Allh akulipe si rahisi kwa mtu mwenye cheo kama chako kuandaa vipindi na kutuelewesha hii ni kwa sababu unaona hatari iliyopo na unataka tujikinga. Ahsante sanna
Habari hii tv sikujua kama ipo hongera prof Jababi elimu nzuri umetoa..Ila mm ni kijana umri wangu 32yrs nina tatizo ambalo hospitali wameshidwa kujua tiba yake wala chanzo naomba mwenye namba ya simu ya Prof Jababi anisasidie guys nateseka sana almost miaka 8 sàsa ....Msada wakuu
Saana nidhanu ndio kila kitu. Ukikuta mtu anafukia nyama choka kilo moja na bia, akidhani huna hela ya kula , ila siku atakua anafanya dialisis atalia kama nyau 😊
Prof. Habari za kazi. Mimi ni mfuatiliaji mzuri Wa mafundisho yako. Kila kipindi unachorusha najifunza zaidi. Wewe kwanza umbo lako liko sahihi. Hapo ulipo una umri wa miaka mingapi. Na uzito wa kilo ngapi. Maana nakuona uko very super active!!! Natanguliza shukrani kwa majibu ya maombi hayo
❤❤MUNGU kakuketa duniani pia kakupa uhai na elimu ya juu ili utuokoe na maradhi na unatupa njia sahihi ya kuishi, chukua maua yako baba🎉🎉🎉wewe ni mtu muhim sana katika dunia hii,, tunapata faida na elimu unayotupa bure kabisa ingali wewe ulitumia pesa nyingi kuipata nasema ASANTE NA MUNGU AKUBARIKI🤲🤲
Nijuavyo Mimi no kwamba! Ukiwa unakojoa Mara kwa mara,huku unakunywa maji ya kiasi Mara kwa Mara hiyo sio mbaya! Maana umetoa simu mwilini kwa kukojoa,lkn hujauacha mwili bila maji badala yake unakunywa tena maji. Na ukiutizama mkojo unaotoka no mweupe,yaani haina rangi km ya kahawia sijui km soda hivi! Hiyo iko sawa
Naamimi kuna Media Kubwa kama Clouds Media au Wasafi Tv wataingia mkataba na hii Channel ili haya Maudhui yawe yanawafikia wengi ambao kuifia TH-cam ni ngumu!
Tunaomba mtoe darasa la namna ya kuacha vileo..Kiukweli watu wengi wanaurahibu wa pombe ila kwakuwa inauzwa kihalali tunaona kama ni sehem ya maisha na sio urahibu.Asante
Asante sana Dr. Kuna point umesema sukari kupitiliza. Mfano unatumia asali badala ya sukari je unatakiwa utumie asali kiasi gani mf ktk kikombe cha chai?
Kunywa maji ya kutosha, punguza chumvi, punguza sukari, Punguza matumizi yaliyopitiliza ya dawa za maumivu (NSAID), Kuacha Unywaji wa pombe uliopitiliza...n.k.,
Mungu wangu linda afya yangu sayansi ni bora ila wewe ni bora zaid✊
Simple and best explanations. Congrats Prof. Mohamed Janabi.Anajua kuelimisha sana.
Allh akulipe si rahisi kwa mtu mwenye cheo kama chako kuandaa vipindi na kutuelewesha hii ni kwa sababu unaona hatari iliyopo na unataka tujikinga. Ahsante sanna
Sana huyu baba anaiimani. anahuruma na binaadam wenzie
Kweli kabisa
Habari hii tv sikujua kama ipo hongera prof Jababi elimu nzuri umetoa..Ila mm ni kijana umri wangu 32yrs nina tatizo ambalo hospitali wameshidwa kujua tiba yake wala chanzo naomba mwenye namba ya simu ya Prof Jababi anisasidie guys nateseka sana almost miaka 8 sàsa ....Msada wakuu
Jitahidi uende jkci. Pale muhimbili kitengo cha moyo. Utampata.
Nenda Muhimbili ndio suluhisho..
Yesu Kristo anaweza kukuponya. Mpe Yesu nafasi. Kwa msaada zaidi unaweza kunifuata nitakushauri na tutaomba na utapona
@@barnabasmboya7688 😂😂😂 Wacha utapeli
we kichwa yako mbovu @@barnabasmboya7688
Asante sana Dr . Imeeleweka mungu akupe maisha malefu huna baya na mtu Dr janabi
We jamaaa unaafya ya aqiri iliyo strong sana
Me binafsi sijutii kukufaham kwakweli
Unatoa elimu nzuri sana Prof. Mohamed
6:09 Hii nzuri sana, ongera sana dr
Mungu akulinde Prof.Janabi, Hakika elimu yako ni tunu kwa watanzania.
