MUSUKUMA AMCHANA PROF JANABI BUNGENI" USHIKE BREKI, MIMI DAKTARI MWENZIO, ANAHESHIMIKA SANA AJIELEWE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 481

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 4 หลายเดือนก่อน +39

    😂😂😂😂😂 Msukuma yuko sahihi saana kwa Wakulima na wafanya mazoezi chakula hakikai, ushawahi muona mchezaji wa Mpira Ana kitambi , ila wakiacha mazoezi waendelee na diet

    • @RamadhaniJitelani
      @RamadhaniJitelani 4 หลายเดือนก่อน

      Janabi hataki mazoezi unayoyasema wewe

    • @agnesjohn9382
      @agnesjohn9382 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@RamadhaniJitelanikwa hiyo anataka nini

    • @shakurfaith
      @shakurfaith 3 หลายเดือนก่อน

      Anataka kuolewa​@@agnesjohn9382

  • @MsafilymsafilyChaless
    @MsafilymsafilyChaless 4 หลายเดือนก่อน +34

    Sema kiongoz wetu tuko pamoja,

  • @mussakimaro5588
    @mussakimaro5588 4 หลายเดือนก่อน +37

    Hii tanzania tunaweza letewa sumu na tusijue tukala na TBS ndo imepitisha tule

    • @misangasaidih8764
      @misangasaidih8764 4 หลายเดือนก่อน +4

      Kabisaaa

    • @simasima8084
      @simasima8084 4 หลายเดือนก่อน +1

      Sbb yy ni pr..

    • @mussakimaro5588
      @mussakimaro5588 4 หลายเดือนก่อน

      @@simasima8084 hasa hizi matirial ya vinywaji vikali ni hatari sana waliambiwa tuipitishe gongo bungeni ili ipikwe kiasili zaidi nadhani tungekunwa vitu original sana tusingeugua mafigo na maini tungekula vitu vya asili kabisa

    • @mussakimaro5588
      @mussakimaro5588 4 หลายเดือนก่อน

      @@misangasaidih8764 Gongo haram sumu zinazotoka nje halali na TBS wanapitisha wanakwambia hii imepimwa hii nchi tunauwana wenyewe kwa wenyewe

    • @ChoroTesla
      @ChoroTesla 4 หลายเดือนก่อน

      sio tanzania ni Tanzania

  • @bakarishabani5538
    @bakarishabani5538 4 หลายเดือนก่อน +11

    Kweli msukuma kuna baadhi ya mambo hayahitaji ufike hata chuo.sijui kwanini hatuwezi kutumia akili.Watoa maamuzi mtusaidie.

  • @euniestherwilliam1513
    @euniestherwilliam1513 4 หลายเดือนก่อน +14

    Tanzania yangu. Profesa watamuelewa wenye ufahamu mkubwa. Ila kwa upande wangu nampongeza Prof Janabi kwa elimu kubwa aliyotupa.

    • @MesiaMtui
      @MesiaMtui 28 วันที่ผ่านมา +1

      Ndugu we wa mjini jembe hulijui Wala sio mjenzi mfuate

    • @RehemaMtiwa
      @RehemaMtiwa 25 วันที่ผ่านมา

      😊

  • @elifariji
    @elifariji 4 หลายเดือนก่อน +12

    Da! Kweli "Bunge" halina mipaka. Hata Professor Janabi mwamsasambua? Hapana!! No! No! No. Nitafurahi Sana nikisikia mumemuomba radhi. Yaani "Wabunge" mnahitaji Sana elimu ya Dr Janabi maana mnashinda mmekaa na %kubwa mna vitamin vya kutisha. Ingekua Bora Sana Kama mngemkaribisha akawapiga darasa siku moja

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 4 หลายเดือนก่อน

      Hili jinga linatumia kipaza sauti vibaya kutukana wenye taaluma zao!haifikii hata nukta alichokisomea profesa janabi!amuombe radhi hadhi ya janabi haifii hata kwa ukucha!Toka apewe udaktari wa funza chooni basi amekua namadharau sana bungeni Lenyewe halikwenda shule sasa linataka na wengine waonekane wajinga kama yeye! Nashangaa sana kila likiongea nikuwashusha wengine utadhani yeye kafanya la maana huko jimboni kwake madudu matupu!limekuwa natabia likifika bungeni kukosoa wengine

    • @HalimaJuma-hz4qe
      @HalimaJuma-hz4qe 4 หลายเดือนก่อน +1

      Hahahha akakufundishe nyumbani kwako sie tunajua

    • @johndeogratias8099
      @johndeogratias8099 4 หลายเดือนก่อน

      Ukiwa na kichwa kigumu huwezi elewa kamwe alichosema msukuma

    • @JosephMpangala-wd5mp
      @JosephMpangala-wd5mp 4 หลายเดือนก่อน

      Nikweli ukosahihi.

