Sema unauliza sana yani kama huelewi anacho zungumza wakati watazamaji tunamuelewa vizuri tu ila wewe unampeleka mbele mara umludishe nyuma basi tabu tu unapoteza uhondo, muache mzungumzaji awe huru maana hayo maswali yako mengi yana muhamisha mtu na kumfanya asahau mambo mengine ambayo angetaka kuyazungumza,... uwe unamfuatilia mtu kwa umakini maana ndio kazi yako sio upo kwenye kipindi mtu anaongea ila wewe mawazo yako yapo kwengine mambo mengi kichwani that why unamuhamisha mtu sio poa, UMAKINI UNAHITAJIKA WATU TUNATUMIA BANDO HAPA
Safi sana Mr DM, Leo ninapenda kukupa hongera kwa Elimu unayotoa bila malipo.Mungu akutetee siku nikitusua nikupe zawadi 💪
Mungu awabariki kwashuhuda kabisa mnazo tupatia , tunawafwatiliya tukiwa 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Hatimaye mr fact leo umefika kijijini kwangu big up sana ulipo nipo.
Location nmeipenda utulivu grade A👍
Subhanaallah subhanaallah yaarabi tunusuru yaarabi utusamehe viumbe wako
Davinsta hongera mazingira mazuri sana nimeyapenda
Hii nitaifuatilia mpaka mwisho ,tupo pamoja Davis 🤝
Uganda pamoja sana Davistar
Pamoja sana
Mr everything 💪
Pamoja Mr everything
Ndio nimefika
Namba 5
DM safi sana
Tobaaa roho yangu🙆♂️🙆♂️
💃🏼💃🏼💃🏼
Mrembo
🤝🤝🤝🤝🇯🇴🇯🇴🇯🇴🇯🇴🇯🇴🇯🇴🇯🇴
Kipnz chng 💓❤️
Mcng someone special!
@@Fm-MornStar2014 Pamoja wngu❤❤❤❤
Napajua mnzani
Leo machimbo ya waasi, wacha tuone
ahsante mr facts
Hawa wachungaji wetu wengi siku izi wametoka kwenye Uganga na uchawi.sijui ndo maana tuna manabii wengi wa uongo?!!
Watu wa mwanza hawapoi aisee
Sema unauliza sana yani kama huelewi anacho zungumza wakati watazamaji tunamuelewa vizuri tu ila wewe unampeleka mbele mara umludishe nyuma basi tabu tu unapoteza uhondo, muache mzungumzaji awe huru maana hayo maswali yako mengi yana muhamisha mtu na kumfanya asahau mambo mengine ambayo angetaka kuyazungumza,... uwe unamfuatilia mtu kwa umakini maana ndio kazi yako sio upo kwenye kipindi mtu anaongea ila wewe mawazo yako yapo kwengine mambo mengi kichwani that why unamuhamisha mtu sio poa, UMAKINI UNAHITAJIKA WATU TUNATUMIA BANDO HAPA
Shetani anawadhalilisha Sana wapumbavu