Binadamu bwana baba wawatu katuelimisha kama hujamuelewa acha endelea kuishi maisha yako hakulazimishi lakini siyo kumvunjia heshima siku ukuendea pale afya imegoma ndipo utajuwa umuhimu wake tujaribu kuwa na heshima jamani
Baada ya kusikiliza hii maisha yangu yamepata mwanga mpya sana.. Ubarikiwe sana daktari kwa haya maarifa mimi ninafanyia kazi, kiukwel afya ndio mtaji wa kwanza ukichezea afya leo utaaabika sana kesho utatumia gharama kubwa sana
Hongera sana Prof Tbs wamerelax sana hata hawajiangaishi na maisha ya watanzania wapo kimya tunakula na kunywa ving TBs wapo kimya dawa nazo zinapitishwa kinyemela'mafuta ya kula nayo hayapimwi ma tbs kazi kwelikweli
Mungu akubariki sana Prof. Janabi. Nimebadili mfumo wangu wa maisha. No soda, no wali, no ugali. No ngano, no Juice. Nimeona mabadiliko makubwa ktk maisha yangu Mungu ATUSAIDIE.
Wananikera sana baadhi ya waandishi wa habari.Badala ya kuongeza msisitizo wataalam wavyo tufundusha wao wanatoa dhihaka.Niliwasikiliza sana hawa clouds,haukua ujinga waliokuwa wakiufanya bali ni upumbavu.Mpo kwaajili ya kutuelimisha na kutuburudisha,ila linapokuja swala la afya zetu hiyo ni elimu tusifanye mzaha.Tusipotunza afya zetu ujanani afya itachezea pesa zetu uzeeni.Bora umewapa kubwa profesa Janabi.Ninakufuatilia sana,Mungu akupe maisha marefu.
Asante Dr mm nimefuata maelekezo yako nimeweza kupunguza uzito kutoka 82kg hadi 62kg kwa muda wa miez sita kwa sasa najiamin nina rangi mzur shep mzur kwa kweli asante
Kweli dokta anatoa elimu nzuri sana sana japo kuna watu wanakejeli elimu anayotoa yaani tunafanya utani kwenye kila kitu inasikitisha utani wa dini mpaka kwenye afya
Prof nimefuatisha mawaidha yako yamenisaidia sana mfano intermittent fasting, kupunguza sukari yaani hata kuzeeka kumepungua! Nakupa maua yako Prof. Ubarikiwe sana
Janabi yupo sawa mlo mmoja kwa siku ni kitu kinacho fuatwa na wengi waliohamka mimi ni mmojawao kwa miaka7 na tangu hapo sijawahi kurudi hospitality nashangaa watu wanamuona kama kituko wataofaidika ni watakaomfuwata na elimu ya LISHE ni Dhahabu 🇹🇿
Kwenda hospital ni swala la Mungu kakaa Shukuru sana Mungu kwa kutokufika huko Kunawatu hata mlo mmoja kuupata ni kipengele lakini wanaumwa kila siku... Wanashindia matembele yasiyo na mafuta matunda na vyakula kama hivyo lakin wanaumwa kila siku
Watanzania tusiwe wabishi faida za kuwa na maprofesa ni hizo tujivunie kuwa na wasomi wetu wenye mioyo ya kutuelim8sha. Na mambo ya ubishi juu ya maisha yetu siyo tija kabisa.
Nikweli hata mimi nilikuwanajua magonjwa hayo niya wazee. Lakini ngoja nianzie leo kutengeneza uzee wangu wenye afya tele. Naanza leo dokta. Tena namshukulu Mungu aliyesababisha wewe ukawepo duniani, na kukupa maarifa mengi
Ahsante sana kwa elimu,siku hizi watu wakiambiwa watembee na mtu mwenye UKIMWI wapewe 5000000[5M] wanakubali.baadaye mambo yakiaza kubadilika wanaanza kujuta.
Aisee kama ulikuwepo hata mimi hivohivo, afu nikimwona mtu anakunya soda namhurumia sana na nikiona mtu anakula chumvi ile ya pemben mwa sahani ya chips au nyama had nashtuka kama vile mtu kaniwekea barafu ktk uti wa mgongo😂😂
Professor anafanya jambo kubwa sana ,Ila kizazi cha ovyo hakielewi, Elimu ya afya ni bora kuliko tiba,na ndio inayotakiwa sio kuongeza kujenga hospital na kuongeza madaktari
Dr barikiwa mnoo nimedondosha kilo 10 kutoka 74 hadi 64 kwakuwa uref wangu ni sm 164 hivyo niko ktk standard, kweli kula kula hivyo ni kukaribisha maradhi na kifo , kalikuwa kananitoka katambi nimekafyeka kote😂😂, dr pokeaaaa🎉🎉🎉🎉🎉 yako
Hawa, na serikali yao wamewatengenezea watanzania mawazo ya uchungu, kwa ufisadi, yanayopelekea watu kuwa na magonjwa sugu,,,, tumeibiwa sana, hadi watu kukata tamaa, kisha kulewa pombe, kuvuta bangi, watu kukosa pesa hadi kushindia soda na andazi. Nyie mungu anawaona! Amini nawaambia
Tugepata kitabu cha erimu hii nizuri lakini huku mtadaoni wegine awapo piri bado galama tugeuziwa kitabu 2000 tugenunua wegi kikiwa bei kitakua cha wachache
Cheza sasa kupiti shorturl.at/jqzU6 na ushinde
Hongera Dr Kwa somo zuri.... keep it up.... achana na hao wanatoa kweli.
