PART1!NILIMLAWITI BABA YANGU MZAZI MIAKA 3/NILIVILINGISHWA NA JOKA/ANAONGEA KUPITIA MASIKIO/ILIYOOZA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 222

  • @slizanya
    @slizanya 4 ปีที่แล้ว +5

    From Kenya...I love this knowledge. Be blessed!

  • @hamidibrahim5369
    @hamidibrahim5369 4 ปีที่แล้ว +3

    Bro Davistar kwa kweli umefanya imani yangu kwa Allah iongezeke kiasi kikubwa sana, ndo hivi machafu wanavopotia washirikina.... subhaallah.
    Hakuna usiku itapita bila mimi kuswali tahajud hata kama rakaa 2 hadi niondoke duniani, bi idhnillah.

    • @khaalidcheo5383
      @khaalidcheo5383 4 ปีที่แล้ว

      Allah akulipe kheli naakuifadhi.kikubwa kuisoma dini yako kisawasawa kwa ufaham wawema waliotangulia.

  • @wilfredmalima1138
    @wilfredmalima1138 4 ปีที่แล้ว +41

    Binafsi nashauri, hawa wahanga wanafichwa sura, ila mtngazaj anawauliza jina lako nani, wanataja na eneo wanapoishi , hapo tayar umewaweka wazi. Kama unaficha easijulikane do not ask them to introduce themselves

  • @saidjuma25
    @saidjuma25 4 ปีที่แล้ว +10

    Dar bro polee sanaa ilaa jitihada zinatakiwa Sana kwenye kutafuta maana sote tunasota ilaa tunasema kesho tutafanikiwa

  • @mimamelchior7821
    @mimamelchior7821 4 ปีที่แล้ว +10

    Leo kidogo nimewahi nipo kumi bora 😂😂😂

  • @gabrielowino7355
    @gabrielowino7355 4 ปีที่แล้ว +10

    Never compare yourself with others...it might lead you into such temptations..."all are vanities"it will never ends well..#trust in the Lord your God..

  • @ibrahimrukundo3064
    @ibrahimrukundo3064 4 ปีที่แล้ว +5

    SUBHANALLAH hizo swifa zashetani alio kutisha zinashabaha na masih wauongo atakuja na vyooote ivyooo alivyo kuonesha kwa ajili yakuapotosha waislam

  • @seifcarlos8312
    @seifcarlos8312 4 ปีที่แล้ว +11

    Sema davist sikuhiz hacheleweshi part two

  • @sharinv8864
    @sharinv8864 3 ปีที่แล้ว

    Ooh mungu atusaidie turidhike na kile kidogo tuko nacho na tusijilinganishe na watu ama marafiki wale matajiri ambao hatujuwi waliupata vipi pole mdogo wangu muombe mungu tu anaenda kuwatetea.

  • @gravityworkout4748
    @gravityworkout4748 4 ปีที่แล้ว +3

    Kazi nzuri Davista lkn ningeshauri msimuliaji aachwe asimulie mtiririko mzima wa story bila kukatishwa labda kama kuna ulazima wa kuuliza ili kuelewa vizuri. Mawazo yangu tu bro

  • @fadhiliswalehe9286
    @fadhiliswalehe9286 4 ปีที่แล้ว +18

    The richness has alot of secret aisee don't think the rich people got money for easy like that weng wao but not all have got their richness through superstition ways.ndo mana it is difficult for them to contribute charity

  • @mariamfritsi9761
    @mariamfritsi9761 4 ปีที่แล้ว +4

    Asante kwa simulizi.

  • @gladysngami9685
    @gladysngami9685 4 ปีที่แล้ว +5

    Mimi ni mkenya na penda sana show yako

  • @fasanitzfasanitz9631
    @fasanitzfasanitz9631 4 ปีที่แล้ว +17

    Domo denda ametusua nimemuona sehem😂😂

    • @mariamdimosso621
      @mariamdimosso621 4 ปีที่แล้ว +1

      Amekuwa star

    • @rahmasuweyd827
      @rahmasuweyd827 4 ปีที่แล้ว +2

      Umemuona wapi😀😀😀😀

    • @fasanitzfasanitz9631
      @fasanitzfasanitz9631 4 ปีที่แล้ว

      @@mariamdimosso621 😂😂😂😂😂😂

    • @khadijajuma7142
      @khadijajuma7142 4 ปีที่แล้ว +2

      Af ukute aliambiwa na mganga arushe kisa tumsikilize atoboe maisha 😁😁😁😁ashindwe mwana kilinge yule.

