Magoli sita | Yanga 3-3 Kagera Sugar | VPL 17/02/2021

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.พ. 2021
  • Yanga na Kagera Sugar wamevutana shati katika ‘piga nikupige’ iliyozaa sare ya mabao 3-3 kwenye mchezo mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliopigwa leo Uwanja wa Banjamin Mkapa, Dar es Salaam.
    Magoli ya Yanga yamefungwa na Tuisila Kisinda, Deus Kaseke na Mukoko Tonombe wakati magoli ya Kagera yakifungwa na Peter Mwalyanzi, Hassan Mwaterema na Yusuph Mhilu.
    Haya hapa magoli yote.
    Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
    ►INSTAGRAM: / azamtvtz
    ►INSTAGRAM: / azamsports2
    ►TWITTER: / azamtvtz
    ►FACEBOOK: / azamtvtz
    ►WEBSITE: www.azamtv.co.tz
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 315

  • @lazakimuzamilu9181
    @lazakimuzamilu9181 2 ปีที่แล้ว +2

    Kagera uweka eshima kwa yang kagera 👍👍 utopolo bado mkonyuma sana👀

  • @mutalemwagabrie9791
    @mutalemwagabrie9791 3 ปีที่แล้ว +8

    Nimempenda goli keeper wa kagera amemfanana maestro bwalya mchezaji wa simba♥️♥️

  • @bensonbenezeth
    @bensonbenezeth 3 ปีที่แล้ว +15

    Kama wewe ni shabiki wa kagera gonga like hapa

  • @lovenesskalenge2683
    @lovenesskalenge2683 3 ปีที่แล้ว +3

    Mashabik maandazi tupa kule sijifariji ila Yanga tunapo taka kwenda tutafika tuu hata Kama hawataki ulipo nipo love you Yangaa❤️❤️🤩🤩

    • @swedially9118
      @swedially9118 3 ปีที่แล้ว

      Nimependa uzalendo wako, ila hyo lazima mmmh. Pawe na mipango mikakati ya soka la kisasa na muda pia wa uvumilivu

    • @lovenesskalenge2683
      @lovenesskalenge2683 3 ปีที่แล้ว

      @@swedially9118 Kila mtu na Imani yake anavyo Amini na ndio maana tuna dini lukuki. Mimi Kama Mimi najua tutafika tuu🤩🤩

  • @barakahamisi6633
    @barakahamisi6633 3 ปีที่แล้ว +6

    Bravo kageraaaaaaa

  • @ramadhanizaki272
    @ramadhanizaki272 3 ปีที่แล้ว +7

    mukoko bonge la goli...!superb...

  • @usajiliusajili6511
    @usajiliusajili6511 3 ปีที่แล้ว +6

    Yajayo yanasikitisha

  • @ferouzmasoud4741
    @ferouzmasoud4741 3 ปีที่แล้ว +16

    Kuishabikia UTOPORO fc 🐸🐸🐸
    Ni tatizo kubwa sanaaa 😂😂😂
    Sare ya tatu mfululizo mtakufa na presha mashabiki wa UTOPORO 🐸 Fc

    • @mohamedkigwehe3561
      @mohamedkigwehe3561 3 ปีที่แล้ว +1

      Bora sare kuliko kufungwa

    • @emmanueljoseph2576
      @emmanueljoseph2576 3 ปีที่แล้ว +1

      @@mohamedkigwehe3561 😂😂kumbe ndo zenu

    • @chimpaanamtemawingo6355
      @chimpaanamtemawingo6355 3 ปีที่แล้ว +1

      Utakufa ww Mpumbavu

    • @ferouzmasoud4741
      @ferouzmasoud4741 3 ปีที่แล้ว +1

      @@mohamedkigwehe3561 Hata mm naona Bora sare tatu mfululizo 😂 Baada ya kupata points 9 unapata points 3 🤣🤣🤣

