PART1:KIJANA ALIEPELEKWA MAKKAH NA FREEMASON NA KUCHUKULIWA VITU MWILINI/NIMEJICHUA MIAKA 19

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 167

  • @apostleogunaministries3846
    @apostleogunaministries3846 หลายเดือนก่อน

    i am watching from Nairobi Kenya Ni APOSTLE OGUNA SAMWEL NIMEJIFUNZA MENGI KWA VIPINDI VYAKO

  • @bakari-si1pw
    @bakari-si1pw 2 ปีที่แล้ว +5

    Karibu kijana wa kupanda mnazi Kwa mkono mmoja hii atari sana

  • @isakamwambenja7397
    @isakamwambenja7397 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu akuinue na azidi kukulinda sana

  • @adaboychibu1659
    @adaboychibu1659 2 ปีที่แล้ว +13

    Nimegundua kuwa hiki kipindi kinaupotoshaji mkubwa kwenye Iman hasa dini ya kiislam mwanzo nlikuwa najifunza sana kwa story za kweli lakini nimekuja kugunduwa hii online tv ni ya dini flani na inatumika kuchafua iman flani na kuitukuza imani nyingine kuwa ndio sahii !

    • @Mrdcobraa11
      @Mrdcobraa11 2 ปีที่แล้ว +2

      That’s True Bro
      Kwa muda mrefu Nilikua Nafatilia Hiki Kipindi Kilikua Kizuri But Now Inaonekana Zahir Kua Jamaa wanapondea Dini Fulani Kueka Dini Fulani Juu Ingawa yeye mwenyewe anasema Hazungumzii Dini Ya mtu Lakini Sio Kweli
      Davista Stop Doing This Shit Bro Utapoteza Baadhi Ya mashabiki

    • @adaboychibu1659
      @adaboychibu1659 2 ปีที่แล้ว +3

      @@Mrdcobraa11 kabisa bro jamaa mnafki sana binafsi mi nimeshampoteza !unapoitaja makkha inaamana kubwa sana kwa historia ya waislam,ni mji takatifu alafu wee unakuja kuichafua kirahisi hivyo kwa story za uongo

    • @salimalaquimane3077
      @salimalaquimane3077 2 ปีที่แล้ว +2

      Me nlilona ilo mda mref kias mapenz yang kwa kipindi yame pungua

    • @nooor1120
      @nooor1120 2 ปีที่แล้ว +1

      Hata mimi zamani nilikua addicted na hiki kipindi ila nimegundua kuna upotoshaji na ukandamizani wa dini ya kiislam ila nawambia tu mkikubali mukikataa kuwa hakuna atakae fanikiwa kuuchafua uislam hata mkijaribu vipi kwani wameshindwa mapadri wa rome na nchi kubwakubwa waliotangulia karne za nyuma kila wakijaribu kutia dosari uislam ndio zaidi makafiri wanafatilia na kujua ukweli mwisho wake wanasilimu .
      Kwahio dini ya haki ni uislam na haki itabaki kuwa haki hata mukifanyaje nikuhangaika bure na kujipalia makaa mbele ya mola wa haki nae ni Allah huo ndio ukweli usiopingika mkikubali mukikataa.

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 2 ปีที่แล้ว +3

      Unafata nn kuskliza apa we vp lkn Adam hukui tu? Skia nkwambie kitu uislam Ni ushilikna kwan wemwenyewe sishahd wamambo hayo? Au ulipo biashala yako iyo unaiendeshaje? Acha unafk ukguswa unalukaluka

  • @khadijaabdullah6328
    @khadijaabdullah6328 2 ปีที่แล้ว +3

    Hayo macho yake tu Yy mwenyewe ni shetani🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @shukrimusa528
    @shukrimusa528 2 ปีที่แล้ว +4

    Watanzania bana.wanapenda kuskiliza stori za uongo

    • @noelbernard6390
      @noelbernard6390 2 ปีที่แล้ว

      Hautaki kukubali ukweli.

    • @briandeflugel9055
      @briandeflugel9055 2 ปีที่แล้ว +1

      Hata hapa jirani 🇰🇪 tunapenda story za ukweli... Shuhuda za kweli... Mr Facts endelea vivo hivo.....

  • @bintalmasi2393
    @bintalmasi2393 2 ปีที่แล้ว +4

    Ahsante Davista hii inaonekana ni ya kipekee sana, tufunuliwe siri za arabia.

