Tatizo huyu dada hajui kujielezea,wala hajui kusimulia nini kilimtendekea katika maisha yake,japo davista anajaribu sana kum guide na kumuuliza swali ambalo jibu lake ni refu la yy kujielezea,bdo still hajajua kutiririka /kusimulia historia ya maisha yake.Ni kama alikuwa anatoa Advertise tu ya Kanisa sehemu lilipo,uduma na mchungaji.kiufupi hii yake sio historia bali ni Adverticement ya Kanisa
we n mmoja wa wachawi kwenye hii channel ya davistar, na maneno hayo unacomment kila post yana maana. Ningekuwa @davistar nngeshakublok muda kwa channel
Naona davister umerudisha zile stori tunazozipenda, shukrani sana
I THANK GOD FOR YOU DAVISTA, THE POWERS OF DARKNESS HAVE NO AUTHORITY OVER THE SONS OF GOD. PRAISE THE LORD JESUS CHRIST.
Nice to see you well and healthy brother kazi endelee
Nice to see you Sir Davistar
Muunganishe na power mangwana...nae alikua anatafuta mke😊
Brother Davistar kazi unayofanyia Mungu ni kubwa sana.Mungu ako nawe.Hawezi kukuacha.
davist 😂😂😂😂 sasaiv unanenepa brothe
Good to see you dav again wish you good health and may God continue blessing and protecting you
Pole kwa kwa matatizo yanayo kusumbua kamanda wa Yesu..
Mr fact everything welcome back
Pole sana davistar
Pole our friend shetani ashindwe
Davista pole kwa kuteseka kwaajili yetu. Unatusaidia sana kiroho... tunaumia tusipokuwa tunaona post zako siku nzima ila tunaelewa na tunashukuru
Mr facts
Shukrani sana ndugu davistar🎉🎉
Unaendeleaje davistar ... hope Mungu amekupigania n'a anaendelea kukupigania
Karibu sana Ndugu Da
Karibu sn D
How are you Davister,God is gd welcome back
Tatizo huyu dada hajui kujielezea,wala hajui kusimulia nini kilimtendekea katika maisha yake,japo davista anajaribu sana kum guide na kumuuliza swali ambalo jibu lake ni refu la yy kujielezea,bdo still hajajua kutiririka /kusimulia historia ya maisha yake.Ni kama alikuwa anatoa Advertise tu ya Kanisa sehemu lilipo,uduma na mchungaji.kiufupi hii yake sio historia bali ni Adverticement ya Kanisa
Nakukubali dm
😂😂hahahahaaa nahiii haiishi utakuta ndo ishaishia hapo
Nimefrahi kukuona una afya njema
Bila Yesu kazi kweli hupenyi kwa hao wachawi
Sehemu Zuri kushikwa picha shika picha Davita apo juu kwenye mwamba
Eeeh nilikuwa nakusubiri
Pamoja sana
Ushuhuda mzuri
Jamani David Anitha rutubwi yuko wapi
Davista unaendeleaje mzee
Mbona dada Ana smile 😃 sana kwenye interview ,haoneshi serious..
Hajui kusimulia
Davista unaendeleaje!??
Kaka Davister umepona? Twambie maendeleo yako maana mimi ni mmoja wa watu tuliokuwa tunakuombea
Wa kwanza
Nimewahimo wa 5
Kaka Davistar hujambo nafrah kukuona
Sasa iv limekuwa kanisa unazingua
Hz ndo story tunazozopenda sas
Huyu ni Davista mata au ni ndugu yake? Anaendeleaje kwa sasa
Uyu dada Ni mchanga mufu kwenye stori ila aarukia story akwendi atuwa kwa atuwa
J.B.B.1999
we n mmoja wa wachawi kwenye hii channel ya davistar, na maneno hayo unacomment kila post yana maana. Ningekuwa @davistar nngeshakublok muda kwa channel