KUMEKUCHA HII NDIO KAULI YA DKT MWINYI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
  • TOA MAONI YAKO KWA KUTUMA SMS AMA KUPIGA KWA KUTUMIA SIMU NAMBA 0773 95 35 31 AU 0777 94 54 74 AU 0777 37 37 87 FACEBOOK PAGE TIFU TV ZANZIBAR ,TIFU TV KIJAMII ZAID.
    #Tifutv #zanzibar #kijamiizaidi

ความคิดเห็น • 47

  • @KhamisHaji-pw4jo
    @KhamisHaji-pw4jo 3 หลายเดือนก่อน +3

    Masha Allah,,,,president good luck our president 👍👍👍👍

  • @ZaitunAbdallah-ol1bb
    @ZaitunAbdallah-ol1bb 3 หลายเดือนก่อน +5

    Tukanunue gesi urusi gesi urusi rahisi kuliko Tanganyika

  • @binmakame3881
    @binmakame3881 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera Dr.Mwinyi
    Ni mojawapo ya hatua ya kiuchuni nadhani bei ya ges inaweza kuwa ya chini

  • @AnkallyPandu
    @AnkallyPandu 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nakukubali sana rais Mungu akuzidishie uwe hivyo hivyo maendeleo tunayaona mambo taratibu

  • @SaidMohamed-k9h
    @SaidMohamed-k9h 3 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu mtu anafanya kazi aisee

  • @AleiHadji-js3ed
    @AleiHadji-js3ed 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah Asante Sana Dr Mwinyi

    • @omarmohammed5157
      @omarmohammed5157 3 หลายเดือนก่อน +1

      Weye si mzanzibar ndio maaana kwenu ni bara unamshangirikia mbara mwenzako

  • @KhamisHaji-pw4jo
    @KhamisHaji-pw4jo 3 หลายเดือนก่อน +1

    Good rais wetu

  • @hafidhhemed1514
    @hafidhhemed1514 3 หลายเดือนก่อน +4

    Wazanzibar wanataka nchi yao, tumeshahama huko kwenye siasa za ya maendeleo ya umeme na maji.. tunataka mamlaka yetu kamili

    • @TheOthmoney
      @TheOthmoney 3 หลายเดือนก่อน

      ukishapewa nchi. Chakwanza unafanya nini kwa mfano?

    • @hafidhhemed1514
      @hafidhhemed1514 3 หลายเดือนก่อน +1

      @@TheOthmoney tukishapewa nchi yetu tutakua tumepewa utu, heshima, utaifa, na uhuru wetu.. huwezi kutudanganya na vipande vya karatasi(noti) hizo siasa zimepitwa na wakati Zanzibar

  • @omarmohammed5157
    @omarmohammed5157 3 หลายเดือนก่อน +4

    Yaaaan Dr mwinyi ungetutafutia mamalaka yetu tu basi tungefika mbali sana lakin baado unasiasa zilezile za zaman naona barabara ,maji, umeme halaf hatuoni cha maaana Ruto

    • @CholoNassor-h8r
      @CholoNassor-h8r 3 หลายเดือนก่อน +1

      Good 👍kamanda

    • @saidal-hind5338
      @saidal-hind5338 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@CholoNassor-h8r tunataka mamlaka kamil

  • @labunaabouna6122
    @labunaabouna6122 3 หลายเดือนก่อน

    Zanzibar nilikuape wiki imepita watu njaa sana kuliko hapa kenya 🇰🇪 yani watu km wazee wote tafaut na miaka ile nakuja kuchukua nisshara Sasa me I don't understand maendeleo watu wakakufa kwa njaaa

  • @AnkallyPandu
    @AnkallyPandu 3 หลายเดือนก่อน +3

    Na ujenzi holela pia huchangia miti kupotea sio kwa kupikia kuni tu

    • @KhatibSalehKhatib
      @KhatibSalehKhatib 2 หลายเดือนก่อน

      Upinzani hatuupi nafasi kwasasa tumechoka malumbano waache watu wafanye kazii

  • @Yunussmuhsinmitii
    @Yunussmuhsinmitii 3 หลายเดือนก่อน +3

    Tunataka micheleipunguwe sio manene yagesi

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke 3 หลายเดือนก่อน

      Unajua saiv bei ya mchele wa mbeya una anza bei gani au hujaowa bado hujui bei za michele unakua kwenu

  • @fanaualmazrui733
    @fanaualmazrui733 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kibaraka wa Tanganyika 2025 utarudi kwenu mkuranga

  • @Yunussmuhsinmitii
    @Yunussmuhsinmitii 3 หลายเดือนก่อน +3

    Tunataka maisha mazur

    • @hajiiddi6728
      @hajiiddi6728 3 หลายเดือนก่อน

      Maisha mazur yatakuja bila miundo mbinu.. tembea ujifunze

  • @salyali7807
    @salyali7807 3 หลายเดือนก่อน +4

    Mwinyi anakula pesa hao wengine wazanzibari wanapiga makofi kwa njugu tu wanazogaiwa

  • @IddiKhamis-u6c
    @IddiKhamis-u6c 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hatutaki maneno tunataka vitendo.

