Ruvu Shooting 2-3 Yanga SC | Highlights | VPL 17/06/2021

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 มิ.ย. 2021
  • Yanga SC imepata ushindi wa magoli 3-2 dhidi ya Ruvu Shooting katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara (VPL) uliopigwa leo kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
    Yanga wametangulia kwa magoli mawili ya Feisal Salum (Feitoto) kabla ya Saidi Ntibazankiza kufunga la tatu kwa free-kick wakati Ruvu wakipata magoli yao kupitia kwa Emmanuel Martine na david Richard ollomi.
    Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
    ►INSTAGRAM: / azamtvtz
    ►INSTAGRAM: / azamsports2
    ►TWITTER: / azamtvtz
    ►FACEBOOK: / azamtvtz
    ►WEBSITE: www.azamtv.co.tz
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 122

  • @waziriadam6481
    @waziriadam6481 3 ปีที่แล้ว +22

    Alie rudia kuangalia hii mechi tujuane hpa kwa like

  • @delimachesa4916
    @delimachesa4916 3 ปีที่แล้ว +6

    Nakupenda yanga💚💛

  • @delimachesa4916
    @delimachesa4916 3 ปีที่แล้ว +7

    Yangaaaaa daimaaa

  • @onesmojustice2348
    @onesmojustice2348 3 ปีที่แล้ว +6

    Hao wamama mnaowatanguliza wawe wanavaa kimpira amevaa utafikiri anaenda kwenye vikoba

  • @dtv1961
    @dtv1961 3 ปีที่แล้ว

    Thanks for coming 🦁🦁🦁🦁🦁

  • @marthawache2463
    @marthawache2463 3 ปีที่แล้ว +2

    yanga truely starts😘

  • @nasrimikidady1325
    @nasrimikidady1325 3 ปีที่แล้ว +2

    Yanga bado sana

  • @mabukimabuki5140
    @mabukimabuki5140 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante yangq

  • @ip_header
    @ip_header 3 ปีที่แล้ว +3

    Kufungwa kwa golikipa sio ni jambo la kawaida, tatizo ni aina ya magoli aliofungwa, hakunashabiki wa timu anaeweza kuvumilia magoli ya uzembe

  • @marrysaimon4330
    @marrysaimon4330 3 ปีที่แล้ว

    Nimeipenda iyo

  • @seremenikibwene8633
    @seremenikibwene8633 3 ปีที่แล้ว +3

    Goli la pili alofungwa metacha inaonekana hakutaka kuudaka maana badala akunjue mikono yy aliikunja

  • @habimanalevis6896
    @habimanalevis6896 3 ปีที่แล้ว +4

    Saido fundi mtalam wa free kk

  • @ashamnaida5304
    @ashamnaida5304 3 ปีที่แล้ว +2

    Hii mechi Yanga wangeshinda nyingi tu

  • @rosechars799
    @rosechars799 3 ปีที่แล้ว +3

    Daima mbele nyuma mwiko

  • @rashidsuleiman1531
    @rashidsuleiman1531 3 ปีที่แล้ว +3

    bao la.10 fei toto unaweza tengezea katiba mpya

  • @marrysaimon4330
    @marrysaimon4330 3 ปีที่แล้ว +1

    Ni sweet, mwa, mwa

  • @emmanuelzwallo3933
    @emmanuelzwallo3933 3 ปีที่แล้ว +2

    Kaseke uko vizuri Sana kwa assist.

  • @ashaathuman1472
    @ashaathuman1472 3 ปีที่แล้ว

    Yanga daima mbele

  • @edigabahati_8126
    @edigabahati_8126 3 ปีที่แล้ว +2

    Nice

  • @elizayanga9756
    @elizayanga9756 3 ปีที่แล้ว +5

    Ruvu walitamani sare na sisi bahat mbaya kitambaa akikutosha🤣🤣🤣

  • @lameckkabondo7016
    @lameckkabondo7016 3 ปีที่แล้ว +3

    Huyu ndie toto ninae mjua

    • @Aaron-nu7dv
      @Aaron-nu7dv 3 ปีที่แล้ว

      Ameng'aa kwasababu mmecheza na timu dhaifu, subirimi tar 3 July kenge nyie

    • @jumakassim8718
      @jumakassim8718 3 ปีที่แล้ว +1

      @@Aaron-nu7dv hatuingizi timu jidanganye tu

  • @stevenayubu6150
    @stevenayubu6150 3 ปีที่แล้ว

    Totoooo

  • @emanueldaniel9399
    @emanueldaniel9399 3 ปีที่แล้ว

    Yang's boumba

  • @ramangadu6451
    @ramangadu6451 3 ปีที่แล้ว +1

    Amedive Lakini Hakunyoosha Mikono. Anawalakini.

