PART8:WAMAYO TAJIRI WA PESA ZA KICHAWI ALIEFILISIKA AELEZA SAFARI YAKE UTAJIRI NA KUUA NDUGU ZAKE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 51

  • @MauFundiElectronics
    @MauFundiElectronics ปีที่แล้ว +7

    Kaka DAVISTA MATA unafanya kazi mzuri sana kaka mungu akubariki.

  • @alipipikasyupa5558
    @alipipikasyupa5558 11 หลายเดือนก่อน

    Wamayo Mungu anakupenda sana rafiki yangu,kuna jambo kubwa anahitaji kulitimiza kupitia kwako,naamini Toba yako imesikiwa na Umesamehewa,Mshikilie sana Mungu utimize mapenzi yake.Barikiwa rafiki

  • @MauFundiElectronics
    @MauFundiElectronics ปีที่แล้ว +3

    Daaaaaahhhh aisssseeee maisha ni safari ndefu sana kwa kweli.

  • @mgenirasimi7771
    @mgenirasimi7771 ปีที่แล้ว +14

    Chief usalama wa hawa wanaoelezea hizi stori upo vipi bhana maana jamaa anaelezea matukio yaliyoacha maumivu na uchungu kwa wapendwa wao kiias kwamba wakipita hapa na anavyoelezea naamini watamfuta kulipiza kisasi, sasa sjajua una utaratibu gani na usalama wao

    • @richardjoseph3347
      @richardjoseph3347 ปีที่แล้ว +1

      Dah kwel kabsa jamaa usalama wake ni mdogo sana sasahv kwn anaongea mambo makubwa tena yanaumiza sana ila jamaa natakiwa atubu sana kwa munguu wake kafanya zambi sana

    • @espinosapaemn4765
      @espinosapaemn4765 ปีที่แล้ว

      Usalama ndo Nini embu nieleweshe

    • @espinosapaemn4765
      @espinosapaemn4765 ปีที่แล้ว

      Usalama ndo Nini embu nieleweshe

    • @uzogolemasanja8338
      @uzogolemasanja8338 ปีที่แล้ว

      Yani kiukweli huyu jamaa hafai hata robo

    • @MadenaIphone
      @MadenaIphone 11 หลายเดือนก่อน

      Uyu hana usalama wowote naamin haya matukio yote sio ya miaka mingi hivyo wanapmfaam lazima watamdhuru. Tena watakao mdhuru niwatuwake wakaribu muda wowote huyo watamlipiza davista hana chakumsaidia yeye anauza habari zahuyu jamaa hapo wameishana

  • @kelvindaudi1063
    @kelvindaudi1063 ปีที่แล้ว +1

    Pamoja sana kaka

  • @edithaeugeni9695
    @edithaeugeni9695 ปีที่แล้ว +6

    Davista naomba siku utenge Muda wako kutowa elimu kwa akina sisi kuhusu hizi stori kwa sababu una kuta mtu ana story kama hii ya Mauwaji na bado anaishi mkowa huohuo na ndugu wa marehemu wana iskya na wana mfahamu sasaje mna msaidijae kuhusu Usalama wake maana kuna watu wengine huwa hawa samei

  • @ramadhanishabani2743
    @ramadhanishabani2743 ปีที่แล้ว +1

    Professor Davistar Hapa Ndio story inaanza sasa haya tuletee mkuu tupo majumbani mvua zinanyesha sana

  • @masatuibrahimjames2415
    @masatuibrahimjames2415 ปีที่แล้ว

    Dah noma sana

  • @nassorhamed1795
    @nassorhamed1795 ปีที่แล้ว +3

    Ananukaaa damu za watu wengi

  • @womanofsteel1402
    @womanofsteel1402 ปีที่แล้ว +4

    Inawezekana zumaridi alienda kwenye huo mji akasema Ni mbinguni,😀😀

    • @raniafahad2918
      @raniafahad2918 ปีที่แล้ว +1

      Ndo mbunguni anaposemea uko ndo kuna Mungu wao wanamwita

  • @Irenes_Kitchen
    @Irenes_Kitchen ปีที่แล้ว +4

    Hiyo gamboshi ni mbingu ya zumaridi 😅😅😅😅😅, Kuna magorofa miji mizuri😂😂😂

    • @raniafahad2918
      @raniafahad2918 ปีที่แล้ว

      Ndo anayosemea mana wanamungu wao uko

  • @mildredakinyi9855
    @mildredakinyi9855 ปีที่แล้ว

    Mungu atusamehe sote. Kutubu dhambi kilasaa nivyema😢😢

  • @MauFundiElectronics
    @MauFundiElectronics ปีที่แล้ว +3

    Stori MZURI sana inafundisha sana

  • @user-qt7ss5en3g
    @user-qt7ss5en3g 7 หลายเดือนก่อน

    Uyu jamaa ana roho ngumu sana yani kunamda nacheka sana

  • @MauFundiElectronics
    @MauFundiElectronics ปีที่แล้ว +1

    DAVISTA MATA nakubali sana tupo pamoja .

