Magoli na penati | Yanga 3-3 Coastal Union (Pen: 4-1) | Fainali ASFC 02/07/2022

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ก.ค. 2022
  • Yanga SC wamebeba Kombe la Shirikisho la Azam Sports #ASFC kwa kuitandika Coastal Union penati 4-1 kufuatia sare ya mabao 3-3 katika dakika 120.
    Magoli ya Yanga kwenye mchezo huo yamefungwa na Feisal Salum dakika ya 57, Heritier Makambo dakika 82 na Denis Nkane dakika ya 113 huku magoli yote ya Coastal Union yakifungwa na Abdul Suleiman Sopu ambaye amefunga #Hattrick dakika ya 11, 88 na 98.
    Katika mikwaju ya penati, Yanga wamefunga penati zote nne walizopiga kupitia kwa Yanick Bangala, Heritier Makambo, Dickson Job na Khalid Aucho huku Coastal wakipoteza penati mbili na kufunga moja kupitia kwa Victor Akpan.
    Fainali hii imepigwa kwenye Dimba la Sheikh Amri Abeid, Arusha......
    Kutazama full highlights... ingia hapa • Yanga 3-3 Coastal Unio...
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 787

  • @andersonjacob9447
    @andersonjacob9447 ปีที่แล้ว +105

    tunao angalia 2023 tujuane kwa like apo

  • @user-lc3rv4oz7r
    @user-lc3rv4oz7r หลายเดือนก่อน +12

    2024/6/ tunao rudia tujuane

  • @MARLIJAYOG
    @MARLIJAYOG หลายเดือนก่อน +5

    Aijawai tokea final kama hii wale tunaocheki June 2024 gonga hapo❤️

  • @kaminambeho
    @kaminambeho ปีที่แล้ว +29

    Naomba like 👍 tunaoangalia 2023😀😀

    • @patriciamartin6883
      @patriciamartin6883 ปีที่แล้ว

      tupo😂

    • @Mhappy5
      @Mhappy5 6 หลายเดือนก่อน

      Hadi 2024 bdo naangalia 😅😅

    • @DianaBugondo-zy4wz
      @DianaBugondo-zy4wz 6 หลายเดือนก่อน

      Weeh
      Mi hadi leo tarehe 12 mwez wa kwanza nipo naiangalia hiiii mechi maana ilikuwa ni ngumu mnoooo wananchi au siooo 🪴🪴🌲🌲🌳🌳🌺🌺🥀🥀🌹🌹🏵🏵💮💮🌸🌸💐💐🌷🌷⚘️⚘️🌿🌿🌾🌾🌵🌵🌴🌴🌻🌻🍃🍃🍂🍂🍁🍁🍀

  • @arynxbaba9091
    @arynxbaba9091 ปีที่แล้ว +16

    Finally Bora ya miaka yote🔥Bila shaka Iyi mechi ilikuwa na presha kubwa kwa wachezaji mpaka kwa mashabiki🤦🏿‍♂Nani kaangalia tena 2023??

  • @happyvalence5352
    @happyvalence5352 2 ปีที่แล้ว +15

    Yaani kwenye maisha usikubali kukata tamaa. YANGA TUNGEKATA TAMAA KOMBE LINGEENDA KWA WAGOSI. THANKS LORD 🙌

  • @kevymloje730
    @kevymloje730 หลายเดือนก่อน +4

    Wangapi wanacheki tena hapa 7/6/2024.YANGA ni KUBWA sana hainyamazishwiii,muulize feitoto kilichomkuta kule Zanzibar 💚🔰💪💪💪😅😅😅😅😅😅😅

  • @kedyjohn1848
    @kedyjohn1848 2 ปีที่แล้ว +8

    This match 3-3 will surely go down as one of the greatest football show in Tanzania. It was a beautiful match

