AfyaKona: Mwarobaini wa magonjwa yasiyoambukiza || Epuka kufanya haya

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • Unazijua hatua za kufuata ili kujikinga na magonjwa yasiyoambukiza? Kitaalamu mtu mzima anatakiwa kutembea hatua 10,000 kwa siku ambayo ni sawa na kilomita 6 hadi 7 kulingana na hatua zake.
    Ili kufahamu hayo na mengine mengi, usikose kuangalia #AfyaKona kesho Septemba 12, 2022 kupitia #MwananchiDigital ambapo Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Profesa Mohamed Janabi ataeleza kwa kina akitoa angalizo kwa umma namna ya kujikinga.
    Usikose kusoma nakala ya Gazeti la Mwananchi na mitandao yake ya kijamii

ความคิดเห็น • 31

  • @vayaulashedrack5994
    @vayaulashedrack5994 6 หลายเดือนก่อน +7

    Kuna watu najua wanachukia hizi seminer za profesa. Ila mimi zinaninariki sanaaa. Mungu aendelee kukutunza dr wangu

  • @HusseinHaule-pr5ov
    @HusseinHaule-pr5ov 29 วันที่ผ่านมา

    Upo sahihi sana dr mm nitakufatilia na kufanyia kazi mawazo yako nashukuru kwa hivi vipindi

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 11 หลายเดือนก่อน +1

    Congrats Professor Janabi.Great
    Thank you very much for taking care of our Nation ❤️.Remain blessed ❤

  • @irenebarakelimnene4895
    @irenebarakelimnene4895 6 หลายเดือนก่อน +1

    Asante Dr kwa elimu nzuri 6:18 ni Mungu afungue bongo za watz na kuacha masihara

  • @esthersissamo1120
    @esthersissamo1120 10 หลายเดือนก่อน +2

    Tunakushukuru sana prof.Janabi Mungu akubariki sana

  • @rosehaule6765
    @rosehaule6765 6 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana Dr kwa upendo

  • @aboubakaromar652
    @aboubakaromar652 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah prof. unachambua vzuri sana

  • @hildambati6876
    @hildambati6876 6 หลายเดือนก่อน +1

    Tuanks prof for your guidance

  • @user-ly9ni9xc7d
    @user-ly9ni9xc7d 6 หลายเดือนก่อน

    Nashukuru sana kwa kutuelewesha

  • @user-lq4gz1yd7g
    @user-lq4gz1yd7g 10 หลายเดือนก่อน +5

    Tueke tu pesa za kuhangaika nazo hao wanokula health juzi katibiwa moyo na kuvutwa mishapa baadhi sasa dam inatembea na mishipa ya palaslki na gm kila kona ya nyumba zipo ba saaa ako na miaka 90 ila mda ukifika umwfika kuchoka magonjwa kibao tujitahidi yasitupate hapa ujanani tu ila kama hai kwa sasa hatutoboi matunda yenyewe wataalam washatutilia sum tayari yasioze mradi mungu tu tulie nae

    • @wahidakisingo3588
      @wahidakisingo3588 6 หลายเดือนก่อน

      Mungu atusaidie

    • @Hamy1109
      @Hamy1109 4 หลายเดือนก่อน

      Acha ku-comment pumba ili uchekeshe watu. Huyo daktari anaongelea mambo ta msingi yanayohusu maisha.

    • @BonnyMwajombe-iu7hb
      @BonnyMwajombe-iu7hb 4 หลายเดือนก่อน

      Hujui chochote zaidi sana karudie somo la kiswahili.

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 หลายเดือนก่อน

    Milioni 32 na bado mtu anaweza akafariki.Mungu atusaidie jaman

  • @niriacatering172
    @niriacatering172 5 หลายเดือนก่อน

    Shukrani sana Dr

  • @HamidaJuma-v9o
    @HamidaJuma-v9o 24 วันที่ผ่านมา

    Mashaallah ❤

  • @user-dq3op3gs2d
    @user-dq3op3gs2d 6 หลายเดือนก่อน

    Ahsante somo zuri sana

  • @davidlelo6192
    @davidlelo6192 11 หลายเดือนก่อน

    Asante sn kk mungu akubark

  • @JonattyComedy
    @JonattyComedy 14 วันที่ผ่านมา

    asante 🙏 kumafunzo

  • @radhiambwana3353
    @radhiambwana3353 ปีที่แล้ว

    Asante sana kwakujal

  • @SeraphinYanuOkoko
    @SeraphinYanuOkoko 5 หลายเดือนก่อน +1

    Tafsiri ya wanga

  • @user-xo6hs8qc2b
    @user-xo6hs8qc2b 6 หลายเดือนก่อน

    Congrats doctor

  • @HamadiBwakame
    @HamadiBwakame 5 หลายเดือนก่อน

    Professor Professor tueleze nadallili zamagonjwa yafigo

  • @kabilamalasy9964
    @kabilamalasy9964 ปีที่แล้ว

    Safi sana

  • @kurthummohamed6290
    @kurthummohamed6290 4 หลายเดือนก่อน

    Pro hongera sana juice hata kama hujaweka sukari ni mbaya?

    • @sadamiddy168
      @sadamiddy168 3 หลายเดือนก่อน

      Tia asali badala ya sukari

    • @IddiNduka-fe6bw
      @IddiNduka-fe6bw 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@sadamiddy168 asali nayo ni sukari.. acha

  • @EstherKemba-hr2zr
    @EstherKemba-hr2zr 5 หลายเดือนก่อน

    Maelezo yako dr.yaandike ili wayasome wasio na sm janja

  • @moahmed7588
    @moahmed7588 5 หลายเดือนก่อน

    Kwa wiki 1m, kwa mwezi 16m????

    • @emanueljoel913
      @emanueljoel913 20 วันที่ผ่านมา

      Sikliza vzr

    • @mmchris2295
      @mmchris2295 9 วันที่ผ่านมา

      Katupoga asee sasa prof acha uongo