Daniel Robinson
Binadamu bwana baba wawatu katuelimisha kama hujamuelewa acha endelea kuishi maisha yako hakulazimishi lakini siyo kumvunjia heshima siku ukuendea pale afya imegoma ndipo utajuwa umuhimu wake tujaribu kuwa na heshima jamani
Sawa sana daktari ila ukumbuke Kuna kukosasa na inakula chochote unachoata. Hali za maisha kwa Sasa hata kutunza afya ni vigumu labda isile
Huyu dr mi namkuli mno na namfuatilia sana,tatizo la watz wanapenda mno kula sijui kwnn
Umeona eeh
Baada ya kusikiliza hii maisha yangu yamepata mwanga mpya sana.. Ubarikiwe sana daktari kwa haya maarifa mimi ninafanyia kazi, kiukwel afya ndio mtaji wa kwanza ukichezea afya leo utaaabika sana kesho utatumia gharama kubwa sana
Asante dr.janabi kwa elimu nzuri mimi nimekuelewa sana mungu akubariki.
Pr janabi yaani elimu yako mimi naifutilia sana na inanisaidia sana mungu akubaliki akulinde uzidi kutupa elimu
mashaAllah this is the best education that we need to understand the most.
Barikiwa Dr. kwa kutuelimisha
Mungu akubariki. Dr
Dr asante Kwa SoMo hili, umesaidia watanzania wengi mno wanaochukua hatua na kubadilika mwenendo wa ulaji kiafya.
Mwenyezi Mungu akubariki sana Prof kwa elimu unayotoa ingawa wengine wanachukulia kama mzaha.
Mangu aku bariki sana sana kwa elimu na maelekezo yako afya yangu ni bora kabisa yani nime pona kabisa Dr
Nilijifunza zaidi kwenye vyakula vya wangaa, kekiii kweli cjui tena, asante Baba Mungu akulinde.
Very true Dr Janab.Mwenyezi Mungu azidi kukupa maisha marefu, tunajifunza mengi kutoka katika mada zako.
Mungu akulinde Prof Janabi. Wewe unaupendo wa kweli kwa wa Tz
Hongera sana Prof Tbs wamerelax sana hata hawajiangaishi na maisha ya watanzania wapo kimya tunakula na kunywa ving TBs wapo kimya dawa nazo zinapitishwa kinyemela'mafuta ya kula nayo hayapimwi ma tbs kazi kwelikweli
Afya ni mtaji kwa maisha bora ya sasa na baadae, tukishupaza shingo lazima tutamkumbuka Prof. Janabi tukiwa kitandani.
Kweli 100% tutunze afya yetu itakuja kutusaidia Uzeeni. 👍asante Doctor.
Prof.Daktari thanks soo much for the wisdom..You are a God Inspired Doctor..
Safi sana Professor, unaelimisha sana.
Mungu akupe umri mrefu DK wetu, Na Allah ampe moyo wa huruma zaidi mama yetu mpenzi mh .rais samia she luhu Hassan kukupa kazi bora zaidi
Asante sana doctor
Asante Prof kwa ushauli ni nzuri sana na endelea mimi nafuata nadha i na wengi
Asante dr. Kwa ushauri. Mimi nipo tayari kubadilisha lifestyle.
Mungu akubariki sana Prof. Janabi. Nimebadili mfumo wangu wa maisha. No soda, no wali, no ugali. No ngano, no Juice.
Nimeona mabadiliko makubwa ktk maisha yangu
Mungu ATUSAIDIE.
Ko unakula nini ndg
Nielekeze na mimi unachokula. Mana mi sioni kingine
Mungu akulinde Docta wetu
Asante Professor Janabi
Wananikera sana baadhi ya waandishi wa habari.Badala ya kuongeza msisitizo wataalam wavyo tufundusha wao wanatoa dhihaka.Niliwasikiliza sana hawa clouds,haukua ujinga waliokuwa wakiufanya bali ni upumbavu.Mpo kwaajili ya kutuelimisha na kutuburudisha,ila linapokuja swala la afya zetu hiyo ni elimu tusifanye mzaha.Tusipotunza afya zetu ujanani afya itachezea pesa zetu uzeeni.Bora umewapa kubwa profesa Janabi.Ninakufuatilia sana,Mungu akupe maisha marefu.
