MNH - AFYA PODCAST: Fahamu kuhusu Kiharusi (Stroke) na Prof. Mohamed Janabi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ส.ค. 2024
  • MNH - AFYA PODCAST: Fahamu kuhusu Kiharusi (Stroke) na Prof. Mohamed Janabi akielezea zaidi Kuhusu Chanzo, sababu na namna unaweza kuepukana na Kiharusi, ungana na Prof. Janabi episode ijayo ya AFYA PODCAST kufahamu juu ya tiba ya kiharusi.

ความคิดเห็น • 52

  • @GodlivenMaximillian-ot7mg
    @GodlivenMaximillian-ot7mg 7 หลายเดือนก่อน +22

    Profesa Janab yuko vizuri sana. Moja kati ya madaktari waalimu Kwa kuwa amejikita sana katika kufundisha. Wale wanaoelewa watakubaliana nami kwamba this guy is a good teacher.

    • @BARUTI_JR
      @BARUTI_JR 7 หลายเดือนก่อน +2

      Ni bingwaa haswaa

  • @allykinyaga6060
    @allykinyaga6060 7 หลายเดือนก่อน +8

    Ahsante sana Prof. Ninakuelewa sana na ninafuata ushauri wako prof. Miezi mitatu iliyopita nilikua na 87Kg, jana nimepima nina 81Kg na bado sijaanza mazoezi hapo nimecontral kula tu, Nimepunguza kula Sukari na wanga, pia kutafuniza nimeacha kabisa milo yangu ni miwili pekee nakula saa tatu asubuhi na saa moja usiku. Mwenyezimungu akubariki professor, pia aibariki Hospitali yetu ya Mhimbili...Aaamin

  • @muhimbilitv847
    @muhimbilitv847  8 หลายเดือนก่อน +7

    Ungana na Prof. Mohamed Janabi episode ijayo ya AFYA PODCAST kufahamu juu ya tiba ya kiharusi.

  • @amrimtiti9054
    @amrimtiti9054 8 หลายเดือนก่อน +6

    Tunanufaika sana na mwendelezo wa masomo unayofundisha Dkt.Allah akujaalie umri mrefu

  • @adellahchipanyanga5107
    @adellahchipanyanga5107 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akubariki wewe pamoja na uongozi wote wa hospital yetu muhimbili kwa kutuelimisha kuhusu afya kwa ujumla mnafanya kazi nzuri mungu atawalipa

  • @adobertmugyabuso247
    @adobertmugyabuso247 8 หลายเดือนก่อน +3

    tunashukuru sana kwa muda unaotoa kutuelewesha mambo haya ya msingi sana...asnte sana Dr. Janabi

  • @DamasNyoka
    @DamasNyoka หลายเดือนก่อน

    Mungu akupe nguvu zakutosha katika utendaji mzuri wa kazi yako

  • @ramadhanichuma8877
    @ramadhanichuma8877 8 หลายเดือนก่อน +4

    Daktari Tunashukuru kwa somo zuri na tunajifunza ahsante usituchoke!! 🙏

  • @hedayakatembo7421
    @hedayakatembo7421 6 หลายเดือนก่อน

    Mwenyezi Mungu Akujaalie Dr . Tunanufaika na elimu yako. Diet na mazoezi ndio Afya ya Mwanadaam. Shukran.

  • @elibarikimeela2761
    @elibarikimeela2761 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka Janabi Asante Sana kwa kujali maisha ya binadamu wenzako.
    Mungu aendelee kukutunza.

  • @bakariissa6559
    @bakariissa6559 8 หลายเดือนก่อน +3

    Wizara ya Afya inatakiwa: 1.Kuenzi na kuendeleza Ubunifu huu; 2. Kuwezesha Hospitali kuwa na Tvs na kuonesha maudhui haya kwa wagonjwa kwa Hospitali zote.
    HONGERA PROF KWA UBUNIFU NA ELIMU UNAYOITOA KWA UMMA.

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 7 หลายเดือนก่อน +2

    Tulichelewa wap kumpata Prof janab Tanzania

  • @khadejakhadeja9713
    @khadejakhadeja9713 8 หลายเดือนก่อน +1

    Aliye gunduwa.tuletewe madctr mntantaoni mungu ampe afya.njema zamani ilikuwa hakuna mpaka uwende ukamuone pfessar. Janabbi❤❤❤❤❤❤

  • @user-nj2ut3gm8n
    @user-nj2ut3gm8n 8 หลายเดือนก่อน +3

    Shukrani sana prof kwa Mafunzo mazuri 🥰👏🙏

  • @charlesngwembele4541
    @charlesngwembele4541 8 หลายเดือนก่อน +1

    Dr mwenye passion ya kazi yake nchi izalishe watu werevu zaidi kuliko hivi sasa

  • @sameonesample4548
    @sameonesample4548 หลายเดือนก่อน

    Shukran, kwa somo zuri,

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 8 หลายเดือนก่อน +2

    Remain blessed Dr.prof Janabi.

