- 1 049
- 921 982
CCM Zanzibar
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 26 ก.พ. 2015
CCM ilizaliwa tarehe 5 Februari 1977 baada ya kuungana kwa vyama vya Tanganyika African National Union (TANU) kilichokuwa kikitawala Tanzania Bara na Afro-Shirazi Party (ASP) kilichokuwa chama tawala cha Zanzibar wakati huo. Chama cha TANU kilikuwa kikiongozwa na Mwalimu Nyerere na Afro-Shiraz Party kilikuwa chini ya Amaan Karume.
#zanzibarisland #mwanza #travel #dodoma #daressalaam #nungwi #mbeya #beach #tanga #stonetown
#zanzibarisland #mwanza #travel #dodoma #daressalaam #nungwi #mbeya #beach #tanga #stonetown
MAAZIMIO YA BARAZA KUU LA UCCM 2024
#live #ccmtanzania #ccmzanzibar #dr #sisitunatekeleza #zanzibarmpya #hafla
มุมมอง: 371
วีดีโอ
UKIAMBIWA HAKUNA ZERO, ELEWA KAZI IMEFANYIKA - DK. MWINYI
มุมมอง 963 หลายเดือนก่อน
UKIAMBIWA HAKUNA ZERO, ELEWA KAZI IMEFANYIKA - DK. MWINYI
CCM INA VIONGOZI WAELEWA ZAIDI - DIMWA
มุมมอง 1143 หลายเดือนก่อน
CCM INA VIONGOZI WAELEWA ZAIDI - DIMWA
UWANJA WA NDEGE PEMBA UNAJENGWA - DK. MWINYI
มุมมอง 1653 หลายเดือนก่อน
UWANJA WA NDEGE PEMBA UNAJENGWA - DK. MWINYI
Tunazima zote tunawasha kijani tu - Dk. Mwinyi
มุมมอง 3334 หลายเดือนก่อน
Tunazima zote tunawasha kijani tu - Dk. Mwinyi
hotuba ya SALMIN:: Amani yetu Ndio Ushindi wetu Zanzibar
มุมมอง 1214 หลายเดือนก่อน
hotuba ya SALMIN:: Amani yetu Ndio Ushindi wetu Zanzibar
DK. MWINYI AMEOGOZA KIKAO CHA KAMATI MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA
มุมมอง 3027 หลายเดือนก่อน
DK. MWINYI AMEOGOZA KIKAO CHA KAMATI MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA
KUKITENGENEZWA KUTAPENDEZA VIZURI SANA - ENG COSMAS
มุมมอง 1417 หลายเดือนก่อน
KUKITENGENEZWA KUTAPENDEZA VIZURI SANA - ENG COSMAS
HII BARABARA ITATURAHISISHIA MAMBO YETU
มุมมอง 3167 หลายเดือนก่อน
HII BARABARA ITATURAHISISHIA MAMBO YETU
MVUA ZILIHARIBU SANA BARABARA , SASA TUNAREKEBISHA ZOTE
มุมมอง 1177 หลายเดือนก่อน
MVUA ZILIHARIBU SANA BARABARA , SASA TUNAREKEBISHA ZOTE
KIBUMBWI SASA HIVI TUPO MJINI KABISA, MAENDELEO YAMEFIKA
มุมมอง 537 หลายเดือนก่อน
KIBUMBWI SASA HIVI TUPO MJINI KABISA, MAENDELEO YAMEFIKA
TUNAMSHUKURU DK MWINYI KWA JUHUDI ZAKE #vitendovinasauti
มุมมอง 1427 หลายเดือนก่อน
TUNAMSHUKURU DK MWINYI KWA JUHUDI ZAKE #vitendovinasauti
ONDOENI HIZI TOPE HAPA HAZILETI SURA NZURI KWETU
มุมมอง 817 หลายเดือนก่อน
ONDOENI HIZI TOPE HAPA HAZILETI SURA NZURI KWETU
KARIBU WANANCHI WATASHUHUDIA FLYOVER ENG COSMAS
มุมมอง 2.6K7 หลายเดือนก่อน
KARIBU WANANCHI WATASHUHUDIA FLYOVER ENG COSMAS
KIEMBESAMAKI TUNAWEKA TAA ZA KUONGOZEA MAGARI
มุมมอง 3417 หลายเดือนก่อน
KIEMBESAMAKI TUNAWEKA TAA ZA KUONGOZEA MAGARI
ZANROADS NA TANROADS WAMEWAFARIJI WAZEE WA AMANI NA SEBLENI
มุมมอง 1717 หลายเดือนก่อน
ZANROADS NA TANROADS WAMEWAFARIJI WAZEE WA AMANI NA SEBLENI
WAKALA WA BARABARA ZANZIBAR WAPANDA MITI KANDWI
มุมมอง 857 หลายเดือนก่อน
WAKALA WA BARABARA ZANZIBAR WAPANDA MITI KANDWI
NAISHUKURU WIZARA YA KAZI - DK. MWINYI
มุมมอง 457 หลายเดือนก่อน
NAISHUKURU WIZARA YA KAZI - DK. MWINYI
UJENZI HUU UNALENGO LA KUPUNGUZA MLIBIKANO - DK. MWINYI
มุมมอง 187 หลายเดือนก่อน
UJENZI HUU UNALENGO LA KUPUNGUZA MLIBIKANO - DK. MWINYI
GALOSO NI MUDA MFUPI ILA KUNA BARAKA NYINGI SANA
มุมมอง 97 หลายเดือนก่อน
GALOSO NI MUDA MFUPI ILA KUNA BARAKA NYINGI SANA
Miskiti ijae : sisi waumini tukumbushane