  • @zakiaramadhan6976
    @zakiaramadhan6976 9 หลายเดือนก่อน +5

    Sitamsahau makambo, Feisal na Nkane kwenye hii mechi walah sitawasahau 🙌💛💚💛💚

  • @muddymuzungu4357
    @muddymuzungu4357 2 ปีที่แล้ว +8

    DAR YOUNG AFRICAN IS UNSTOPPABLE!💚💚💚💪🏻🏆🏆
    Ahsante sana coach Nabi kwa kuwahi kumuingiza Makambo!
    HAKIKA TUNAIMANI NA TEAM YETU TUNAIMANI NA GSM🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆👍🏅🥉😋🥈

  • @massudbiz9828
    @massudbiz9828 2 ปีที่แล้ว +11

    Younger for life Burundi❤️❤️❤️ 🇧🇮 🇧🇮 🇧🇮 🇧🇮 🇧🇮 🇧🇮 🇧🇮

  • @blessthegreat6210
    @blessthegreat6210 2 ปีที่แล้ว +10

    mechi imekuwa na hadhi ya fainali..
    Asante Denis Nkane ⚽ kwa kuokoa jahazi..
    🟩🟨🏆🏆

  • @uthmanmaluja7005
    @uthmanmaluja7005 2 ปีที่แล้ว +11

    Hii mechi imenitesa Sana Leo sio Siri mwili wote ulikufa ganzi dah Asanten wachezaji wetu mmepambania Tim mashaallah moyo wangu umepoa sasa

  • @LevinaMichael-oy8cu
    @LevinaMichael-oy8cu 6 หลายเดือนก่อน +6

    Naomba like tunaoipenda yanga kutoka moyoni

  • @geofreymahally7115
    @geofreymahally7115 2 ปีที่แล้ว +7

    Jmn nyie yanga tamu bhn asnt sn tajiri GSM, wachezaji na benchi nzm la ufundi hakika we're untouchable n unbeatable period. I love u yanga mwaaah

  • @bahatirashid6964
    @bahatirashid6964 ปีที่แล้ว +5

    I love you Yanga mmwaaa 💚💛🖤✅ leo tarehe 13-06-2023 ubingwa wa jana umenifanya nikumbuke na ilivyokuwa msimu ulio pita hakaki tunasitaili, jana Sopu alifichwa na wakati timu ilikwa kwenye uchovu usio elezeka much love Yanga yangu.

  • @hassanyange7331
    @hassanyange7331 หลายเดือนก่อน +3

    Iyo na hii ya Azam 2024 sio poa

  • @miskyabdi3869
    @miskyabdi3869 2 ปีที่แล้ว +5

    Nashukuru sana denis nkane kwa kusawazisha💛💛💚💚💚 yanga

  • @happyvalence5352
    @happyvalence5352 2 ปีที่แล้ว +8

    Thanks Lord. Thanks GSM. Thanks YANGA.

  • @Sirkitwe
    @Sirkitwe ปีที่แล้ว +9

    Hii mechi sitaisahau daaah yanga ♥️♥️

  • @queenokambo9518
    @queenokambo9518 6 หลายเดือนก่อน +6

    Je tunaoangalia 2024

    • @Mhappy5
      @Mhappy5 6 หลายเดือนก่อน

      Tupo

  • @aminasubira6591
    @aminasubira6591 2 ปีที่แล้ว +13

    Daah alhamdulillah Mungu Mkubwaaaa Makoloo Kimyaaaa😂💚💛👊🇹🇿

    • @afrouhair694
      @afrouhair694 2 ปีที่แล้ว +1

      Makolo hawakosi cha kuongea utasikia story kwa soap. Nb: Kolo ni kolo tu

    • @aminasubira6591
      @aminasubira6591 2 ปีที่แล้ว

      @@afrouhair694 Hahahhaha Manake Kwanza Nchekeeee Kama Walivyoshikilia Kiatu Cha George Mpolee😂😂😂😂👊

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 2 ปีที่แล้ว +10

    Ah. !..huyu mtoto SURE BOY ni NOMA sana.....kama hayupo vile, kumbe ndo NUKSI namba Moja..!