    • @ferouzmasoud4741
      @ferouzmasoud4741 3 ปีที่แล้ว

      @@drswalehomarry456 😂😂😂 Et Bora sare

  • @allykiba9727
    @allykiba9727 3 ปีที่แล้ว +2

    Tumefungwa magoli rahisi mno,Yanga tubadilike

    • @bensonbenezeth
      @bensonbenezeth 3 ปีที่แล้ว

      Bonge la magori mmefungwa, mnategemea penalty hakuna kitu Yanga

  • @abbykivuyo348
    @abbykivuyo348 3 ปีที่แล้ว +1

    Yanga mnabahati sana Leo mngepigwa shukuruni refa kawabeba

  • @ferouzmasoud4741
    @ferouzmasoud4741 3 ปีที่แล้ว +12

    Kuishabikia UTOPORO fc 🐸🐸🐸
    Ni tatizo kubwa sanaaa 😂😂😂
    Sare tatu mfulilizo unaweza kufa kwa presha UTOPORO fc 🐸🐸

    • @ferouzmasoud4741
      @ferouzmasoud4741 3 ปีที่แล้ว

      @@mohamedslh5478 🤣🤣🤣🤣

    • @ferouzmasoud4741
      @ferouzmasoud4741 3 ปีที่แล้ว

      @@mohamedslh5478 Mtibwa sugar wataenda kuwasokomeza huo mwko ndani zaidii 😂😂😂

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 3 ปีที่แล้ว +5

    Hawa kager beki hamn kitu wanajitahd kufung magol Mazur ila haydum

  • @abubakarnabahani4994
    @abubakarnabahani4994 3 ปีที่แล้ว +4

    Ligi ya tanzania ni bora kwa sasa Na ni ngumu sana sasa manyau nyau fc wekeni akiba ya maneno ila yanga hawana difence.

  • @jastinekatunzi923
    @jastinekatunzi923 3 ปีที่แล้ว +1

    Yes

  • @denisrukangula7086
    @denisrukangula7086 3 ปีที่แล้ว +2

    hajui hii ni lala salama

  • @lennykiganga4763
    @lennykiganga4763 3 ปีที่แล้ว +6

    Ukoko tonombe kawasave next time mtafia uwanjan kwamapressure😂😂😂😂🎙🎸📣

  • @danielchamoto9376
    @danielchamoto9376 3 ปีที่แล้ว

    Hongereni kg

  • @omarjumanne2698
    @omarjumanne2698 3 ปีที่แล้ว +2

    Ligi ya tanzania ni ngumu sana timu zipo vizuri makocha pia ni wazuri huu ni ukweli yanga tulione hilo

  • @festoexaud6047
    @festoexaud6047 3 ปีที่แล้ว +2

    Yanga oooyeee

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 3 ปีที่แล้ว +7

    Bravo kager half kwann hamkushind jamn ila Safi tuu

  • @cosygembe9188
    @cosygembe9188 3 ปีที่แล้ว +4

    Bado yanga wanayo nafsi tu mungu atasaidia

    • @minskbelarus7255
      @minskbelarus7255 3 ปีที่แล้ว

      Cosy......kweli YANGA mna NAFSI na sio NAFASI

  • @habibuhabibu1855
    @habibuhabibu1855 3 ปีที่แล้ว +1

    Noma sana utopolo kaz mnayo

  • @edithmakwakwa9489
    @edithmakwakwa9489 3 ปีที่แล้ว +4

    Mukoko tonombe teacher big up

    • @marymbwambo6595
      @marymbwambo6595 3 ปีที่แล้ว

      Huyu teacher kama yesu akirudi sahv aende tu mbinguni moja kwa moja nimeona pengo lake kubwa kipindi cha kwanza

  • @youngvictor2957
    @youngvictor2957 3 ปีที่แล้ว

    Yanga oyee

  • @mahengomahengo8191
    @mahengomahengo8191 3 ปีที่แล้ว

    Yanga oyeee

  • @mwanaidamasi6516
    @mwanaidamasi6516 3 ปีที่แล้ว

    Hongera sana Kagera

  • @mosesmwaisela2455
    @mosesmwaisela2455 3 ปีที่แล้ว +5

    Izo hujuma mnazisema ni zipi? Mmepata penati mmepewa. Mmefunga gori limekataliwa? Hamna forward hapo. Wanarukaruka tu. Kaa ndama

  • @fatumachagudadui3138
    @fatumachagudadui3138 3 ปีที่แล้ว +4

    Kagera kwa hili gemu mmejifahid sana

  • @moseslukas9859
    @moseslukas9859 3 ปีที่แล้ว

    Kagera juuu yanga Sasa chn zaid

  • @jacobathanas7671
    @jacobathanas7671 3 ปีที่แล้ว

    Mna bahati sana pia leo mnalala naviatu wazee wa drop.