มุมมอง 117 หลายเดือนก่อน
Miskiti ijae : sisi waumini tukumbushane
LENGO LETU NI KUWAFIKISHIA WANANCHI HUDUMA BORA ENG SAFIA
มุมมอง 188 หลายเดือนก่อน
LENGO LETU NI KUWAFIKISHIA WANANCHI HUDUMA BORA ENG SAFIA
WANANCHI FUATENI MAELEZO YETU KABLA YA KUANZA KUJENGA ENG HAMADI
มุมมอง 2548 หลายเดือนก่อน
WANANCHI FUATENI MAELEZO YETU KABLA YA KUANZA KUJENGA ENG HAMADI
Sikiliza Ladha :: DIAMOND PLUTNUMZ x MBOSSO x ZUCHU x LAVA LAVA x D VOICE - DK. MWINYI
มุมมอง 1028 หลายเดือนก่อน
Sikiliza Ladha :: DIAMOND PLUTNUMZ x MBOSSO x ZUCHU x LAVA LAVA x D VOICE - DK. MWINYI
DK. MWINYI AMEFUNGUA MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA MUUNGANO
มุมมอง 308 หลายเดือนก่อน
DK. MWINYI AMEFUNGUA MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA MUUNGANO
Hekima za wazee wa kaskazini pemba ccm oyeee kidumu chama tawala Tunaipenda sana ccm ❤❤hongera Dr.mwinyi
Ccm unaijuwa wewe , kama ccm kweli usingepingwa VIGONGO
Pambe htr mama
Asalama aleykum warhamatu Allah wabarakatu. Mm ni mzanzibar fundi umeme Europe. Nauwezo wa kufanya kampuni huku ya umeme ktk kupiga fitting. Natafuta contract Zanzibar.
Njaa inawasumbua
Chawa ktk ubora wao mbona hmjalani utekaji ulopo tz
Wazanzibar mkichaguliwa viongozi wenu kule Dodoma ndo mtaendelea kugandamizwa. Uliona wapi kiongozi wa Kenya anachaguliwa Dareslam😂
Safiii
Wareno walirawala kimabavu kwa mika 200, waliua watawala na wana vyuoni. Wakatolewa na waarabu ea omani, wakiongonzwa na sultan wa oman,Saif bin Sultan Al Yourubi kwa vita, mwaka 1696,baada ya kuombwa na waafrika wa Kenya. Seyyid Said bin Sultan hakuwa muomani wa kwanza kutawala Afrika Mashariki.MBONA HAIJUI HISTORIA HUYU
Wanaitawala zanziba kama huamini mfano mdogo angalia hicho kitambulisho Cha ukaazi hata cm husajiliwi wanatufanya mazuzu kamahuelewi basi ujue
Unawasifu hawa ni watu wa Nyerere lengo lao kuitawala zanziba isifurukute ni hawa walio iyondosha pasipoti na uraiya wanatufanya eti wakaazi
Ameongea nn himijitu mizalim
Tunataka Zanzibar yenye mamlaka kamili
Umeongea ukweli safi sana
Hongera Sana mheshmiwa mwenezi mbeto
Muengereza alijuwa uchungu wa tajiri na masikini. Ndio maana wakamtumiya nyerere. Kuja kupandikiza chuki na uwDui. Wazungu wanafurahi kabisa kuwona chuki zao zimeishi na zimefanya kazi. Walijuwa kama hawakufanya unafik. Basi mwarabu angeliyimisha watu kimaisha kujitambuwa.
Haya tena mupowengi ondosheni kura ya mapema mnaogopa nn
Kidumu chama Cha mapinduzi
Ccm oyyeee
Hongera Sana mheshmiwa zawad mungu akupe kher nyingi azidi kukulinda
Hongera chama Cha mapinduzi
hahaha huyu mzee anafanya watu wote wajinga kama yeye
Msifu lakini hatumwachi. Labda mpige kura mara tatu maana nchi Ina watu watatu kura siku taku
weee mbeto hujajibu hojaa unaporoja tuh unajua mana ya kujib hoja kaa sege hilii
sasa hao ni wanachama wako weye bad wa act hawajatoa idadi yao mbeto tumia akili na ukisema wapiga kura hawajawahi kufika laki6 kwaiyo wapiga kura wote wa znz mnao nyie hhhh kichwa maji wee
hhhhh ety wanachama wapyaa kaaa uchii tuh hapo usijifunike
Anachichanganya na stori ikiwa yeye wakati huo hajazaliwa ilikuwa anapasea atuambie chanzo ithibati ya kusema hivyo
kazi nzur sana kutoka kwa kijana makini sana ndani ya siasa za Tanzania
Me nilijuwa ungelifarijika kwakuona haki za ZANZIBAR zinapatikana na kwawakati ?
