RAIS WA SIMBA/MWENYEKITI WA BODI MO DEWJI ALIVYOKUTANA NA WACHEZAJI WOTE KWA MARA YA KWANZA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ค. 2024
- SUBSCRIBE NOW:
🌐 Site: simbasc.co.tz/
📱 App Store - apps.apple.com/tz/app/simba-s...
📱 Play Store - play.google.com/store/apps/de...
🔵 Facebook: / simbatanzania
📸 Instagram: / simbasctanzania
𝕏 Twitter: / simbasctanzania
🎶 Tiktok: / simbascofficial
About the Official Simba SC TH-cam Channel:
Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference
🔵🔴⚪ #NguvuMoja #Wenyenchi - กีฬา
Mungu bark vijana wote walio sajiliwa msimu huu na team yetu ya Simba mbariki sana mwenyekiti wetu mo mpe mafanikio zaidi
uhakik bra huu mwak wet
Kila la kher kwenu lakin ubingwa msaau kwanza miaka 5 mfululu tuna chukua
@@salimalaquimane3077wewe ni Mungu
Wewe gongowazi nani kakuita humu
We unamwona MUNGU anasoma comment unamwomba huku or em nioneshe nimwone na mm😅
Boss waangalie sana watu wote wanao wazunguka wachezaji wetu wengine mamluki wanawapigisha shot wachezaji wetu boss huna baya❤❤❤❤❤❤❤❤
Simba nguvu Moja bye from Nigeria
Hadi lahaaa😂😂😂😂🎉mo wetu Mungu akupe maisha marefu
Ila kapombe apumzike 😢
Simba nguvu moja from zambia ❤❤❤
Zile timu za vichochoroni zikae mguu sawa sasa SIMBA NGUVU 1❤❤❤
Simba nguvu moja from Moçambique
Hongera boss huna baya,,,viongozi wawe makini na waturindie vijana wetu wasipigwe misumar
Kocha safi
Mungu mwema atawapigania shetani akashidwe na wale wabaya wote tunawateketeza kwa uwezo wa mungu naamini tutashinda vita washindwe na majin yao
vyura wachawi sana manina zao lkn kwa uwezo wa Mungu misumari yao itaishia huko huko
I love you Simba ❤❤
Oyaa weee boss karudi kinyama❤❤❤❤
Simbaaa unyama mwingi❤❤❤❤
Timu la kijanja Simba SC nmefurahi kuona VIJANA wetu
Simba Tim kubwa na boss mkubwaaa❤😂
Simba yetu inarudi kwauzuri zaidi ya jana
SIMBA NGUVU MOJA ❤️💯❤️
Kila la kheri simba mo mungu akubariki na vijana wako
Mnyamaaaa
Ghriiiiiiiiiii....!!!!
mungu mkubwa simba ndiyo hiii sasa
Nimeamini Simba nguvu Moja mambo mazuri hayataki halaka
Ni muda mrefu cjaona hiki kitu simba #mo you made it ...ngoja uje uone morale ya wachezaji sasa 🔥
Yes ❤❤ for behalf of Tanzanian people welcome in Tz
simba till i die ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
SIMBA NGUVU MOJA
From tunduma tuko pamoja sana
Hongera sana Mo.
Be blessed kwa kuipambania Simba yetu. Mpaka sasa naiona Simba mpya na ni ya Kiwango kikubwa. NI HATARI na Nusu ingawa bado hatujashuhudia Performance
Kuna mo na Mohamed ukiwatajir ni moo ukiwa maskini ni Mohamed upoo!