  • @willytz9540
    @willytz9540 3 ปีที่แล้ว

    Yanga bingwa msimu huuu

  • @Nufaila442
    @Nufaila442 3 ปีที่แล้ว +1

    Zile speed za Tuisila zimeishia wapi

  • @usajiliusajili6511
    @usajiliusajili6511 3 ปีที่แล้ว +1

    Ndaga fijo Kagera Sugar

  • @jonasmaole5140
    @jonasmaole5140 3 ปีที่แล้ว +2

    Mechi ya kwanza waliwahujumu wakashindwa kupata matokeo tunawajua uwezo wao mdoqo ila kelele nyingi

  • @allyhamad7999
    @allyhamad7999 3 ปีที่แล้ว

    Bao la kwanza ni playstation au ?

  • @lewismpangala927
    @lewismpangala927 3 ปีที่แล้ว +3

    Mhilu ni yanga pure viongozi mrudisheni mhilu wetu

  • @joelsalvatory789
    @joelsalvatory789 3 ปีที่แล้ว +1

    Kwa mpira huu ,Tanzabia tutazidi kuwa na mpira mbovu na matokei ya kubebwa ya mezani, UKWELI YANGA INAHUJUMIWA

    • @mahengomahengo8191
      @mahengomahengo8191 3 ปีที่แล้ว +1

      Nyie sindo wananchi anawahujumu nani tena ?? Tuondolee shombo uko huna point unaongea utopolo kama tim yako nyie mnatuambia Ni wananchi tim yenu inamashabiki wengi sasa kwenye hao mashabiki wengi mlonao marefa hakuna ndani yake ?? Utopolo malalamiko fc huna hoja
      Haaahaaahaaa

    • @lennykiganga4763
      @lennykiganga4763 3 ปีที่แล้ว

      Unadhan kagera walikua wamefungw miguu isipige mpir hoo mnahujumiwa yaan kager wamechez mpira mzr hat kipind cha kwanz wamewazid kil kty fara ww kulalamikia maref mda wte

    • @alexsuleiman185
      @alexsuleiman185 3 ปีที่แล้ว

      Mnacheza kama mnaharisha awahujum nan

  • @allynassoro2080
    @allynassoro2080 3 ปีที่แล้ว +3

    Mwisho wa siku 3 kwa 3

  • @officialbig3821
    @officialbig3821 3 ปีที่แล้ว +1

    Atare

  • @emanuelrubeni7246
    @emanuelrubeni7246 3 ปีที่แล้ว +1

    Mambo vipi yanga anaendelea kuchacha

  • @williamsongoro4397
    @williamsongoro4397 3 ปีที่แล้ว +2

    Naona vidimbwi fc wanafungwa magoli ya kideoni,

  • @semenihassan7920
    @semenihassan7920 3 ปีที่แล้ว

    Hizi timu zingekua zinajituma hivi hata zikicheza na Simba ingekua safi sana na ligi ingekua bora sana

    • @getajo1153
      @getajo1153 3 ปีที่แล้ว

      Ligi Kuu Bara umeanza kuifuatilia lini??? Hata Ruvu, Mtibwa, Prisons hata na hao Yanga nao wanajituma hivi hivi wakicheza na Simba, ndo maana Kagera alitoboa tundu mbele ya Magufuli na kuharibu rekodi ya kutofungwa kwenye ligi.....

