YANGA SC 2-2 BIASHARA UNITED: MAGOLI NA MIKWAJU YA PENATI (5-4): (ASFC - 31/01/2019

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ม.ค. 2019
  • Vijana wa Jangwani, Yanga SC leo wamefanikiwa kutinga hatua ya 16 bora ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC) baada ya kuitupa nje Biashara United kwa mikwaju ya penati 5-4 kufuatia sare ya mabao 2-2 katika muda wa kawaida wa dakika 90.
    Mchezo huo wa raundi ya nne ya michuano hiyo umepigwa kwenye Dimba la Taifa Jijini Dar es Salaam na kushuhudia wenye Yanga wakifanya kazi ya kusawazisha kila wanapofungwa.
    Biashara United walianza kwa bao la penati lililofungwa na Wazir Jr. dakika ya 3 kabla ya Yanga kusawazisha kupitia kwa Amissi Tambwe akifunga kwa penati pia dakika ya 9.
    Biashara United wakaongeza bao kupitia kwa Innocent Edwin dakika ya 40, lakini Yanga wakaongeza kasi ya mashambulizi na kufanikiwa kuchomoa bao hilo dakika ya 74 kupitia kwa Heritier Makambo na kufanya mchezo umalizike kwa sare y mabao 2-2.
    Ilipofuata mikwaju ya penati, Yanga walifunga penati zote tano kupitia kwa Heritier Makambo, Paul Godfrey, Ibrahim Ajibu, Thabani Kamusoko na Matheo Anthony, huku Biashara United wakikosa penati moja iliyopigwa na Tariq Seif.
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 251

  • @sabinajames6539
    @sabinajames6539 5 ปีที่แล้ว +14

    Yanga yangu mie popote niendako naipenda tu (254)

  • @kantelegela2887
    @kantelegela2887 5 ปีที่แล้ว +3

    Kama unaipenda yanga gonga like

  • @orastomapunda8559
    @orastomapunda8559 5 ปีที่แล้ว +24

    Nafurahia kushabikia Yanga

  • @swabrinyawale8126
    @swabrinyawale8126 5 ปีที่แล้ว +35

    Ibrahim aka mwambia tetema tetema imo......like kma zote wadau wa yang Africa

  • @mishaelmisana1973
    @mishaelmisana1973 5 ปีที่แล้ว +27

    Mungu ni mwema kwetu wana yanga

  • @makisjeremiah288
    @makisjeremiah288 5 ปีที่แล้ว +4

    Hizi ndo jezi za yanga zinazpendeza kuliko zote black and yellow

    • @fadhyhaj4311
      @fadhyhaj4311 5 ปีที่แล้ว

      Ni kweli. Jezi zimetulia sana

  • @jojo_linkissabiny5238
    @jojo_linkissabiny5238 5 ปีที่แล้ว +16

    asanteni yanga yangu daima naipenda big up sana

  • @swabrinyawale8126
    @swabrinyawale8126 5 ปีที่แล้ว +94

    Anae mpenda mtangazaj. Like kma zote hapa..