Safi
Kumbe mpemba weye 😢ujuba wako hatar😢
Mh
Aliesoma Utenzi aje kuchukuwa mauwa yake
Muondoke Zanzibar mrudi nwenu DODOMA, hamtakiwi Zanzibar.
Hoja wazanzibari tunahitaji Zanzibar iwe nchi na sio mkoa wala kutulaghai kwa vijumba km muungano bc uwe wenye kuitambua kila nchi na sio kuiyondosha Zanzibari isiwe nchi.....
Kazi nzuri by Fami TOLL msanii wa chama cha mainduzii
💚💚💚💚
Hiii ndo Uvccm
Mko vizuri sana, makamo mwenyekiti Dr Hussein 👏👏👏👏👏
Takriban Bara Arabu lote raia hawapigi kura lakini maendeleo ya nchi yapo mbele hata kuliko nchi nyingi ulaya, Sisi tunaopiga kura katika nchi za Kiafrika na ulimwengu mzima hatuna lolote la msingi ila ufisadi na umasikini umezagaa kila mahala, HATUJENGI, HATUASISI CHOCHOTE !
Laana-tu-Allah....Historia gani ya uwongo isiyokua na ushahidi wowote !!! Soga la mikahawani ndio unaita historia kelbu mkubwa weye !!! Katika unafik wako huu mbona sijaskia maelezo yeyote kuhusu Wareno, wajerumani wala waingereza walivyofanya uhasama mkubwa dhidi ya waZanzibari na waTanganyika mbali na waafarika kote Barani Afrika ?????!!!!!
Komandooo ktk Ubora wake wakati huo kiboko ya Maalum Seif
UTATU MTAKATIFU✝️ NA SERIKALI YA MUUNGANO Uhusiano wa Zanzibar, Tanganyika na Tanzania kuna UTATA WA UTATU MTAKATIFU. Ulianzishwa na Mkatoliki Nyerere na anatakiwa awe Mtakatifu✝️ A) TANZANIA ZIKO TATU? 1) Tanzania ni TANZANIA 2) Zanzibar ni TANZANIA 3) Tanganyika ni TANZANIA Ukizihisabu TANZANIA ni TATU lakini tunapotoshwa kuwa TANZANIA ni MOJA. Tanganyika sio Nchi ndio maana haina Rais wala Bendera. Na Zanzibar sio Nchi lakini ina Rais na Bendera imevikwa KOTI la Bendera ya Tanzania. B) KOTI LA TANGANYIKA Kiutekelezaji Serikali ya TANGANYIKA imevaa KOTI la TANZANIA. Linawabana Wazanzibari. Rais Karume alilalamika kusema KOTI LIKIKUBANA LIVUE. C) KOTI KWA UTEKELEZAJI 1) Kiutekelezaji Waziri wa Kilimo wa Tanzania ni wa Tanganyika sio Muungano wala TANZANIA. 2) Kiutekelezaji Waziri wa Afya wa Tanzania ni wa Tanganyika sio Muungano wala TANZANIA. 3) Kiutekelezaji Waziri wa Fedha wa Tanzania ni wa Tanganyika sio Muungano wala TANZANIA. 4) Na hivyo hivyo, Bajeti ya Tanzania ni ya Tanganyika sio ya MUUNGANO yaani Zanzibar na Tanganyika. JEE TUNADANGANYWA NA TUNAPOTOSHWA😂
Safi sana mjomba Mwinyi.tunashukuru sana kwa sisi wenye kujielewa umeuweka mji wa Zanzibar umependeza sana.ila baazi ya wananchi wachafu kuhusu utupaji wa taka ovyo ovyo kuharibu taswira ya mji bado hawataki kujikerebisha usafi.sasa kilicho baki ni kuweka viwanda na makampuni mengi viwanda ili vijana waweze kufanya kazi kwa shift asubuhi na usiku ili wapungue kukaa maskani na kuvuta mabangi na ulevi na kuwacha kwenda katika kumbi za starehe kufanya uzinifu na kujiuza mwili
Maneno mazuri umesema mjomba.wanao haribu muundo mbinu ni wananchi sio serekali
Mbeto hiviwewetokeahujazaliwa mpaka umekua ume lionalipi laajabu maji,barabara,masoko,hosipitali, ww ndo umeonamandeleo hujui kama kilaraisiajae ndohayahaya mnatufanya misukule mumeshindwa kama mmewafanyia wazanzibari mandeleo wacheni kuraiwe mara moja tutawashangaza tena kuliko uleuchaguzi mloufuta wajinganyinyi wazazibari tumechoka kutawaliwa na mkoloni tanganyika
wewe mbeto na Hussein mwinyi na CCM wengine nyinyi ni wadogo sana kumfikia OMO
Hongera kwa Rais Mwinyi