PART1:MCHAWI WA KASULU KIGOMA AELEZA JINSI ALIVYOKUWA ANAUA NA KUTEMBEA MAJINI BILA KUZAMA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 40

  • @denisjackson9414
    @denisjackson9414 2 ปีที่แล้ว +1

    Ushuhuda huu hakika unatusisimua na kutuokoa kwa Neema ya MUNGU. Amina.

  • @alalwialalwiii8194
    @alalwialalwiii8194 2 ปีที่แล้ว

    Waoooo kaka David kalibu kwetuuu

  • @winifrida8641
    @winifrida8641 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ni mwema 🙏🙏

  • @angelageofrey9756
    @angelageofrey9756 2 ปีที่แล้ว +1

    Kakà msmart huyo like star

  • @andrewuhuru3090
    @andrewuhuru3090 2 ปีที่แล้ว +1

    Leo nimeway

  • @bintalmasi2393
    @bintalmasi2393 2 ปีที่แล้ว

    nice one

  • @womanofsteel1402
    @womanofsteel1402 2 ปีที่แล้ว

    🔥🔥sana hii

  • @macamezungu7031
    @macamezungu7031 2 ปีที่แล้ว

    Mr everything 🔥💯

  • @josephmuchiri3180
    @josephmuchiri3180 2 ปีที่แล้ว

    Mr facts

  • @jesusislord9190
    @jesusislord9190 2 ปีที่แล้ว +1

    ni kweli huruhusiwi kusema ulichokiona kwenye uvuvi... unakufa,.

  • @saadahiddy8789
    @saadahiddy8789 2 ปีที่แล้ว

    Big up davista mata 🥂🇴🇲🇴🇲🇴🇲😍

  • @mercykariithi7919
    @mercykariithi7919 2 ปีที่แล้ว +1

    Davista ni Mungu yupi wewe unataja ni Mungu wa wahindi? Ni Mungu Baal? Ama ni Mungu Yesu Christo? Kuna na musimamo Wacha kuogopa watu wasio amini Christo Yesu

  • @bakari-si1pw
    @bakari-si1pw 2 ปีที่แล้ว

    Tunategea👂

  • @HamixBreshiBane
    @HamixBreshiBane 2 ปีที่แล้ว +1

    Hii story inaonekana kali

  • @martinmaryogo3676
    @martinmaryogo3676 2 ปีที่แล้ว +2

    daaaaah et watot 13 wat wa zaman jamn walibarkiw sn nguvu, mm tumezaliw 12, na mama had sasa yupp na yuko poa kabsa, ila leo hiii et mtot mmok wawil mtu hahahahahaaaaa dunia inabadilika sana sana,

    • @lorraineatieno6544
      @lorraineatieno6544 2 ปีที่แล้ว +1

      Wanaume wameingilia uraibu mwingi..madawa ya kulevya. Pia umalaya umezidi..heshima haipo tena watu wanatoka nje ya ndoa ila sio kutulia kwa ndoa.

  • @batazalsamato9740
    @batazalsamato9740 2 ปีที่แล้ว

    Party 2

  • @juliusmushi6428
    @juliusmushi6428 2 ปีที่แล้ว

    Story za kigoma kama Musa ni nzuri sanaaaa

    • @victorymvlog875
      @victorymvlog875 2 ปีที่แล้ว +1

      Nope. This is swahili

    • @juliusmushi6428
      @juliusmushi6428 2 ปีที่แล้ว

      @@victorymvlog875 yes Swahili,can I teach you?

  • @jesusislord9190
    @jesusislord9190 2 ปีที่แล้ว +1

    mlijaza vipe???

