Magoli: Yanga walivyopindua matokeo na kuipiga Mwadui 3-2 kwa Mkapa - VPL 20/06/2021

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 มิ.ย. 2021
  • YANGA 3-2 MWADUI: Yanga SC wamezitumia dakika nne za nyongeza kupata magoli mawili muhimu yaliyowapa ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Mwadui FC katika mchezo wa ligi kuu uliopigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
    Magoli ya Yanga yamefungwa na Bakari Mwamnyeto, Yacouba Songne na Wazir Junior wakati magoli yote mawili ya Mwadui yakifungwa na Aniceth Revocatus.
    Katika hatua nyingine, Fiston Abdoulrazack wa Yanga amekosa penati kwenye mchezo huu, iliyopanguliwa na golikipa Mussa Mbisa.
    Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
    ►INSTAGRAM: / azamtvtz
    ►INSTAGRAM: / azamsports2
    ►TWITTER: / azamtvtz
    ►FACEBOOK: / azamtvtz
    ►WEBSITE: www.azamtv.co.tz
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 538

  • @mandelatv7834
    @mandelatv7834 3 ปีที่แล้ว +9

    Yanga naikubali miaka mia... mungu ibariki yanga mungu ibariki yanga amina

  • @ednathad5476
    @ednathad5476 3 ปีที่แล้ว +12

    Mtangazaji yanga wamejua kukukausha sauti leo.... hii ndo timu ya wananchi buana 💚💛

  • @youngndekwatz5131
    @youngndekwatz5131 3 ปีที่แล้ว +8

    Safi sana wananchi najua kuna watu wanaumizwa na aya matokeo vumilieni hii ndo yanga ndugu zangu team ya wananchi💪💪

  • @j.s.nyerere2837
    @j.s.nyerere2837 3 ปีที่แล้ว +8

    Naona watu wanamfurahiya mfungaj bila kuona juhud za TK master, tazama magori yote mawili ya mwisho yametoka miguuni mwake. Mm man of the match ni TK

  • @joandaniel9757
    @joandaniel9757 3 ปีที่แล้ว +8

    Daima mbele nyuma mwiko i love you young Africans

  • @asteriabrown1101
    @asteriabrown1101 3 ปีที่แล้ว +7

    Yanga naikubali sanaa💚

  • @ip_header
    @ip_header 3 ปีที่แล้ว +7

    Hii ndio inaitwa Fighting spirit, hakuna kukubaki mpka mwisho, daima mbele nyuma mwiko

  • @mercymoshi3666
    @mercymoshi3666 3 ปีที่แล้ว +10

    Huku ndio kupndua meza kibabe, YANGA FOR LIFE 💚💛💚💛💚💛💚💛🔥🔥🔥🔥🔥🔥💪💪💪💪💪💪💪💪💪💛💛💛💛💚💚💚💚💚

    • @Edward_Simon6
      @Edward_Simon6 3 ปีที่แล้ว

      Haha matokeo hayo na timu inayshuka daraja mmeponea chupu chupu

    • @mercymoshi3666
      @mercymoshi3666 3 ปีที่แล้ว

      @@Edward_Simon6 unateseka ukiwa wapi?!!😂😂😂😂😂halaf ww ulimfunga ngapi?!!!ENDELEA KUTESEKA MTANI

    • @abdullaothman3772
      @abdullaothman3772 3 ปีที่แล้ว

      @@Edward_Simon6 kwani timu ikiwa inashuka daraja huwa haichezi mpira?

