ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Nakubali nahuo uchambuzi
Kunawatu watakula nje ndani tena😂
Kama kawaida
Ngoja msimu uanze tuone nani kasajili na nani kaleta maonyesho ya sabasaba
1. Jean othos Baleke 2. Chama 3. Prince Mpumalelo Dube 4.Shadrach Boka
kwa yanga hii watu watakula 10
Sawa tutaona
Utayaona uwanjani hayo makapi
Sawa ni wewe tu
Sowa VP kasajiliwa au Bado???
Bado
Sowah dili limekufa
Acha inyeshe tutaonapanapovuja
Awana lolote na makapi yao ni mjigambo tupesa no
Kama wewe utapigwa ndani nje
Kipigo Cha njee ndani safari kiawahusu Pili na shoga yake Tatu.
Mnamsjili makapi ya Simba haha ni maajabu ya mussa
Ngojeni msimu ujao ndo mtajua makapi au ngano😅😅
Tena kama Yale yaliyokula 7-2😂😂😂😂😂
@@stevensosipitakama tulimchukuwa mkunde wakala 7 je wakija hao wawili......
Hayo makapi yanakuja kuwafanya vibaya sana.
7-2
Yanga wasilewe sifa,usajili wa Baleke ni kufanya mzaha .
Hapana
Nakubali nahuo uchambuzi
Kunawatu watakula nje ndani tena😂
Kama kawaida
Ngoja msimu uanze tuone nani kasajili na nani kaleta maonyesho ya sabasaba
1. Jean othos Baleke
2. Chama
3. Prince Mpumalelo Dube
4.Shadrach Boka