  • @hezekiamtera3559
    @hezekiamtera3559 4 หลายเดือนก่อน +5

    Wabunge zungumzie bima ya afya kupitia mashuleni.Vigezo vilivyowekwa havitekelezeki.Wanafunzi wengi wana bima kupitia wazazi wao ambao ni waajiriwa.Idadi iliyowekwa haitekelezeki

  • @JoyceAlfred-dv6cw
    @JoyceAlfred-dv6cw 4 หลายเดือนก่อน +26

    Hongera sana Mh Msukuma,msema kweli Mpenzi wa Mungu,big Mb

  • @Chaser2497
    @Chaser2497 4 หลายเดือนก่อน +37

    Mbunge Msukuma kaongea point ambazo ingefaa zichukuliwe kama zilivyo kwenye utekelezaji!!!!
    Hapo Kuna wasomi uchwara wanajua hayo ila sjuwi nani aliyewaloga😢😢

    • @LeonardKessy-d2i
      @LeonardKessy-d2i 4 หลายเดือนก่อน

      Huyu mtu ni darasa la Saba lakini anapointi zilozo sheheni nondo za kutosha

    • @mustaphahassan589
      @mustaphahassan589 4 หลายเดือนก่อน +1

      Mkiumwa mfateni msukuma awatibu

    • @Chaser2497
      @Chaser2497 4 หลายเดือนก่อน

      @@mustaphahassan589 ukitaka kuuua mti kata mizizi sio kukata majan na kuacha mzizi.....
      Mf.ukipunguza wanga halaf ukala Nyama ya Kuku aliyekuzwa mwezi au wiki kipi bora

  • @shabanramadhan7632
    @shabanramadhan7632 4 หลายเดือนก่อน +12

    Jamaa Yuko vizuri sana

  • @SimbaM2kufu
    @SimbaM2kufu 4 หลายเดือนก่อน +37

    This guy is very much on point. We need to be self-reliant. We can't just sit and wait for westerners to bring us their misleading research.

    • @ChoroTesla
      @ChoroTesla 4 หลายเดือนก่อน +2

      wao ndo wanaogoza research kubwa kuubwa zpte duniani research ni investment do we invest au porojo? hakuna research za kukalili lazima uingie field na uinvest wenzetu wana invest

    • @Soon815
      @Soon815 4 หลายเดือนก่อน

      Well said

    • @SimbaM2kufu
      @SimbaM2kufu 4 หลายเดือนก่อน +1

      @@ChoroTesla Rukia kusoma comment yangu. I didn't say we have invested in research, I said we need to.

    • @ChoroTesla
      @ChoroTesla 4 หลายเดือนก่อน

      @@SimbaM2kufu i got you sasa msukuma anataka vitu vijiiibue ajue wenzetu wanashinda maaabara sie tunashinda tiktok na instagram mama anaupiga mwingi

    • @tolisso4287
      @tolisso4287 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂 we jamaa

  • @EmmanuelMlawa-ee3oq
    @EmmanuelMlawa-ee3oq 4 หลายเดือนก่อน +7

    Akuna Cha pointi uchaguzi umekaribia

  • @neemabright3635
    @neemabright3635 4 หลายเดือนก่อน +14

    Safi sana Dr. Mm ni mwanafunzi wa SUA umenena vyema .... Wanaotufundisha wengi hawapractice n hawafahamu vizuri kinachoendelea mjini well..... Research is everything in a developing country well said....

  • @GSaleh-xr3vn
    @GSaleh-xr3vn 4 หลายเดือนก่อน +12

    Dhana tulijengewa waafrika ni kila cha mzungu ni bora

    • @NeemaSamson-ti8pc
      @NeemaSamson-ti8pc 4 หลายเดือนก่อน +1

      Kabisa upo sahihi na hicho ndio kinachotumaliza

    • @ChoroTesla
      @ChoroTesla 4 หลายเดือนก่อน

      wao ndo wanaongoza kwa tafiti kubwa duniani huwez wapinga km jnapinga uje na facts

    • @GSaleh-xr3vn
      @GSaleh-xr3vn 4 หลายเดือนก่อน

      Nimekuelewa maana Hata ushoga na usagaji wameufanyia utafiti na kugundua kua hauna madhara ​@@ChoroTesla

    • @NeemaSamson-ti8pc
      @NeemaSamson-ti8pc 4 หลายเดือนก่อน

      @@ChoroTesla kama wao wanaongoza kwa tafiti duniani kwanini na sisi tusijifunze kuwa watafiti? Tunasubiri tu wao wafanye utafiti sisi ni kupokea tu

    • @ChoroTesla
      @ChoroTesla 4 หลายเดือนก่อน

      @@NeemaSamson-ti8pc ume invest?

  • @AthanaseKiyoja
    @AthanaseKiyoja 4 หลายเดือนก่อน +2

    Nchi ya masifu,hapo wanamsifia msukuma.Hivi kuna mtu anapinga somo la Prof Janabi hivi leo nimeamini watanzania tuna matatizo,tena makubwa tu.Janabi anajaribu kuongelea watu wa mjini,ndiyo wahanga wa lishe.Badala ya kumuunga mkono na kumpomgeza,wanamsifia.Kweli Pesa na vyeo (madaraka) na bangi havina tofauti eti mbunge huyo ! Hovyo.