  • @isakamwambenja7397
    @isakamwambenja7397 3 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana mtumishi wa Mungu Davista

  • @officialczeey9619
    @officialczeey9619 ปีที่แล้ว +3

    Tukisambaza story kuwaaminisha watu, tukumbuke Mungu hapendezwi na Uongo. Mungu amsamehe

  • @tydookoh2146
    @tydookoh2146 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @newtonrobert9525
    @newtonrobert9525 2 ปีที่แล้ว +3

    Wa kwanz kucomment tuko pamoj san davista

  • @acimamalingano8556
    @acimamalingano8556 2 ปีที่แล้ว +1

    Pamoja saana Mr everything 💪

  • @JamallyHMlela
    @JamallyHMlela 2 ปีที่แล้ว +4

    Story za huyu Davista ukizikiliza vizuri kwa sikio la story za Kweli hakuna ukweli wowote

    • @noelbernard6390
      @noelbernard6390 2 ปีที่แล้ว +2

      Mara nyingi nyie mnaobisha bisha ukweli ndiyo wachawi wenyewe.

    • @austorb.nyondo2708
      @austorb.nyondo2708 2 ปีที่แล้ว

      Achana nazo tuachie tuojua maandiko na namna Mungu aishivyo

    • @JamallyHMlela
      @JamallyHMlela 2 ปีที่แล้ว

      @@austorb.nyondo2708 Sawa bwana maandiko kujua

    • @JamallyHMlela
      @JamallyHMlela 2 ปีที่แล้ว

      @@noelbernard6390 Sawa mtabiri

    • @saleemsuleiman2220
      @saleemsuleiman2220 24 วันที่ผ่านมา

      SAWA MCHAWI😂

  • @bluebrown5566
    @bluebrown5566 2 ปีที่แล้ว +2

    Hio nguvu ambayo aliyopata akiwa kwenye hatari inatwa adrenaline rush na kilamtu anayo wakati wowote wa hatari.

  • @munakhamis982
    @munakhamis982 2 ปีที่แล้ว +10

    Kwanz ifahamike Makkah ni wapiiii.....msihusishe dini na mji ni vtu tofaut cos huko makah pia kuna wat waovu maan ni binadam hakuna aliyekamilika ......

    • @lutufyodixon9997
      @lutufyodixon9997 2 ปีที่แล้ว +3

      Relax dawa ikuingie... Dunia hii n zaidi uijuavyo

    • @mamananga2849
      @mamananga2849 2 ปีที่แล้ว +1

      Umeongea sahihi

    • @DWAYNEKI
      @DWAYNEKI 2 ปีที่แล้ว +4

      @@lutufyodixon9997 hua mpo wepesi na haraka kujibu mkiskia tuu hata ukucha ukitajwa Uislam faham kwamba kila dini inawatu wakuipinga na lazima DINI YA HAKI IPIGWE VITA NAMAADUI...

    • @lutufyodixon9997
      @lutufyodixon9997 2 ปีที่แล้ว +1

      @@DWAYNEKI wewe ukiwa mchafu na ukiambiwa kuwa n mchafu yamaanisha unapigwa vita?
      Panua uwezo wako wa kufikiri mzee

    • @lutufyodixon9997
      @lutufyodixon9997 2 ปีที่แล้ว

      @@DWAYNEKI
      1. Unajua kuwa Makkah ya Saudi Arabia siyo Makkah ya kwenye Koran?
      2. Kibla ya misikiti ya kale ilikuwa haielekei Saudi Arabia na hata ile misikiti ya yerusalem ilikuwa haielekei huko? Wajua n kwanini?
      Mitandao ya kijamii n mahali pa kutoa tongotongo na si mahali pa kutaka kila kitu kiwe vile unavyotaka wewe.
      Ukiambiwa jambo ambalo hujawahi kusikia au lenye kuleta ukakasi basi tumia muda kujifunza zaidi na usiwe mtu wa kujihami kuwa watu wanakashfu. Hiyo n tabia ya mtu asiyetaka elimu na maarifa

  • @nancyjohnson6620
    @nancyjohnson6620 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwanza msimuliaj yuko vzr anaonekana katulia hapa katikat wasimuliaj wengine walikua wanatia uvivu ad umuulize maswal

  • @nyawebabu5644
    @nyawebabu5644 2 ปีที่แล้ว +2

    Nyie chafueni usilamu lkn wasomi wa ulaya na wamerika wasilimu nyiny tafuteni kiki

    • @nooor1120
      @nooor1120 2 ปีที่แล้ว +1

      Umeona eee
      Waache na kiki hao, wakristo wenzao wamejikita kutafuta uislam huko ulaya na wanaingia ktk uislam makundi kwa makundi wache wa tz wapige kiki wasitafute haki na wala Allah hahitaji chochote ila sisi ndio tunamhitaji Allah so nyie makafiri endeleeni na kiki mkp mutiwe kaburini mkifika huko hakuna yesu mlokua mkisema km kafa kwa dhambi zenu ila yesu mwenyewe kasema kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe siku hio ikifikaaaaaaa.

