PART1:BIBI ALINIINGIZA KWENYE UCHAWI NIKAJIKUTA NALAZIMIKA KUFANYA MAUAJI MENGI MPAKA NJE YA NCHI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 62

  • @user-fr9bb9xz1v
    @user-fr9bb9xz1v ปีที่แล้ว +9

    Huyu mtangazaji anazinguaji bwana ndio ndio nyingiiiii

  • @angelalyimo2862
    @angelalyimo2862 ปีที่แล้ว +2

    Kijana mzuri sana but but bibi kamwaribu i hope umeshaacha

  • @dulayowakiba569
    @dulayowakiba569 ปีที่แล้ว

    Ndio, ok

  • @mariamnuru9939
    @mariamnuru9939 ปีที่แล้ว +3

    Matangaji anazingua Sana ndio ndio achana kijana aleze story vizuri muache aflow nae

  • @dulayowakiba569
    @dulayowakiba569 ปีที่แล้ว

    Uyo dogo msimualiaji anaangaza huku na huku anahisi Davister au sheby atatokea 😀

  • @Patience.67
    @Patience.67 ปีที่แล้ว

    Asante davistar Kwa program tamuu tamuu raundi hii weka sawaaa sana

  • @scholamwasi2782
    @scholamwasi2782 ปีที่แล้ว +1

    Aya tulio sikia ndio ndio ya mtangazaji mpya tulio keleka tujuane 😡

    • @khadijabonface
      @khadijabonface ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @shijandobehe4953
    @shijandobehe4953 ปีที่แล้ว

    Story nzur muongozaji mzuri hana maswali mengi kazi iendelee

  • @lizhams8607
    @lizhams8607 ปีที่แล้ว +2

    Huyu kijana Mungu anampenda ili awez kuwa na nguvu za Mungu saidi ajifunze maandiko, biblia atakuwa moto sana , saa hii nikama hajielewi kiasi lakini ana upako

  • @jotafungo4622
    @jotafungo4622 ปีที่แล้ว

    Haya kazi imeanza

  • @EdwinJaphet
    @EdwinJaphet 8 หลายเดือนก่อน

    Huyu mtangazaji Davistar Hana utulivu, kila mara Ndio, okay, na kurudia rudia maneno ya msimuliaji. Jifunze kuwa professional yaani unaboa sana Sana. Natamani usome comments za watazamaji ili ubadilike. Kaa kimya tulia na ongea tu pale unapohitaji kuuliza swali na pia usiulize maswali yasiyokuwa ya msingi.

  • @mzeemselem1657
    @mzeemselem1657 11 หลายเดือนก่อน

    Ndio Ndio za kazi gani wewe ama wataka tukutupie skadi 😅😂😅😅

  • @maryworkman635
    @maryworkman635 ปีที่แล้ว

    Davista sio kwa ubaya, bali sio kila mtu amechaguliwa kuwa na kibali cha mweziwe kama huyo mtangazaji anapenda sana hiyo kazi mwambiye akusaidiye kuhudumiya viyombo, akiwa huko nyuma ya viyombo hata akiwa na hizo ndio ndio zake ziwe ni zake tu! Sio zetu yeye ni ndio ndio ndio zana booo!

  • @edithaeugeni9695
    @edithaeugeni9695 ปีที่แล้ว

    Hyu mtangazaji anabowa kurudya rudya maneno bwana

  • @pantaleobaltazarimallya3164
    @pantaleobaltazarimallya3164 ปีที่แล้ว +1

    Da bado chalii mdogo

  • @kipchorngwonektiroto457
    @kipchorngwonektiroto457 ปีที่แล้ว

    Ndio ndio ndio ndio are too much!

  • @rosemaryjuliyo
    @rosemaryjuliyo ปีที่แล้ว

    Spid ya maongez muwe mnawqambia jamn na pia mtangazaji plz acha kuitikia plz mfano akatokeq nawew akatokea 😅😅

  • @edithaeugeni9695
    @edithaeugeni9695 ปีที่แล้ว +1

    Davista please tuletee wamayo aje Atupe tu hata hi na wale mlio andaa sadaka kwaajili ya wamayo mkuje hapa kulaik

  • @marrypius576
    @marrypius576 7 หลายเดือนก่อน

    Davista msifanye hivy kwanin msifanye kwa ishara

  • @elizabethasajile9380
    @elizabethasajile9380 ปีที่แล้ว

    Hixo ndio zinakata stim sana

  • @joannasue3407
    @joannasue3407 ปีที่แล้ว +1

    Nimeshindwa kusikiliza,huyu anayeongoza kipindi hajapitia mafunzo ya utangazaji? Hatuhitaji kusikia ndio zake, ebu Davistar rudia hii sehemu ya Kwanza bila hiyo sauti yake,Mimi nimekomea dakika ya 3:21, anaudhi huyo

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme ปีที่แล้ว +1

    Ni poa sana mtangazaji hauliziulizi maswali ovyo kama Alawi anazingua sana anauliza maswali mengi mpaka miyeyusho

  • @maryworkman635
    @maryworkman635 ปีที่แล้ว +1

    Story nzuri laki anaiaribu ndio ndio nyingi ok ok nyingi maswali mengi sasa ni yeye ndio anatuwambiya story ama ni huyo kijana? Davista huyo ndio ndio atakuwaribiya view bwana mwambiye atusaidiye kushika viyombo ajifunze kwako, hebu mwambiye haesabu hizo ndio hapo, ndio nyingi kuliko story la haula Davista hebu rudiya hiyo story bwana mimi nimetiya like yangu kwajili ni channel yako tu! But siku penda mtangazaji. Huyo akiwa na show yake naona atakuwa akisikiza mwenyewe tu na familia yake kwa vile washa zoeya hizo ndio ndio bwana! Bali hizo ndio sio za kila mtu hii story naona itaitwa ndio ndio basi