  • @florencerose859
    @florencerose859 2 ปีที่แล้ว +1

    Kigoma kwua akina Musa Ichesa

  • @josephmaganga1931
    @josephmaganga1931 2 ปีที่แล้ว

    Story ya home kigoma kapara msenga

  • @user-vk4zb8fo9u
    @user-vk4zb8fo9u 6 หลายเดือนก่อน

    Uyu muongotu anataka kuaminisha watutu uwo ujinga wewe acha uwongo upuuzitu unaongea

  • @raynawilliam4719
    @raynawilliam4719 2 ปีที่แล้ว

    A

  • @shabanmakoye4410
    @shabanmakoye4410 2 ปีที่แล้ว

    Kwenye kuzama dakika 5 nimekataa, hayupo hata wa kuzamia dakika 3 bila vifaa maalum, mm ni mvuvi na huwa nazamia ila uwezo wangu ni kubana pumzi dakika 1 na nusu, hata uwe mtaalam wa kuzamia namna gani huwezi zidisha dakika 3, mengine umesema kweli mfano staili za kuogelea zipo nyingi ingewezekana ningewatumia picha zangu mkaamini, pia umesema kweli kuhusu kuwa mkimya uonapo chochote ukiwa ndani ya maji, na mnaweza kuwa watano ila akaona m1

    • @theunseen.believe5672
      @theunseen.believe5672 2 ปีที่แล้ว +1

      , the current Guinness World Record for holding your breath underwater is held by Aleix Segura of Spain at a whopping 24 minutes 3 seconds!

    • @captainndoxy5769
      @captainndoxy5769 2 ปีที่แล้ว +1

      Unafaham kuogelea?

    • @captainndoxy5769
      @captainndoxy5769 2 ปีที่แล้ว +1

      Dakika tano chache mi nilikua naenda mpaka kumi na watu wanauwezo wa kufikisha mpaka kumi na tano dakika chini ya maji ukibisha njoo Mwanza twende ziwani ukashuhudie mwenyewe

  • @CinemaKingTheaters
    @CinemaKingTheaters 2 ปีที่แล้ว

    Is this a Liberian tongue?

    • @victorymvlog875
      @victorymvlog875 2 ปีที่แล้ว

      No.its swahili

    • @CinemaKingTheaters
      @CinemaKingTheaters 2 ปีที่แล้ว

      @@victorymvlog875 I thought this was a liberian channel. I had no clue they were speaking swahili.

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 2 ปีที่แล้ว

    Mjomba ameanza kutupakia asbh mapema tu eti dakika 5 chini ya maji na ukumbuke sio mzoefu ndio anaanza tu

    • @lizzybeth6344
      @lizzybeth6344 2 ปีที่แล้ว

      Hahahaha kwa kwel mapema

  • @jesusislord9190
    @jesusislord9190 2 ปีที่แล้ว +1

    mie sikujifunza kuogelea nilijikuta najua tu kwasababu nimezaliwa eneo la uvuvi... huwezi kukaaa dk 5 au 2 kwenye maji mimi nimezaliwa kasisi ziwa tanganyika nikalelewa kasanga ziwa tanganyika nimekulia kunduchi pwani... kooote nimekuwa mvuvi nimevua ziwa rukwa ziwa Victoria..na baharini... huwezi kukaa chini ya maji kwa dk 2 ni uongo mkubwa

    • @marychacha7084
      @marychacha7084 2 ปีที่แล้ว +2

      Inaweza mbona kuna wazamiaji ambao wanaogelea kuokoa watu kwenye majanga..kuzama na kukaa chini ya maji hata dakika 8 inawezekana ila ujue tu technical and procedures za uzamiaji bila hata vifaa

    • @jesusislord9190
      @jesusislord9190 2 ปีที่แล้ว

      @@marychacha7084 wewe kuogelea unaogelea hata siku 10.. bila kupumzika issues ni kupiga mbizi kwa muda wa dk 5 au 2 hakuna kitu kama hiyo

    • @theunseen.believe5672
      @theunseen.believe5672 2 ปีที่แล้ว

      Inawezekana hata kwa zaidi ya dakika Kumi

    • @theunseen.believe5672
      @theunseen.believe5672 2 ปีที่แล้ว

      , the current Guinness World Record for holding your breath underwater is held by Aleix Segura of Spain at a whopping 24 minutes 3 seconds!