    • @fadhililitupa7512
      @fadhililitupa7512 2 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa ni nuksi kwel kwel hafai ukimuona kama bwege

    • @alexmpoke2610
      @alexmpoke2610 2 ปีที่แล้ว

      Haonekani uwanjani lakini ndiye Mastermind wa Yanga kwa sasa

  • @nasrahassani7698
    @nasrahassani7698 2 ปีที่แล้ว +5

    Yaan hii mechi ilikuwa ngumu kama ile ya mtoano dhidi ya yanga na geita gold
    All in all thanks Allah
    #wearechampions
    💚💚💛💚💛💛💛💚

  • @lovenesskalenge2683
    @lovenesskalenge2683 2 ปีที่แล้ว +10

    Sasa nitakunywa na kula na kutembea kifua mbele💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💚💚💚💚

    • @helenakay2839
      @helenakay2839 2 ปีที่แล้ว +1

      Hahahaha hawaamin

    • @lovenesskalenge2683
      @lovenesskalenge2683 2 ปีที่แล้ว

      @@helenakay2839 Yaan Leo pozi nusu liniishie Asante Mungu.

  • @faridakamwela2370
    @faridakamwela2370 ปีที่แล้ว +14

    Sichoki kuangalia,hii siku mmh au bas

  • @suzancharles1639
    @suzancharles1639 ปีที่แล้ว +5

    Huwa sichoki kuangalia hii mechi proudly young African lady💚💚💚💚💚

  • @zeyanaalhabsi8636
    @zeyanaalhabsi8636 2 ปีที่แล้ว +5

    Congration my team yanga.daima mbele nyuma mwiko.wahenga walisema❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @gracegofrey4677
    @gracegofrey4677 2 ปีที่แล้ว +5

    Fainal ya jasho na damu timu zote zimepambana hongera yanga yangu💚💚🙏🇹🇿🏆

  • @brinnalevison7926
    @brinnalevison7926 2 ปีที่แล้ว +6

    Mm nimwana nchiiiiiii ilove Yanga 💚💚💚💚💚💚💛💛💛💛💛💛💛🏆🏆

  • @mysaramohamed4832
    @mysaramohamed4832 2 ปีที่แล้ว +18

    Hii mechi imenipa presha wallah ctakuja kuisahau🤣💚💛💚💛

    • @barikilangoy4737
      @barikilangoy4737 2 ปีที่แล้ว +2

      😀😀😀😀 pole sana Mimi mwenyew kidogo niugue kweli

    • @sanipharamadhani50
      @sanipharamadhani50 2 ปีที่แล้ว +3

      Aki me nilikua naenda kufa mama ang Tena😅😅😅💚💛💚💛

    • @lightnesskweka4774
      @lightnesskweka4774 2 ปีที่แล้ว +2

      Acha tu Et imenipa presha nkahis nakojoa.acha tu. 💚💛💚💛💚💛💚💛💚💚

    • @hidayahassan1315
      @hidayahassan1315 2 ปีที่แล้ว +1

      yani nilikua kariakoo nimeona dunia imeniangukia😂😂😂😂

    • @barikilangoy4737
      @barikilangoy4737 2 ปีที่แล้ว +1

      @@sanipharamadhani50 mashabiki wa simba wametukera sana ila mungu ni mwema wameaibika

  • @athumaniwaziri6676
    @athumaniwaziri6676 2 ปีที่แล้ว +7

    Kweli Mungu ni mwema Asante Mungu

  • @aviwamwadin1769
    @aviwamwadin1769 ปีที่แล้ว +10

    Alifurahi mkuu wa mkoa wa Tanga Ila mwisho wake hakuamini Kama amekosa kombe

  • @zeyanaalhabsi8636
    @zeyanaalhabsi8636 2 ปีที่แล้ว +10

    Kutangulia sio kufika.yanga bingwa

  • @daudimmary3965
    @daudimmary3965 2 ปีที่แล้ว +6

    Fainali ambayo imekua bora sana upande wangu, am proud of being part of DAR YOUNG AFRICAN

  • @Ambagaye
    @Ambagaye 2 ปีที่แล้ว +8

    Magoli yote sita kabla ya mikwaju yalikuwa mazuri sana. In fact magoli ya Sopu yalikuwa ni mazuri na magumu sana kwa golikipa yeyote kuzuia.