  • @osoromageta3381
    @osoromageta3381 7 หลายเดือนก่อน +1

    Maisha ya binadamu nimafupi mno tumuombe Mungu atusaidie sana miisho yetu iwe mizuri

  • @stevenmwaiko801
    @stevenmwaiko801 8 หลายเดือนก่อน

    Shukrani sana Prof.Janabi kwa somo hili muhimu, Stroke imekuwa ni tatizo sana huku mtaani

  • @johnbahati478
    @johnbahati478 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hii elimu iendelee,ni nzuri sana

  • @theophilwhiteheart1997
    @theophilwhiteheart1997 4 หลายเดือนก่อน

    Mwenyez Mungu akujaalie umri mrefu mzee🙌🏽😇

  • @homeboybeyondtheborders4935
    @homeboybeyondtheborders4935 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi nimebadilisha sana mtindo wangu wa kula ila imenipa faida nyingi sana,Kuna jamaa yangu bonge yaani mnene kupita kiasi ananiambia yeye anaishi na akipata ugonjwa wowote mungu amepanga.

    • @ambrose_vevo137
      @ambrose_vevo137 5 หลายเดือนก่อน

      Hahahaha anaakili lakn Amekosa Maarifa....😅

  • @barakajao4594
    @barakajao4594 8 หลายเดือนก่อน +1

    Elimu nzuri, Kinga ni bora kuliko dawa

  • @lambosalum6299
    @lambosalum6299 8 หลายเดือนก่อน +1

    Good presentation Mr Janabi❤

  • @saadajahadhmy3819
    @saadajahadhmy3819 7 หลายเดือนก่อน

    SHUKRAN JAZAKA'LLAH KHAIR

  • @mozasawafy694
    @mozasawafy694 7 หลายเดือนก่อน

    Allah akupe umri mrefu kwa kutoa elimu hii ni sadaka kwako

  • @limoghasia321
    @limoghasia321 7 หลายเดือนก่อน

    Thanks Prof Janab

  • @shubemponda5470
    @shubemponda5470 8 หลายเดือนก่อน

    Asante sana kwa elimu hii doctar

  • @amosijohnmanota4472
    @amosijohnmanota4472 7 หลายเดือนก่อน

    Congratulations prof.

  • @prosperjuma905
    @prosperjuma905 7 หลายเดือนก่อน

    Thanks prof🙏

  • @khadejakhadeja9713
    @khadejakhadeja9713 8 หลายเดือนก่อน

    Asante pfess Janab❤❤

  • @benjaminalex3058
    @benjaminalex3058 8 หลายเดือนก่อน

    Shukrani sana kwa mafunzo

  • @annamagesa3031
    @annamagesa3031 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki❤❤❤

  • @niriacatering172
    @niriacatering172 4 หลายเดือนก่อน

    Shukrani sana

  • @Wanisimbula
    @Wanisimbula 8 หลายเดือนก่อน

    Asante Daktari kwa elimu hii..

  • @ahz6907
    @ahz6907 7 หลายเดือนก่อน +2

    Doctor janabi unaupiga mwingi mnoooo....

  • @kelvinthomasi2908
    @kelvinthomasi2908 8 หลายเดือนก่อน

    Live long janabi

  • @promachemicals6459
    @promachemicals6459 8 หลายเดือนก่อน

    Endelee Prof Dr M Janabi. Wengi hawajapata hii awareness kufuatilia.

  • @user-wb4is6ry1p
    @user-wb4is6ry1p 8 หลายเดือนก่อน +1

    Following

  • @salimseleman4552
    @salimseleman4552 8 หลายเดือนก่อน +1

    📝

  • @chrismwanjalika9892
    @chrismwanjalika9892 7 หลายเดือนก่อน

    Thanks, profesa. Could you tell us about maji ya kunywa ya chupa toka kiwandani.

  • @DamasNyoka
    @DamasNyoka หลายเดือนก่อน

    Dr nahitaji kuonana nawewe kwa maelezo ya kiafya nipo mwaisela wodi 6 flow yapili

  • @drackshad2995
    @drackshad2995 4 หลายเดือนก่อน

    🤝

  • @ankaldally2734
    @ankaldally2734 4 หลายเดือนก่อน

  • @mussamjeda2073
    @mussamjeda2073 5 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @user-er1nf9nh3e
    @user-er1nf9nh3e 8 หลายเดือนก่อน

    📝📝📝

  • @MaryBrayn
    @MaryBrayn 6 หลายเดือนก่อน

    🫡

  • @drtamarasaidali8449
    @drtamarasaidali8449 8 หลายเดือนก่อน