Ninachojifunza hapa ni kwamba aisee wafrica wenye hela tunaowasifia milo yao ndio wapo hatarini zaidi, tunaokula mchicha, dagaa, tembele kwa dona na kuviamkia viporo kumbe tupo salama, alhamdulillah ❤
Itapendeza akitumia mifano zaidi ya vyakula tunavyokula waswahili wa kawaida huku mtaani na kwa majina tunayotumia huku mtaani. Vitu kama chips kuku, ndizi maharage, kande, chai kwa magimbi au mihogo nk. Hii itatusaidia zaidi. Sisi wengine kuku, nyama na samaki kwetu ni kitoweo tu kilichopatikana siku hiyo mara nyingi sisi ni mchicha, kisamvu, majani ya maboga, mlenda, matembele ndio mboga zetu.
Nimegundua darasa zuri sana tena la bure. Asante sana professor nimependa sana mafundisho yako. 🙏 God bless you and keep you safe. Mwisho naomba niulize swali, je nikila wanga asubuhi na jioni na kufanya mazoezi ya kukimbia mara tatu kwa wiki je bado niko hatarini kupata kisukari?
Prof. Kuna kitu hatari kuliko blood sugar nacho ni INSULIN resistance. Hapa kwetu kuna baadhi ya madaktari hawajawahi kusikia vipimo vya insulin test au HOMA IR.
Insulin test nimepima TMJ Mikocheni. Hospital nyingine hata kusikia kipimo hicho hawajakisikia. Kujiandaa:Asubuhi hauli kitu. Vipimo ni viwili 1 Fasting Insulin (shs 70000) 2 Fasting Glucose ( 5000).Ili kupata HOMA IR kuna ukokotozi. Zipo online
Ninachojifunza hapa ni kwamba aisee wafrica wenye hela tunaowasifia milo yao ndio wapo hatarini zaidi, tunaokula mchicha, dagaa, tembele kwa dona na kuviamkia viporo kumbe tupo salama, alhamdulillah ❤
Asante sana kwa maarifa haya muhimu Doctor Janabi. Mungu Akutunze.
Watu wengine wanabeza ,Dr.kiukweli unafanya kazi ya kiimani Mungu akupe umri mrefu tuendelee kunufaika na elimu yako.
Ahsante Muhumbili TV, Ahsante prof kwa Elimu hubwa hii uliyopatia bure
Tunashukuru sana
Elim bure nawakat tunalipia bando
Asante sana doctor,
Umefafanua vizuri,
Mwenyezi Mungu akubariki,
Tunanufaika na elimu Yako big up.
Allah akubariki sanaa Dr jalabi
Dr. Tunakuelewa ila hali ya maisha ndio inatupeleka huko
Wakae sehemu ambao haina makelele mbona mie namsikia vizuri sana Mungu ambariki sana huyu Dokta jamani
Prof Janabi Mungu akupe umri refused sana. Wewe ni Lulu kwa watanzania
Mungu akupe maisha marefu dkt
Itapendeza akitumia mifano zaidi ya vyakula tunavyokula waswahili wa kawaida huku mtaani na kwa majina tunayotumia huku mtaani. Vitu kama chips kuku, ndizi maharage, kande, chai kwa magimbi au mihogo nk. Hii itatusaidia zaidi. Sisi wengine kuku, nyama na samaki kwetu ni kitoweo tu kilichopatikana siku hiyo mara nyingi sisi ni mchicha, kisamvu, majani ya maboga, mlenda, matembele ndio mboga zetu.
Usituongelee watanzania wote....huyo ni wewe na umasikini wako
Mashaallah, shukrani sana Doctor
Asante doctor mimi nimejitahidi nimepungua lakini nasumbuliwa gas,pengine cjafahamu vzur jinsi ya kupangilia
Tunashukuru sana kwa Elimu ya afya unayotupa... Ila sauti ni ndogo haisikiki vizuri.
