KUONDOA KITAMBI NA KUPUNGUZA UZITO NDANI YA MUDA MFUPI Part 1

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 94

  • @bitishoriziki1113
    @bitishoriziki1113 7 หลายเดือนก่อน +3

    Asante saañ kutu shugulikia mbarikiwe nyote nawapenda sana nyote🥰🤲🏽🙏🏽

  • @maurusbanzi2714
    @maurusbanzi2714 2 ปีที่แล้ว +9

    Napenda kutumia muda huu kukushukuru sana ndugu kwa elimu hiyo ya kuusu kupungua uzito Asante sana Ndugu Mungu akubariki sana

    • @irshadmansour7408
      @irshadmansour7408 7 หลายเดือนก่อน

      Soma hii page wadadamedia.blogspot.com/2024/03/kupunguza-uzito.html

  • @DieudonneAlimasi
    @DieudonneAlimasi หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana kwaelimu nzuri ubarikiwe sana baba

  • @MagdalenaMarufa
    @MagdalenaMarufa 8 หลายเดือนก่อน +2

    Asante sana kwa SoMo zuri,Mimi nataka kupungua uzito kwa upande wa mazoezi kwangu itanishinda miguu hata nikitembea umbali mrefu inaniuma sana kukimbia kwangu itakuwa shida

  • @DouglasBayeka
    @DouglasBayeka 16 วันที่ผ่านมา

    Hongera sana kwa somo zuri sana, endelea kutuelimisha kwa kiswahili. Tumekukubali sana

  • @shukranimajura7459
    @shukranimajura7459 10 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera sana imeisaidia sana

  • @MiliamPili-em7zh
    @MiliamPili-em7zh 22 วันที่ผ่านมา

    Asante kwa somo nzuri

  • @princessd7929
    @princessd7929 3 ปีที่แล้ว +2

    Nimekuelewa sana
    Thanks
    I would like to hear more from you

  • @joyjusuf9454
    @joyjusuf9454 7 หลายเดือนก่อน +1

    Wow nimejifunza sana,kumbe nilikuwa nakosea 😂

  • @NoreenNkumbi
    @NoreenNkumbi 3 หลายเดือนก่อน +1

    Asanteee kwa darasa mungu akubariki 🙏🙏

  • @mariamgitau3614
    @mariamgitau3614 5 ปีที่แล้ว +2

    Mashaa Allah kumbe una kiswahili kizuri ivi sijawai kuskia ukiongea kiswaha first time

  • @bupekibona8263
    @bupekibona8263 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana

  • @georgemtewele582
    @georgemtewele582 ปีที่แล้ว

    Nimeelewa nashukuru sana

  • @samirahsalim314
    @samirahsalim314 9 หลายเดือนก่อน

    ubarikiwe sana sana darasa zuri mno

  • @titomhagama5545
    @titomhagama5545 3 ปีที่แล้ว +2

    Nimekuelewa sana

  • @FelisianaJerome
    @FelisianaJerome 7 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana my brother

  • @fatumashekutu6318
    @fatumashekutu6318 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimekulewa vizuri asante

  • @Emmymajula5838
    @Emmymajula5838 2 ปีที่แล้ว +1

    Duh kumbe nashukulu Sana waelekeza vizuri

  • @BonnyMwajombe-iu7hb
    @BonnyMwajombe-iu7hb 20 วันที่ผ่านมา

    Kwenye kula mara kwa mara c sawa kabisa kwaher😊

  • @Cutephina
    @Cutephina 6 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana🙏

  • @EBMSCHOLARS
    @EBMSCHOLARS  5 ปีที่แล้ว +2

    The English version of the same content th-cam.com/video/eCWk8lkuuVo/w-d-xo.html

  • @LovenessSamwel-t5b
    @LovenessSamwel-t5b หลายเดือนก่อน

    Asante saba

  • @TwaibaSaid-k6q
    @TwaibaSaid-k6q 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ukweli

  • @OdearClement
    @OdearClement 4 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana

  • @nurumohammed1310
    @nurumohammed1310 4 หลายเดือนก่อน +2

    Asante sana my brother nitajitahidi sana 🙏🏽🙏🏽

  • @RoyceDedan
    @RoyceDedan 4 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana kwa somo zuri

  • @SalhaYussuf-gd3vp
    @SalhaYussuf-gd3vp ปีที่แล้ว +1

    As alaykum mm nataka kupungua namazoez siyawez kwa sababu nnapumu kali sana jee unanisaidiaje

  • @evainnocent9520
    @evainnocent9520 2 ปีที่แล้ว

    Asant sanaaaaaa

  • @ScolahChacha
    @ScolahChacha 8 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba namba zako kunamsaada nilikuwa nataka kukuomba nimeteseka kaka yangu