  • @ibrahimovicmgelwa
    @ibrahimovicmgelwa 2 ปีที่แล้ว +1

    Lanzimeni kutoka kigoma kabolonga

  • @ambokileasheengai1140
    @ambokileasheengai1140 3 ปีที่แล้ว +2

    HAO MASHABIKI WANAOMLAUMU METACHA MNATA ,,LABDA HAWAKUWAHI KUCHEZA MPIRA,,MAKIPA WOTE WAZURI HAYO NDIO MAGOLI WANAYOFUNGWA

    • @faridikatumbili4611
      @faridikatumbili4611 3 ปีที่แล้ว +1

      sure mnyakyusa kweli mpira unaujua wew hongera bro

    • @joyceabery9125
      @joyceabery9125 3 ปีที่แล้ว

      Penda sana

    • @faridikatumbili4611
      @faridikatumbili4611 3 ปีที่แล้ว

      @@joyceabery9125 true joyce hao utopolo hawajui mpira kazi kulalamika pasipo na7bu yeyote ile

  • @samweliolengaya9942
    @samweliolengaya9942 3 ปีที่แล้ว

    Metacha vipi

  • @hosenjuma7409
    @hosenjuma7409 3 ปีที่แล้ว +2

    Simba

  • @RajeshChauhan-wb9pm
    @RajeshChauhan-wb9pm 2 ปีที่แล้ว

    Hiyo ndiyo tatizo wa yanga mwesho matatizo tu

  • @issakabwende5083
    @issakabwende5083 3 ปีที่แล้ว +1

    Duuh metacha leo

  • @waziribori2280
    @waziribori2280 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyu beki wa ruvu kawauza wenzake yuko peke yake anampasia adui wazi

  • @alimakanyaga1506
    @alimakanyaga1506 3 ปีที่แล้ว +1

    kiukweli yanga uyo kipa hawafai, goli la pili ilo, kipa ambae yuko vizur awezi kushindwa kuitoa!!!!!

  • @rajabukondo9328
    @rajabukondo9328 2 ปีที่แล้ว

    S

  • @pitasikazwe7044
    @pitasikazwe7044 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante yanga

  • @robertcharles6531
    @robertcharles6531 2 ปีที่แล้ว

    Mpeja jamn " TOTO TOOO AJIGIJIIIIIIIIIIIIIII safi sana

  • @mkohoexperience7322
    @mkohoexperience7322 ปีที่แล้ว

    Ila hii mechi fei kanyoosha mbavu za kipa balaa

  • @nwadzombotsuma4035
    @nwadzombotsuma4035 3 ปีที่แล้ว

    huyu razak maembe

  • @kakorejrboyz6447
    @kakorejrboyz6447 3 ปีที่แล้ว +1

    HIVI KUMBE MKWASA NI YANGA🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣RUVU SHOOTING NI YANGA B MKWASA ANASIBITISHA

  • @AbduSaid-xe8iu
    @AbduSaid-xe8iu ปีที่แล้ว

    Mh

  • @edwardhenry2533
    @edwardhenry2533 3 ปีที่แล้ว +1

    Golie alikuwa amebet

  • @ngundejkassim3252
    @ngundejkassim3252 3 ปีที่แล้ว

    ila tuisila anabutua sannah

  • @tinoleonce7547
    @tinoleonce7547 3 ปีที่แล้ว +1

    Kweli UTOPORO hamkukosewa kuitwa malalamiko fc sasa apo metacha mnampa lawama za nn nyani nyie na ndiomaana ameamua kuwaonyesha dole la kati

  • @rozamabagara4199
    @rozamabagara4199 3 ปีที่แล้ว

    Mlicheza mpira mtamu japokuwa kipa alizingua kwa kiasi fulani

  • @shazoboy4851
    @shazoboy4851 3 ปีที่แล้ว +1

    Utooooooo

    • @delimachesa4916
      @delimachesa4916 3 ปีที่แล้ว +1

      Ndio sisi na tunalipenda jina utopolo

  • @jacksonmoses3537
    @jacksonmoses3537 3 ปีที่แล้ว +1

    Kuanzia kesho nami naanza kuweka blichi ili nicheze yanga 🤪🤪🤪

  • @zuberikupaza1184
    @zuberikupaza1184 3 ปีที่แล้ว +1

    Wewe line one offside hapo iko wapi? Tanzania hawa waamuzi ni bure kabisa. TFF angalieni ni kwanini hatuna waamuzi bora?