  • @karamahfoudh8
    @karamahfoudh8 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kodi na faida na uwepo wake bado kama hatuna mamlaka kamili ni Bure hivo basi itakua n jambo lamsingi kufanya jitihada za lazima kuifanza zanzibar kua na mamlaka kamili ili wanufaike

  • @salumhassanallymkurdistan7006
    @salumhassanallymkurdistan7006 3 หลายเดือนก่อน +1

    RAISI ANASTAHILI PONGEZI ZA ZATI KABISA ANACHAPA KAZI SANA NA KAZI INAONEKANA
    KAMA BANDARI
    BARA BARA
    MASKULI
    HOSPITALI
    NA AJIRA KWA WAZANZIBARI
    HONGERA SANA RAISI HUSSEN ALI HASSAN MWINYI

    • @Aisha-lj8bu
      @Aisha-lj8bu 3 หลายเดือนก่อน

      Hakunaajira kwa wazanzibar anatoa ajira kwa wana ccm

    • @jumamohamed3168
      @jumamohamed3168 3 หลายเดือนก่อน

      Umesema kweli maneno yako.

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 3 หลายเดือนก่อน +2

    WAFANYAKAZI UWALETE KUTO TANGANYIKA KAMA ULIVYO WALETA BODABODA. MYINYI WEWE NI JAMBAZI RUDI KWENU MKURANGA AAA!! 👀👁️👁️

  • @salyali7807
    @salyali7807 3 หลายเดือนก่อน +1

    Tunataka nchi yetu haya mazungumzo ya habari hatuyataki

    • @mbaroukally8655
      @mbaroukally8655 3 หลายเดือนก่อน

      Chukua

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 3 หลายเดือนก่อน

      Si uichukue maana yani unaandika meseji kumikumi maana wewe ndo mzanzibar saaana kuliko yeyote , we ka humtaki huyo kuna wanaomtaka msitake fika mahala mkaona kuna walowanzanibar sana kuliko wengine we hizo hasira na jazba na ushasema unataka nchi yako nenda kamtoe ichukue kelele za nini sasa

    • @salyali7807
      @salyali7807 3 หลายเดือนก่อน

      @@fahadfaraj6474 wapo wanaomtaka wazanzibara .. wenye akili za slavery

    • @salyali7807
      @salyali7807 3 หลายเดือนก่อน

      @@fahadfaraj6474 tumechoka nae na usanii wake ... he has to go

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 3 หลายเดือนก่อน

      @@salyali7807 he can go when time comes, sio kwa kusema tu na hii hoja ya watu flani kuona wao wazanzibar kuliko wenziwao it is such an hypocritical akija mzanzibar mwenye asili ya kihindi tutasema atoke sio mzanzibar akija mpemba waunguja watamkataa kuna unafiki wa hali ya juu baina yetu ndo huo nsoutaka tuwe real na pasi unafiki na si kufanya personal attacks Kua huyu vile mara Hivi,

  • @AbdallahSalim-is3db
    @AbdallahSalim-is3db 3 หลายเดือนก่อน

    Kafungua biasharangwa isafirishwe biashara ya wenyewe wenye nayo.

  • @delasdiego6537
    @delasdiego6537 3 หลายเดือนก่อน

    Commenter wote ni wa puuzi TU humu kwani mmeshajisahau kua ccm nyakat zao ni za mwisho ni nyinyi ndio mmesema huyu ndio fisadi

  • @salyali7807
    @salyali7807 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mdomo nyumba ya maneno ... msanii tu .. utaufunga mlango wa duka zanzibar ... kama ushaiona dhahabu zanzibar basi ni ya wazanzibari

    • @MuzneOthman-l7i
      @MuzneOthman-l7i 3 หลายเดือนก่อน

      KWANI HUYU MWINYI SI MZANZIBARI?. NA MZANZIBARI NI NANI?

    • @salyali7807
      @salyali7807 3 หลายเดือนก่อน

      @@MuzneOthman-l7i Mwinyi anajijua mwenyewe kwao ni wapi ... wengine wanajitia punguani tu

    • @jumamohamed3168
      @jumamohamed3168 3 หลายเดือนก่อน

      Hakuna wazanzibar ,tumeshaondoa iyo wote nyinyi ni wakaazi ,na mumetengengezewa kitambulisho cha ukaazi ,kinaitwa kitambulisho cha Mzanzibar mkaazi.

  • @Yunussmuhsinmitii
    @Yunussmuhsinmitii 3 หลายเดือนก่อน

    Kila kwanza ngio gesi