  • @Sirkitwe
    @Sirkitwe ปีที่แล้ว +6

    Naiangalia tena Hii mechi leo tr 26/9/2022 daaah sitasahau Hongera chama langu yanga♥️💛💚

  • @kwamefidel736
    @kwamefidel736 2 ปีที่แล้ว +7

    Yangaaaaaa🔥🔥🔥🔥

  • @salummbaraka2002
    @salummbaraka2002 ปีที่แล้ว +8

    Moja kati ya mechi yangu bora sana kwa Chama langu YANGA .hii siku sitoisahau kamwe.

    • @worldhappiness1181
      @worldhappiness1181 ปีที่แล้ว +2

      Hii ilikua mechi ngum mno na yenye ladha yake

    • @jaliasimba6839
      @jaliasimba6839 ปีที่แล้ว +1

      Yaanii naiotaga inakuaga ndoto mbaya mnoo😂 watoto wanga Hawa😂😂😂😂

  • @msasenathpotiphar1732
    @msasenathpotiphar1732 2 ปีที่แล้ว +11

    Yaan yanga wamenifanya nipende mpira ghafla namna hii duh haya siyo Mapenzi ni mahaba😍 Fei toto,mayele, sure boy wananikosha 😘 ila bila kumsahau MANARA huyu baba ana kitu Cha pekee alichojaaliwa na mwenyezi MUNGU MUNGU amlinde na wenye roho mbaya na chuki zao binafsi na wenye husda wapigwe upofu mabaya yawarudi wao wenyewe MANARA aiseh nampenda ye Ndo amenihamasisha niupende mpira MUNGU amlinde kwakwel 😍,I love you YANGA 💚💛😍,mjipange zaidi msimu ujao maana wapinzani wenu wanahasira hadi wanashindwa kujizuia na wanajipanga kwa hali na mali msimu ujao na nyie msilewe na ushindi Wa msimu huu mzidi kujipanga zaidi 😍💚💛🙏

    • @ismailissa4935
      @ismailissa4935 2 ปีที่แล้ว

      Mh🤪🖤

    • @msasenathpotiphar1732
      @msasenathpotiphar1732 2 ปีที่แล้ว

      @@ismailissa4935 🤷 🖤?

    • @ismailissa4935
      @ismailissa4935 2 ปีที่แล้ว

      @@msasenathpotiphar1732 umeandika vizuuur😊

    • @msasenathpotiphar1732
      @msasenathpotiphar1732 2 ปีที่แล้ว +2

      @@ismailissa4935 ahsantee si unajua upendo haujifichi ni mahabaaa🤣😍,ila wasje wakanivurugia haba hili msimu ujao nitarudi nilikotoka 😜🙏

    • @ismailissa4935
      @ismailissa4935 2 ปีที่แล้ว

      @@msasenathpotiphar1732 🤣🤣🤣🤲 Mungu atasaidia

  • @JacklineDonarth
    @JacklineDonarth หลายเดือนก่อน +4

    Leo tna naaangaliaaaa

  • @kennyrogers4734
    @kennyrogers4734 2 ปีที่แล้ว +12

    😂😂Aliemuona dada ameshika nguo nyekundu akitingwa na mashabiki wa Yanga ameonyesha kukerekwa na ushangiliaji wa Yanga like yako😂😂

    • @missnaah4757
      @missnaah4757 ปีที่แล้ว

      Sio kwamba alikuwa hapendi,alikuwa anamwagiwa matone ya maji na mashabiki angalia vzr,huwajui vzr wadada😄😄 asingekaa hapo kama angeona kero

  • @saidndaki9783
    @saidndaki9783 2 ปีที่แล้ว +7

    Makambovic 🔥💪

  • @mbokimlangala616
    @mbokimlangala616 2 ปีที่แล้ว +7

    Unforgetable match💚🙏🏿💛🤝

  • @missnaah4757
    @missnaah4757 ปีที่แล้ว +4

    Asee hiyo bingwa ilivyotamkwa kama x3 ilikuwa very bold hadi raha,yani ulivutia kuliko hata kuvutia kwenyewe, nimjue mtangazaji tafadhali.. hii moment ilikuwa special sana💚💚💚💚💚💚