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 4 หลายเดือนก่อน

      Msukuma amechagukiwa kuwaponya watu muhimu naluobobea ktk taaluma zao! amejiwekea utaratibu wadharau humo bungeni! Nahakuna wakumnyoosha akashika adabu huyu, wana shabikia ujinga wake! Wanasahau nafasi walizonazo professor ktk kazi zao, huyu msukuma wapinawapi kwa profesa janabi?mijitu inaingia bungeni kupiga kelele kama vyura mitaroni hovyo kabisa

  • @hafidhnzota2142
    @hafidhnzota2142 27 วันที่ผ่านมา

    Msukuma Leo UMEONGEA KWELI kuhusu MAPROFESSA Wetu Wao kuuza pombe

  • @alexdukes5547
    @alexdukes5547 4 หลายเดือนก่อน +3

    Msukuma hajuwi kumbe hii nchi inaongozwa Kwa wahisani,mmoja tu aliekataa huu upuuzi wa kufanyiwa majaribio,laeo hii hayupo tumebaki kama mbayu mbayu,janabi anatufundisha vizuri,ukitaka kuchagua tunza hela uje uzitumie kwenye matibabu au tunza Afya uje utumie afya yako vizuri...chagua we mwenyewe.

  • @hamidafundi-pw1gw
    @hamidafundi-pw1gw 4 หลายเดือนก่อน +2

    Hakuna kizuri mpaka mwisho wala kibaya mpaka mwisho. Mwerevu ni yule anayetambuwa uzuri kwenye kibaya pia kutambuwa ubaya kwenye kizuri. Akili ya kuambiwa, changanya na ya kwako.

  • @MojamojaMojamoja-lw2ph
    @MojamojaMojamoja-lw2ph 4 หลายเดือนก่อน +5

    Ni kweli hatiwezi kula kijiko kimoja ugali kutwa mara 3 janabi tusamee😂

  • @agnessangawe3844
    @agnessangawe3844 4 หลายเดือนก่อน

    Wale wanachuo wanaokunywa kwenye bar za maprofesa hata kama kichwani ni hewa watapitishwa kwenye mitihani Profesa hatadhubutu kumfukuza maana ni rafiki yake na keshamlia hela zake. Hata akienda Darasani mlevi hataonywa maana alinywea kwenye bar yake. HIZO BAR MACHUONI ZIONDOLEWE.

  • @mhenitv
    @mhenitv 29 วันที่ผ่านมา

    Unajua siasa na TAALUMA havikai PAMOJA kwa UHURU,,,,Fainali baadaye

  • @fatmasalim7132
    @fatmasalim7132 12 วันที่ผ่านมา

    Dr.Janabi tunamshukuru ametuelimisha vizuri tu kwa wanaojali afya zao wameelimika! Kwa wanaojali kujaza matumbo yao tu watakuunga mkono Mzee!

  • @ChoroTesla
    @ChoroTesla 4 หลายเดือนก่อน +13

    Pale mwerevu mjinga anapopambana kuonesha ujinga wake hadharani

    • @SimbaM2kufu
      @SimbaM2kufu 4 หลายเดือนก่อน +1

      Wajinga hua hawaelewi wenye akili.

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 4 หลายเดือนก่อน

      👏👏👏

  • @GibsonNtamamilo
    @GibsonNtamamilo 4 หลายเดือนก่อน +36

    Professor Janabi kaeleza vizuri, shule yake ni kwa wale wasiofanya mazoezi au wasiokuwa na kazi nzito wasile hovyo.

    • @ChoroTesla
      @ChoroTesla 4 หลายเดือนก่อน +1

      ndo wabunge wetu hao... anakuja bila tafiti chanjo hiizi hua zinakuja kutokana na idadi ya ugonjwa kwenye records za hospitali zilivyo haziiibuki kuhusu bajeti punguzeni matumizi ya serikali uanzishe maaabara na nyie mlioko bungeni mnawashambulia wataaalamu.

    • @jahatvonline
      @jahatvonline 4 หลายเดือนก่อน +2

      Dr Janabi anazungumza tafiti yupo makini sana

    • @reynaaalrawahi4137
      @reynaaalrawahi4137 4 หลายเดือนก่อน +1

      Dokta yupo vizuri alichosema. 🎉🎉🎉

    • @dominickmahela1581
      @dominickmahela1581 4 หลายเดือนก่อน +1

      Huyu jamaa leo ndo kaongea pumba tu pengine anaangaliaga meme kuhusu Janabi na hajawahi kumsikiliza😂

    • @phakundigervas1360
      @phakundigervas1360 4 หลายเดือนก่อน

      Kwa Mbunge huyo kila asichokipenda YEYE ni Suomi fake lakini ni mjinga wa bangi believe it.