  • @aloycensuha2945
    @aloycensuha2945 2 ปีที่แล้ว

    Exx

  • @labanakyoo4177
    @labanakyoo4177 3 ปีที่แล้ว

    Hakuna uzembe hapo, kipa asilaumiwe

  • @Alexander-pu3fm
    @Alexander-pu3fm 2 ปีที่แล้ว

    Metacha nimkundu sana

  • @jamesmahatane2723
    @jamesmahatane2723 3 ปีที่แล้ว +1

    😅young Africans

  • @kawezaseleman5794
    @kawezaseleman5794 3 ปีที่แล้ว

    Hivi mashabiki wayanga mnamatatizo gani mkishinda safi mkifungwa nyinyi metacha aondoke metacha kosalaki lipi

  • @lameckkabondo7016
    @lameckkabondo7016 3 ปีที่แล้ว

    Mtu mzima dawa

  • @rahimmarions5712
    @rahimmarions5712 3 ปีที่แล้ว +3

    Sasa hapa metacha ana makosa gani aiseee...kweli uto hawana fadhila

  • @samgchannel4547
    @samgchannel4547 ปีที่แล้ว

    Feitotot

  • @chapaulingeproduction4768
    @chapaulingeproduction4768 3 ปีที่แล้ว

    HUYU BEKI WA RUVU SHOOTING TAKUKURU IMCHUNGUZE YUKO PEKE YAKE HALAFU ANAMPASIA MPIRA ADUI.

    • @dhulhijjabilali143
      @dhulhijjabilali143 3 ปีที่แล้ว

      Asante KWA kulitambua hilo....jamaa kachomesha halafu kidogo razack Naye afunge KWA uzembe wa huyo beki

  • @kawezaseleman5794
    @kawezaseleman5794 3 ปีที่แล้ว +1

    Wangekosa ushindi ungesikia tu tff tatizo

  • @badrumbarouk3377
    @badrumbarouk3377 3 ปีที่แล้ว +2

    Kabla fei hajashinda goal la kwanza refa hakuona au kaamua kuwabeba dius kaseke kanawa

  • @samweliolengaya9942
    @samweliolengaya9942 3 ปีที่แล้ว +1

    Eeebana mpenja wewe unainogesha kabisa

  • @fundimaloti6192
    @fundimaloti6192 3 ปีที่แล้ว

    Ndombolo

    • @delimachesa4916
      @delimachesa4916 3 ปีที่แล้ว

      Feisal alikuwa anacheza ndombolo

  • @michaelisrael4114
    @michaelisrael4114 3 ปีที่แล้ว +1

    Mbona hamjaonyesha dole la metacha

  • @theodorycharles4959
    @theodorycharles4959 3 ปีที่แล้ว

    mmmmmh mkwasa kafanya yake hahahahaha

  • @leonardmadelemo3043
    @leonardmadelemo3043 3 ปีที่แล้ว

    Metacha hilo goli kaa chia makusud kabisa

    • @zamarunapata1121
      @zamarunapata1121 3 ปีที่แล้ว

      Real! alikuwa na uwezo wa kusave

    • @malickmakatta6089
      @malickmakatta6089 3 ปีที่แล้ว +1

      Mnaongea hata kucheza Chandimu huwezi

    • @mo_masai4261
      @mo_masai4261 3 ปีที่แล้ว +2

      Kwanz kitendo cha kuoneshea mashabik kidole ndo linaonesha waz kuwa kaamua kuuza mechi😢😢

    • @simontamba1285
      @simontamba1285 3 ปีที่แล้ว

      Kadake wewee

  • @abdulfadhilsaid4327
    @abdulfadhilsaid4327 3 ปีที่แล้ว +1

    Nyie utoporo wanafk mnmuonea metacha mbna luvu wamefnya makosa yaliyosabisha magol achen hzo

    • @delimachesa4916
      @delimachesa4916 3 ปีที่แล้ว

      Makosa ya metacha ni kutukana mashabiki na sio kosa la kichezaj hata hao ruvu wangekuwa na mashabiki wangelalamika kwa makosa wafanyayo wachezaji wao wakat wanafungwa kama goalkeeper si vyema kukasirika kisa mashabiki wanalalamika huo ni ujinga