  • @sumahtanzania4991
    @sumahtanzania4991 3 ปีที่แล้ว +6

    Yanga oyeee raha sana ukiwa mwananchi

  • @wilonjahatua2067
    @wilonjahatua2067 3 ปีที่แล้ว +9

    Tuliipenda wenyewe ilove yangaaaaaaa

    • @fadhilimartin9466
      @fadhilimartin9466 3 ปีที่แล้ว

      Kipa alisi Mama nyuma ya mstari Makosa sana ingetakiwa kwenye mstari Rafa hakuona makosa hayo

    • @wilonjahatua2067
      @wilonjahatua2067 3 ปีที่แล้ว

      @@fadhilimartin9466 sure

  • @ezekielemanuel8217
    @ezekielemanuel8217 3 ปีที่แล้ว +8

    This is yanga what we need!! 💪💪💪

  • @saidyoriyori9697
    @saidyoriyori9697 3 ปีที่แล้ว +14

    tulie ludia kuangalia ili gem tujuane apa

  • @hassanparamana2215
    @hassanparamana2215 3 ปีที่แล้ว +6

    Yaani kama ningekuwepo mimi uwanja lile goli la waziri nisinge endelea kusimama ningekaa kwenye kiti changu kisha nika piga booongeeee moja la selfie kisha naenda kuombea mkopo benk bila dhamana big up 👏 chama langu pamoja sana 🇦🇪🇹🇿

  • @sportssite8011
    @sportssite8011 3 ปีที่แล้ว +5

    Hongera Yanga nikiwa Kenya 🇰🇪

  • @dogoshazzy761
    @dogoshazzy761 3 ปีที่แล้ว +5

    Yang mbelee🔥🔥💯💯💯

  • @nurungole3961
    @nurungole3961 3 ปีที่แล้ว +5

    Poleni na uchovu viongozi na wachezaji na mashabiki wenzangu na yanga. Naomba neno niseme nawaomba wachezaji wetu msiudharau mpira ukiwa kwa Adui msimuongezee hatua mumzibe kwa kumpunguzia hatua. Nasisi mashabiki tuwe wapole kwa wachezaji wetu kipindi wanapokuwa uwanjani hata kama wamekosea wakimaliza tuwaelekeze viongozi. Kuna kupanik ukishtuliwa ndio tunapoteana. Mungu isaidie yanga yetu.

  • @daudkihava8528
    @daudkihava8528 3 ปีที่แล้ว +5

    What a come back!, Viva Yanga.

  • @zulekhabaksh686
    @zulekhabaksh686 3 ปีที่แล้ว +5

    Asante Yanga 💚💛💚💛💚💛

  • @alexkihongola798
    @alexkihongola798 3 ปีที่แล้ว +4

    Aniceth Revocutus ni Moto Sana, Hongera yanga.

  • @sadarashid511
    @sadarashid511 3 ปีที่แล้ว +6

    I love you yangaaaaaa

  • @daedadaudi8388
    @daedadaudi8388 3 ปีที่แล้ว +6

    Always green and yellow

  • @FourTeen_Kiid
    @FourTeen_Kiid 3 ปีที่แล้ว +5

    Safu yetu ya nyuma hamna kitu kabisa tunaruhusu sana magoli hasa kwa michezo miwili hii ya mwisho (wa Ruvu Shooting na Mwadui) uongozi wa timu unatakiwa kulifanyia kazi tatizo hili.
    #DaimaMbeleNyumaMwiko💚💛