  • @saidabdallah2649
    @saidabdallah2649 4 หลายเดือนก่อน +4

    😂😂aisehh sio lazima usome sana kikubwa nikujiuliza kabla ya kusema kitu jamaa anajua sana huyu

  • @MahmoudMohamed-gx1fk
    @MahmoudMohamed-gx1fk 4 หลายเดือนก่อน +7

    Dr janabi amefafanuw vzr watu wanofany kaz ngumu wale vp watu wa ofisin wale vp yani zikilizen vzr ufafanuzi wa daktari ,

  • @nyangiboboazi3188
    @nyangiboboazi3188 4 หลายเดือนก่อน +5

    Msukuma una akili sna wew na unastahili kua Doctor

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 4 หลายเดือนก่อน

      Hujui kama alipewa medali ya doctor wa funza chooni?

    • @JonasPhilimon
      @JonasPhilimon 4 หลายเดือนก่อน

      Wanauza bar ndio uwezaji wamaprofessa

  • @BeatriceSoka-c7c
    @BeatriceSoka-c7c 25 วันที่ผ่านมา

    Hajawalazimisha mfate ushaur wake so endeleen kula mnavyotaka mtavuna mnachokipanda mwacheni professor afànye kaz yake wengine piten iv

  • @martinisadru9899
    @martinisadru9899 4 หลายเดือนก่อน +23

    Mbona professor janabi anasaidia watu wengi sana, kupitia mitandao,, naomba mwacheni mzee wetu afanye kazi kuelimisha, na kuboresha afya za watanzania. Msimtengenezee kinyongo,,, serikali inapaswa kuwapa kipaumbele watu kama professor janabi. Na sio kwenda tofauti nao.

    • @samsonhamery3809
      @samsonhamery3809 4 หลายเดือนก่อน +1

      Hujamwelewa mbunge msukuma je wewe unakula kijiko kimoja kama mlo wako wa siku?

    • @martinisadru9899
      @martinisadru9899 4 หลายเดือนก่อน

      @@samsonhamery3809 kwani dr alisema watu wale kijiko kimoja.

    • @ramadhanijuma4130
      @ramadhanijuma4130 4 หลายเดือนก่อน

      Ukiwa hujaelewa ni vema ukanyamaza au ukaomba kueleweshwa.

    • @fatmaallyabdul1732
      @fatmaallyabdul1732 4 หลายเดือนก่อน +1

      Tatizo letu huwa tunapenda kuleta negativity kwenye ukweli,ni kwa vile tumetofautiana miili yetu mwingine hata ale vipi hanenepi ,mbunge hapo aametoa mfano wa mtu anayefanya kazi ngumu what about Mimi ninaeshinda ofisini??Mimi Niko pamoja na professor Janabi katika hili kwa mustakbari wa afya yangu,sina muda/nafasi ya kufanya mazoezi basi acha nifuate kanuni za ulaji bora

    • @farajachiwile7388
      @farajachiwile7388 4 หลายเดือนก่อน

      Ila ni kweli ukipungua wakati wa ujana, utateseka uzeeni. Mtu akifika miaka 50 anapungua muscle na mwili unalegea. Unabaki mifupa.

  • @reginas1832
    @reginas1832 4 หลายเดือนก่อน +1

    KATIBA MPYA NI SASA. Kuingia bungeni lazima uwe na degree atleat ya sheria. Acheni kudhalilisha wasomi

  • @DM_15
    @DM_15 4 หลายเดือนก่อน +2

    Darasa lasabu ndio linautashi kuliko digirii digirii kwenyefamiliazao wanavaa vichupi sebuleni nawatotowao halafu lasaba watoto niwatoto baba ni baba mama ni mama familia ya darasalasaba inajisitiri hakuna kubusiana baba na binti wala baba na kijana , njoohuku kwa wasomi baba ana must binti ye bilatatizo , naunga mkono darasa lasaba nangumbaluo hiz digirii hazina utashi

    • @ChoroTesla
      @ChoroTesla 4 หลายเดือนก่อน

      na kweli naona hata kuandika kuna kushinda rudi tena shule

  • @thabititv3783
    @thabititv3783 4 หลายเดือนก่อน +2

    Msukuma da!! eti sipingani nae dada angu kwakuwa yeye ni mteja wa hvyo vitu

  • @dunstankihaa2383
    @dunstankihaa2383 หลายเดือนก่อน

    Hilo la profesa Janabi kiukweli msukuma hapo kajichanganya

  • @mrishorhassan
    @mrishorhassan 4 หลายเดือนก่อน

    Mhe. Msukuma mimi sijapenda jinsi ulivyomzungumzia prof. Janabi... Nadhani janabi Yuko Sawa maana yeye anazungumzia watu wenye matatizo ya chakula. Tusichanganye siasa na vitu ambavyo ni kweli mimi niko na janabi baada ya kumuelewa na si kuangalia clip fupi za dakika 2 Bila kuelewa nini hasa anamaanisha.