Aksnate sana professor Janaby kwa elimu nzuri sana
Mungu akutie nguvu utupe elim naelimika sana sana asante
Shukran doctor Allah akulipe kwa unachokitoa kwa jamii
Mzee amenyooka,...ila maisha yanahitaji nidhamu kubwa
Hakıka mzee amenyooka mpaka... Nıdhamu kubwa katıka maısha haya nı muhımu sana. 🙏🙏
Asante sana doctor ubarikiwe
Saana nidhanu ndio kila kitu. Ukikuta mtu anafukia nyama choka kilo moja na bia, akidhani huna hela ya kula , ila siku atakua anafanya dialisis atalia kama nyau 😊
@@officialyohanamalisa1873 maisha yana mwisho, usimdharau na kumnyanyapaa anayekula kilo nyama choma. Duniani tunapita.
Asante sana kwa Elimu ya afya Dr. Janabi. Mungu akuzindishie wingi wa siku
Tuko pamoja Dr. Nakufuatilia kila siku na kila somo lako.
Prof. Habari za kazi. Mimi ni mfuatiliaji mzuri Wa mafundisho yako. Kila kipindi unachorusha najifunza zaidi.
Wewe kwanza umbo lako liko sahihi. Hapo ulipo una umri wa miaka mingapi. Na uzito wa kilo ngapi. Maana nakuona uko very super active!!! Natanguliza shukrani kwa majibu ya maombi hayo
Elimu nzuri sana. Elimu ya kujitambua bado inahitajika sana. Magonjwa mengi yangeweza kuepukika kwa kubadilisha tu mfumo wa maisha
NASHUKURU SANA DOKTA.
NAOMBA KILA. KADA YA DAKTARI BINGWA TAIFA, ITOE MADA YAO HUKU, ILI TUJIEPUSHE NA HATARI HIZI.
شكرا دكتور،جزاك الله في هذه تذكرة
Ahsante, Mungu akupe maisha marefu uzidi kutuelimisha
❤❤MUNGU kakuketa duniani pia kakupa uhai na elimu ya juu ili utuokoe na maradhi na unatupa njia sahihi ya kuishi, chukua maua yako baba🎉🎉🎉wewe ni mtu muhim sana katika dunia hii,, tunapata faida na elimu unayotupa bure kabisa ingali wewe ulitumia pesa nyingi kuipata nasema ASANTE NA MUNGU AKUBARIKI🤲🤲
Nimekuelewa doctor.mungu akuzidishie kutupa elimu napia .akuingize peponi amin
Shukrani doctor Allah akulipe
Thanks Dr
Maashaallah Allah akulipe heri Dr. JANABI
Mungu akubariki sana nimeelewa ulaji holela ni hatar kubwa
elimu nzur sn, skuijua hii Tv
Hongera sana DR🎉🎉
Somo zuri sana,, Ahsante Dr.
Elimu kubwa sana hii asante
Shukran kwa mafunzo yenye kutujenga kiafya
Dr janabi Mungu akupe maisha marefu
Asante Prof Janabi
Hongera sana Dr. Mungu akuzidishie umri
Hongera sn Prf nakuelewa sn
Asante Prof. Barikiwa sana....nakufata toka DRC
uko vizuri sana Prof . Janabi
Nimekupata janabi mungu aliki kwasomo rako
Asante kwa somo zuri
Shukran sana professor MJ
Ubarikiwe sana My Role Model
Asante sana kwa elimu
Asante doctor
Asanteee pfrs Jana bi❤❤❤❤ kwa somo
Shukran prof janabi hakika kinga ni bora kuliko tiba
Prof apewe muhimbili kwa miaka 100 ameibadilisha san Hospital ya Taifa
Sante saana Dr....
Asante sana Prof. Janabi kwa elimu ya afya kwa umma.