  • @officialmichael5321
    @officialmichael5321 5 ปีที่แล้ว +5

    Nice watani zangu kam zoteeeeeeeeee

    • @yusufulule8927
      @yusufulule8927 5 ปีที่แล้ว

      Stanslaus Michael SHABIKIA WA ukweli

  • @grnifamgeni1309
    @grnifamgeni1309 5 ปีที่แล้ว +6

    Mtangazaji nakupenda sana mungu akupe afya njema

  • @jaybacky9613
    @jaybacky9613 5 ปีที่แล้ว +3

    beki zetu mtihani lkn hongera Tim la wananchi

  • @sittamakwaya1278
    @sittamakwaya1278 5 ปีที่แล้ว +2

    daima nyuma mwiko

  • @saimonkazizwa5794
    @saimonkazizwa5794 5 ปีที่แล้ว +44

    kuikata yanga nisawasawa na kuikata jinsia yko yanga hii mutaipenda

  • @davidmsoru3966
    @davidmsoru3966 5 ปีที่แล้ว +3

    Ngassa namwelewa sana

  • @sahimally850
    @sahimally850 5 ปีที่แล้ว +3

    ...daaah hy ndo yng

  • @justinemallya7817
    @justinemallya7817 5 ปีที่แล้ว +4

    Yanga daima

  • @piusjames3841
    @piusjames3841 3 ปีที่แล้ว

    Kabwil siyo kipa gog like tulio kutana 2021

  • @bakariluhala7332
    @bakariluhala7332 5 ปีที่แล้ว +5

    Yanga nyumbani usiteseke wala kuhofu kuishabikaa timu ya wananchi

  • @salimharrasy7047
    @salimharrasy7047 5 ปีที่แล้ว +2

    Yanga!
    Bado hamjaziba pengo la kipa.
    Boresheni nafasi hiyo muhimu.
    Mkicheza na timu yenye washambuliaji wenye uchu wa kufunga mtabugia magoli mengi sana.

  • @onesmomtambulo79
    @onesmomtambulo79 5 ปีที่แล้ว +7

    Mchezo ulikuwa mzuri ufanyaji wa makosa kwa kila Timu ndiyo uliopelekea magoli kupatikana.

  • @bishobokatv476
    @bishobokatv476 5 ปีที่แล้ว +4

    Daima mbeleee

  • @allec2905
    @allec2905 5 ปีที่แล้ว +19

    Mwalimu wa makipa Yanga naye inabidi apewe maufundi zaidi ili aboreshe idara ya golikipa

  • @dadasim2749
    @dadasim2749 3 ปีที่แล้ว

    Daah Matheo Anthony Kwanini Umerudi Zanzibar Ungekomaa Dar Usingekosa timu yakuchezea Kiwango Bado Unacho

  • @mwanatalenttv
    @mwanatalenttv 5 ปีที่แล้ว +9

    hongera
    yanga mabingwa

  • @princekassim4089
    @princekassim4089 5 ปีที่แล้ว +7

    Respect Yanga

  • @SABINSAMSON-hm1hu
    @SABINSAMSON-hm1hu 5 หลายเดือนก่อน

    Naipnd Yanga Sick Zote 😂😂❤

  • @elizaatilio527
    @elizaatilio527 5 ปีที่แล้ว +5

    Hyo ndo Yanga bhanaaa eeeh,,, 😂😂😂🙌🙌🙌😘😘😘 Kwann ukereke? nan anakerwa?? nauliza..,, bahat mbaya sana kukerwa hakuna Password 😂😂😂😂

  • @mr.agastrobert9157
    @mr.agastrobert9157 5 ปีที่แล้ว +1

    Kama we uliona uchawi Jana , gonga like hapa

  • @musaomari1833
    @musaomari1833 3 ปีที่แล้ว

    Yanga baba lao

  • @subiransasi8029
    @subiransasi8029 5 ปีที่แล้ว +25

    biashara imedoda walipoteza muda kwakujua yanga niwabovu kwa penalt imewacost

  • @rajabally6660
    @rajabally6660 5 ปีที่แล้ว +5

    kunawanao teseka hapa ngapiiiiiii uko

  • @samidumudi8278
    @samidumudi8278 5 ปีที่แล้ว +12

    Zahera in beno out tumeshinda mech kibao bila uyo nyau

  • @yohanaernest7039
    @yohanaernest7039 5 ปีที่แล้ว +1

    Hiii ndio yanga kama unabisha fanya kama unajikuna uone moto!!++

  • @aliomaritz2915
    @aliomaritz2915 5 ปีที่แล้ว +1

    good good vijana

  • @nassororamadhan2515
    @nassororamadhan2515 5 ปีที่แล้ว +6

    Dante hajui talkring ....ninja ndo anaziweza hizoo

  • @babalababa306
    @babalababa306 5 ปีที่แล้ว +2

    Yanga hii kuchukua kombe labda kikombe cha kahawa

    • @edwardmathew1833
      @edwardmathew1833 5 ปีที่แล้ว

      Watachukua wazee wa hamsa na vumbi la kongo

    • @leylapanjah3672
      @leylapanjah3672 5 ปีที่แล้ว

      Yanakuhusu nn! SBR ya alha yal

  • @frankngatunga4008
    @frankngatunga4008 2 ปีที่แล้ว

    Ligi kuu simba amewai kumfunga yanga

  • @majaliwahamisi7994
    @majaliwahamisi7994 5 ปีที่แล้ว

    hongeren wana yanga wooote! hakika tupo ktk kipindi kigumu ila tunasonga kibishi2 daima mbele nyuma mwiko!