  • @KahambasDaughterTherock
    @KahambasDaughterTherock 4 หลายเดือนก่อน +2

    chanjo kweli zimezidi😂😂😂Msukuma bwana😂😂

  • @Coachsamwel
    @Coachsamwel 4 หลายเดือนก่อน

    Unaweza kuishi bila ugali na wali na ukafanya kazi zako ngumu vizuri tu.. ni mazoea
    Jifunzeni kuhusu Clean Keto.. kwani wamasai waliishije na hawakula sana wanga ? Mbona walikuwa wanakimbizana na wanyama maporini

  • @ibnmoses979
    @ibnmoses979 4 หลายเดือนก่อน

    COMEDY TUPU
    Janabi yuko sahihi

  • @slowclimbertothetop4572
    @slowclimbertothetop4572 4 หลายเดือนก่อน

    Niache kumsikiliza Prof Janabi nimsikilize LY ? Kweli watanzania hatuna akili

  • @preciouspeter6126
    @preciouspeter6126 4 หลายเดือนก่อน

    Mbona Profesa huwa anasema kabisa kula kulingana na kazi unazofanya. Tatizo tunachukua vi- clip tunashindwa kusikiliza kitu chote

  • @twigatv
    @twigatv 4 หลายเดือนก่อน

    ​​LISSU NA NDUGAI WAUNGANA WACHAFUA HALI YA HEWA!!!!
    th-cam.com/video/gqsYK_z0Ppg/w-d-xo.html

  • @elizaandrew5517
    @elizaandrew5517 4 วันที่ผ่านมา

    Hili la kadi za krinik Ziangali we na ulinzi uwekwe Tena watakukulu kama kulikuwa na hela za moto basi na kadi za moto ziwekwe

  • @SamwelBalya
    @SamwelBalya 26 วันที่ผ่านมา

    Kwan kua mbunge unatakaiwa uwe na nn maana naona nikikaa na mm mtambo unawaka😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @kazimoto-eq2th
    @kazimoto-eq2th 4 หลายเดือนก่อน +2

    Ajawai kukosea msukuma baraa sana

  • @hassankongolilo8408
    @hassankongolilo8408 4 หลายเดือนก่อน

    uyu mbunge alotoa taarifa katuzingua. amemkatisha professor wetu mada yake. kijinga sana iko kidada. alaf kimepewa nafasi kimeongea ujinga tu

  • @epielamu891
    @epielamu891 23 วันที่ผ่านมา

    Wewe ni magufuri kabisa yaani natamani upewe uraisi utunyooshe jmnn mmmh nakupenda bure msukuma

  • @epielamu891
    @epielamu891 23 วันที่ผ่านมา

    Janabi anaongea ukweli Kama unafanya Kaz nzito waeza kula izo ugali kwa utaratibu sahihi pumia mwenyewe

  • @ellyitete938
    @ellyitete938 4 หลายเดือนก่อน

    Ka mwaka 2025 kamekaribia tunachomeka kujiimarisha

  • @apostlelukumay1856
    @apostlelukumay1856 4 หลายเดือนก่อน +2

    Msukuma ameongea point, japo hoja zake zinakosa mashiko kwa sababu wanaopaswa kuwajibika wamekaa kimya.

  • @epielamu891
    @epielamu891 23 วันที่ผ่านมา

    Swala la ushoga ni kweli aisee msukuma umesema kweli tunawatukuza wazungu yatatupata yaan twafaaa

  • @danielsengula6471
    @danielsengula6471 21 วันที่ผ่านมา

    Huyo janabi mhimbili anapandisha bei za vipimo na operation

  • @sayunimkongwa9830
    @sayunimkongwa9830 4 หลายเดือนก่อน +2

    Kweli msukuma chanzo zimezidi Sana.

  • @odilomsuha7896
    @odilomsuha7896 2 หลายเดือนก่อน

    Hv tunachukulia serious au ndio imepita hvyoo wizara husika tuangalie jaman vitu vya msingi hv sio utani wala siasa za kufurahishana tuchukue hatua

  • @JOHNASSEY-v3i
    @JOHNASSEY-v3i 4 หลายเดือนก่อน

    Awa ndo wabunge ambao tumewachagua kutetea hoja zetu sisi wananchi ifike mahali ata wabunge tuwe na standard at least awe na ata degree tu itatosha sana Kwa kweli yani najisikia vibaya sana wanapewa Hela nyingi halafu pointless

  • @zephanialuangwaeliatosha9723
    @zephanialuangwaeliatosha9723 4 หลายเดือนก่อน

    Kwahiyo mheshimiwa msukuma unataka vijana wasitahiriwe😂

  • @mariakabonga2
    @mariakabonga2 4 หลายเดือนก่อน

    kiukweli swala la chanjo serekali iwe makini chanjo zimekuwa nyingi na hazieleweki na walim ukiwauliza na wao pia majibu yao hayaeleweki kwa hiyo watoto wetu ndio wamekuwa wakufanyiwa majaribio ya chanjo?

  • @benjaminlijongwa3715
    @benjaminlijongwa3715 4 หลายเดือนก่อน

    NDIO CHANGAMOTO ZETU WABONGO HATUHESHIMU TAALUMA USHAURI WA JANABI NI MZURI KWA SISI WANENE

  • @HuseinMwakindole
    @HuseinMwakindole 29 วันที่ผ่านมา

    Sasa huyo professiona huo mwili wa kulingana na kalamu ya biki wote tukiwa hivyo kwa kwa maana ya ushauri wake tutakuwa na taifa gani hilo ukilinganisha taifa harina ajira ajira zetu zinategemea nguvu?