  • @anastanziagaspari2152
    @anastanziagaspari2152 3 ปีที่แล้ว

    Yanga mnafer

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 3 ปีที่แล้ว +8

    Kwa hali utopolojia ubingwa msahau

  • @hamisikiyonga1932
    @hamisikiyonga1932 3 ปีที่แล้ว

    Kagera

  • @Khaleed5767
    @Khaleed5767 3 ปีที่แล้ว +2

    UTOPOLO mikosi imeshaanza ...timu inadaiwa ..tena madeni sugu.. UTOPOLO OYEEE .. PIGA KELELE KWA KAGERA SUGAR ... SASA HIVI NI MWENDO WA KUPIGWA NAO ... MPAKA MTASEMA WENYEWE SHUBAMIT

  • @happymacha9053
    @happymacha9053 3 ปีที่แล้ว

    Naliona pengo la juma mwambusi.poleni watani

  • @emilianpeter243
    @emilianpeter243 3 ปีที่แล้ว +1

    Magoli ya Sukari unaweza ombea mkopo

  • @awamazidu1950
    @awamazidu1950 2 ปีที่แล้ว

    Unajua kutangaza mpira vizuri sana kuliko nataka uwe inatangaza simba nayanga

  • @henrywalumande8614
    @henrywalumande8614 3 ปีที่แล้ว

    Goal la pili la yanga lilikua out side

  • @rithadonatus8110
    @rithadonatus8110 3 ปีที่แล้ว +1

    💋💋💋💋💋💋💋

  • @denisrukangula7086
    @denisrukangula7086 3 ปีที่แล้ว +4

    wewe kaze unaanza kuteletee ujinga unawaacha wachezaji wazur kwa bench unaanza na wachezaji ambao hawana qurity

    • @joelzacha
      @joelzacha 3 ปีที่แล้ว

      Huyu jamaa kazi imemshinda,kweli Mauya ni wakuanza na kumweka Mukoko bench?kama vipi atuachie timu yetu faraaa huyu.

    • @raulianraphael6853
      @raulianraphael6853 3 ปีที่แล้ว

      Kwann msajili wachezaj msio waamin??? Ko hao n wachezaji wa tim gn???
      Hamna jipya hapo msubiri Mtibwa Mtaelewa Wakatamiwa msim huu

  • @amosimilanzi68
    @amosimilanzi68 3 ปีที่แล้ว +2

    Kocha wa yanga mjinga beki mbovu hasa nondo refa fara umenunuliwa wew

  • @opqsweetbert9598
    @opqsweetbert9598 3 ปีที่แล้ว +2

    Metacha bora faruk kwa saiv

  • @danielchamoto9376
    @danielchamoto9376 3 ปีที่แล้ว

    Beki au uchochoro???

  • @mohamedmorah
    @mohamedmorah 3 ปีที่แล้ว

    aisee kagera hii game wangekuwa makini wangeimaliza mapeema ila siyo mbaya

  • @barakamadunda3231
    @barakamadunda3231 3 ปีที่แล้ว

    Bishop Kakobe

  • @ambakisyemalema628
    @ambakisyemalema628 3 ปีที่แล้ว

    Utopolo

  • @maombimaganya519
    @maombimaganya519 3 ปีที่แล้ว

    Da yanga kazen but

  • @josephmkongwi2323
    @josephmkongwi2323 3 ปีที่แล้ว

    Safari imeaza ya kushuka

  • @hawasaidi88
    @hawasaidi88 3 ปีที่แล้ว

    Azam na mbeyast

  • @haitumikitena4978
    @haitumikitena4978 3 ปีที่แล้ว +1

    Yanga walikua watumwa wa kutafuta kurudisha matokeo

  • @kasililamecksatano7302
    @kasililamecksatano7302 3 ปีที่แล้ว

    Yanga yetu munaipania mtaiweza

  • @hamzarumela1784
    @hamzarumela1784 3 ปีที่แล้ว +1

    Sura zimekuwa ndogooo kama mbuzi wa hitima

  • @komboomar8275
    @komboomar8275 3 ปีที่แล้ว +13

    *Yanga ni mabingwa kihistoria naitabakia hivo tu kihistoria ila kuchukuwa kombe kwa miaka hii la ligi labda simba ifukuzwe tanzania iende icheze Laliga ya uhispania*