  • @hosearwechungura5391
    @hosearwechungura5391 5 ปีที่แล้ว +2

    Mtangazaji unaweza baba saf sana

  • @swabrinyawale8126
    @swabrinyawale8126 5 ปีที่แล้ว +10

    Timu kubwa inafanya jambo kubwa... Yanga Nouma

  • @edgasimwanza887
    @edgasimwanza887 5 ปีที่แล้ว +3

    Hongera chama langu

  • @salummalagala4315
    @salummalagala4315 3 ปีที่แล้ว

    Naipenda yang

  • @orastomapunda8559
    @orastomapunda8559 5 ปีที่แล้ว +3

    Ahsante Azam kwa apdates

  • @mussamsophe5340
    @mussamsophe5340 5 ปีที่แล้ว +6

    Yanga ninomaaaaa

  • @clemencemillanzi6750
    @clemencemillanzi6750 5 ปีที่แล้ว +2

    Co mbaya biashara imenunuliwa yote na mateo

  • @justingervas10
    @justingervas10 5 ปีที่แล้ว +1

    Yaani malipota wanamanjonjo mazuri sana.

  • @bumbucha6441
    @bumbucha6441 2 ปีที่แล้ว

    Aka ka jersey kazuri Sana ndio mana waliiga kakawa tena 2020

  • @ivancharlespaul8652
    @ivancharlespaul8652 5 ปีที่แล้ว +1

    hatua gan

  • @subiransasi8029
    @subiransasi8029 5 ปีที่แล้ว +4

    Nani kaviona viatu vya yanga vinafanana fanana

  • @musomatv9574
    @musomatv9574 4 ปีที่แล้ว

    Gud bum

  • @SwahiliPrideBongoMovie2018
    @SwahiliPrideBongoMovie2018 5 ปีที่แล้ว

    DUUUH , ivi mna elewa kweli aya mambo au maana mimi sielewi #TEAMYANGA

  • @trecyeddie4064
    @trecyeddie4064 5 ปีที่แล้ว +10

    #YANGA.......!!!!
    #BAHATI kukerwa hakuna PAswed
    #TETEMA....!!!😀😀😀😀😀

  • @michaelmathew8309
    @michaelmathew8309 5 ปีที่แล้ว +2

    Yanga ni wabovu tu

  • @dianarenard5853
    @dianarenard5853 5 ปีที่แล้ว +18

    Daima mbele nyuma mwiko

  • @johnvitalis4021
    @johnvitalis4021 2 ปีที่แล้ว

    Sumba day

  • @swabrinyawale8126
    @swabrinyawale8126 5 ปีที่แล้ว +5

    Kabwil acha uroho wa kutokea hovyo kweny penalt kaa kat kat..... Tumeshinda ila umeni boa .

  • @febriannaasri2775
    @febriannaasri2775 5 ปีที่แล้ว +1

    KFC

  • @ramadhanomar5720
    @ramadhanomar5720 2 ปีที่แล้ว

    Haya yameshapita

  • @josephgomalo41
    @josephgomalo41 5 ปีที่แล้ว +7

    Hivi kuna aliyeona kuwa Ajib anafanana na marehemu Lucky Dube..?

  • @joanithamsuya4826
    @joanithamsuya4826 4 ปีที่แล้ว

    mhh noma sana

  • @angelakombe1051
    @angelakombe1051 5 ปีที่แล้ว +2

    Mbona golikipa Wa yanga aliwekewa irizi kwenye bukta,u uchaw had lini

    • @saimonsamweli3491
      @saimonsamweli3491 5 ปีที่แล้ว

      Uliona wap? Au alikuonesha

    • @leylapanjah3672
      @leylapanjah3672 5 ปีที่แล้ว

      Mmmmh utawajua tu wenye iman na hiriz !! Umeonaje?