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq หลายเดือนก่อน

    Uprofesa huo. Ni kama udokta wa heshima hatu muelewi

  • @chrismkama4889
    @chrismkama4889 4 หลายเดือนก่อน +5

    Nilichogundua Watanzania wengi tunachagua wabunge ilimradi.mliyopo kwenye jimbo la msukuma muandikieni notsi za lishe kwenye kimem chake cha bungeni.

    • @festokemibala5832
      @festokemibala5832 4 หลายเดือนก่อน

      Ubaya wa kutokuwa na wasaidizi wa kushauri na kuchambua issues kwa ajili ya uwasilishaji!

    • @TimoJoseph-g5b
      @TimoJoseph-g5b 4 หลายเดือนก่อน

      We nawe toka ulichogea ata akieleweki Msukuma anasema ukweli hili Taifa tunakula sumu nyingi sana tukidai tunaletewa protein kumbe sumu

    • @frankkajoba8372
      @frankkajoba8372 4 หลายเดือนก่อน

      Sasa hapo hujaona alichoongea kina tija? Kwani kipi cha uongo?

    • @TimoJoseph-g5b
      @TimoJoseph-g5b 4 หลายเดือนก่อน

      Wewe unamatatizo inamana umeona kuwa Msukuma kaogea utumbo

  • @EzekiaMichael-jn5np
    @EzekiaMichael-jn5np 4 หลายเดือนก่อน +3

    Janabi ni mtu ganii Kwa mjomba Sasa nimemjua Mungu akupe maisha maref Janabi tundu la sindano

  • @jasonplayz4394
    @jasonplayz4394 28 วันที่ผ่านมา

    Unasema ukweli domana uku uzunguni watu wananenepa bila mpango sababu ya kuku zasiku tatu wiki moja

  • @andrewraphael3098
    @andrewraphael3098 4 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂😂😂

  • @MasaluMakalanga
    @MasaluMakalanga 4 หลายเดือนก่อน

    Msukuma nakukubalikwahabari utafit ,ukosawa kabisa wambie kwel

  • @seifkulwa3346
    @seifkulwa3346 4 หลายเดือนก่อน +14

    Chanjo za watoto wadogo 10 zote za nn?

    • @hagailanda8575
      @hagailanda8575 4 หลายเดือนก่อน

      Zinakazi tofauti, na ukweli tangia enzi tanzania hatuzalishi chanjo zote tunategemea nje. Kuchanja ni muhimu kusema watoto wanavunja ungo au kubalehe mapema ni mtindo wa maisha na siyo chanjo

  • @TitoRufizi-xb2ub
    @TitoRufizi-xb2ub 4 หลายเดือนก่อน +18

    Msukuma unaakili sana kuliko hata hiyo mijamaa inayojiita wasomi uchwalwa

    • @fatmaallyabdul1732
      @fatmaallyabdul1732 4 หลายเดือนก่อน

      Wivu tu eti wasomi uchara,kwani yeye ndio alikwambia uishie darasa la sita???😂

  • @hezronmlwale7416
    @hezronmlwale7416 4 หลายเดือนก่อน

    Hili la utafiti na chanjo za holela nakuunga mkono, miaka michache ijayo kutakuwa na jamii ya ajabu sana hapa nchini. 🤔🤔

  • @BeatriceSoka-c7c
    @BeatriceSoka-c7c 25 วันที่ผ่านมา

    By the way madhara yanawapata ninyi na mnakufa ninyi wala hafi Jànàbi

  • @jumayamlongakahabi4960
    @jumayamlongakahabi4960 4 หลายเดือนก่อน

    kwani wewe unashindwa kujiongeza kwamba janabi anamaanisha nn kwenye mtindo wamaisha tangiapo nmelenga wanaokaa ofcn na anaefanya kaz nyepes ili acjae kitambi

  • @rom-karangakorosho
    @rom-karangakorosho 4 หลายเดือนก่อน +1

    😅😂😂😂😂

  • @ngwashoog7165
    @ngwashoog7165 4 หลายเดือนก่อน

    Kanda ya kaskazini kunavichwa vyenye zahabu tupu

  • @gastondaniel8306
    @gastondaniel8306 4 หลายเดือนก่อน

    KADI ZA WAJAWAZITO MTENGENEZAJI KUNA VITU HAKUWEKA HASA MAMA BAADA YA KUJIFU GUA

  • @BundalaIlagila
    @BundalaIlagila 4 หลายเดือนก่อน

    Kwa hili msukuma yuko sahihi kwa maneno ya ajabu ajabu ya huyu Prof. Janabi mf. wakati wa uhaba wa sukari anasema eti hii iwe ni fursa kwa wananchi kuacha kutumia sukari hii ni siasa maybe anataka kuwa mwanasiasa huyu Daktari ni aibu kwake!!