  • @adjussahkindamba3111
    @adjussahkindamba3111 3 ปีที่แล้ว +6

    🇦🇪 Dar Young Africans till die

  • @laghtnesphilipo489
    @laghtnesphilipo489 3 ปีที่แล้ว +4

    Dah, kaseke hajaaman Kama ameshinda, hongera Sana wananchi wenzangu

  • @salehali1136
    @salehali1136 3 ปีที่แล้ว +4

    Tk masta speed zake zinasaidiaa

  • @antonymsalilwa7180
    @antonymsalilwa7180 3 ปีที่แล้ว +5

    Tk master 🙌🙌🙌

  • @husseinmohamed1777
    @husseinmohamed1777 3 ปีที่แล้ว +9

    Kaseke Fundiii🙌🏾🙌🏾

    • @paullucas840
      @paullucas840 3 ปีที่แล้ว +2

      umeona kama mm aisee

    • @husseinmohamed1777
      @husseinmohamed1777 3 ปีที่แล้ว +1

      @@paullucas840 Jamaa Toka aje Kaze kawa mtulivu sanaa Namkubali kinoma

  • @stacianduta4079
    @stacianduta4079 3 ปีที่แล้ว +5

    MAREFA WA TANZANIA WAPUMBAFU 'THAT WAS A DIRECT REDCARD ON FAI TOTO LAST MAN STANDING RULE

    • @ngassa1tv331
      @ngassa1tv331 3 ปีที่แล้ว

      soka la bongo bado sanaa maana kama na wewe umeliona hilo duh hata mimi nililiona halafu na refa ameangalia tu duh

    • @saidmichael6029
      @saidmichael6029 3 ปีที่แล้ว

      Nakubaliana na wew Stacia nduta,

    • @hassanbinabdallah8496
      @hassanbinabdallah8496 3 ปีที่แล้ว +1

      Sio hawajui yanga inahujumiwa saana na tff nyie acheni tuuu jaman haki hakuna mpira wa bongo jaman caf mko waaaaaaapiiiiiiiiiiii

  • @paulomollel8179
    @paulomollel8179 3 ปีที่แล้ว +4

    Ilove yangaaaaa

  • @mattanofficemusc3535
    @mattanofficemusc3535 3 ปีที่แล้ว +2

    Achainiuweeee nimeipenda mwenyeweeee I love Yanga

  • @samdemainer2432
    @samdemainer2432 3 ปีที่แล้ว +5

    Team ya wananchi daima mbele nyuma mwiko 👏

  • @somoesalumu7600
    @somoesalumu7600 3 ปีที่แล้ว +7

    Highlight inachelewa jaman wengine hatuna tv

    • @jumakassim8718
      @jumakassim8718 3 ปีที่แล้ว

      Yanga wangefungwa kitambo ungeona mbwa sana hawa azam

    • @saidmichael6029
      @saidmichael6029 3 ปีที่แล้ว

      😀😀😀🙌🙌🙌🙌

  • @abdullaothman3772
    @abdullaothman3772 3 ปีที่แล้ว +7

    Hiyo penalty ilitakiwa irejewe kupigwa bcz goalkeeper hakuwa sehemu sahihi kabla penalty haijapigwa, sema waamuzi wetu ni shida

  • @johnsonlyakurwa2023
    @johnsonlyakurwa2023 3 ปีที่แล้ว +5

    Iliniumaaa sana jana mpaka dk za lala salamaaaa celew ila mpira dk 90 DAIMA MBELE NYUMA MWIKO

  • @charlesndege1446
    @charlesndege1446 3 ปีที่แล้ว +4

    Raha sana

  • @samdemainer2432
    @samdemainer2432 3 ปีที่แล้ว +7

    Ukubwa wa yanga ndyo huu sasa😂

  • @onesmojustice2348
    @onesmojustice2348 3 ปีที่แล้ว +8

    Hivi mnajua kwa nini mwadui wamelia baada ya kupoteza? Shinyanga walikula 5 hawakulia ,FA wakala 2 hawakulia, kwa nini walie jana na huku wameshashuka daraja? Jibu ni kwamba kuna mkwanjwa kama hawakupewa basi waliahidiwa na vigogo wawili kwenye ligi😂😂😂😂

    • @hillarymustapha5252
      @hillarymustapha5252 3 ปีที่แล้ว +1

      Asante

    • @hindisaid2413
      @hindisaid2413 3 ปีที่แล้ว +1

      Kama nafahamu sasa🤣

    • @maryberege3093
      @maryberege3093 3 ปีที่แล้ว +1

      Watu wameisha shuka daraja na hawaendi popote lakini pesa mwanaharamu sana. Wangekuwa wanacheza hivi kwa kila timu wanayo kutana nayo nafikiri katika msimamo wa ligi Wangekuwa 5. Naona mkwanja wa mo ndio umewafanya wacheze kwenye kiwango. Wamekwama ila wapewe hata ya maji

