Highlights| Yanga 4-0 Dodoma Jiji | NBC Premier League - 31/12/2021

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 ธ.ค. 2021
  • Timu ya wananchi, Yanga SC wametoa kichapo kizito kwa Dodoma Jiji FC katika mchezo wa #NBCPremierLeague uliorindima kwenye dimba la benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
    Magoli ya Yanga yamefungwa na Fiston Mayele dakika ya 42, Jesus Moloko dakika ya 71, Khalid Aucho dakika ya 81 na goli la kujifunga kutoka kwa Justine Omary Billary dakika ya
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 252

  • @mellanieekuwam3448
    @mellanieekuwam3448 ปีที่แล้ว +35

    Wenye mlihamia yanga ju ya manara kama Mimi nipeni likes ....mi mkenya lakini naipenda yanga.

  • @alicenice1711
    @alicenice1711 2 ปีที่แล้ว +6

    My favourite team YANGA💕

    • @faithsife8365
      @faithsife8365 6 หลายเดือนก่อน

      Yanga woye naipenda ata Baba yangu ni yanga❤

  • @emanuelakaro1423
    @emanuelakaro1423 2 ปีที่แล้ว +8

    Asee sikuangalia mechi. Kumbe wangekula hata kumi daa mpira YANGA waliupigaa hongera sana wanachi. Timu yetu nzur sana

  • @peternzowah5058
    @peternzowah5058 2 ปีที่แล้ว +7

    Asante saana azam. Uzuri wa highlights zenu hata kama mtu hakupata nafasi kutazama boli akicheki tuu hii nyanga inakuwa toosha saana. Heko saana Azam kazi nzuri

  • @jumaselemani2720
    @jumaselemani2720 2 ปีที่แล้ว +6

    Mnachelewa sana Highlights

  • @tuweniomary4232
    @tuweniomary4232 2 ปีที่แล้ว +25

    Nani kasikia hii kutoka kwa Mpenja? " Ukisema huyu jamaa sio striker jiulize beki wako alifanyiwa nini na Fiston Mayele...

  • @sonfarb2w137
    @sonfarb2w137 2 ปีที่แล้ว +9

    Mmeichelewesha sana hii kitu. Wengine hatuna wapenzi, tunaburudikaga na vitu kama hivi tu.

  • @misigarojeandedieu1865
    @misigarojeandedieu1865 2 ปีที่แล้ว +6

    Happy new year Tanzania.. happy new year Barrack mpenja.. happy new year to all fans of yanga .. nawapenda Sana...💕💕💕, Happy new year Azam tv..

  • @franciscomohamedjumanne1136
    @franciscomohamedjumanne1136 2 ปีที่แล้ว +5

    Asanteni AZAM TV ,ASANTENI KWA MABADILIKO HAYA YA KUONGEZA DAKIKA ZA HIGHLIGHTS ZA MECHI ZILIZOPITA KUTOKA DAKIKA 18-19 HADI 39 NIMESUBIRI NDANI YA MASAA 24 NIKAHISI NDO BASII , HII NI NBC PREMIER LEAGUE AND THIS IS 2022

  • @abdallahm86
    @abdallahm86 2 ปีที่แล้ว +4

    YANGA ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥✅🔰🇹🇿

  • @khalidmikola515
    @khalidmikola515 2 ปีที่แล้ว +8

    Mechi imechezwa jana highlights imetumwa leo tena baada makolo kupata matokeo pumba sana uliyepewa jukumu hujui kazi yako .

  • @thb9561
    @thb9561 2 ปีที่แล้ว +7

    Mwananchiiiiiiiiiiiiiiiiiii Raha saaanaaaaaaaa ✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️😅😅😂😂😂

  • @muhengaonline896
    @muhengaonline896 2 ปีที่แล้ว +9

    sema mbona highlights za yanga zinachelewa sana wazeee 🙄😶

  • @niyongabotherence8940
    @niyongabotherence8940 2 ปีที่แล้ว +2

    Mpenja napenda Sana ukiwa unatangaza mpila♥️♥️♥️♥️from🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @user-fy6ck9di1f
    @user-fy6ck9di1f 9 หลายเดือนก่อน +3

    Du hongera Sanaa ilikuwa mechi nzuri sana tuuuu Kwa yanga.