  • @hezekiamtera3559
    @hezekiamtera3559 4 หลายเดือนก่อน +9

    Professor yuko sahihi.Tulitegemea wabunge muwe na ufahamu mkubwa.Janabi hajakataza kula.Anakataza kula ovyo.Wagonjwa wengi wanakuja hospitalu abawaona

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 4 หลายเดือนก่อน

      Huyu msukuma ni taahira, hovyo kabisa!linashindwa kutumia ufahamu wa kuzaliwa hata kama halijaenda shule,akili tu zakuzaliwa halina, sijui lilipata ubunge hili? kupiga kelele tuu kuharibu spika

    • @agnesjohn9382
      @agnesjohn9382 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@aairraahseif5648utakuwa na hasira na wasukuma wewe pole

    • @fatmaallyabdul1732
      @fatmaallyabdul1732 4 หลายเดือนก่อน +2

      Wanasubiri hadi daktari aseme nakuamdikia dawa utazitumia kila siku na chakula hiki na hiki na hiki usile tena ndio wataelewa nini Professor alikuwa anamaanisha,hebu tuone yeye mwenyewe alivyo na siha njema

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 4 หลายเดือนก่อน

      @@fatmaallyabdul1732 mashaallah hakika umenena 🙌

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 4 หลายเดือนก่อน

      @@agnesjohn9382 Sio hasira na wasukuma!mimi mwenyewe msukuma! Ninahasira na msukuma sindo ajiita hivyo

  • @nedkatunge5702
    @nedkatunge5702 4 หลายเดือนก่อน

    Janabi ni msukuma ambaye hafai kabisa kwa nini alimuua jpm kwa billions of money na nakuambia utakufa kama mbwa kwa dhambi hiyyo

  • @BardenBensonMwamfupe-dk3yg
    @BardenBensonMwamfupe-dk3yg 4 หลายเดือนก่อน +3

    Akili za Janabi changanya na zako

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 4 หลายเดือนก่อน +1

    Huna lolote ulisaport Waarabu kuchukua bandari ukaweka hela mfukoni

  • @pascaldomel1551
    @pascaldomel1551 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mzee unasema kweli,nani kasema msukuma siyo msomi.Mimi naona msukuma anasema ukweli wote ambao sasahivi Tz tumekuwa kama pango la kuletewa chanjo za kila aina.Kama nchi tusipoangali tunaweza kumalizwa na hawa wenzetu kutoka magharib,kwani kumekuwa na magonjwa ya kila aina,mengine hayana majina kumbe ni kwa sababu ya vyakula na chanjo zisizo thibitishwa na wataalamu wetu.

  • @CharlesEdwardCvanoedward
    @CharlesEdwardCvanoedward 4 หลายเดือนก่อน

    Turudi kwenye asili yetu kama Afrika

  • @kazkaz1943
    @kazkaz1943 4 หลายเดือนก่อน +7

    Mimi janabi kanisaidia from 120 kgs to 95kg sina chakumlipa ila mungu atamlipa, kama kitu hakina umuhimu kwako ni bora kunyamaza sababu sio kila kitu ni cha kila mtu pleasee tuachien janabi wetu

    • @cr1sp1n64
      @cr1sp1n64 4 หลายเดือนก่อน

      Naomba kuuliza amekupa ushauri kitu gani?

    • @agnesjohn9382
      @agnesjohn9382 4 หลายเดือนก่อน

      Janabi wako tena 😂😂

    • @kellyngogo3319
      @kellyngogo3319 4 หลายเดือนก่อน

      Amesema wao wa vijijini.wewe wa mjini unakula mno na hupo busy hushiki jembe huna kazi nzito. Uwe unamsikiliza mtu anaongea nini

    • @kazkaz1943
      @kazkaz1943 4 หลายเดือนก่อน

      @@kellyngogo3319 sasa aloambiwa walikua wanaambiwa wao wa vijijini nan? Kwanza mtu wa kijijin hata janabi hamjui mpigie ndugu yako wa kijijin muulize unamjua prof janabi? Au unaongelea kijiji gan?

  • @maimunaahmed3477
    @maimunaahmed3477 4 หลายเดือนก่อน +1

    Tena izo pombe mngezipiga marufuku

  • @danielndilili7525
    @danielndilili7525 4 หลายเดือนก่อน +1

    Au bass msukuma njoo nikupe ng'ombe make unanigusaga kwakwel

  • @allymwashambwa5920
    @allymwashambwa5920 17 วันที่ผ่านมา

    Msukuma pinned it 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🙏

  • @aairraahseif5648
    @aairraahseif5648 4 หลายเดือนก่อน +2

    Wewe msukuma onesha miradi uliwahi kuifanya ktk vijiji vyako unavyo viwakilishi tuone unayoyafanya kwa wananchi wako huko nzera nkome zaidi ya kuiba tuu, unakoroma tuu bungeni kama chura, barabara tuu imekushinda, mtu akifanya maendeleo wewe unapinga unamfanyia figisu akamatwe ili uweke wewe biashara!umevamia ardhi ya watu huko Nkome hata aibu huna