  • @gilgalwaryoba5735
    @gilgalwaryoba5735 3 ปีที่แล้ว +7

    Mh ila huyu kisinda huyu mmmmh

  • @georgemgawe9715
    @georgemgawe9715 3 ปีที่แล้ว +5

    Asante tk master

  • @stacianduta4079
    @stacianduta4079 3 ปีที่แล้ว +7

    PIA WAKATI WA KUPIGA PENALTI GOAL KEEPER ALIPASWA KUSIMAMA KWA LAINI SI KWA NETI

    • @ngassa1tv331
      @ngassa1tv331 3 ปีที่แล้ว

      dada mpira wa bonfo huo

    • @eliastephen2776
      @eliastephen2776 3 ปีที่แล้ว

      Hilo lilikuwa kosa lakini waamuzi wetu hawako makini

    • @mlengecastory9098
      @mlengecastory9098 3 ปีที่แล้ว

      @@eliastephen2776 hapana kipa yupo sahihi unaruhusiwa kuingia ndani yaneti na kuuwahi mpira usingie ndani ingawaje ukipata wapigaji penalti wazuri kila siku unatakuwa unafungwa Feston alikosa umakini2

  • @elliky2wo2wo95
    @elliky2wo2wo95 3 ปีที่แล้ว +9

    Wanao sema tumebebw waende fifa

  • @saidmichael6029
    @saidmichael6029 3 ปีที่แล้ว +3

    Nice performance yanga forever

  • @mansoolpapalah9537
    @mansoolpapalah9537 3 ปีที่แล้ว +5

    Come back ya kibabe daima mbele✊

  • @yangatvmedia3995
    @yangatvmedia3995 3 ปีที่แล้ว +3

    Love yanga

  • @justrex101
    @justrex101 3 ปีที่แล้ว +5

    naona kuna watu tumewakeeeeeeeeeeeeeerrrrrrrrrraaaaaaaa
    ma ex wetu wanapata tabu sana tusubirieni tarehe 3 kwa mkapa