  • @godluckzephania9060
    @godluckzephania9060 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana. Nimekuelewa

  • @GetuliMichael
    @GetuliMichael 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nimekuelewa vizuri, naomba namba yako ya WhatsAp, Kwa mawasiliano zaidi

  • @SamwelMwakalinga-g3o
    @SamwelMwakalinga-g3o หลายเดือนก่อน +1

    Mnakuwa na maelezo mengi mn

  • @AntipasElias
    @AntipasElias 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ahaa ndy maana

  • @OdearClement
    @OdearClement 4 หลายเดือนก่อน +1

    Duh Yani nilikuwa nakosea mnoo

  • @tabithasalimu3617
    @tabithasalimu3617 ปีที่แล้ว +1

    Asante

  • @sterakokote6055
    @sterakokote6055 9 หลายเดือนก่อน

    Naomba namba doctar

  • @TumainMeena-dv1zt
    @TumainMeena-dv1zt 3 วันที่ผ่านมา

    Ninakupataje naomba namba

  • @mwanaamasanja7629
    @mwanaamasanja7629 2 ปีที่แล้ว +3

    Yani kaka angu umeongea kweli kabisa

  • @NanceMbaga
    @NanceMbaga 5 หลายเดือนก่อน

    Nimekupenda unafundisha vizuri chakwanza mie kuancha ni soda jaman maana tumbo hatari

  • @AdmiringDragonflies-rd7zq
    @AdmiringDragonflies-rd7zq 2 หลายเดือนก่อน

    ❤ubalikiwesana docta naomba namba yako nimeteseka kwamda mlef Sana nashinda na njaa mpaka nimepata vidonda tumbo

  • @GloriaNduku-mw2jk
    @GloriaNduku-mw2jk 3 หลายเดือนก่อน

    Chanzo cha kunenepa kwangu ni family planning nlipoanza kuitumia nlinenepa ndani y mwaka mmoja baadae nlitoa last yr march na bado sijapungua

  • @Farajahelene23031
    @Farajahelene23031 3 ปีที่แล้ว +2

    hi you look like frederick bundala sns news

  • @chalokips7712
    @chalokips7712 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nina swali Dtr kwa nini kuna watu hata wakila chakula cha wanga na mafuta bila kazi ngumu au zoezi hawanenepi

  • @salmasleyum8441
    @salmasleyum8441 2 ปีที่แล้ว +4

    Km mm nafanya kazi omani sina muda wa kufanya mazoezi nifanye nn

  • @ymusic1299
    @ymusic1299 ปีที่แล้ว +1

    🙏

  • @fatinasudi3806
    @fatinasudi3806 3 ปีที่แล้ว +1

    Nlikuwa nakula tu bila kuwa na elimu ya kutosha...asate kwa elimu nzuri, nmeelewa.

  • @suzanambisso6011
    @suzanambisso6011 3 ปีที่แล้ว +2

    Natumia njia ya uzazi wa mpango yani sindano nilivyo aza kutumia nimenenepa sana je ata kama nikifanya mazoezi nitapunguwa kweli

  • @sanjabubakar3374
    @sanjabubakar3374 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @NoreenNkumbi
    @NoreenNkumbi 3 หลายเดือนก่อน

    🙏🙏🙏🙏

  • @zureymohamed7083
    @zureymohamed7083 2 ปีที่แล้ว +2

    Umenipa SoMo sana Asante

  • @Nassrakhalfan-c8d
    @Nassrakhalfan-c8d 29 วันที่ผ่านมา

    mm miaka yangu45 nnauzito wa kilo72 naomba unisaidie nipunguze

  • @sandaymgunyi6268
    @sandaymgunyi6268 หลายเดือนก่อน

    Nyama kavu iliyo kaushwa kwa jua pia inakua bado inamadhala sawa na Nyama Fresh 7

  • @Iamwitynes
    @Iamwitynes 6 หลายเดือนก่อน +2

    Na vitambi vya urithi😢😢

    • @MerryFredrick
      @MerryFredrick 2 หลายเดือนก่อน +1

      😅😅😅😅

    • @Iamwitynes
      @Iamwitynes 2 หลายเดือนก่อน

      @@MerryFredrick 😂

  • @maryamayitsa6181
    @maryamayitsa6181 3 ปีที่แล้ว

    Ninakupata hapo pakushinda njaa nikama umeniona🇰🇪🇰🇪

  • @EsterBakila
    @EsterBakila 3 หลายเดือนก่อน

    Nirahisi mimi kupata plotin ya nyama,maharage na maziwa,ila nikila hivyo kwa siku nzima siku inayofuata nakosa nguvu nachofanya nachanganya viaz mviringo kidogo au ndiz mbichi kwenye supu yangu,vip nakosea? Navyo vina hiyo carorse? Naomba maelekezo tafadhar