Prof.,thank you Sir .My God bless you man of God.
Asante Dr mm nimefuata maelekezo yako nimeweza kupunguza uzito kutoka 82kg hadi 62kg kwa muda wa miez sita kwa sasa najiamin nina rangi mzur shep mzur kwa kweli asante
Umefanyaje ndugu kupunguza❤uzito
😂 hata mimi nimezidondosha kilo 10 kutoka 74 hadi 64 kwakuwa nina urefu wa sm 164 hivyo niko ktk standard
Doctor Mungu akuweke nimeacha soda nashukuru Mungu
Kweli dokta anatoa elimu nzuri sana sana japo kuna watu wanakejeli elimu anayotoa yaani tunafanya utani kwenye kila kitu inasikitisha utani wa dini mpaka kwenye afya
Asante ubarikiwe abarikiwe aliekusomesha
Mungu akubariki Prof. Usichoke kutushauri
Ubarikiwe Prof.
We are lucky to have such a person🎉
Asante sana Dr. Janabi kwa hii elimu. Mungu akubariki
Hizo Mada Zako ni Nzuri Nakuomba Tunga Kitabu ch Kiswahili itakuwa Umeacha Urithi Mzuri Kizazi na Kizazi Mwenyezi MUNGU akubaariki
Watanzania wengi hatusomi vitabu acha atuambie kwa mdomo tunamuelewa kuliko kuandkiwa kitabu acha mambo ya kiAmani
Comment makini kuliko zote 🤝
Yeap kwa faida ya vizazi vijavyo itapendeza hizo nondo ziwekwe kwenye docomentary
Kweli
Hasa tena hili ndilo litalotusaidia, sisi wengi
Asanten sana je Kahawa tunywe kiasi gani
binafsi mzee amebadisha maisha yangu namuelew sana mzee ana nia njema na anatoa sadaka kubwa kwenye jamii
Prof nimefuatisha mawaidha yako yamenisaidia sana mfano intermittent fasting, kupunguza sukari yaani hata kuzeeka kumepungua! Nakupa maua yako Prof. Ubarikiwe sana
Janabi yupo sawa mlo mmoja kwa siku ni kitu kinacho fuatwa na wengi waliohamka mimi ni mmojawao kwa miaka7 na tangu hapo sijawahi kurudi hospitality nashangaa watu wanamuona kama kituko wataofaidika ni watakaomfuwata na elimu ya LISHE ni Dhahabu 🇹🇿
Tatizo mazoea
Kwenda hospital ni swala la Mungu kakaa
Shukuru sana Mungu kwa kutokufika huko
Kunawatu hata mlo mmoja kuupata ni kipengele lakini wanaumwa kila siku...
Wanashindia matembele yasiyo na mafuta matunda na vyakula kama hivyo lakin wanaumwa kila siku
@@OchoaHomeDecor_Mungu amempa mtu akili , acha kumpakazia Mungu kwasababu yakukosa kwako kuitumia akili yako sawa sawa
Apewe maua yake Le professor mm namkubali sana
Ubarikiwe sana dr kweli kula ovyo kunazeesha unakula masukari mengi mawanga mwisho unakuwa manyama uzembe
Kwa nini kitengo cha lishe kimefungwa.
Ubarikiwe
Watanzania tusiwe wabishi faida za kuwa na maprofesa ni hizo tujivunie kuwa na wasomi wetu wenye mioyo ya kutuelim8sha. Na mambo ya ubishi juu ya maisha yetu siyo tija kabisa.
Mungu akupe maisha marefu tuendelee kuchuma elimu toka kwako 9:03
Asante Prof kwa Darasa
Ukiwa bado huna panapo kuwasha Unaweza jua huyu mtaalam ana chekesha usiombe yakukute ya sikie kwa jilani yako. Fata maelekezo
Daah kaka Emmanuel umesema kweli
Dr wangu pambe nakukubali sana
Nikweli hata mimi nilikuwanajua magonjwa hayo niya wazee. Lakini ngoja nianzie leo kutengeneza uzee wangu wenye afya tele. Naanza leo dokta. Tena namshukulu Mungu aliyesababisha wewe ukawepo duniani, na kukupa maarifa mengi
Clouds mmemsikia Daktari acheni mambo yenu ya kufanya dhihaka mnapotosha jamii
Allah atulinde na maradhi dr MashaAllah antoa elimu vizuri ,ningefurahi zaidi angelinganisha elimu yake na kitabu kitakatifu cha quran
Dr Janabi yupo sahihi kwa asilimia zote ,,,,,Fainali uzeeni
Ahsante sana kwa elimu,siku hizi watu wakiambiwa watembee na mtu mwenye UKIMWI wapewe 5000000[5M] wanakubali.baadaye mambo yakiaza kubadilika wanaanza kujuta.