  • @biddii1972
    @biddii1972 3 ปีที่แล้ว +3

    Yanga ni motooo

  • @Regismwungura2000
    @Regismwungura2000 3 ปีที่แล้ว +1

    The first goal love from kenya

  • @zahrainuleidi2101
    @zahrainuleidi2101 3 ปีที่แล้ว +3

    Yangaaaaaaa oyeeeeeeeee

  • @twahirumtunguja4136
    @twahirumtunguja4136 3 ปีที่แล้ว +4

    Polee mpenja kwakukaushwa saut na wananchi 😀😀

  • @peterkamara5911
    @peterkamara5911 3 ปีที่แล้ว +3

    What a comeback

  • @saudajuma4409
    @saudajuma4409 3 ปีที่แล้ว +3

    Yangaa hoyee

  • @DiboyHDsports
    @DiboyHDsports 3 ปีที่แล้ว +1

    goo gooo yanga😘😍😍😍

  • @jumashaban1519
    @jumashaban1519 3 ปีที่แล้ว +4

    Ha ha ha uyo wa blichi simwogopi, baraka unafurahisha sana

  • @biddii1972
    @biddii1972 3 ปีที่แล้ว +4

    Tk mast ni moto

  • @losa4976
    @losa4976 3 ปีที่แล้ว +4

    mimi shabiki wa yanga ila ilo goli la mwadui nimejikuta nashangilia

  • @benjaminomary5307
    @benjaminomary5307 2 ปีที่แล้ว +1

    I love you yanga

  • @mabeyobarnabas
    @mabeyobarnabas 2 ปีที่แล้ว +1

    Waaaaaaaaaaaoooooooo hongela kwa yanga

  • @dougrastoto5569
    @dougrastoto5569 3 ปีที่แล้ว +5

    Fiston aondoke

  • @sarahyanga2557
    @sarahyanga2557 3 ปีที่แล้ว +6

    Yangaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

  • @aliabdallah5396
    @aliabdallah5396 3 ปีที่แล้ว +2

    Big up kwa tk

  • @ramcdkunyenda8477
    @ramcdkunyenda8477 3 ปีที่แล้ว +5

    Hahahah wangapi tumesikia passy yakuombea mkoko bank yeyote ila yanga timu kubwa bwana

  • @immatheboytz5626
    @immatheboytz5626 3 ปีที่แล้ว +6

    Mwadui mkome kuchezea ndevu za baba zenu pumbavu nyie hamna adabu kabisa

  • @erikimethod6246
    @erikimethod6246 3 ปีที่แล้ว +7

    Yanga okoa nafs zetu tumechoka

    • @hamisimfaumenamwewe193
      @hamisimfaumenamwewe193 3 ปีที่แล้ว

      NAFSI ZENU OKOENI WENYEWE. KASALI UMUABUDU MUNGU YAWEH.

    • @erikimethod6246
      @erikimethod6246 3 ปีที่แล้ว

      Usiuparamie mchongoma mdogo wang

    • @erikimethod6246
      @erikimethod6246 3 ปีที่แล้ว

      @@hamisimfaumenamwewe193 usiuparamie mchongoma mdogo wangu

  • @anneonyesha1837
    @anneonyesha1837 3 ปีที่แล้ว +4

    Ilove u yanga

  • @juxmwamlenga8087
    @juxmwamlenga8087 3 ปีที่แล้ว +1

    Sana sana

  • @waziriadam6481
    @waziriadam6481 3 ปีที่แล้ว +21

    Walio rudia kuangalia haya magoli kama mm tujuane kwa like

  • @georgeevance2896
    @georgeevance2896 3 ปีที่แล้ว +5

    Nawapenda sana yanga nihatari sana

  • @J4UPro
    @J4UPro 3 ปีที่แล้ว +1

    Love yang

  • @wilsonm.7376
    @wilsonm.7376 3 ปีที่แล้ว +4

    Yanga achaneni na huyo fiston na sarpong hawana kitu, na mzawa wazir jr apewe mechi nyingi ni goal getter mzuri tunamjua tatizo hapewi nafasi...

  • @mariammuya5177
    @mariammuya5177 3 ปีที่แล้ว +4

    We junior wee-wee!

  • @omaryrashird7879
    @omaryrashird7879 3 ปีที่แล้ว +3

    Congratulations yanga

  • @happyshayo372
    @happyshayo372 3 ปีที่แล้ว +3

    Dah. Mechi utafikiri ni fainali. Naomba irudiweeeeee😂😂😂😂

  • @magrethmartin199
    @magrethmartin199 3 ปีที่แล้ว +3

    This is yanga

  • @suleymanisalum2361
    @suleymanisalum2361 3 ปีที่แล้ว +3

    💚💛💚💛by iniesta

  • @edomkyamba3988
    @edomkyamba3988 2 ปีที่แล้ว +3

    Yanga mtatuuwa jaman

  • @agustinoapolinar1623
    @agustinoapolinar1623 3 ปีที่แล้ว +3

    Mwadui wana sifa sana kwahiyo walikua wanataka washinde ili iweje wakati washashuka daraja sifa tuu

  • @Prosper_vevoo
    @Prosper_vevoo 3 ปีที่แล้ว +3

    Atari 🔥🙌 🔥🔥🔥🔥

  • @nationboy2541
    @nationboy2541 3 ปีที่แล้ว +1

    Halaaa Yanga

  • @wisesanga9085
    @wisesanga9085 3 ปีที่แล้ว +3

    Yanga ni moto jamani

  • @eliastephen2776
    @eliastephen2776 3 ปีที่แล้ว +3

    Huyo Fiston aondoke tuu na mwenzie Sapong....huyu Waziri kama hapati nafasi tumtoe kwa mkopo aende KMC muna vijana wenzake pale atafanya vizur kuliko kumweka benchi..hii ni mechi ya pili anaingizwa na kufanya makubwa..