  • @samwelmangi843
    @samwelmangi843 3 ปีที่แล้ว +1

    Af magoli ya yanga yote ni uzembe wa waz kabisa wa mabeki, hakuna goli la kiwango kutoka yanga! Ni utopolo tu

    • @simonjustin5921
      @simonjustin5921 3 ปีที่แล้ว

      Gor la kwanza la yanga ni zuri,fei kafunga gor zur sna na ndo mchezaj nnaemuona mbali sna pale yanga km ataamua kucheza mpira lkn km ataridhika km AJIB bac ataishia hapa

    • @elizayanga9756
      @elizayanga9756 3 ปีที่แล้ว +2

      Funga la kwako bc la kiwango

    • @selemanmohamed4958
      @selemanmohamed4958 3 ปีที่แล้ว +1

      Shauri yako.unateseka ukiwa wapi

    • @chimpaanamtemawingo6355
      @chimpaanamtemawingo6355 3 ปีที่แล้ว

      Kafunge ww ,ambaye unamagori ya viwango,Kisokorokwinyo chako.

  • @ramadhanipoasanambega1639
    @ramadhanipoasanambega1639 3 ปีที่แล้ว

    Utopoloooo

    • @paulomagertha7290
      @paulomagertha7290 3 ปีที่แล้ว

      🤝nomaa sana

    • @delimachesa4916
      @delimachesa4916 3 ปีที่แล้ว

      Ndo sisi na tunalipenda ilo jina yan kama unasikia chipolopolo vile Yanga daima

  • @abdulzaidi6043
    @abdulzaidi6043 3 ปีที่แล้ว

    Hii team ni shida ipelekwe Muhimbili kwanza maana ikitoa sare shida,ikifungwa shida na haya ikishinda pia shida kaaahh,watani mnanini???

  • @harunandege4673
    @harunandege4673 3 ปีที่แล้ว +2

    Metacha hana makosa

    • @delimachesa4916
      @delimachesa4916 3 ปีที่แล้ว

      Makosa anayo na makosa yake ni kubishana na mashabiki na kuwatukana mchezaji lazima ucheze na temper ya mashabiki huwez zuia mashabiki kulalamika cha msingi ni kudeal na makocha wako na viongoz sasa yy anagombana na mashabiki?

    • @ibrahimabdullah1887
      @ibrahimabdullah1887 3 ปีที่แล้ว

      @@delimachesa4916 mugombwee tu hamna akili nyie

  • @kramsjunior4447
    @kramsjunior4447 3 ปีที่แล้ว

    Huyu metacha kashindwa kazi yanga

  • @abubahamis1111
    @abubahamis1111 3 ปีที่แล้ว

    Utopolo amjielew kwel

  • @dilipdab3714
    @dilipdab3714 3 ปีที่แล้ว

    Huyo.saidoo.anajifanya.km.yanga.yake.sio.kila.siku.anazinguwa.wachezaj i.wezake.yanfa.timu.huyo.saidoo.hafai.kabisa

    • @emirmbarak7564
      @emirmbarak7564 3 ปีที่แล้ว +1

      Acha kuongea utumbo.. Metacha alikua anajibizana na mashabiki,, Saidoo kaenda kumtuliza sasa unachoongea ujinga nn?? Labda mama ako ndio hafai

    • @abubahamis1111
      @abubahamis1111 3 ปีที่แล้ว

      @@emirmbarak7564 pumbav we kwan kataj. Mama yako hapo

    • @hellensilvanus4866
      @hellensilvanus4866 3 ปีที่แล้ว

      Jifunze kuandika

  • @Alexander-pu3fm
    @Alexander-pu3fm 2 ปีที่แล้ว +1

    Metacha nimkundu sana

  • @dando7819
    @dando7819 3 ปีที่แล้ว +1

    Utopolo kama utopolo wana nyoropondo O.G Eti na wao wanatafuta ubingwa jaman kuna vituko bongo!

    • @mbwanakiting7180
      @mbwanakiting7180 3 ปีที่แล้ว

      Kaizer

    • @delimachesa4916
      @delimachesa4916 3 ปีที่แล้ว

      Ndio ss utopolo na tunalipenda kweli ilo jina yan ni kama unasikia chipolopolo vile

    • @poulmgogo1255
      @poulmgogo1255 3 ปีที่แล้ว

      @@delimachesa4916 hahahahahahhahahhhahaaaaaaaaa🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸⚽⚽⚽⚽⚽⚽