    • @salukisendi9333
      @salukisendi9333 ปีที่แล้ว

      WAMAYO LAZIMA NIKUTAFUTE MAANA HADI ULIMUCHOMACHOMA VISU VYA MGONGONI MWANAJESHI MWENZANGU. HAIWEZEKANI WW HADI LEO UNAVUTA HEWA SAFI LAZIMA UVUTE HEWA YA MOTO

    • @salma-fc4xc
      @salma-fc4xc ปีที่แล้ว +4

      MUNGU ATAKUSAMEHE KAMA UMEJUTIA HAKUNA MKAMILIFU KUNA MIJITU UMU IMESHA FANYA MATUKIO YA KUTISHA SANA KULIKO WW LAKINI NYANI UWA HAONI KUNDULE KUNA MINGINE IMESHA LAWITI WANAUME WENZAO ILA WANAJIONA WAO WAKAMILIFU HAKUNA MKAMILIFU CHINI YA JUA NA KUSISITIZA MUOMBE TU MUNGU MSAMAHA ATAKUSAMEHE. MIMI SIWEZI KUKUHUKUMU KWA CHOCHOTE COZ NAJUA MM PIA NIMTENDA ZAMBI SIJAKAMILIKA %100

    • @bakari-si1pw
      @bakari-si1pw ปีที่แล้ว

      @@salukisendi9333yes umekuwa mweelewa sana

  • @user-qt7ss5en3g
    @user-qt7ss5en3g 7 หลายเดือนก่อน

    Ukweli kila mtu unakiatu chake apa duniani

  • @suleimanicatter4809
    @suleimanicatter4809 ปีที่แล้ว

    Nouma xn 🔥🔥🔥

  • @jacquesbugumba2256
    @jacquesbugumba2256 ปีที่แล้ว

    Mungu wangu, kweli is this real????😢😢😢😢

  • @YusuphMarcOgaga
    @YusuphMarcOgaga ปีที่แล้ว +1

    Kawa Zumaridi

  • @miraculolopa
    @miraculolopa ปีที่แล้ว +1

    Bro story kama hizi atutaki tuletee Watu ambao wamefanya matukio wakafungwa baada yakutumikia kifungo chao wakafunguliwa na wakatubu na sio hawa mbwa ambao wamefanya matukio na mpaka leo wapo huru bila kuadhibiwa inauma bro 😥

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything ปีที่แล้ว

    👊✌

  • @elizabethleonce1089
    @elizabethleonce1089 ปีที่แล้ว

    Duu

  • @donathamwangobe2776
    @donathamwangobe2776 ปีที่แล้ว +2

    Davista ungemficha huyu kaka uhuska kama magere

  • @tenkeytz
    @tenkeytz 9 หลายเดือนก่อน

    Moone

  • @MauFundiElectronics
    @MauFundiElectronics ปีที่แล้ว

    Part 9 please

  • @butondodavid2105
    @butondodavid2105 ปีที่แล้ว

    Jamaa kisaicology kesha aribika hayupo ok

  • @victorphocus5931
    @victorphocus5931 ปีที่แล้ว

    ilo dodokii kiboko😂😂😂😂😂😂😂

  • @Ashrafbillaltkn
    @Ashrafbillaltkn ปีที่แล้ว +1

    matukio yanatisha too graphic napia uyu bwana anaweza funguliwa mashtaka ya matukio mengine. Protect ur sources.

  • @nassorhamed1795
    @nassorhamed1795 ปีที่แล้ว

    Duuu mpaka mtoto aloo Ata Jami haifai kulaa nae

  • @suleimanicatter4809
    @suleimanicatter4809 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nouma xana unaogopa kushikwa mkono 🔥🔥🔥

    • @sistymbombo1616
      @sistymbombo1616 ปีที่แล้ว +1

      Mmm huyu ni zumaridi wa kiume

    • @lilyrose7983
      @lilyrose7983 ปีที่แล้ว

      @@sistymbombo1616 😂😂😂😂

  • @kimcash3079
    @kimcash3079 ปีที่แล้ว

    Mfiche sura davist umeshamuharibiaa

  • @stejasatv7349
    @stejasatv7349 ปีที่แล้ว

    Lazima atakua ameatilika psychology

  • @allyomary7630
    @allyomary7630 ปีที่แล้ว

    Mwaka gani ????

  • @habibumbawala1173
    @habibumbawala1173 ปีที่แล้ว

    Tupe sehemu ya 9

    • @kiehbhzh7044
      @kiehbhzh7044 ปีที่แล้ว

      Kweri sura sio roho😢

  • @patrickpazza4764
    @patrickpazza4764 ปีที่แล้ว

    Usalama wake ukoje Kaka huyu jamaa tafadhar maana hizo story n ngumu mno

  • @margaretwangoi6814
    @margaretwangoi6814 ปีที่แล้ว

    Sasa mtoto mlimuuliza nini nynyi you were possessed really

  • @florencerose859
    @florencerose859 ปีที่แล้ว

    Na muke wako alijua unafanya kazi mbofu kama hii?