    • @nurdiniuledi48
      @nurdiniuledi48 4 ปีที่แล้ว

      @@khadijajuma7142 mh

  • @mackynicky5832
    @mackynicky5832 4 ปีที่แล้ว +8

    Duuuuh, Mungu nisaidie nipate hela kwa kukutegemea wewe

  • @Hassanmofty
    @Hassanmofty 4 ปีที่แล้ว +8

    Dunia na maajabu yake

  • @butondodavid2105
    @butondodavid2105 4 ปีที่แล้ว +5

    Maisha haya kweli hakuna Mali unayo ipata kirahisi.kuua, kurawiti, Apo c unavunja amr za mungu.

  • @abdullmalik7847
    @abdullmalik7847 4 ปีที่แล้ว +9

    JAMANI UTAJIRI UTATUONESHA MAMBO,KHEIRI NIFE MASIKINI 254

    • @kalssambaboo9705
      @kalssambaboo9705 4 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa me wallah tajiri simtaman kabisa mana sijui huo utajili wake kaupatia wapi

    • @aminamunezero
      @aminamunezero 4 ปีที่แล้ว

      Kabisa

    • @aminaismail4221
      @aminaismail4221 4 ปีที่แล้ว

      Naridhika na maisha yangu matajiri wengi mali zao ni zanjia ya haraamu ndio waona hata kusaidia ndugu na kutoa sadaqa ni vigumu

    • @tymlesshodari1010
      @tymlesshodari1010 4 ปีที่แล้ว

      Abdul Malik sasa

  • @lucygeorgina8656
    @lucygeorgina8656 4 ปีที่แล้ว +9

    Acheni kutaka mali kwa njia ya short cut. Mganga hawezi kukupa utajiri pasi na kukutia madhila ndo kma ivo umuingilie babayako mara uuwe mzee au mtoto au ulale na mamayako vijana acheni tamaa.

    • @ibrahimrukundo3064
      @ibrahimrukundo3064 4 ปีที่แล้ว +1

      😊😊😊✋️🤝👏shukran mkuuu kwa uelewahuyoooo makini.

  • @teddyelieza9780
    @teddyelieza9780 4 ปีที่แล้ว

    Duuh pesa halali hata kama ni ndogo ni nzuri sana nimejifunza kitu asante @davistar

  • @stevennenelwa3192
    @stevennenelwa3192 4 ปีที่แล้ว +3

    Sio ww tu me domo wala cmckilizi ye analeta story za kawaida sn katika c tunataka kitu binafc unajifunza kitu ni hayo kijana hongera kwa kaz nzur

  • @wafiq4
    @wafiq4 4 ปีที่แล้ว +7

    Davistar mm tena ki2 kimoja unaporusha ki2 itakua ni vizuri ikiwa unasema eastafrica maana c watanzania tu ... kisha ushaanza na A.K.A ... kheri lkn... afadhali c domo denda Yule jamaa nimemchoka luv all da way from Qatar...✌

    • @roseuwambe8089
      @roseuwambe8089 4 ปีที่แล้ว +1

      Hatamimi sitaki hata kumuona

    • @chiefmahucha6847
      @chiefmahucha6847 4 ปีที่แล้ว

      Yes ofcoz. .
      Hata mie huwa natamani kumpigia simu nimwambie...kuwa anatazamwa kutokea sehem mbalimbali hadi Ujerumani , sio Tanzania pekee...,! Ila unfortunately I don't have his number.

  • @jhayparism1152
    @jhayparism1152 4 ปีที่แล้ว +2

    Davistar lete hiyo part 2 faster tujue mbivu na mbichi mapema.
    Domo denda alishachemka yule hawezi kuwa tariri tena 🤣

  • @martintssoray5352
    @martintssoray5352 4 ปีที่แล้ว +1

    Davista uko vizuri na story zako

  • @naimanurdin8984
    @naimanurdin8984 4 ปีที่แล้ว

    Tuwe karibu Allah Jamani Naamin ukiwa Mwenye Khofu Ya Mungu haya Mambo Ya Ushirikina Utakuwa nayo Mbali sana

  • @rehemaabinelynyagawa2878
    @rehemaabinelynyagawa2878 3 ปีที่แล้ว +2

    Waganga wote Mungu anawaona na na msipo tubu jehanamu itakuwa makao yenu 😢

  • @aeshamrange6540
    @aeshamrange6540 4 ปีที่แล้ว +1

    M!!!!!!!! Uzitafute kwa Mateso kama hayo izo Mali unafikir utakuja kuzitumia kwa rahakweli??????? Kwanza nikuzidishia mitihani tu Eee mungu baba embu tunusuru sie waja wako.....

