#MWINYI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ย. 2024
  • #isleblogTv Rais Mwinyi amesema barabara zote zinazojengwa zinaubora wa kiwango cha juu na barabara zote zitafungwa speed meter

ความคิดเห็น • 7

  • @user-rk9gr9yf3i
    @user-rk9gr9yf3i 7 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu rais ukimpenda au usimpende haki yake apongezwe anafanya Mazuri anajitahidi kuleta maendeleo mwenye macho hambiwi tizama

    • @mohddelo
      @mohddelo 7 หลายเดือนก่อน

      Kabisa

  • @abubakarsaid7303
    @abubakarsaid7303 8 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤

  • @suleimanrashid3918
    @suleimanrashid3918 8 หลายเดือนก่อน +2

    Kama kuna jambo nampongeza rais moja ni hilo nilitamani siku moja nimuone nimshauri jambo. Kwani nchi nyingi zina pata mapato makubwa kwa sheria za barabarani hongera hilo ni jambo zuri ila hio camera zisome offin kwako na upunguze traffic police barabarani km inchi nyengne zinavyo fanya hongera kiukweli

    • @kingnass6410
      @kingnass6410 8 หลายเดือนก่อน

      Jambo la kimshauri ni barabara kuzitanua sio kua nyembamba kama hivi

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 8 หลายเดือนก่อน

    Tuambieni barabara gani zilizokuwepo Unguja line ngapi ?.NI barabara moja kwenda na moja kurudi na baiskeli zipo barabarani kama gari.

    • @kingnass6410
      @kingnass6410 8 หลายเดือนก่อน +1

      Hakika zilipaswa kutanuliwa suo kuwa nyembamba