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 2 ปีที่แล้ว

      Unachobisha Ni nn sasa

  • @suzanadeimamo7726
    @suzanadeimamo7726 2 ปีที่แล้ว +1

    Sawa

  • @kimjey0012
    @kimjey0012 2 ปีที่แล้ว +3

    URONGO MTUPU HAPA STORY ZA KUTUNGA

  • @mutomubaya
    @mutomubaya 2 ปีที่แล้ว +1

    Maisha ya watu washirikina hayapendezi. Waongo wanahadaa watu ati wanajua madawa ya kuishi mtu asidhurike na wanyama wakali kama vile viboko, kwa nini hawana dawa ya kuepuka mauti? Heri kuacha mila potofu na kuwa Muislamu, kwa kuwa Allah ndiye mwenye uwezo wa kila Jambo.

  • @ANITHASTEPHEN-bs1ee
    @ANITHASTEPHEN-bs1ee ปีที่แล้ว

    izi ndio story sasa

  • @ciikuthemillennial.3082
    @ciikuthemillennial.3082 2 ปีที่แล้ว +2

    Jina la Yesu!

    • @husseingabo5497
      @husseingabo5497 2 ปีที่แล้ว

      Yesu kuku tu

    • @eaglecrown1101
      @eaglecrown1101 2 ปีที่แล้ว

      Amina 🙏🤔

    • @nooor1120
      @nooor1120 2 ปีที่แล้ว +1

      @@husseingabo5497 usijaribu kumtukana yesu kwani Yesu sio kuku , yesu ni mtume wa mmungu na biblia imethibitisha hivo ila wanakosea kusema yesu ni mungu.

    • @hope_402
      @hope_402 2 ปีที่แล้ว

      @@husseingabo5497 Ipo cku utatamani ubadili hayo maneno...Mungu akurehemu!!

    • @husseingabo5497
      @husseingabo5497 2 ปีที่แล้ว

      @@hope_402 Mimi siwez kuabudu kiumbe kama Mimi

  • @husseinkiruta1712
    @husseinkiruta1712 2 ปีที่แล้ว +11

    8:2 Quran
    Waislam wa kweli hawaamini mizimu,shetani ,mapango ,nk
    Note:shetan Ni sifa anaweza kuwa binadamu au jini .
    Uislam Ni dini
    Kuna tabia za mtu Fulani na dini Ni vitu viwili tofauti
    Mfano kisu unaweza kukutmia vizur au vibaya inategemeana na matumizi yako
    Wenye akili ndyo wanaelewa
    5:90 Quran
    Bila shaka ulevi,kamari ,kupiga ramli (uganga )Ni kazi chafu ya shetani jiupeshe navyo ili upate kufanikiwa
    Note.huo Ni ushirikina wa familia zenu

    • @aiahadoha4550
      @aiahadoha4550 2 ปีที่แล้ว

      Hawamini mizimu na muko nayo misikitini majini mashetani heeeeeeee hebu nicheke kidogo kwa maana hujui usemacho soma vizuri hiyo karatasi yenu ya mashairi mlopewa na majini ndio utajua aliambiwa nni na hao miungu yenu ndio ujiekewa wasema nni pimbi mkubwa shetani aletubwa duniani akapokekewa na huyo shetani mwenzake kuwapotosha nyinyi eti dini ya haki nyoo toka huko kuzimu wwee ukarithi ufalume wa MUNGU mbinguni milele Kisha mkadanganywa kua mumewekewa wanawake wa saizi yenu mukaoe duuh makubwa

    • @nooor1120
      @nooor1120 2 ปีที่แล้ว +1

      Said well bro I hope wataelewa wenye akili na wenye kutaka kujua haki sio wenye kupenda kiki na ushindani.

    • @charlesmapunda5905
      @charlesmapunda5905 2 ปีที่แล้ว

      Kweli umefafanua kwa upeo mkubwa sana juu ya kuijua kweli kwa upande wa uislam, ila mi nna viswali kidogo. Katika kuzungumzia (Fildaus) kama sijakosea huko wanasema kutakua na Mito ya Pombe yaaniau mnamaanisha mmekatazwa kunywa duniani ili mkanywee huko, je hii imekaaje? Pili huko (Fidaus) huko mmeandaliwa mabinti Mabikra kila anafanikiwa kufika huko anakabidhiwa mabinti 82 na wana utamu zaidi ya mara 2 na wahuku duniani, lakini wanawake wa kiislam hapa duniani pepo yao ipo hapahapa Duniani yaani ni kumuudumia mumeo hapahapa, kwanini hii Dini imemdharau mwanamke kiivyo? Hayo ni maagizo ya Mungu au Muhammad mtume wa waislam?