  • @fredchaki9591
    @fredchaki9591 4 ปีที่แล้ว +3

    Daaa.. money doesn't came easy, whenever money has hidden people are dieying because of it who is you money till every body needs you

  • @husseinchea5524
    @husseinchea5524 4 ปีที่แล้ว +1

    Duh noma sana

  • @ryamhassani5483
    @ryamhassani5483 4 ปีที่แล้ว +1

    Big up bro

  • @mamuliciosrajab6664
    @mamuliciosrajab6664 4 ปีที่แล้ว +1

    Waaaaah Noma

  • @catherinejames6714
    @catherinejames6714 ปีที่แล้ว

    Part 2 please

  • @paschalmzyungu4353
    @paschalmzyungu4353 4 ปีที่แล้ว +3

    Duh

  • @brightmpembela5177
    @brightmpembela5177 4 ปีที่แล้ว

    Nakukubali Sana mwamba Devsatar mata nimejifunza mengi Sana kupitia vipindi vyako .na nimejifunza kua matajiri wengi Kuna kitu nyuma ya pazia .duuu naridhika na kidogo nikipatacho Cha mwingine sikitolei macho

  • @lucygeorgina8656
    @lucygeorgina8656 4 ปีที่แล้ว +2

    Duh jamani hii noma acha kumlawiti baba. Maana kulawiti tu ni bonge la noma sasa tena unamlawiti mwanaume mwenzio km ww tena babayako mzazi dah.

  • @khadijaomar8427
    @khadijaomar8427 4 ปีที่แล้ว +1

    Tamaa mbaya

  • @magdalenamatiko9995
    @magdalenamatiko9995 4 ปีที่แล้ว +1

    Huamini mambo hayo yapo,ooo kwa Yesu ni raha

  • @nancychissamo379
    @nancychissamo379 4 ปีที่แล้ว +2

    Ehhh nyoka anaongea,,uwiiiii🙆🙆🙆🙆🙆

  • @saidmohammed6910
    @saidmohammed6910 4 ปีที่แล้ว +3

    Nilikuwa wa kwanz leoo hhhh

  • @somoeawadh7774
    @somoeawadh7774 4 ปีที่แล้ว

    Allah atunusuru... Na tamaa muendelezo plz nasubiri kutoka Bahrain ✌️

  • @babymansouth1164
    @babymansouth1164 4 ปีที่แล้ว +11

    +254 Uuu Utajiriii huuu Utajiriii balaatupu bora Uzaliwe na utajiri wakoambao Mungu amekutunukuu😥

  • @aliykibabe9033
    @aliykibabe9033 4 ปีที่แล้ว +1

    Broo upo vzr xna bidii ndo mpango mzima

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 4 ปีที่แล้ว

    Acha tamaa omba mungu atakuezeshaaa

  • @florachuwa301
    @florachuwa301 4 ปีที่แล้ว

    Mungu atunusuru...Part 2 pls

  • @njengamichael102
    @njengamichael102 4 ปีที่แล้ว +1

    Wah!🙆‍♂️ Wacha nife maskini

  • @esterelias8189
    @esterelias8189 4 ปีที่แล้ว +1

    Jmn heli masikini huru kuliko huo utajiri wa utumwa....ngoja nikaze mikono nisuguwe masinki ya warabu

  • @popiya2368
    @popiya2368 4 ปีที่แล้ว

    Tafuta mike ingine msishare mike hivo

  • @husnahamees9141
    @husnahamees9141 4 ปีที่แล้ว

    waganga wanalana na mungu anawasubir

  • @amaradiombera2198
    @amaradiombera2198 4 ปีที่แล้ว +2

    Ni hatari ndugu mbona ume vumilia sana kupambana na masetani huko umesinda kupambana na mtihani ya myezimungu❓❓❓

  • @masibosvlogmasibos9738
    @masibosvlogmasibos9738 4 ปีที่แล้ว +2

    Pt2 pliz, 😍

    • @godfreyreveliani8345
      @godfreyreveliani8345 4 ปีที่แล้ว

      Vijana acheni tamaa je wewe ukifanyiwa hivyo unavyomfanyia baba yako uko tayari ?