    • @khadijabonface
      @khadijabonface ปีที่แล้ว

      You 🙌🙌🙌🙌🙌🙌😂😂😂😂😂😂😂😂😂nimecheka aki sawa tu😅😅😅😅😅😅mbavu zangu naziurumia. Na Ii comment yako 🤌🤌🤌😂😂😂😂

  • @angelalyimo2862
    @angelalyimo2862 ปีที่แล้ว +1

    Mhh huyu mtangazaji mgeni nini?

  • @queenhenagu3496
    @queenhenagu3496 ปีที่แล้ว

    Huyuu jamaaa vip na ndio zakee haya asikilize mwenyewe

    • @khadijabonface
      @khadijabonface ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂🤌🤌🤌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @sophiambilla2867
    @sophiambilla2867 ปีที่แล้ว

    Uyo mtangazaji awezi kumuoji mtu fanya kipindi we mwenyewe kaka davista

  • @user-hi9xd9ok1e
    @user-hi9xd9ok1e ปีที่แล้ว

    Sauti mpya

  • @nantaembanusurupia5674
    @nantaembanusurupia5674 ปีที่แล้ว

    Ok

  • @nadystyle339
    @nadystyle339 ปีที่แล้ว

    Huyu mtangazaji natamani ningekuwa karibu yake nimzabee likofi lamotoo ndo nini hivi mbona anatufanyia mambo meusi meusi😮

    • @khadijabonface
      @khadijabonface ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @annapeter-wb6iv
    @annapeter-wb6iv ปีที่แล้ว

    We mtangazaji vipi ujue unaboa

  • @mohdbest5859
    @mohdbest5859 ปีที่แล้ว +1

    mtangazaji unaharibu sana yaani kama unaemfundisha kuongea mwache ahadithie mwisho uliza unachotaka sasa kila akiongea nawe unamalizia unatoa ladha

  • @asifkhanalifkhan6358
    @asifkhanalifkhan6358 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji unairikia kama unaelezewa wewe!ACHA upuzi wako!Devistet unapoteza uhalisia

  • @peterstewart9935
    @peterstewart9935 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji pokea maoni ya wadau,muache mtoa story aflow mwenyewe na pia pale inapobidi kuuliza maswali uliza maswali yanayoleta maana zaidi,siyo kumuuliza maswali ya kitu ambacho ameshakieleza,kwa mfano,amekuambia kuwa "walikuwa wanatega dawa" halafu unamuuliza tena "mlikuwa mnatega dawa?",nafikiri swali chokonozi lingekuwa "hizo dawa mlikuwa mnategaje?" aeleze process.

  • @ninabizimana6869
    @ninabizimana6869 ปีที่แล้ว

    Kwani wew ni lazima na wew urudulia ndani

  • @imhotepheru436
    @imhotepheru436 ปีที่แล้ว

    DM, Asante sana kwa stories/vipindi, ila tunaomba Introduction of guest and host please kama kawaida yako please 🙏🏿🙏🏿❤❤

  • @tututz100
    @tututz100 ปีที่แล้ว

    J.boys 1999

  • @babyboss2886
    @babyboss2886 ปีที่แล้ว +1

    Sauti mpya nyuma ya mic

    • @DavistarMataMediaDM
      @DavistarMataMediaDM  ปีที่แล้ว +1

      Yes nawafundisha kazi vijana wapya

    • @rerisamba
      @rerisamba ปีที่แล้ว +1

      Na hivyo ndio Davistar Mata iliendelea kuwa kubwa

  • @EdwinJaphet
    @EdwinJaphet 8 หลายเดือนก่อน

    Davistar tulia basi, funga mdomo muache asimulie.

  • @imagepower3641
    @imagepower3641 ปีที่แล้ว

    Unazingua.

  • @samjosh12
    @samjosh12 ปีที่แล้ว

    Mbona hakuna introduction? Hakuna utambulisho, hakuna historia ya mhusika kwa ufupi.

  • @evachuwa3809
    @evachuwa3809 ปีที่แล้ว

    Yaani bila MUNGU tutanyooka TUSAIDIE TU BABA WA MBINGUNI

  • @kotadapotar5094
    @kotadapotar5094 ปีที่แล้ว

    Mbona mtangazajì humuulizi mashwali wewe Unaitikia tutaelewa vipi kiundani??bila kuuliza?🇹🇿🇬🇷⛴⚓

  • @vicksanga9958
    @vicksanga9958 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji zero kabisaa ctaki kuisikiliza hii story...ndio ndio kibao af anadakia story anakeraaaa

  • @kelvin_Songea2023
    @kelvin_Songea2023 ปีที่แล้ว

    hizi ndio zimezidi sana huyu mtangazaji

  • @angelalyimo2862
    @angelalyimo2862 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji unazingua unarudi rudia story

  • @mbarakausein6534
    @mbarakausein6534 ปีที่แล้ว

    Hii Ni simulizi au maswali na majibu ? Muache mtu asimulie bhana

  • @JaneDoe-hf3zy
    @JaneDoe-hf3zy ปีที่แล้ว

    Tulia wewe maandio maa sisi ndio tuna sikiliza