  • @munajomar3218
    @munajomar3218 2 ปีที่แล้ว +7

    Nilikuwa sipendi mpira lkn fei toto ndugu yetu zanz nafurahi sanaa kuazia leo mmi ni yanga

  • @kamanzicrouch3881
    @kamanzicrouch3881 2 ปีที่แล้ว +8

    Men of the match ntibazonkiza

  • @nestorymapunda6239
    @nestorymapunda6239 2 ปีที่แล้ว +5

    Azam lkn uwa mn chelew san kuposti buludan kama hiii💛💛💛

  • @agreyhaule7958
    @agreyhaule7958 2 ปีที่แล้ว +8

    yanga inaupiga mwingi jaman

  • @adeltuschairman6155
    @adeltuschairman6155 2 ปีที่แล้ว +5

    Hii Yanga sifa Sasa💪💪💪🟡💛🟡💛💚💛💚💛💚🟡🟡🟡

  • @hamisuuhamadi1663
    @hamisuuhamadi1663 ปีที่แล้ว +2

    Yanga tamu jaman 💚

  • @surekabasa9879
    @surekabasa9879 2 ปีที่แล้ว +2

    Baraka Mpenjaa you're the best

  • @user-yt1ne1ju7r
    @user-yt1ne1ju7r 3 หลายเดือนก่อน

    Baraka Mpenja ur Great! .... Live Long

  • @hamidayanga8224
    @hamidayanga8224 2 ปีที่แล้ว +7

    Ndo mmejifanya kuiweka sasahv kwasabbu mnataka mpost ya simba na azam sio?

  • @mkimbiziboy
    @mkimbiziboy 2 ปีที่แล้ว +2

    Hiii yanga hapana💛💛💛💛

  • @ronsardgalilee9488
    @ronsardgalilee9488 2 ปีที่แล้ว +3

    Baraka Mpenja nakukubaligi xana

  • @humphrey286
    @humphrey286 2 ปีที่แล้ว +4

    ila huyu @baraka mpenja anajua kuipamba kazi yake 🙌

  • @janemasalu251
    @janemasalu251 2 ปีที่แล้ว +10

    Hii mech nilienjoy sana

  • @khamisomar3764
    @khamisomar3764 2 ปีที่แล้ว +11

    KIUKWELI MAYELE ANAJITUMA.

  • @ericsumali7756
    @ericsumali7756 ปีที่แล้ว +3

    Beau match ❤️❤️🇨🇩

  • @regnoldjosephat4701
    @regnoldjosephat4701 2 ปีที่แล้ว +8

    Mbona ime Chelewa Sana iii

  • @Sirkitwe
    @Sirkitwe ปีที่แล้ว +2

    Napoza machungu ya club africain hapa tarehe 5.11
    2022 Yanga raha sanaaa😂😂😂😂💛💚

  • @sammanjeka7357
    @sammanjeka7357 2 ปีที่แล้ว +2

    I love yanga

  • @devothakapembe3660
    @devothakapembe3660 2 ปีที่แล้ว +1

    I love yanga daima mbele nyumba mwiko

  • @katushabedotto2883
    @katushabedotto2883 2 ปีที่แล้ว +3

    Yanga rahaaaaa

  • @verosteve3612
    @verosteve3612 2 ปีที่แล้ว +5

    Mm ni yanga Ila pia goalkeeper Wa dodoma jiji amejitahid sana sana vinginevyo anegfungwa hata 7

  • @user-ir9sh1nf3e
    @user-ir9sh1nf3e 4 หลายเดือนก่อน

    Daaaah yanga noma xna nawakubal xna yanga by prince imma wa temeke❤❤❤❤❤

  • @leenchristopher2296
    @leenchristopher2296 2 ปีที่แล้ว +2

    Ilikuwa my best new year's present ever 🥰 😇

  • @verosteve3612
    @verosteve3612 2 ปีที่แล้ว +1

    Am deeply in love with you yanga💚🇹🇿

  • @swamweliteobady4496
    @swamweliteobady4496 2 ปีที่แล้ว +7

    Yani hawa Dodoma walitamani kusema lefa maliza mpila hatakama mdabado walichoka sana

  • @jhonkimaro690
    @jhonkimaro690 2 ปีที่แล้ว +3

    Nawakubali xana yangaaa

  • @charitymkombozi5900
    @charitymkombozi5900 2 ปีที่แล้ว +7

    Hii game huchoki kuangalia yan

  • @yonaswai8798
    @yonaswai8798 2 ปีที่แล้ว +4

    Yanga tam sana raha tup

  • @barakaboy5480
    @barakaboy5480 2 ปีที่แล้ว +11

    Kama hujui mayele ni streka uliza beki wako alifanyiwa nini

  • @MartiniLaulenti
    @MartiniLaulenti ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa kuipenda Yanga

  • @slimmuhabesh2400
    @slimmuhabesh2400 2 ปีที่แล้ว +2

    Mshery ni kipa mzuri sanaaa

  • @freddybaziraomari
    @freddybaziraomari 2 ปีที่แล้ว +5

    Highlights za yanga muwe natuwekea, hata dakakika 45, coz yanga inaupigan mwigin at the moments.