  • @mudathirmiungu2044
    @mudathirmiungu2044 3 ปีที่แล้ว

    Mbona goal la biashara amjainesha

  • @charlesnduta5405
    @charlesnduta5405 4 ปีที่แล้ว

    Yanga vs ruvu shooting

  • @rakamodo9216
    @rakamodo9216 5 ปีที่แล้ว +12

    kwann ukerekwe?,nani kakerwa? Bahat mby sana kukerwa hakuna paswd.

  • @subiransasi8029
    @subiransasi8029 5 ปีที่แล้ว +7

    walivokuwa wanashangilia Kama ndio washindi baadae wakaanza kulia

  • @angelvivian8124
    @angelvivian8124 5 ปีที่แล้ว +9

    hiyo ndio yanga hatuchez na watt wadg sis

  • @geradamos6355
    @geradamos6355 5 ปีที่แล้ว +2

    Papaa 🍁

  • @sosomacharles6685
    @sosomacharles6685 2 ปีที่แล้ว

    Mm huyu jamaa Inosent Edwin nilikuwa namkubali sana

  • @mtanzaniamzalendo7001
    @mtanzaniamzalendo7001 5 ปีที่แล้ว +2

    Yanga Haina kipa hpa

  • @starboychyner3458
    @starboychyner3458 5 ปีที่แล้ว +2

    NIMEFURAHIA USHINDI ILA KWA BEKI HIZI HATUFIKI MBALI... NYUMA HOVYO KABISA TUMEPIGWA BONGE LA GOLI KUMAMAKE

  • @msabahamalonda2249
    @msabahamalonda2249 5 ปีที่แล้ว +15

    Good chama langu lkn goli la pili ni goal zur tulilofungwa maana jamaa katumia uwezo wa kuchambua

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 5 ปีที่แล้ว +1

      Msabaha Malonda kiukwl ni raha kuona wachezaji wa kiTZ nao wana uwezo na kuuonesha kwa nmn hii!

    • @msabahamalonda2249
      @msabahamalonda2249 5 ปีที่แล้ว +2

      Daah Ni kwl kabisa bhana @@mnzavachris5423

    • @afelistmichael5318
      @afelistmichael5318 5 ปีที่แล้ว +1

      Kumbe na ww umeona eeeh ndo napendaga mashabiki kama ww sio kama zama zile za kwako 😂😂

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 5 ปีที่แล้ว +1

      Afelist Michael zama zile za kwangu wamefny nn 😆

    • @afelistmichael5318
      @afelistmichael5318 5 ปีที่แล้ว

      Naongea na Msabaha sio wewe

  • @abdullahhashimu2380
    @abdullahhashimu2380 5 ปีที่แล้ว +1

    Inapendeza

  • @christianjohnmwalugaja8090
    @christianjohnmwalugaja8090 5 ปีที่แล้ว +3

    Kwa kweli hakuna haja ya kuwa na timu 20 huu ni upuuzi timu wachezaji wote wanajiangushaangusha wakifanikiwa kufunga goli wote wanalinda ujanja2 tu. Hivi hawa viongozi wetu wa Tff wanaelewa hilo? Hakuna mpira ni ujanja2

  • @aishaissa3382
    @aishaissa3382 5 ปีที่แล้ว +9

    Twende sasa Chaka langu

  • @mwanamvuahamadi7282
    @mwanamvuahamadi7282 2 ปีที่แล้ว

    How to model asimple abacus

  • @Manshyne
    @Manshyne 5 ปีที่แล้ว +2

    Ila yanga kipa ndo hatuna....

  • @fabianmakungu3002
    @fabianmakungu3002 5 ปีที่แล้ว

    Timu ya wananchi

  • @swabrinyawale8126
    @swabrinyawale8126 5 ปีที่แล้ว +17

    Nani ana kerekwa.......? Na kwann ukerekwe..... ? Bahat mbaya kukerwa hakuna password. Hahahahahaaaaaa.Wapinzani hoi.