    • @noelbernard6390
      @noelbernard6390 2 ปีที่แล้ว

      Mtume alisema majini wengine ni waislamu

    • @ahmadlitwe7190
      @ahmadlitwe7190 2 ปีที่แล้ว

      Na Majini wengine ni wakristo pia lakini wapo mabudha mayaudi na dini nyinginezo kama ilivyo kwa binadamu

  • @tatuluanda6581
    @tatuluanda6581 2 ปีที่แล้ว +1

    Pelekeni na story zenu za michongo hizo mim huwa siamini mambo ya kishirikina hizo

    • @noelbernard6390
      @noelbernard6390 2 ปีที่แล้ว

      Mara nyingi wanaojidai hawaamini ushirikina ndiyo mnakuwaga wachawi na washirikina

  • @juliusmushi6428
    @juliusmushi6428 2 ปีที่แล้ว +2

    Sauti imepita hiviiiii

  • @jkkim3848
    @jkkim3848 2 ปีที่แล้ว +3

    Hakupenda kuoga ,🤣🤣🤣

  • @valerieobanya5172
    @valerieobanya5172 2 ปีที่แล้ว +1

    Everyone's body releases adrenaline especially when in danger.

  • @ANITHASTEPHEN-bs1ee
    @ANITHASTEPHEN-bs1ee ปีที่แล้ว

    izi ndio story

  • @isayamichael4085
    @isayamichael4085 4 หลายเดือนก่อน

    Mtu makinii

  • @AliNoor-d9z
    @AliNoor-d9z 12 วันที่ผ่านมา

    Wacha upuzi davistar,,,mumepanga shuhuda za urongo kuharibia uislamu jina,,ati makkah,,,davistar acha upuzi na hao makasisi wako feki

  • @shaloboy3861
    @shaloboy3861 2 ปีที่แล้ว +10

    Macca akuiingi viumbe wachafu awache unafiki nimechunguza mtu akitaka kujitangaza kua askofu anaanza na propaganda za kisenge

    • @aprilking8250
      @aprilking8250 2 ปีที่แล้ว +5

      Maca sio mbinguni

    • @jesusislord9190
      @jesusislord9190 2 ปีที่แล้ว +2

      makkah si ndio majini walimuita Muhhamad akawafundishe Quran?? si ndio kunamsikiti unaitwa al jinn??

    • @munakhamis982
      @munakhamis982 2 ปีที่แล้ว +3

      @@jesusislord9190 Km huna elimu usiongee pumba acha chuki za kidin ww unadin yako na waislam wanain yao ko acha tupumue ukwel nipale tu pumzi itakapofunga utajua ujui mbuzi ww

    • @habibadaudi8242
      @habibadaudi8242 2 ปีที่แล้ว +3

      Hatari watu wanafuta ela

    • @fatumakhamisi1002
      @fatumakhamisi1002 2 ปีที่แล้ว +1

      Hapo ndipo waamini wa Dini za Ibrahim mnaponichoshaaa ,na hapo ndipo nilipozikataaa maana kimsingi haziwasaidii zaidi ya kuwagawa na kuwapandikiza chuki tu zisizo na msingiii ,haya heri yenuuu

  • @mkukistore2816
    @mkukistore2816 2 ปีที่แล้ว +1

    kijana alikua anajikulia sheria mkononi sijajua, yani alikua anakamua nyoka au?😃😃

  • @vitalisonyango6708
    @vitalisonyango6708 2 ปีที่แล้ว +1

    Kagera ituma ni wachawi wengi wanakaa huko

  • @acimamalingano8556
    @acimamalingano8556 2 ปีที่แล้ว

    Gs

  • @josephmuchiri3180
    @josephmuchiri3180 2 ปีที่แล้ว +2

    Mr facts!God bless you bro

  • @aprilking8250
    @aprilking8250 2 ปีที่แล้ว

    Jamaa anaongea vizuri sana

  • @ramadhanisalum3548
    @ramadhanisalum3548 2 หลายเดือนก่อน

    Muongo tu huyu kibaka

  • @user-po8hz7xw9j
    @user-po8hz7xw9j 2 ปีที่แล้ว

    Natafuta mchumba mimi nimwanamke nahitaji mwanaume mwenye malengo anaejua kufikiri vzr asiwe wakupnda starehe asiwe. Mlevi awe na mapenzi ya dhati. Mimi umri akiwa miaka 28..hadi kuendelea