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 4 ปีที่แล้ว +1

    Eee mungu kweli tamaa au shida inatupeleka mbali😭😭

  • @donprinceabselhalims7421
    @donprinceabselhalims7421 4 ปีที่แล้ว +2

    🔥🔥🔥🔥

  • @emmaboka959
    @emmaboka959 2 ปีที่แล้ว

    Mtangazaj ana wenge

  • @mosesbusanya3528
    @mosesbusanya3528 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashariti ya pesa chafu kiboko😭😅😅😅 Hivi unawezaje kudindisha kwa mwanaume mwenzako tena baba yako ..so sad😭😭😭pole lakini chakujua tu hakuna pesa rahisi

  • @rahmasuweyd827
    @rahmasuweyd827 4 ปีที่แล้ว +1

    Mm utajiri utakaa penmbeni,,,naridhika jamani nashkuru na alichonipa mungu,

  • @Lucymotindo
    @Lucymotindo 4 ปีที่แล้ว +1

    Wangapi tunawaona na utajiri wameipata kwa njia kama hii?Mwenyezi mungu tu ndiye anayetupa mali bila masharti ya kiunyama kama haya.Tumuamini mwenyezi mungu.

  • @mpangomzima9280
    @mpangomzima9280 4 ปีที่แล้ว

    Best kazi ziko poa kabisa sema tunataka uzimalizie kazi za nyuma umeziweka vipolo

  • @witneyjerry1293
    @witneyjerry1293 4 ปีที่แล้ว +3

    Naridhika na nilichonacho,huo utajiri wa kwenda kulala msituni na kukabwa ,akaa sitaki

  • @rosemarymwakitwange6257
    @rosemarymwakitwange6257 4 ปีที่แล้ว +1

    Mikasa hii ya kutisha Ina mafunzo, tatizo liko kwa muandaaji una haraka sana na kushindwa kufuata maadili ya ya uandishi kwa kutomaliza simulizi kitu kinachofanya wasomaji tukuone kanjanja

  • @tymlesshodari1010
    @tymlesshodari1010 4 ปีที่แล้ว +1

    Mitihani yote hiyo hukukata tamaa 🤔 kweli shetani kesha kutaka 🤣🤣🤣

  • @eliazardbabu9758
    @eliazardbabu9758 4 ปีที่แล้ว

    Naomba iki kipindi kishi ishi pleasa broh we watching u

  • @abdillahkhamis4303
    @abdillahkhamis4303 4 ปีที่แล้ว +2

    Muendelezo part 2

  • @harrietharriet5443
    @harrietharriet5443 4 ปีที่แล้ว +1

    Utajiri wote uko kwa Mungu..amenitendea mengi

  • @janemuthoni723
    @janemuthoni723 4 ปีที่แล้ว

    Yaani after kufanyishwa uchafu woote mpaka wa kufira baba still unarudi bila utajiri

  • @moindimoindi9116
    @moindimoindi9116 3 หลายเดือนก่อน

    Give him a chance to explain himself, you ask too many questions interrupting the flow of the story

  • @angeljasson4376
    @angeljasson4376 4 ปีที่แล้ว

    Pamoja brother

  • @anithamutungi1016
    @anithamutungi1016 4 ปีที่แล้ว

    Mpaka hapo watu wanaomjua tayari wamemgundua

  • @dareenali6086
    @dareenali6086 4 ปีที่แล้ว

    Subhanallah

  • @isacknyaga104
    @isacknyaga104 2 ปีที่แล้ว

    UTAJILI WA MGANGA UKIFIKIRIA YY MGANGA MBONA HAJAWA TAJILI YAAN FIKIRIA TU HAPO NDIO UTAJUA WAGANGA NI SHETWANI KABISA

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 4 ปีที่แล้ว

    Huo utajiri ubaki hapo hapo loo njoo huku 🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭kunautajiri halali kabisaa yani nguvu yako jasho lako lkn sio hiyo ya masauti yaajabu ✋✋✋✋✋mm bampar to
    Bampar na mwarabu mpaka niwetajiri🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @albinatesha4153
    @albinatesha4153 4 ปีที่แล้ว

    Part two please davista unakwama wapi baba??