    • @qavoryope6525
      @qavoryope6525 3 ปีที่แล้ว +1

      Goli la kwanz yye nd kasabsh foul ...kukosa penat n ajli tu

  • @herbertjulius3300
    @herbertjulius3300 2 ปีที่แล้ว

    Nakupend yanga

  • @agustinoapolinar1623
    @agustinoapolinar1623 3 ปีที่แล้ว +4

    Kisinda hatakama afungi lakini kuna kitu unakiona

    • @rehemasimon2908
      @rehemasimon2908 3 ปีที่แล้ว +1

      Sanaa namupenda bule💚💚💚

  • @willyishengoma6578
    @willyishengoma6578 3 ปีที่แล้ว +4

    Wananchi Hadi raha

  • @mhinazishi2331
    @mhinazishi2331 3 ปีที่แล้ว +4

    Yanga Daima

  • @khalipharashidy6213
    @khalipharashidy6213 3 ปีที่แล้ว +1

    💚💛

  • @patricklembeli8523
    @patricklembeli8523 3 ปีที่แล้ว +1

    Of said

  • @arnoldchristian7971
    @arnoldchristian7971 3 ปีที่แล้ว +2

    Tunaiomba hii team tarehe 3 jamani, tunaomba sana

  • @abdallahm86
    @abdallahm86 3 ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @hashimuhakimu240
    @hashimuhakimu240 8 หลายเดือนก่อน

    Yaan Raha sana

  • @chimpaanamtemawingo6355
    @chimpaanamtemawingo6355 3 ปีที่แล้ว +2

    Kaz ilikua kaz Ila ndyo ivyo mpira umetisha.Wananchi 3 Wachimba madini 2.

    • @ismailkatala4792
      @ismailkatala4792 3 ปีที่แล้ว

      Masiingie tu na matokeo yako uwanjani hiyo tarehe 3....itawagharimu.

  • @robertbutahe2835
    @robertbutahe2835 3 ปีที่แล้ว +2

    Tunaposema Yanga SC ni timu ya wananchi hii ndio maana yake! Wengine wanatakiwa kuwa na ADABU!

  • @charitymkombozi1800
    @charitymkombozi1800 3 ปีที่แล้ว +2

    Azam tv tuekeeni highlights basi

  • @dogshuku5963
    @dogshuku5963 3 ปีที่แล้ว

    azam two liv

  • @gratifymwanga154
    @gratifymwanga154 2 ปีที่แล้ว +3

    Pasi ya kuombea mkopo bank🤣🤣🤣

  • @rehemajoseph8402
    @rehemajoseph8402 3 ปีที่แล้ว +3

    Mamae

  • @ibrahimjamsoni1152
    @ibrahimjamsoni1152 3 ปีที่แล้ว +1

    Tutauwa m2 tomorrow kwamkapa 😜🏃

  • @user-pb5gd7uy8o
    @user-pb5gd7uy8o 6 หลายเดือนก่อน +1

    Najifunza kitu hapa hata kwenye maisha kutanguria si kufika

  • @zaunafelix3522
    @zaunafelix3522 3 ปีที่แล้ว +1

    Hatali

  • @kasimjumanne9084
    @kasimjumanne9084 3 ปีที่แล้ว +2

    Tanga daima

  • @user-pb5gd7uy8o
    @user-pb5gd7uy8o 6 หลายเดือนก่อน

    Sitosahau kwenye maisha yangu