Nashukuru kuwafahamu nitaendelea kuwa fuatilia
Asante Prof. Kwa Elimu
Good Job Prof Janabi🤝
Doctor asante kwa somo zuri,
Hongera Sana prf. Hiv kukojoa mara kwa mara unawezakukuweka hatarini pia
Nijuavyo Mimi no kwamba! Ukiwa unakojoa Mara kwa mara,huku unakunywa maji ya kiasi Mara kwa Mara hiyo sio mbaya! Maana umetoa simu mwilini kwa kukojoa,lkn hujauacha mwili bila maji badala yake unakunywa tena maji. Na ukiutizama mkojo unaotoka no mweupe,yaani haina rangi km ya kahawia sijui km soda hivi! Hiyo iko sawa
Kulinda afya yako
Asante sana kiongozi Mungu akubaliki
Ubarikiwe kiongoz
Prof Janabi..huwa nafuatilia sana session zako...
hongera profesa janabi nakufuatilia
Thanks for class
Asante sana kabisa from 🇨🇩
Thank you so much for your consideration 🙏🏿🙏🏿
Asante sana prof🎉
Imeeleweka doctor
Ubarikiwe sana prof
Thanks and be blessed🙏🙏🙏
Asant sana doctor mungu akulinde
Asante sana kwa elimu nzur
Asante dr
Asante sana doctor lakini pia nina maswali jenaweza kuuliza
Mungu akubariki somo zuri xana hili
Naamimi kuna Media Kubwa kama Clouds Media au Wasafi Tv wataingia mkataba na hii Channel ili haya Maudhui yawe yanawafikia wengi ambao kuifia TH-cam ni ngumu!
Alishaenda wahi kwenda clouds sema ....
Shukrani 🙏🙏🙏
Thank You Prof.
Ahsante Kupata Elimu hii
Shukrani sana
Asante dr kwa somo
Thank you Dr
Umesahau utumiaji wa vipodozi vyenye kemikali kali
Asant san Dr
Pengine tukifuata mashart yake tutakuwa kama yeye
Tunaomba mtoe darasa la namna ya kuacha vileo..Kiukweli watu wengi wanaurahibu wa pombe ila kwakuwa inauzwa kihalali tunaona kama ni sehem ya maisha na sio urahibu.Asante
Aimbie tu serikali ipige marufuku wa pombe ,viwanda vyote vifungwe
Na kodi je utanipa wewe
@@lilianfelix5143 Nenda kijijini kalime 😀
Thanks you ❤
safi sana dr nashukur Kuifahamu hii chanel inayofundisha mambo muhimu ktk maish yetu
Tunaomba Dr mfanyie utafiti Sawa zetu za asili tulizotimia huko nyuma na zikatusaidia
Asante sana Dr. Kuna point umesema sukari kupitiliza. Mfano unatumia asali badala ya sukari je unatakiwa utumie asali kiasi gani mf ktk kikombe cha chai?
MUHIMBILI#Afya bodcast# naomba mnisaidie mawasiliano ya Prof.Janabi nina maswali mengi sana
Sio lahisi hivo kupata
❤❤❤
Ningependa aweke nambayake jamani
Asante sana baba
Bora tukafuate jamani
Somo zuri Dr,ila hujatuambia nini tule ili Figo zetu ziweze kuwa salama
Hayo aliyokwambia fanya kinyume chake ndiyo jibu. Pia yale asiyoyataja ndiyo hayana madhara makubwa unaweza kula
Mwenyezi mungu akubariki sana prof,
Kunywa maji ya kutosha, punguza chumvi, punguza sukari, Punguza matumizi yaliyopitiliza ya dawa za maumivu (NSAID), Kuacha Unywaji wa pombe uliopitiliza...n.k.,
Boniface, mbona ameweka Wazi? MAJI KAMA CHAKULA BORA
😂😂@@MinskBelarus-il2tl
Dr mo janabi unipa somo nimetoka na kitu kimojahapo,msaliimie bingwa mwenzio hapo dialysis mgumi na ness mnyenyekevu asie na mawaa HAJIRA ###
Doctor tunaomba mjibu coment zetu
Shikamoo pro kwenye pombe ongeza ata mbili mkubwa 😂😂😂
Heeeeee
Dr upo vizur
Assalam alaikum, dr janabi naomba utuelezee maradhi gesi na namna ya kujikinga . Insha Allah
Hakika MUNGU akubariki Sana wewe kweli ni msomi
Sasa mimi ninae kunywa wine zaid ya moja mungu nisaidie nimeogopa
Asante sana Dr Janabi kwa kutuelimisha. Je, juice ya miwa ni salama kwa figo?
Tuko pamoja Dr