  • @IsbabuIsmail-ch4eo
    @IsbabuIsmail-ch4eo 6 หลายเดือนก่อน +5

    2024

  • @ntanilanjema04
    @ntanilanjema04 2 ปีที่แล้ว +6

    Yanga bingwa hukuuuuuuuu #CHAMPIONSSSSSS

  • @worldhappiness1181
    @worldhappiness1181 2 ปีที่แล้ว +7

    Ila hii mechi ilikua bora sana, both teams zimeonesha mpira mzuri

  • @maryaugustino8716
    @maryaugustino8716 9 หลายเดือนก่อน +4

    Naangalia tena leo trh 7/10/2023 ilikuwa bonge la mechi hili, nilishika rozari nakusali muda wote hadi gemu ilipoisha salama, nikamshukuru Mungu

    • @sadiqadam7971
      @sadiqadam7971 9 หลายเดือนก่อน

      Mimi leo 😂 hii tamu kinoma 😂

  • @agustinolugusi9671
    @agustinolugusi9671 2 ปีที่แล้ว +5

    Hongera sana yanga kwa kuwapa raha wana jangwani

    • @halimasulaiman3229
      @halimasulaiman3229 2 ปีที่แล้ว

      Nilitaka Kulia makorokoro walitupania 🤣🤣🤣💚💚🇹🇿🇹🇿

  • @ndekwawilliam7266
    @ndekwawilliam7266 2 ปีที่แล้ว +8

    Sijui kwanini sichoki kuangalia hii mechi💚💛💚💛

    • @chard3000
      @chard3000 2 ปีที่แล้ว +3

      Kwa sababu Matokeo yalikuwa +

  • @shaniomary1920
    @shaniomary1920 ปีที่แล้ว +14

    Kusema ukweli mechii iih nilisimama tu sikukaa mpaka tulivyochukua kombe ndo nilikaa

  • @mataunasharifu6249
    @mataunasharifu6249 2 ปีที่แล้ว +10

    24 naangalia Tena hii mech cjui kwa Nini

  • @TalentMapenzi-ie1dr
    @TalentMapenzi-ie1dr 2 หลายเดือนก่อน +4

    Nmelud 2024

  • @shabanigenya4410
    @shabanigenya4410 2 ปีที่แล้ว +6

    The best final ever.....

  • @lucynelsonmungure1719
    @lucynelsonmungure1719 2 ปีที่แล้ว +7

    Nitoke yanga 💛💚 niende wapi mimi raha ninazopata humu hazielezeki

  • @makumbahardware3700
    @makumbahardware3700 2 ปีที่แล้ว +8

    Yanga on top 💣💣

  • @mozmudi3446
    @mozmudi3446 2 ปีที่แล้ว +5

    Sema Yanga Bingwaaaaaaa Mamae 💪💪💪💪💪💪💪💛💛💛💛💛💚💚💚💚🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆

  • @maryaugustino8716
    @maryaugustino8716 9 หลายเดือนก่อน +4

    Na ya geita gold acha kabisa ilikuwa 🔥

    • @dayanandama8873
      @dayanandama8873 8 หลายเดือนก่อน

      Ya geita ndo ilikuwa presha

  • @hansmrope3632
    @hansmrope3632 2 ปีที่แล้ว +5

    Thanks so much YANGA sjui nakombe ili wataliitaji watani masna lile walisema blenda ila sis tunajua Nanyi mliltaka

  • @IgnasGarimoshi-ot2xg
    @IgnasGarimoshi-ot2xg 8 หลายเดือนก่อน +3

    Love u YANGA♥♥♥♥

  • @aziziatumanially424
    @aziziatumanially424 3 หลายเดือนก่อน +4

    Mi nairudia had leo 2024 apr

  • @fatmahussein6085
    @fatmahussein6085 2 ปีที่แล้ว +3

    Mechi ilikuaa ya moto sana hii🙌🏾🙌🏾team zote zimecheza kwa kiwango cha hali ya juu