  • @godfreyphiri5607
    @godfreyphiri5607 2 ปีที่แล้ว +4

    Mwaka wetu ,kombe letu

  • @denisbasyagile8381
    @denisbasyagile8381 ปีที่แล้ว +2

    best performance

  • @khalidhassan6313
    @khalidhassan6313 ปีที่แล้ว +2

    Yanga yamoto sana asee

  • @jackgadau8126
    @jackgadau8126 2 ปีที่แล้ว +3

    Yes

  • @wajifurumwamba2747
    @wajifurumwamba2747 2 ปีที่แล้ว +2

    Yanga uwezi kuibeza

  • @packalmonji7428
    @packalmonji7428 2 ปีที่แล้ว +3

    yanga tam

  • @janemasalu251
    @janemasalu251 2 ปีที่แล้ว +5

    Jaman yanga ya sahv yamoto

  • @maikosamila7187
    @maikosamila7187 2 ปีที่แล้ว +1

    Baraka mpenja very talented

  • @amosiburra5458
    @amosiburra5458 2 ปีที่แล้ว +2

    Yanga hoyooooooo

  • @braysonpatrick9762
    @braysonpatrick9762 2 ปีที่แล้ว +1

    Yanga ni 🔥🔥🔥🔥

  • @johnbupimali5019
    @johnbupimali5019 2 ปีที่แล้ว +4

    NYIEEEEE YANGA HIII KHAAAAA MI SINA NENO

  • @niyongaboemmanuel1550
    @niyongaboemmanuel1550 ปีที่แล้ว +2

    Zam ni mukali 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 2 ปีที่แล้ว +3

    Mlinda lango wa Dodoma Jiji amekaza sana bila ivo wangepigwa kumi

  • @user-rv4wm7ov3s
    @user-rv4wm7ov3s 3 หลายเดือนก่อน +2

    14/04/2024 tujuane .😂

  • @mickkiyoya5259
    @mickkiyoya5259 2 ปีที่แล้ว +4

    Yangaaa hiiii hatariii semaa azam anazinguaa mechii za yanga anacheleweshaa highlights daaah cjuii tatizoo nn

  • @happykinunda9273
    @happykinunda9273 2 ปีที่แล้ว +3

    💚💚💛💛💛💛💚💛💚

  • @user-ch2it3qt5z
    @user-ch2it3qt5z หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂 mayele alikuwa fwd kwl lkn alikuwa anakosa nafas nyng yn kwny nafas 10 anafunga 1 au 2 au hmn KABSA😂😂😂lkn freshiiii maan tulikuwa tunatetema

  • @fectogodfrey7791
    @fectogodfrey7791 ปีที่แล้ว +2

    Jez mpy yanga

  • @azizaomary6
    @azizaomary6 2 ปีที่แล้ว +9

    Mbona atumsifii golikipa jamani wa dodoma jiji

  • @ashaamiry653
    @ashaamiry653 2 ปีที่แล้ว +6

    Hiiii ndooooo timuuu 😃 ya wananchiii utakonda ukishabikia makolokolo nahis wanajijuaaa

  • @lissarichard2366
    @lissarichard2366 2 ปีที่แล้ว +1

    I LOVE YOU YANGA

  • @barickayubu6713
    @barickayubu6713 2 ปีที่แล้ว +1

    Nawapenda sana ganga mm daaaaah

  • @stahimilimjeruman9001
    @stahimilimjeruman9001 2 ปีที่แล้ว +4

    Ivi hawa yanga.wana hakiri kweri kumfunga mwezao 4akifunga mwaka

  • @bobieecally5034
    @bobieecally5034 2 ปีที่แล้ว +5

    Utaona za simba zinavowahi kuwekwa sjui tumekosea nini nyie azam au kma vipi wapen ile account ya ligi kuu ilikuwa ipo active sana kuliko mnavofanya tunalalamika lakini makosa n yaleyake