  • @revocatuscharles2521
    @revocatuscharles2521 3 ปีที่แล้ว +3

    Wamezoeakubebwa

  • @mahengomahengo8191
    @mahengomahengo8191 3 ปีที่แล้ว

    Kipa senge

  • @mjobegameplay2410
    @mjobegameplay2410 3 ปีที่แล้ว

    Azam nao fala kwel inamaa iyo penart awajaiona au

  • @hamisikiyonga1932
    @hamisikiyonga1932 3 ปีที่แล้ว +1

    Kagera magori yao mazuri

  • @sirbinladen786
    @sirbinladen786 3 ปีที่แล้ว +2

    *Habar zenu ndugu zangu naomba nikukarbishen katika masomo yetu yanayohusu tiba za maradhi mbali mbali kila Alhamisi saa2usiku karbuun mjifunze ingia TH-cam andika sir Binladen 786*

  • @andulilemwakihabha2048
    @andulilemwakihabha2048 3 ปีที่แล้ว +3

    Takataka utopolo zinahangaika uwanjani Kama Rambo zinapepea na upepo 🤣🤣🤣

    • @shumbanajuma6719
      @shumbanajuma6719 3 ปีที่แล้ว

      NYINYI SIMBA MNA USENGE KAMA MAMA YENU MANARA MBONA HAMSEMI KAMA TUMEDHULUMIWA PERNANT

    • @peterjr8073
      @peterjr8073 3 ปีที่แล้ว

      @@shumbanajuma6719 wazeee wakulilia penart

    • @ceciliaassenga4015
      @ceciliaassenga4015 3 ปีที่แล้ว

      @@shumbanajuma6719 Mshamba mkubwa, unataka upewe penat😂😂 . Pambana na hali yako 😀🐸🐸😀

    • @asherymwande5644
      @asherymwande5644 3 ปีที่แล้ว

      We kyusa gan mxenge ko zile zlikuw xo penat una baht kyusa mwenzang ngkupa tuc la mwaka

  • @mrely8809
    @mrely8809 3 ปีที่แล้ว +1

    Shida inaendelea

  • @majibetr6879
    @majibetr6879 3 ปีที่แล้ว

    Refa kuna penati kainyima ganga ni ya waziii kabisaa

  • @luckykelvin6709
    @luckykelvin6709 3 ปีที่แล้ว

    Dah jamani hii timu itatuuwa

    • @khalfanifarisy3037
      @khalfanifarisy3037 3 ปีที่แล้ว

      Na ukifa kwaajili ya kushabikia mpira, motoni moja kwa moja.

  • @easyphysics_swahili
    @easyphysics_swahili 3 ปีที่แล้ว +2

    NEW GREEN LAND AGRI GROUP Ltd.
    Tupigie kwa huduma zifuatazo:
    - ufungaji wa mifumo ya umwagiliaji wa matone ( installation of drip irrigation system)
    - ujenzi wa mabanda ya mifugo (construction of animal housing)
    - ujenzi wa vitalu nyumba ( Construction of green houses)
    MAWASILIANO: 0718516741 (Agricultural engineer)
    0754915256
    0687097809

  • @jaydon3361
    @jaydon3361 3 ปีที่แล้ว +1

    Yanga wamebebwa

  • @ridhiwanikhalifa9036
    @ridhiwanikhalifa9036 3 ปีที่แล้ว

    goli la mukoko ndio goli bora

  • @maikosamila7187
    @maikosamila7187 3 ปีที่แล้ว

    Beki line znakaba kwa macho

  • @boyfromtansania7788
    @boyfromtansania7788 3 ปีที่แล้ว

    Mukoko Tonombe

  • @ramamchina4730
    @ramamchina4730 3 ปีที่แล้ว +1

    Kagolikpa kajinga kana shindwa kutulia golin

  • @hasanbaucha8531
    @hasanbaucha8531 3 ปีที่แล้ว

    Hii yanga utopolo

  • @charleslinze5281
    @charleslinze5281 3 ปีที่แล้ว +2

    Yanga pumz imekata

    • @ramadhanswaleh2115
      @ramadhanswaleh2115 3 ปีที่แล้ว

      Kwa hali ninayoina sasa kwa yanga ubingwa niwa Simba.