Shukurani dokta mwenye zimungu akubariki kwa mfuzo yako
Asante. Mungu aendelee kukutumia kwa vipindi hivyo.
Nimegundua darasa zuri sana tena la bure. Asante sana professor nimependa sana mafundisho yako. 🙏 God bless you and keep you safe.
Mwisho naomba niulize swali, je nikila wanga asubuhi na jioni na kufanya mazoezi ya kukimbia mara tatu kwa wiki je bado niko hatarini kupata kisukari?
Dr Janabi Mungu akutunze wewe ni tunu kw wa Tanzania nimekuelewa sanaaa
Kumbe vipolo fresh sana eeh havina shida kama tulivyokua tunadhan
Shukrani sana Dr
Namuomba ajitahid kutumia kiswahili pale inapowezekana mfno hvyo vyakula wengi utawaacha hawataelewa better atumie kiswahili, asante
Better nayo ni kiswahili?😅😅
Wanao lalamika sauti ipo chini nipende tuu kusema madaktar huwa hawapayuki
😂😂😂
😂😂
😅😅😅
Wale wanopayuk ni vichaa
Kabsaa hawapayuki
Inasikika vizuri sana
Nimesikia Dr unazungumzia viazi naomba kujua ni viazo Ulaya au viazi vitamu tafathali tujuze Asante
Viazi vitamu
Tena ni viaz lishe@@joycekambuga6286
Mmh hyu dtl Huwa namuelewa lakin swal langu ni je kwamaisha hayahaya ya wasakatonge au ni kwa wenzeyu wakina yaheeeee
Dadeki kumbe kiporo kina lika kitaalam
Kuweza kujizuia kula vyakula vya sukari na wanga usiku itakusaidia sana kupunguza ongezeko la sukari kwenye damu.
Na uzito je?
Dr nimekuwa mfuasi wako na naamini nitapungua na kumaintain baada ya hapo
Doctor je hyo vineger kwa wenye vidonda vya tumbo?
Asante
PIGA KELELE KWA WAPENDA VIPOROOOO😂😂😂
Dr jenabi umetusaidia sana masomo yako ni mazuri sana kwa jamii
😂😂ma dr hawapayuki kweli
Dokta vip kwa anaekula matunda usiku kisha akanywa maji nakulala je, anahatari kupata kisukari maanna matunda yanasukari pia
Inapendeza saaana kupata elimu kama hii
Viazi vitamu vipi havina sukari?
Isingekuwa sauti kuwa chini leo tena nisingekula ila now sijakusikia acha nijivinjali.
Prof. Kuna kitu hatari kuliko blood sugar nacho ni INSULIN resistance. Hapa kwetu kuna baadhi ya madaktari hawajawahi kusikia vipimo vya insulin test au HOMA IR.
Hiii unatest wapi.
Insulin test nimepima TMJ Mikocheni. Hospital nyingine hata kusikia kipimo hicho hawajakisikia.
Kujiandaa:Asubuhi hauli kitu. Vipimo ni viwili 1 Fasting Insulin (shs 70000) 2 Fasting Glucose ( 5000).Ili kupata HOMA IR kuna ukokotozi. Zipo online
Mimi.huwa.napenda.sana.kula.malemau.na.maganda.yake.je.kunamadara
Yaani hapa Dr tuambie tule chakula gani sisi watu wa Hali ya chini maana tumezoea mchana ugali jioni mahalagwe?na vitu vingine Bei yake hipo juu
Sauti Iko chini sana
Unaweza ukawa na shida ya kusikia
Madaktari hawapayuki😂😂😂
Sauti iko chini sana
Madaktari hawapayuki 😂😂😂
🎉🎉🎉
Sauti ndogo ?
Viyazi vitamu haviongezi unene
mdundo mkubwa sauti ndogo
Zote n carbohydrates
Ongeza sauti ya simu yako inasikika vizuri
Asante