Na Kuna mdi
Boss kaamua ujuo ni Msimu wa kisasi🦁SIMBA NGUVU💪🏾Moja❤
Wata chonga sana wakina alliy kamoja na maneno ya kuungaunga Simba nguvu moja
Big up MO keep it up ❤ Simba
Mungu ibariki simba yetu wanayoibeza watajuwa wenyew
Wa kwanza like zenu
Safi tajiri iyo ndiyo njia yakufanya simba ifike mbali ata mchezaji akiwa na shida anakwambia 😊
Simba nguvu moja from Canada
❤❤❤
Mungu akupe Moyo huohuo uendelee kuipenda simba
I love simba SC
Simba nguvu moja ❤❤❤❤❤❤
Eeh mwenzi mungu utulindie wapambanaji wetu hawa dhidi watu wenye roho mbaya na clabu yetu pendwa🦁🦁🙏🙏🙏
Mamaaaaaaaaaaaaa
Simba nguvu mojaaaaaa
Ee Mungu ibariki simba timu yetu
Aaaa we Boss, weee kongole kwako, unaipenda kweli simba ,mo mo mo mo Dewijiiiiiiiiiiiiiiiiii on fireeeeeeeeeeeee safe journey my team , GOD Be with you on your way. Barikiwa sana Boss wetu mo.❤
Simba nguvu moja.asante kwak usajili mzuri
Nguvu moja
Simba yangu, furaha yangu
My team 🦁🦁🦁
Wachezajiwetu wakingwe simba nguvumoja❤❤❤❤
Boss unabaya Simba nguvu moja
Mungu walinde
Tupo hapa kuilinda timu yetu mashabiki bora africa
simbaaaaaaaaaaaa
Asante kiogozi
Mungu ibariki simba ❤❤
Behind the scene move haijaanza ❤❤❤❤ Simba nguvu moja
🎉🎉🎉🎉
Mungu ubaliki timu yetu na wachezaji wetu
Simbaaaaaa❤❤❤❤
Dar kamavilenipo hapo❤❤❤❤❤❤❤
Unyama sana 🙂
Simba nguvu moja. Mwaka huu tunakuomba Mungu baba uwe upande wetu. Tumechoka na hizi aibu!
Hii simba Acha tu iniue mana cjaona timu nyingne tz yakushabikia❤❤❤❤❤
Zangu duà tu. Kila la heŕi MO na simba kwa ujumla
Tajiri huna baya tunakuaminia mashabiki wa simba damu.
Mungu ibariki simba nguvu moja
Together we can big up mnyama
Simba hii ndo Bora kabisa from Ethiopia
Simba nguvu moja
mungu ibarik simba tutwae mataj hasa shirikisho
Big Boss Mo Tajiri
Most wanted from U S A 1 power
Mohamed Dewj sasa amerudj akiwa na nguvu moja SIMBA itakuwa Bora sana
Simbaa hiyoooooo
🦁♥️♥️♥️💪💪💪💪💪
safili ii kuna jitu litakufa
Boss wetu mungu akulinde Kila unapokwenda .tuko nyuma yako,mtu wa maana sanaaaaaa
Simba nguvu mojaaaaaaa
Nmejikuta natabasamu Hadi nacheka cjui kwann
Ata mimi
😂😂😂 hata mm Jaman mm Nljua nimechanganyikiwa kumbe hapana😂😂😂
@@user-ds8kq8ov6l kumbe tupo wengi
Hahahahaah😂😂@@user-ds8kq8ov6l
Ntaanza kuiona simba yangu mbalii
LIGI ZIANZE TU
#NGUVU__MOJA💪
Mungu tunaomba tulindie wachezaji wetu waepushe na husda za waja 🙏
Gud job
Simba nguvu moko from drc
Mungu ibariki simba mpya
From Canada ❤
Be blessed mnyama
Boss Huyo Matola Bado Yupo Benchi La Ufundi Tunaomba Umtoe Kwa Mkopo Bora Awepo Mgunda Ila Matola Mtoe Kwa Mkopo.😅😂
Kila laheri boss wetu kwa maandalixi haya tunakupenda sanaa
Thank you mo dewjj
SAFI SANA THE BIG BOSS
All the best my team
Proud of my team
Akisema boss amna swaliii
❤❤❤❤❤❤❤
🦁💪💪
Kweli boss yu pamoja nasi
😢bosi Asante kwa usajili mzuri na wa kihistoria
Simuoni Mgunda hapa 😊😊
💪🦁
❤
Tupo na marasta man yani wanavutia kiukweli mungu Atusaidie wakae mbali na yule shabiki mandazi mchome mchawi mkubwa yule
Tusubiri inyeshe tuone panapovuja Pendo,ila kwa hili lakukutana na wachezaji haijawa kigezo cha kuona kama timu imakamilika na hasa kwa ushabiki wetu tukifungwa mechi moja tu kocha hafai au Mo atuachie timu yetu.