  • @casablancastudioarusha775
    @casablancastudioarusha775 2 ปีที่แล้ว +4

    Mungu hamuachi mja wake
    Hongera Yanga kwa kutupigania Mashabiki wenu ❤️❤️❤️ 🔰🔰🔰🔰

  • @braysonpatrick1669
    @braysonpatrick1669 2 ปีที่แล้ว +4

    He ndio maana ya never say never, hongera young Africans

  • @winniejames70
    @winniejames70 ปีที่แล้ว +4

    ❤️❤️🥰. Nakupenda yanga🙏

  • @user-cl1ut6oq1v
    @user-cl1ut6oq1v หลายเดือนก่อน +3

    Kumbe nahapa walitunyamazisha kilichowakuta hawakuamini😂😅

  • @yasinkidiri8006
    @yasinkidiri8006 2 ปีที่แล้ว +4

    Congs my team yanga,I love you from 🇺🇬 Uganda

    • @happyvalence5352
      @happyvalence5352 2 ปีที่แล้ว +1

      Thanks for AUCHO. THE ONLY DOCTOR OF FOOTBALL IN TANZANIA 🤣👏🙌

    • @yasinkidiri8006
      @yasinkidiri8006 2 ปีที่แล้ว

      @@happyvalence5352 thanks for loving him always

    • @muddymuzungu4357
      @muddymuzungu4357 ปีที่แล้ว

      Yasini! You are most welcome brother

  • @RichMotherr
    @RichMotherr 2 ปีที่แล้ว +5

    Namshukuru Mungu kwa kweli
    Haikuwa rahisi

  • @lightnesskweka4774
    @lightnesskweka4774 2 ปีที่แล้ว +4

    Sopuui jaman khaaa.lkn alhamdulilah ikarud natumechukua et💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛

  • @kennyrogers4734
    @kennyrogers4734 2 ปีที่แล้ว +7

    Aliemuona Askari anashangilia kiaina goli la Makambo la kuongeza 2-1 kwa mbaali nyuma ya goli like yako😂😂

  • @massudbiz9828
    @massudbiz9828 2 ปีที่แล้ว +4

    The best sport TV online #azam❤️❤️❤️

  • @nkuba_tz258
    @nkuba_tz258 2 ปีที่แล้ว +3

    tuna mzanzibar mmoja tu yanga #NI YEYE Feitoto💚💚💚

  • @zuberikupaza1184
    @zuberikupaza1184 2 ปีที่แล้ว +8

    Yanga mrudisheni Ntibazonkiza walielewana sana na Mayele!

    • @thegreatsource2953
      @thegreatsource2953 2 ปีที่แล้ว +4

      Nakuunga sana mkono, hii mechi isingefika hata extra time

    • @muddymuzungu4357
      @muddymuzungu4357 2 ปีที่แล้ว

      Wanatamani kufanya hivyo ila shida jamaa anataka mpunga mrefu saaaana

  • @iammuzaqi
    @iammuzaqi 5 หลายเดือนก่อน +2

    Imebidi niangalie tena hiI mechi. Ikiisha naangalia ile ya yanga na dodoma Jimi chamazi❤🎉🎉

  • @salumhiyari8906
    @salumhiyari8906 2 ปีที่แล้ว +6

    mnaolaumu mwamnyeto mnakosea....angalia ligi ilivyoaanaza mpk sasa ameonekana kubadilika cy mwamnyeto yule wa msimu uliopita Yuko kwenye kiwango Bora ni bahati mby tu cku hiyo gemy ilimkataa💚💛