  • @aar1376able
    @aar1376able 2 ปีที่แล้ว +5

    Burundi

  • @noeljacob9644
    @noeljacob9644 2 ปีที่แล้ว +2

    Saido Kawa mtamu sana

  • @edisonathanas6098
    @edisonathanas6098 2 ปีที่แล้ว +3

    Mabingwa tyume come Bsack

  • @georgetwilumba2871
    @georgetwilumba2871 2 ปีที่แล้ว +2

    Nyimbo za wasabato

  • @idanyahmed8701
    @idanyahmed8701 2 ปีที่แล้ว +2

    Mnachelewa sana

  • @robinabomola8030
    @robinabomola8030 ปีที่แล้ว +1

    Mwambieni makambo nampenda🥰🥰🥰🤣🤣🤣🤣

  • @muhammadkipangatv2674
    @muhammadkipangatv2674 2 ปีที่แล้ว +8

    Jifunze quran kusom kuandik gusa picha yang hapo kama hautojli

  • @issaabdi9129
    @issaabdi9129 2 ปีที่แล้ว +3

    Yanga oyeeeeeee

  • @user-zl5vg9vt4e
    @user-zl5vg9vt4e 2 ปีที่แล้ว +6

    Highlights ya Yanga ba Polisi mbona hamjatoa au mna chagua game

  • @agaptus5190
    @agaptus5190 ปีที่แล้ว

    I love u YANGA

  • @targetentertainment-majjegabin
    @targetentertainment-majjegabin 2 ปีที่แล้ว +3

    Doctor

  • @neemayangpigahaohaojamsjam1174
    @neemayangpigahaohaojamsjam1174 2 ปีที่แล้ว +2

    Molokooooooo mm nakupendaga jaman

  • @chegemathias3272
    @chegemathias3272 ปีที่แล้ว +4

    Yanga kwa Nini saido tumemuacha lakini

    • @idrisiyasini353
      @idrisiyasini353 ปีที่แล้ว

      yan hata mimi naumia sana kuhusu saidoo kwnn tulimuacha

  • @user-pm2yb8rg8u
    @user-pm2yb8rg8u ปีที่แล้ว +1

    Noma sana

  • @swamweliteobady4496
    @swamweliteobady4496 2 ปีที่แล้ว +9

    Kuanzia leo Mayele anaitwa Benzema

  • @swamweliteobady4496
    @swamweliteobady4496 2 ปีที่แล้ว +4

    Hiii Young imekua sasa kama inabaka

  • @noahpapy2277
    @noahpapy2277 2 ปีที่แล้ว +3

    Mpaka msemwe dah baraka mpenja ubarikiwe

  • @muddykishoma4452
    @muddykishoma4452 2 ปีที่แล้ว +4

    Saido kaupiga mwingi Sana siku hii

  • @usungumondea6601
    @usungumondea6601 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamani yanga tamu

  • @reganfaya4107
    @reganfaya4107 2 ปีที่แล้ว +2

    Mko vzur

  • @samlasilu4222
    @samlasilu4222 2 ปีที่แล้ว +3

    A-Z

  • @swamweliteobady4496
    @swamweliteobady4496 2 ปีที่แล้ว +6

    Huyu Nabi.. Mbona anafanya mambo kama Gadiola

  • @barakanevele1601
    @barakanevele1601 ปีที่แล้ว +1

    Noma sanaaa

  • @justinejohn3331
    @justinejohn3331 2 ปีที่แล้ว

    Hili Gori la AUCHO ni hatar 🔥🔥

  • @yahyakibwana4057
    @yahyakibwana4057 2 ปีที่แล้ว +3

    Clear penalty imekataliwa, wangekuwa makolo wangelalamika mpaka kero.....hahah

  • @pauloevaristpolebaba8436
    @pauloevaristpolebaba8436 2 ปีที่แล้ว +3

    Yangaaaaaaaaaaaa akeeee

  • @pendo235
    @pendo235 2 ปีที่แล้ว +1

    Woooo

  • @robenapomola2395
    @robenapomola2395 2 ปีที่แล้ว +7

    Mayele anatualibia watoto mtaan 🤣🤣🤣🤣 na hiyo stahili

  • @twahamansour8860
    @twahamansour8860 2 ปีที่แล้ว +1

    Sio poa yanga