    • @agnesjohn9382
      @agnesjohn9382 4 หลายเดือนก่อน

      Uliwahi kumshitaki au kutoa malalamiko yako sehemu yeyote

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 4 หลายเดือนก่อน

      @@agnesjohn9382 nikesi ya nyani kumpelekea ngedere nini kitafanyika?amejificha ktk kivuli na joho la uongozi!anatumia chama cha CCM na cheo chake kwa njia za kupora!amepandikiza vibaraka wake kama vigezo vya kukalia kimabavu ardhi ya watu! kila akiitwa ktk vikao hatokei amengangania hatoki

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 4 หลายเดือนก่อน

      @@agnesjohn9382 ndio lalamiko liko kwa mkurugenzi,hata waziri wa ardhi anajua! lkn kesi ya nyani kumpelekea ngedere jibu unalo!msukuma anatumia chama C C M nacheo chake vibaya kudhulumu watu,ana watumia vibaya uongozi serikali ya kijiji na diwani kudhulumu ardhi ya mtu na kukalia kimabavu kwa lengo la kupora!kwa maslahi yake binafsi"hata hao viongozi wa kijiji hawafaidiki nae kwa chochote zaidi yakuwa chafua tu kwa wananchi, wanachi hawana imani na uongozi wake mimi mmoja wao!amekua akijimulikisha kwa manufaa yake binafsi kupitia migongo ya watendaji wa ngazi ya kijiji

  • @_.health.wellness
    @_.health.wellness 4 หลายเดือนก่อน

    another proof of importance of going to school before you become a leader😂😂😂

  • @KahambasDaughterTherock
    @KahambasDaughterTherock 4 หลายเดือนก่อน

    chanjo kweli zimezidi😂😂😂

  • @vicenttarimo2203
    @vicenttarimo2203 4 หลายเดือนก่อน

    Kaka unaongea vitu vya maana sana vinafanyiwa kazi

  • @hassanmsangi4149
    @hassanmsangi4149 4 หลายเดือนก่อน

    ILA WASUKUMA WABISHI KWENYE SWALA LA KULA

  • @rosehaule6765
    @rosehaule6765 4 หลายเดือนก่อน +2

    Ee yesu yasn msukuma umeongea mnoo mpaka nimelia uwiii😢😢safi.mnoo sijui itafatiliwa jamani

  • @RechoMasunga-rp9dr
    @RechoMasunga-rp9dr 4 หลายเดือนก่อน +1

    Msukuma wewe ni jembe nakuombea mungu akubariki Sana

  • @athumanimanzabay1894
    @athumanimanzabay1894 4 หลายเดือนก่อน +1

    Dr msukuma ww ni magufuli uliyebakia wachane bhana

  • @LilyMwalugaja
    @LilyMwalugaja 29 วันที่ผ่านมา

    Msukuma. Kwakwer. 😮😮😮😮

  • @gitu4me
    @gitu4me 4 หลายเดือนก่อน

    Kwenye swala la pombe yuko sawa

  • @gitu4me
    @gitu4me 4 หลายเดือนก่อน

    Kwenye swala la pombe yuko sawa

  • @SebastianNgimba
    @SebastianNgimba 4 หลายเดือนก่อน +1

    Yemwenyewe afya mgogoro,Janabi musanii tu,haya tutii kulingana na ushauri wako,sasa tutaishi milele? Aaaaa kaka acha profession yako kua siasa,wamekupa cheo hicho kisiasa unatuchanganya

  • @zephanialuangwaeliatosha9723
    @zephanialuangwaeliatosha9723 4 หลายเดือนก่อน

    Hahaa awaeleze wanao kula tambi

  • @Fundnlly
    @Fundnlly 22 วันที่ผ่านมา

    Safi sana bila hivi tutaisha

  • @DuncanPeter-uv6gx
    @DuncanPeter-uv6gx 4 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu msukuma tumpe uraisi 2025

    • @imranhussein55
      @imranhussein55 4 หลายเดือนก่อน

      Uraisi wa machizi

  • @KahambasDaughterTherock
    @KahambasDaughterTherock 4 หลายเดือนก่อน

    chanjo kweli zimezidi

  • @Goodluck-p9y
    @Goodluck-p9y 4 หลายเดือนก่อน +1

    Bunge ni mara chache sana kusimamia vitu vyenye maslahi muhimu kwa nchi ila vyenye shinikizo la kutoka nje hapo kwa mzungu bado hatujachomoka chanjo hizo ndo vifo vya ghafla haviji kuisha. Msukuma Mungu akusaidie umeongea unaloweza kuongea kwa kifupi umenawa. Tanzania nani wa kuisemea nani wa kuiokoa na mikono ya mabeberu 😭😭

  • @aairraahseif5648
    @aairraahseif5648 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe mwenyewe msukuma unasaratani ya ubongo, unajua kukosoa wengine yako huko vijijini yanakushinda,nguvu za mdomoni tu