  • @philoteokayaula5775
    @philoteokayaula5775 2 ปีที่แล้ว +6

    Mechi ilikuwa tamu sana hii

  • @rojageofrey2031
    @rojageofrey2031 2 ปีที่แล้ว +8

    Mechi Bora kwangu ndo hii hapa👆👆👆🙏

  • @mashoplacky5582
    @mashoplacky5582 2 ปีที่แล้ว +5

    Nawakubali sana wacheza Tanzania munaweza sana MUNGU AWABARIKI

  • @victorbugobola2276
    @victorbugobola2276 ปีที่แล้ว +8

    Fainali zipo na zilikuwepo na Hiii mmh ilikuwa fainali kwl kwl

  • @fabiandanielkatikiro1478
    @fabiandanielkatikiro1478 2 ปีที่แล้ว +4

    Ooh ma God, 😭😭I feel like crying for joy😭😭😭😭😭

  • @orekumtukunyi8888
    @orekumtukunyi8888 2 ปีที่แล้ว +8

    Waandish wengi wa Azam ni makolo Sana tangazeni kabumbu haki sawa kote

    • @walterkyara3656
      @walterkyara3656 2 ปีที่แล้ว

      Why wasishangilie magoli ya cost kama ya yanga ni ubaguzi tu

    • @muddymuzungu4357
      @muddymuzungu4357 2 ปีที่แล้ว

      Upo sahihi watangazaji wa leo wote ni KOLO

    • @saramairajohn9116
      @saramairajohn9116 2 ปีที่แล้ว

      Kbsa nimeona hata Mimi

  • @AndrewPaulsr
    @AndrewPaulsr 2 ปีที่แล้ว +6

    Big team always do big things

  • @rebeccapima2335
    @rebeccapima2335 2 ปีที่แล้ว +5

    Yanga bingwa

  • @nuruedison3080
    @nuruedison3080 2 ปีที่แล้ว +3

    Ambao hawajafurahia ushindi huu wambien wajinyonge na uzi wa buibui ila tu yanga ndo habar ya mjini🙌💚💛

    • @simonzelote5998
      @simonzelote5998 2 ปีที่แล้ว

      Kipa wa coast sio mzuri kivile na pia wachezaji wa cost kwenye penalty sio

  • @twalibfaqih9385
    @twalibfaqih9385 ปีที่แล้ว +2

    Yanga on fire

  • @christinajohn6117
    @christinajohn6117 ปีที่แล้ว +10

    Tunao iludia tena hii mechi tarehe 30/ 12 / 2022 tujuane apa

  • @AlexMashimba
    @AlexMashimba 9 หลายเดือนก่อน +2

    This was a memorable final that will never happen again

  • @dorcaskimati547
    @dorcaskimati547 2 ปีที่แล้ว +5

    Yanga ❤️

  • @salhaomary3479
    @salhaomary3479 2 ปีที่แล้ว +6

    Diarra 💚💛💚💛

  • @aishathkalugira3296
    @aishathkalugira3296 2 หลายเดือนก่อน +2

    will never forget

  • @jessiefrank9209
    @jessiefrank9209 2 ปีที่แล้ว +4

    Yanga tamu

  • @malietamalieta9658
    @malietamalieta9658 5 หลายเดือนก่อน +3

    tunao angalia hii mechi taree28 wa kwanza 2024

  • @dripcornersports4272
    @dripcornersports4272 ปีที่แล้ว +4

    15/01/2023 Niko live na hili dubwana fantastic match nathani Argentina na France waliangalia hii mechi kablaa. So hot

  • @frankevaristo6918
    @frankevaristo6918 2 ปีที่แล้ว +3

    I love you Yanga

  • @HassanNjemba
    @HassanNjemba หลายเดือนก่อน +1

    Ila ngoda anajua❤❤

  • @delimachesa5007
    @delimachesa5007 2 ปีที่แล้ว +5

    WHAT A MATCH 😃

  • @groliagilibati983
    @groliagilibati983 2 ปีที่แล้ว +6

    yanga kweli tam

    • @salimabakari8617
      @salimabakari8617 2 ปีที่แล้ว

      Yanga tam kwa penati penati Haina ufundi,subur kimataifa ndio mtajua Yanga tamu au chungu.

    • @mussamakange7421
      @mussamakange7421 2 ปีที่แล้ว

      @@salimabakari8617 🤣🤣🤣🤣Tusubur rud shule we kolo

  • @hamisuuhamadi1663
    @hamisuuhamadi1663 ปีที่แล้ว +8

    Hiii siku nililal bila kuoga kwa furaha wallah ten😁

  • @abdullaothman3772
    @abdullaothman3772 2 ปีที่แล้ว +7

    Hapo makolo kimyaaaaa