  • @bonifaceferdinand566
    @bonifaceferdinand566 10 วันที่ผ่านมา

    Ingejifunza uhusiano wa homoni ya insulin na kula mara kwa mara,ushauri wako ni hatari kuliko hata magonjwa yenyewe,kwani unapotosha watu

  • @daudijoash2592
    @daudijoash2592 ปีที่แล้ว +1

    Me sina kitambi wa sijanenepa ni mwili wa kawaida tu ila nakilo 73 sasa. Sijajua tatizo nini kaka nisadie

    • @NanceMbaga
      @NanceMbaga 5 หลายเดือนก่อน

      Mifupa yako ni mizito kipenz

  • @BigBrain23
    @BigBrain23 5 ปีที่แล้ว

    nakufuatilia sana EBM, Hongera kwa kutuelimisha.

    • @stelllakapaya9517
      @stelllakapaya9517 3 ปีที่แล้ว

      Asante sana Kaka niunge kwa group lako

    • @stelllakapaya9517
      @stelllakapaya9517 3 ปีที่แล้ว +1

      Yaani Kaka mimi nateseka uzito wangu mkubwa sana 89

    • @mamushemshami1018
      @mamushemshami1018 3 ปีที่แล้ว

      @@stelllakapaya9517 uyu mm😂

    • @latifaonesmo7629
      @latifaonesmo7629 2 ปีที่แล้ว

      @@stelllakapaya9517 jitaidi sana kula mboga mboga na matunda ili upungue kwa haraka kisha baadae ndio uanze kula kidogo kidogo vitu vya wanga sio uachekabisa mana navyo vinauitaji mwilini

  • @MariaSengo-ih9sf
    @MariaSengo-ih9sf 4 หลายเดือนก่อน

    Nisaidie nina ganzi ya miguu na viwiko vya mikono..nina uzito wa kg 108

  • @natalielena5167
    @natalielena5167 2 ปีที่แล้ว

    Naomba nambaa ya cm

  • @EsterBakila
    @EsterBakila 3 หลายเดือนก่อน

    HIV ndiz mbich kuzichemxha na kufanya kifungua kinywa nazo Zina wanga sana?

  • @fatmamussa1161
    @fatmamussa1161 3 ปีที่แล้ว +2

    Naomba uniambie faida ya asali na mdarasini

  • @allaneyamu349
    @allaneyamu349 4 ปีที่แล้ว +1

    I wish I could get ur number ur great advisor

  • @ezramagessa1062
    @ezramagessa1062 3 ปีที่แล้ว

    ASante kwa ushauri samahan unaweza kutaja no yko ya wasp

  • @allyiddakizimana7103
    @allyiddakizimana7103 5 ปีที่แล้ว +2

    Mbona huzungumzia kuhusu pombe, ninachojua pombe Pia inanenepesha kama bia, vipi kuhusu pombe kali? Kwa maana nasikiaga watu wanasemaga nakunywa pombe kali napunguza mafuta, je ni kweli inapunguza mafuta mwilini?

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 5 หลายเดือนก่อน

    Sasa hizo sabbu mimi sizijui ndo nambiye wewe hiki usile hiki wacha ndo tuelewe

  • @rosewabiwa5628
    @rosewabiwa5628 2 ปีที่แล้ว

    Please kuwa una ongea swahili

  • @salmasleyum8441
    @salmasleyum8441 2 ปีที่แล้ว

    Na nimenenepa km miaka sita sasa

  • @CollethaEmanuely
    @CollethaEmanuely หลายเดือนก่อน

    Mbona hapo bado unapoongea umempa sana

  • @farajagordon4724
    @farajagordon4724 3 ปีที่แล้ว

    Kwenye maji hapo umenitachi

  • @sheilaombongi8086
    @sheilaombongi8086 5 ปีที่แล้ว

    Ninakula namaji nnakunywa vizuri lakini Choo ningumu siku mbili bila Choo nifanye nini?

    • @EBMSCHOLARS
      @EBMSCHOLARS  5 ปีที่แล้ว

      Inabidi upate na matunda pia hasa kama mapapai, maembe ya kuiva, machungwa nk...nadhani yatasaidia

    • @Donyo-rh8do
      @Donyo-rh8do 2 หลายเดือนก่อน

      Kunywa maji ya uvuguvugu glasi mbili asubuhi na mapema unapoamka kabla hujapiga mswaki.

  • @TumainMeena-dv1zt
    @TumainMeena-dv1zt 3 วันที่ผ่านมา

    Naomba namba Yako ya Whatsapp