Mzee Yuko sawa ana nyoosha huu kwele japo Kila kifo kina Sababu
Pfs janab yupo sawaa .ukimsikiliza utapata faida. Yaa.afya yako ❤❤❤❤.prfs.janabi
Yaani Ur very good hakika unatuelimisja saan
Mungu wangu uwe nasi siku zote amina tanzania 🇹🇿
Ahsante sana kwa elimu d.r upo sahihi kabisa ,endelea kuelimisha Jamii ya Watanzania
Prof uishi siku nyingi elimu yako inamanufaa sana 🤝
Mungu azidi kukutunza
Tatizo Hela tu utazeekaje mapema !?
Ubarikiwe sana
Asante Dr
Elimu nzuri sana
Doctor naomba kuuliza kula mchele mbichi kunasababiasha unene wa mwili
Umenisaidia sana
Nisaidie namba profesa please...
Mashaallah mungu atakulipa
Sikuhizi Kila niki taka kula chipsi au kunywa soda, natokewa na sura ya huyu jamaa😢😢😢
Mungu tusaidie tu
AISEE tunafakamia tu
Aisee kama ulikuwepo hata mimi hivohivo, afu nikimwona mtu anakunya soda namhurumia sana na nikiona mtu anakula chumvi ile ya pemben mwa sahani ya chips au nyama had nashtuka kama vile mtu kaniwekea barafu ktk uti wa mgongo😂😂
Hahahaha 😂nimecheka kwa sauti
Dr swali langu ni kwamba je tatizo la presha huwa linapona?
asante kwa masomo,,
Congrats.🎉❤
Ubalikiwe sana
Prof,Kwa wasio na smartphone wanapataje elimu hii?
Nadhani ww ndio utakua smart yao
@@jumamaganga5064😂😂😂😂
Dr hayo mapete vipi?
Dr boazalikuwa sahihi
Nimekuelewa
Asante
Prof,husichoke kutoa elimu,wapo wanaokuelewa,watanzania wanatabia ya kuchukulia mambo mzaha.
Nakuelewa mnooo mkuu
Professor anafanya jambo kubwa sana ,Ila kizazi cha ovyo hakielewi, Elimu ya afya ni bora kuliko tiba,na ndio inayotakiwa sio kuongeza kujenga hospital na kuongeza madaktari
Mukali sana
Big up
Dunia inaenda kasi sana, anayetaja sababu za kuzeeka mapema na yeye kazeeka kabla ya muda.
Yaani watz mna dharau sana"mnapewa elim kwa faida yenu"unamponda kisa mlevi na unavuta sigara
Pro f oyeee🎉
Mhh Doctor Janabi
Zingatia maelezo yake kwa faida yako. Kejeli hazisaidii.
Dr asantee
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maalifa ona watu wanavyo dhihaki wakati ni elimu nzuri kabisa.
Dr .ufumbuzi ni kuachana kutumia soda na jiusi maana hata kusoma shida
Anazungumza kweli kabisa
Maradhi utatunusuru wanaadamu huwaezi bro .
Jamani dokta yuko sahihi sasa mnapoleta matan sio sawa
Wanongo jmn punguzeni mizaha walah😂😂😂😂
Dr barikiwa mnoo nimedondosha kilo 10 kutoka 74 hadi 64 kwakuwa uref wangu ni sm 164 hivyo niko ktk standard, kweli kula kula hivyo ni kukaribisha maradhi na kifo , kalikuwa kananitoka katambi nimekafyeka kote😂😂, dr pokeaaaa🎉🎉🎉🎉🎉 yako
Heavy Talk
Hawa, na serikali yao wamewatengenezea watanzania mawazo ya uchungu, kwa ufisadi, yanayopelekea watu kuwa na magonjwa sugu,,,, tumeibiwa sana, hadi watu kukata tamaa, kisha kulewa pombe, kuvuta bangi, watu kukosa pesa hadi kushindia soda na andazi. Nyie mungu anawaona! Amini nawaambia
Kumbe anavuta sigara,jmn
Golden Star...
Naomba kuuliza asali sukari yake inamadhara?
Sana
Tugepata kitabu cha erimu hii nizuri lakini huku mtadaoni wegine awapo piri bado galama tugeuziwa kitabu 2000 tugenunua wegi kikiwa bei kitakua cha wachache