MVUVI ALIEPOTEA ZIWANI CHINI YA MAJI KWA MIAKA 6 AREJEA AKIWA HAI AELEZA ALIVYOCHUKULIWA NA MAMBA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ส.ค. 2024
  • MTU WA MUNGU KARIBU KATIKA CHANNEL YETU YA DAVISTAR MATA MEDIA KWA AJILI YA KUSAIDIA SADAKA YAKO JUU YA KAZI HII IENDELEE KUFANYIKA
    Tunatanguliza shukrani kwako na ubarikiwe sana kwa kusaidia kazi hii ya Mungu tunaomba mchango wako wa kila mwezi kwa ajili ya kazi hii iendelee kufanyika kwa sababu inagharama kubwa zilizo nje ya uwezo wetu,bonyeza link moja kati ya hizi chini kwa kiwango chako ambacho ungependa uwe unachangia kila mwezi
    KUCHANGIA TSH.3000 KILA MWEZI BONYEZA CHINI HAPA
    chat.whatsapp....
    KUCHANGIA TSH.5000 KILA MWEZI BONYEZA LINK HAPA CHINI
    chat.whatsapp....
    KUCHANGIA TSH.10000 KILA MWEZI BONYEZA LINK HAPA CHINI
    chat.whatsapp....
    KUCHANGIA TSH.20000 KILA MWEZI BONYEZA LINK HAPA CHINI
    chat.whatsapp....
    KUCHANGIA 50000 KILA MWEZI BONYEZA LINK HAPA CHINI
    chat.whatsapp....
    tafadhari tuma kwa njia ya Mpesa kwa namba +255743053804 jina litakuja Dotto Mataluma/Tigopesa 0672923092 jina litakuja Dotto Mataluma na Airtel money jina litakuja Dotto Mataluma

ความคิดเห็น • 51

  • @oscarlemamaringo8081
    @oscarlemamaringo8081 ปีที่แล้ว +4

    Mungu akubariki davista 🙏🙏🙏hizi habari unazotupa zinamaana kubwa kwa Mimi Mungu akubariki sana tena sana

  • @avitusmichael5
    @avitusmichael5 ปีที่แล้ว +8

    Hayo magugu maji huwa yanatunza mijoka wakati mwingine unaweza kukuta kuna hata mbuzi maana yana kama msitu ndani yake maana huwa yanazuia hata meli isipite ama isigoe nchi kavu

  • @winfredmapunda3604
    @winfredmapunda3604 ปีที่แล้ว +1

    Jamaa anasimulia vizuri sanaaa sanaaaa

  • @avitusmichael5
    @avitusmichael5 ปีที่แล้ว +6

    David star huyo jamaa kwa kuwa ameshatega makokoro kwenye mialo ya kirumba muulize kama anaujua mwalo wa mgunda, gabarema na kwenye makonyi ya karumo. Mm ni mvuvi wa makokoro kuna sehemu tunatega panaitwa kwenye makonyi huwa tunakutana na chui mnyama anaingia kwenye mtumbwi anakula samaki pia kuna mamba hana mkia ila hawana madhara bali wanaleta samaki, muulize jamaa atakuwa anajua, mwambie mm ni meja wa kokoro halafu ni mgoaji

    • @bakari-si1pw
      @bakari-si1pw ปีที่แล้ว

      Tutapata jibu kaka itakuwa na wwe una story Kari sana davistar atakutafuta kama unge penda tusikie bro

    • @petermwaibofu3260
      @petermwaibofu3260 ปีที่แล้ว

      @@bakari-si1pw hata wewe utuletee ya kwako

    • @oscarlemamaringo8081
      @oscarlemamaringo8081 ปีที่แล้ว

      Tupe habari inaonyesha unakitu Cha kutuambia

  • @samwelmwigicho3092
    @samwelmwigicho3092 ปีที่แล้ว

    Hongera bwana davista mata MUNGU akutangulie

  • @sukisa1234
    @sukisa1234 ปีที่แล้ว +1

    Naogopa Sana maji yanatisha

  • @mercikatate9033
    @mercikatate9033 ปีที่แล้ว

    Nakusalimu my brother

  • @Patience.67
    @Patience.67 ปีที่แล้ว

    Asante davistar 😍

  • @bakari-si1pw
    @bakari-si1pw ปีที่แล้ว +1

    Kidogo umebadilisha story Safi sana

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme ปีที่แล้ว +2

      😅😅😅

    • @thumnathumna5946
      @thumnathumna5946 ปีที่แล้ว +1

      Nimesoma comet nimeshawishika kusikiliza.maana niliachaga kufuatilia muda tu Udini mwingi sana.

    • @bakari-si1pw
      @bakari-si1pw ปีที่แล้ว

      We sikiliza tu kaka dini zote zinamkataa shetani mbaya sana ukiona kipande ukielewi kiruke ila kuna mambo mengi yakujifunza hapa Duniani

    • @thumnathumna5946
      @thumnathumna5946 ปีที่แล้ว +1

      @@bakari-si1pw mtu anafanya mambo yake ya ushetani kwa tamaa zake,kisha anasema dini fulani aifai ndugu na shetani.