  • @mahengomahengo8191
    @mahengomahengo8191 3 ปีที่แล้ว

    Uyu kipa wa kagera bwege kweli goli la 3 anafungwa pale pale kati hata ukisikia kuna magoli ya kiufundi makipa usiwalaumu ndio lile kipa shati ilo

  • @rithadonatus8110
    @rithadonatus8110 3 ปีที่แล้ว +3

    Watu wangu 🐸🐸🐸 piga keleleeeeee weueeeeeeeeeeeeeeeeeee

  • @abdallahsharif5573
    @abdallahsharif5573 3 ปีที่แล้ว

    Aliyeninyima ushindi na kunipa sare amenipunguzia yalaiti.....
    YANGA yangu kamwe sibadili na tanzanaiti.....!!!!!!

  • @syrivestermatesomatonomato238
    @syrivestermatesomatonomato238 3 ปีที่แล้ว

    Benad

  • @raphaelpanga8562
    @raphaelpanga8562 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyu refari kama atachezesha tena siangalii mechi 😠

    • @joelzacha
      @joelzacha 3 ปีที่แล้ว

      Wala ndugu yangu usiumie na refaa,ni kweli refa kazingua ila na kocha wetu kazingua zaidi,Mauya ni wakuanza na kumweka Mukoko bench?kama vipi Kaze atuachie tumu yetu bana,hii mechi tungeimaliza mapema wala sasahiv tusingekuwa tunatupa lawama kwa refa,marefa wa Bongo wanajulikana na ndio maana kwenye mechi zakimataifa huwaoni,na hawatakaa waitwe hata siku moja.

  • @lalguskilewa2356
    @lalguskilewa2356 3 ปีที่แล้ว +2

    Coach ndiye aliyesababisha matokeo haya kipindi cha kwanza katikati palipwaya kwa kumkosa Mukoko na Nionzima hali iliyopelekea mipira isikae mbele kwa Muda mrefu lkn kipindi cha pili Coach aliona mapungufu akarekebisha na mashambulizi yakawa mazuri hivyo Coach asituchanganye akili tunataka ushindi na siosare sisi siowanafunzi wa kuvaa sare. Coach jirekebishe sare zikiendelea utang'oka tunataka kushinda.

  • @chb5367
    @chb5367 2 ปีที่แล้ว

    Hii ndo ilikuwa yanga ya kaze ya masare mengi 🤔

  • @omarihamadumetishasanalava4725
    @omarihamadumetishasanalava4725 3 ปีที่แล้ว

    Teva anawabeba kagera sugar

  • @michaellimu2332
    @michaellimu2332 3 ปีที่แล้ว

    Eti wa kimataifa.🤣🤣🤣

  • @getajo1153
    @getajo1153 3 ปีที่แล้ว

    Bao la tatu kumbe lilivyochomolewa lilitoka na mboji....🤣🤣

  • @idodomawanakufanyingi9372
    @idodomawanakufanyingi9372 2 ปีที่แล้ว

    Simba sv vita

  • @zaynabumohammed1666
    @zaynabumohammed1666 3 ปีที่แล้ว

    P

  • @castorymwaipopo290
    @castorymwaipopo290 3 ปีที่แล้ว

    Mtani kakaliwa kooni

  • @hamzarumela1784
    @hamzarumela1784 3 ปีที่แล้ว

    Nyambafuu

  • @pesangwasalim5258
    @pesangwasalim5258 3 ปีที่แล้ว

    Hawa kagera noooma kweli kweli

  • @badrumbarouk3377
    @badrumbarouk3377 3 ปีที่แล้ว

    Da yn nyie

  • @hasheemmakupa5289
    @hasheemmakupa5289 3 ปีที่แล้ว +3

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🐸

  • @nassoroabdallah3670
    @nassoroabdallah3670 3 ปีที่แล้ว

    Timu Haina muunganiko was ushindi wanabutua bila mpangilio