  • @samwelilumatho2037
    @samwelilumatho2037 4 ปีที่แล้ว

    Danlodwod

  • @graciousyuba7095
    @graciousyuba7095 3 ปีที่แล้ว

    Kocha kama anataka uchindi kwa michezo iliyobakia asidharau michezo wowote

  • @febriannaasri2775
    @febriannaasri2775 5 ปีที่แล้ว +1

    RiFki AsRiFki cm 34

  • @kakatambi4798
    @kakatambi4798 5 ปีที่แล้ว +5

    Wananchi wazalendo tulikaakimya

  • @mugapablomasinde1608
    @mugapablomasinde1608 5 ปีที่แล้ว +3

    Soma iyoooooo !

  • @izilaelkilazagaye6578
    @izilaelkilazagaye6578 4 ปีที่แล้ว

    Kabwili anawenge sana

  • @ismaelsaid8633
    @ismaelsaid8633 5 ปีที่แล้ว +3

    Mdogo mdogo

  • @leylanasibu6912
    @leylanasibu6912 5 ปีที่แล้ว

    xafi xana bishara mmejitaidi xana

  • @suleimansaidi3638
    @suleimansaidi3638 2 ปีที่แล้ว

    Senzo

  • @gamsujrgamsujr5439
    @gamsujrgamsujr5439 5 ปีที่แล้ว +3

    Hirinz imefanya kazi

    • @uwembatvonline
      @uwembatvonline 5 ปีที่แล้ว

      Ipi tena

    • @salumsalu6080
      @salumsalu6080 5 ปีที่แล้ว +1

      Hamkos lakusema

    • @aixhajumaa6362
      @aixhajumaa6362 5 ปีที่แล้ว

      Gamsujr Gamsujr siku zote mchawii

    • @fatumasophu5855
      @fatumasophu5855 5 ปีที่แล้ว

      Gamsujr Gamsujr kwakweli imefanya kazi

    • @aixhajumaa6362
      @aixhajumaa6362 5 ปีที่แล้ว +1

      Gamsujr Gamsujr siku zote hukimjua mchawi basi unawanga nae mashabiki wa simba mmezoea huchawi ndio maana mnateseka

  • @sulemohd9155
    @sulemohd9155 5 ปีที่แล้ว +4

    Mm Nasubr Jum Moss Mikia Na Warabu Lazim Haw Kenge haw Mikia@ Wafe 7

  • @alifaalifa5793
    @alifaalifa5793 5 ปีที่แล้ว +2

    Safi

  • @japhetamosi473
    @japhetamosi473 4 ปีที่แล้ว

    Mambo Yang's baba

  • @dulakess8928
    @dulakess8928 5 ปีที่แล้ว +2

    fei toto mech iyo hayumo

  • @jamessilwamba4259
    @jamessilwamba4259 5 ปีที่แล้ว

    Yanga naona kuna improvement kwenye penati

  • @yunusmchalu930
    @yunusmchalu930 5 ปีที่แล้ว +4

    Ni wakati wa sospeter kuanzia kucheza manara mechi zote tatu alizocheza amefanya makosa yaliyosababisha magori huyu chikupe pia naomba makambo sio yule tuliomzoea wachezaji ni wazito

  • @aixhajumaa6362
    @aixhajumaa6362 5 ปีที่แล้ว +3

    kwani kuna mtu anakerwa naona wanateseka

  • @yasiniselemani6666
    @yasiniselemani6666 4 ปีที่แล้ว

    Makambo arudi jangwani

  • @hemedramadhani9764
    @hemedramadhani9764 5 ปีที่แล้ว +2

    nataka kile kipande kabwili akipewa irizi

  • @mbenatz
    @mbenatz 4 ปีที่แล้ว

    Edwin alifany kaz kubwa

  • @samidumudi8278
    @samidumudi8278 5 ปีที่แล้ว +2

    Uyu kabwili n mbovvu saaaaana. Bola kindok ila beno aondoke. Tu kwnn wanamchelewesha kulinga kwa mamake uko yanga co wazaz wke ata ulaya akuna mchezaj mkubwa dunian kuliko klabu atambue ilo

  • @mcjayz8686
    @mcjayz8686 5 ปีที่แล้ว +4

    Nani anakelwa