    • @khadijahassan3761
      @khadijahassan3761 2 ปีที่แล้ว

      Zaituni mamy wanaume kweli maweisha mpk uanze kuwatafuta mitandaoni ok Allah akuongoze kipenz

    • @user-po8hz7xw9j
      @user-po8hz7xw9j 2 ปีที่แล้ว +1

      @@khadijahassan3761 🙏🤣

  • @tututz100
    @tututz100 2 ปีที่แล้ว +1

    ANAPENDA NYU

  • @wasalimie11
    @wasalimie11 2 ปีที่แล้ว

    davista wameni maji hawa waelezaji jamani mbona mnafeli

  • @hamisikitwana7957
    @hamisikitwana7957 2 ปีที่แล้ว +2

    Uongo

    • @Mazoea
      @Mazoea 2 ปีที่แล้ว +1

      Are Siri za freemason wamuache huru...wengi wao ni waongo .wachache sana story zao za kqeli

    • @jkkim3848
      @jkkim3848 2 ปีที่แล้ว

      Unahiari ya kutoskiza

    • @habibadaudi8242
      @habibadaudi8242 2 ปีที่แล้ว

      @@benjathekingofficialshows mm nipo arabu mbona sjasika baya lolote Jamani Ila Dunia Ina mambo Wallahi

    • @charlesmapunda5905
      @charlesmapunda5905 2 ปีที่แล้ว

      @@habibadaudi8242 Kwani we unamacho yakuona kila kilichopo mbele yako? Au una masikio yakusikia kila lisemwalo ndani ya huo mji? Basi jua hata hao manabii ulio wahi kuwasikia kila mmoja alikua na Karama zake za kilichotokea na kuendelea kipindi cha utume wao, hivyo we upo tuu na macho na masikio ya nyama sio kibinadamu hivyo huwezi jua chochote.

    • @mutomubaya
      @mutomubaya 2 ปีที่แล้ว

      @@benjathekingofficialshows Siri gani za uarabuni ungependa kutoa? So utoe za uko unakoishi kama unadhani watu wana haja ya kujua? Siri ni za mambo mema au mabaya. Kama ni mema basi Waarabu wako na kiuyfhhh

  • @mhabimina4023
    @mhabimina4023 2 ปีที่แล้ว +1

    🔥🔥🔥🔥👌

  • @rahmanassor5898
    @rahmanassor5898 2 ปีที่แล้ว

    Muendelezo wake

  • @jesusislord9190
    @jesusislord9190 2 ปีที่แล้ว

    sikia kiboko jamaa kanikumbusha madhira yaliyonikuta ziwa Rukwa..daaa...ebana eee..

  • @mzalendomzalendo2567
    @mzalendomzalendo2567 2 ปีที่แล้ว

    Acheni ujinga

  • @Mazoea
    @Mazoea 2 ปีที่แล้ว

    Mimba mwaka na miezi Sita so angekufa

  • @janeschurmanns7364
    @janeschurmanns7364 2 ปีที่แล้ว

    Mi sijaelewa wabura ni jina la baba yake na mama yake ba babu 🤣🤣🤣

    • @nooor1120
      @nooor1120 2 ปีที่แล้ว

      🤣🤣

  • @noelbernard6390
    @noelbernard6390 2 ปีที่แล้ว +1

    Nyie waislamu msikimbilie kukataa tu hapa wakati Dini yenu inaamini ushirikina, mtume anasema majini wengine ni waislamu. Masheikh wengi nyuma ya pazia ni.....

    • @mutomubaya
      @mutomubaya 2 ปีที่แล้ว

      Majini ni viumbe kama wanadamu ila hawaonekani. Shetwani ni miongoni mwa Majini. Na wapo wa kila kabila na kila Dini. Wapo wachawi wapo wanaomuamini Mwenyezi Mungu. Waislamu wanawajua kwa kusoma Qur'an. Wa ni viumbe. Haifai kuwaabudu wala kufuata ushirikiano na wale wabaya ili kuwadhuru watu. Hata Isa (Jesus) yasemekana aliwatoa wale evil spirits waliokuwa wameingia ndani ya mtu.

    • @rahabumwaipungu9833
      @rahabumwaipungu9833 19 วันที่ผ่านมา

      @@mutomubaya Yesu sio issa tafadhali usirudie tena kusema hvo.

  • @acimamalingano8556
    @acimamalingano8556 2 ปีที่แล้ว

    Fg