  • @rahmasuweyd827
    @rahmasuweyd827 4 ปีที่แล้ว +2

    Part 2 davista mata

  • @jasminegabriel4247
    @jasminegabriel4247 4 ปีที่แล้ว +2

    Duh mkovizuri kwaku wahi

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 4 ปีที่แล้ว +1

    Jamaa tayari shida zishamuingia

  • @husseinahmada1854
    @husseinahmada1854 4 ปีที่แล้ว

    😱

  • @ngapulilangapulila5404
    @ngapulilangapulila5404 4 ปีที่แล้ว

    Hatari sana!!

  • @milley7185
    @milley7185 2 ปีที่แล้ว

    Mnapatikana wapi ?

  • @aminajuma8098
    @aminajuma8098 4 ปีที่แล้ว +1

    Am in 💪 Davy I thought unaleta part two ya Domo...🤔

    • @faizadulla8663
      @faizadulla8663 4 ปีที่แล้ว

      Duh mbona hata ishamalizika ya part 4 hasa

  • @monicamonica4597
    @monicamonica4597 4 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂ulikua jasili kweli duuu ukavumilia yote iyo

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 4 ปีที่แล้ว +1

    Uvivu wa kujituma na kuchaguwa kaz

  • @abdallahissa4172
    @abdallahissa4172 4 ปีที่แล้ว +1

    Bro davista huyu jamaa umpe na kinywaji ..nahisi kinywa kimemkauka. ..

  • @maxjofrey70
    @maxjofrey70 4 ปีที่แล้ว +1

    Duuh kum lawiti dingi duuh hii ngumu kumeza 🤔

  • @cyantess8423
    @cyantess8423 4 ปีที่แล้ว

    vp part 2 buanaa curious kenyan

  • @janekelvin507
    @janekelvin507 4 ปีที่แล้ว

    Davi unanifundisha nakuniogopesha maaaaa uuuuwiii😢😢

  • @ayushsaeed1051
    @ayushsaeed1051 3 ปีที่แล้ว

    Sijachelewa wa213🙈

  • @esterulanga6940
    @esterulanga6940 4 ปีที่แล้ว +3

    Stori zinakua nzuri lakini mbona hazina muendelezo? Mnazingua sasa.

  • @louiskalenga5745
    @louiskalenga5745 4 ปีที่แล้ว +1

    STORY IPO VIZULI NDUGU ZANGU . Kwaiyo tunaomba muendelezo wahii storia jameni

  • @pendobaharia6922
    @pendobaharia6922 4 ปีที่แล้ว +1

    Mnamficha sura then unamuuliza jina what for

  • @evelyneakech2677
    @evelyneakech2677 4 ปีที่แล้ว

    😭😭😭singe vumilia iyo mtihani 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️

  • @mackyyussuph7194
    @mackyyussuph7194 4 ปีที่แล้ว +1

    😥duh

  • @mazonaone7708
    @mazonaone7708 4 ปีที่แล้ว +2

    Huu mkasa unaonakana ni balaa

  • @dicksonngingo100
    @dicksonngingo100 4 ปีที่แล้ว +3

    Vijana tunakwama wap

  • @halimashabani4177
    @halimashabani4177 4 ปีที่แล้ว

    😣😣

  • @cartmation7978
    @cartmation7978 4 ปีที่แล้ว +2

    Leta vitu kaka kama hivi kaka

  • @joantharajab4583
    @joantharajab4583 4 ปีที่แล้ว

    Mbona kama unasoma

  • @melodyanne3249
    @melodyanne3249 4 ปีที่แล้ว

    daaavistar tafta mike ingine sai kuna magonjwa 🙄🙄🙄🙄🙄🙄 kushare sio vizur

  • @mashaelieazer6120
    @mashaelieazer6120 4 ปีที่แล้ว +3

    Kweli kabisa sema East African, manake tunaowasikiliza tumetapakaa kote sawa

  • @malaikamwekaly6421
    @malaikamwekaly6421 4 ปีที่แล้ว

    The cost of wealth is too high, kweli watu wana ujasiri

  • @kalifmire5664
    @kalifmire5664 4 ปีที่แล้ว +1

    Ukitaka utajiri paka urambe taa

  • @faidhirashidi1354
    @faidhirashidi1354 4 ปีที่แล้ว +1

    Tuzidi kuatafutaa pesa vijan wezangu kwa njia safe