ANGALIA MAAJABU YA UJENZI WA BARABARA YA MASINGINI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ก.พ. 2024
  • WAKALA WA BARABARA ZANZIBAR - TUPO KAZINI
    Watendaji wa Wakala wa Barabara Zanzibar wamendelea na zoezi la kuweka alama zinazoonyesha mwisho wa eneo la hifadhi ya Barabara kwa lengo la kuielimisha na kuifahamisha Jamii juu ya umuhimu wa eneo la hifadhi pamoja na matumizi yake ili kukidhi mahitaji ya sasa na baadae kwa barabara hizo. Soez hilo limefanyika katika Barabara ya Binguni, Wilaya ya Kati- Mkoa wa Kusini Unguja
    “ Lengo letu ni Kuhakikisha tuna Barabara zenye kukidhi mahitaji muhimu na Viwango Bora, Zanzibar “
    Tarehe :: 21 Feb. 2024
    Imetolewa na: Ndg: Mulhat Hassan Ali
    Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Msemaji Mkuu wa Wakala wa Barbara - Zanzibar
    #sisitunatekeleza #NeemaZaAwamuYaNane #zanzibarmpya #ccmzanzibar #ccmtanzania #dr.hmwinyi #fyp #Vitendovinasauti #viral #fypviral #CCMImara #ikulu_habari #Vitendovinasauti #KaziIendelee #ChamaImara #CCMImetimia #ChamaKipoKazini #CCMHatutetereki #Chamakwanza #ChamakinaWatu #CCTupoImaraSana
    @ikulu_habari @sisitunatekeleza @NeemaZaAwamuYaNane @zanzibarmpya @ccmzanzibar @ccmtanzania @dr.hmwinyi @fyp @Vitendovinasauti @viral @fypviral @CCMImara @ikulu_habari @Vitendovinasauti @KaziIendelee @ChamaImara @CCMImetimia @ChamaKipoKazini @CCMHatutetereki @Chamakwanza @ChamakinaWatu @CCTupoImaraSana
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 17

  • @user-lr5pt1rz3x
    @user-lr5pt1rz3x 4 หลายเดือนก่อน +1

    safi sana

  • @user-wh5zt5ns5y
    @user-wh5zt5ns5y 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi Iendelee

  • @DoctorBondia
    @DoctorBondia 5 วันที่ผ่านมา

    Hongera kwa Rais Mwinyi

  • @user-vx4kb6tx3y
    @user-vx4kb6tx3y 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hakika haya ndio Maendeleo tunayoyataka Zanzibar

  • @ZainabIddiHaji
    @ZainabIddiHaji 4 หลายเดือนก่อน +1

    imeanza lini?

  • @ZainabIddiHaji
    @ZainabIddiHaji 4 หลายเดือนก่อน

    imeanza lini mbona mm nlikuepo juzi tu?

  • @Nedjadist
    @Nedjadist 4 หลายเดือนก่อน

    Kwi kwi kwi! Kwa jina naitwa "Mheshimiwa Mihayo' Hawa watu wajiona wa maana sana hata hawawezi kujitaja bia ya kutaka aheshimiwe. Nadhani keshamwambia mama yake kuanzia leo niite 'Mheshimiwa'!!!

  • @ccmzanzibar
    @ccmzanzibar  4 หลายเดือนก่อน

    Tumpe maua yake Dk. Mwinyi anaitekeleza Ilani kwa Vitendo Zaidi

  • @salumkarim69
    @salumkarim69 2 หลายเดือนก่อน

    mbona haijamalima mmekimbia mambo mengine bhana 😂😂😂

  • @user-jg5ug2fx2y
    @user-jg5ug2fx2y 4 หลายเดือนก่อน

    wafanye waimalize wasije iwach kati ,mana mara hawazimalizi

  • @user-tk1sv7nh4l
    @user-tk1sv7nh4l 4 หลายเดือนก่อน

    anajikaza ila maisha magumu

  • @ussiali1100
    @ussiali1100 4 หลายเดือนก่อน

    Watu walipwe haki zao ikiwa barabara imepita au itapita kwenye ardhi zao wanazomiliki.

  • @awenamohd8357
    @awenamohd8357 4 หลายเดือนก่อน

    Fuoni kitongani hakuna utalii kwa hiyo barabara haina umuhimu

  • @DuuSaid
    @DuuSaid หลายเดือนก่อน

    Vizuri ivo ndo inavotakikana Kodi zawananchi zitumike hivo na misaada ya wahisani yalete tija na maendeleo Asante 3:30 3:33 😂😂

  • @abdulwahababdulkadir9965
    @abdulwahababdulkadir9965 4 หลายเดือนก่อน

    Tunashkuru jitihada za mh ktk kutekeleza majukumu yake na hii ndio kazi ya kiongozi imara na asieyumbishwa

  • @user-bt4hx5jx4o
    @user-bt4hx5jx4o 4 หลายเดือนก่อน

    mapembe tunatak kima nyie

  • @user-bt4hx5jx4o
    @user-bt4hx5jx4o 4 หลายเดือนก่อน

    huyu mzee naona anataka sifa saiv