    • @fatmamucha4419
      @fatmamucha4419 ปีที่แล้ว

      @@thumnathumna5946 mm nlisita sk kadhaa alipokuja Hassan na Mnyeshan lkn hapa ndio nyumban nimerud kitambo

  • @juliethmagige5705
    @juliethmagige5705 ปีที่แล้ว +1

    Ok

  • @avitusmichael5
    @avitusmichael5 ปีที่แล้ว +6

    Jamaa anaeleza ukweli kabisa, sisi wavuvi tunajua siri nyingi za majini, kuna mambo mazito tunakutana nayo huko doro, yaani yataka moyo, ziwani hapahitaji mtu mropokaji atakufa fasta, mm nimefisha jamaa zangu wasiopungua 17 kwa ishu za ziwani, ukisikia majini ni majini kweli cyo mchezo

    • @jesusislord9190
      @jesusislord9190 ปีที่แล้ว

      mie nimevua sana hizo khabari sikubariani nazo

    • @avitusmichael5
      @avitusmichael5 ปีที่แล้ว +3

      @@jesusislord9190 labda ulivua chupi siyo samaki au dagaa

    • @eliyaerick9205
      @eliyaerick9205 ปีที่แล้ว +2

      😂😂wewe yaan kila mwenye story akisema kitu na wewe unasemaga ushapitiaga
      Mara ushaingiza bangi jela
      Leo ushauwa mvuvi
      Mara ushaendaga sauth
      😂😂Muongooo bhn

    • @jesusislord9190
      @jesusislord9190 ปีที่แล้ว

      @@eliyaerick9205 mie nimezaliwa kasanga sumbawanga sawa...nimekulia dar kunduchi pwani...sawa nimefika kwa uvuvi ukala eubonwa..bukiko..busere na kwa chamoto...nimevua ziwa rukwa iranga.kichangani.....so what?? ... nimeuza madawa ya kulevya south Africa nimefanya wizi south Africa..nimeuza madawa Denmark what nimepita kuto huko wewe ni ngumu kupita huko kwasababu hujawahi kupita..maisha yangu na yako ni tofauti sana mpaka kufika MUNGU kuniokoa nilikopita ni mbali..wewe subiri sana sana ndio maana mtu akitoa story kwa mfano yule jamaa anasema walienda south Africa wakamchonganisha mchungaji bushir bushir wewe unamsikia mie namjua kabisa kwa kukaa nae maskani kupiga nae story...so nakataa kitu ambacho nakijua nakubali kitu ambacho sio kweli

    • @jesusislord9190
      @jesusislord9190 ปีที่แล้ว

      @@eliyaerick9205 maisha unayoyaona kwenye movies ya drug dealer nimeyaishi maisha unayo yaona kwenye movies watu wanaiba bank nimeyaishi..maisha unayaona kwenye movies watu wanateka gari la hela nimeyaishi so ..don't know nothing about me.. anaenijua ananijua.... ndio maana wengine hapa huwa tunawakatalia kuwa unadanganya..

  • @evachuw8092
    @evachuw8092 ปีที่แล้ว

    Mr everything 🙏

  • @munabalushi2964
    @munabalushi2964 ปีที่แล้ว

    Good 😍

  • @videozaaj1069
    @videozaaj1069 2 หลายเดือนก่อน

    Baada ya kuwa mbali kdg na channel hii kwa muda kidogo sasa nimerudi rasmi

  • @lassmussa299
    @lassmussa299 ปีที่แล้ว

    Naomba wamayo part 46

  • @Irenes_Kitchen
    @Irenes_Kitchen ปีที่แล้ว

    Igombe ndo kwetu niukweli huyu kijana amesema lakini mungu yupo pamoja na yeye

  • @kalangwapaschal7718
    @kalangwapaschal7718 ปีที่แล้ว

    Waganga hawwokowi,ila yesu tu

  • @michaelmgege4600
    @michaelmgege4600 ปีที่แล้ว

    👊👊

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme ปีที่แล้ว

    Poa sna

  • @husseingabo5497
    @husseingabo5497 ปีที่แล้ว

    Pamoja sana Mr every thing

  • @agnesndinda6484
    @agnesndinda6484 ปีที่แล้ว

    Wah aki watanzania wanakuanga na story za ajabu ajabu na sijui kaa niza ukweli ama ni show tuu,,,,mimi mkenya but sai nko Saudi Arabia (Jeddah)

    • @neemaneema9969
      @neemaneema9969 ปีที่แล้ว

      Kuwa kwako Jeddah haituhusu Pambana na hali yako huko

    • @valencianyiva4531
      @valencianyiva4531 2 หลายเดือนก่อน

      if you think is a lie why listen

  • @bashiruhassani1017
    @bashiruhassani1017 ปีที่แล้ว

    We jmaa n muomgo yan gar yaigombe ipte kirumba

  • @shirazseleman9593
    @shirazseleman9593 ปีที่แล้ว

    napend story km hz

  • @juliethscott1129
    @juliethscott1129 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji hatumuoni uso

  • @mashramadhani1989
    @mashramadhani1989 ปีที่แล้ว

    Unapoteza muda kidogo una maswali yanayomtoa mtu kwenye mada .

  • @nyauskobies5522
    @nyauskobies5522 ปีที่แล้ว

    Wacheni huongo. Hakuna mtu anaweza ka chini ya maji kwa miaka sita. Uongo mtupu.

  • @mussabihonyi4980
    @mussabihonyi4980 ปีที่แล้ว

    0