25kg tsh 50000
tupo gizani
Wacha wamenyane tumechoka kuonewa
Yondo sister
zitto yuko vizur hongera hm
tumelogwa kabisa
wale huwa huwa hawjibu watu.. ni kazi tuu
unamtusi Mani mtz rose Hillary?
jembe kweli kweli
hivi yuko nyuma hivi
uyuu jamaa ni shidah
mbona hii wamekata baadhi ya hoja
wamekata wenyewe wenye chaneli ya bunge, si ndo maana hawakutaka bunge liende live ili kama kuna vitu hawataki vionekane, watoe, ndo kama hivyo.
huyu ni bwege tuu.. hamna kitu.... hapo.. mnafiki.. wa kigoma
hakuna mbunge kama wewe
Zito bendera Fata upepo hata ueleweki kwa muonekano wako upo hapo bungeni kwa maslahi yako blabla nyingi zisizo na tija
Mijitu yenye upeo kama wako inatakiwa iwe inafokonyolewa
Mtu anachangia vitu vya msingi unalopoka lopoka tu acha uchama pumbavu wew angalia kiongoz anaongea mambo yana masilahi katika maisha yawananchi
zitto na wew ni kigeugeu wakati wa kampeni si ulikuwa ulinamsifia mgombea wa sisiemu, sasa hv vp mbona unamponda!!!!!!?????
Charlz Lyimo wala hampondi Ila lazma apewe ukweli wake...kampeni ni njia tu yakutupa kiongozi bora Ila haimaanishi maisha bora... Kukosoana kunajenga, kumbusha na kumrudisha mtu kwenye mstari sahihi
Jonathan Dickson fact