WAMAREKANI WEUSI NI KAZI SANA KUISHI NAO | NIKIWA KWENYE MIPANGO YA NDOA NIKAJUA NI MUME WA MTU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • Bertha Mama Africa, ameeleza Safari yake ya maisha na nia yake ya kutaka kuishi majuu namna alivyopambama kusaka fursa.
    Maisha ya Ulaya, Bongo na Marekani, utofauti wa watu wake, matamanio yake ya maisha na malengo.
    Thank you Bertha for allowing this to be online
    www.oda.international

ความคิดเห็น • 148

  • @hellenmwasalwiba6555
    @hellenmwasalwiba6555 5 หลายเดือนก่อน +7

    Bertha, you are the best teacher. May God bless you.

  • @hamisikisinzah8113
    @hamisikisinzah8113 6 หลายเดือนก่อน +7

    Duuuuh dada yetu umetoa somo zuri Sana mpaka nimekupenda!! Kwa somo lako!!

  • @zainabsibuma-omary7061
    @zainabsibuma-omary7061 6 หลายเดือนก่อน +9

    Nimependa mazungumzo yenu. Bertha ulikuja na mipango iliyo nyooka, na Mwenyezi mungu amekusaidia kufikia malengo yako. Nakusihi wasiliana na kaka aliekupa mwaliko ukatimiza hili la kutoka, muyajenge, mmesaidiana itapendeza. Nina imani anakuombea mema ndio maana unafanikiwa. Kadhalika wewe mwenyewe una maarifa sana. inapendeza.

  • @lulumpeta6338
    @lulumpeta6338 8 หลายเดือนก่อน +3

    I learnt something honestly and am still learning.. am in India for school,hope i will reach to developed countries by the grace of Almighty Lord 🙏

    • @SamwelJoseph-yk3cw
      @SamwelJoseph-yk3cw 6 หลายเดือนก่อน

      India is not a developed country?

  • @daisynyerere5730
    @daisynyerere5730 6 หลายเดือนก่อน +2

    Betha Bella my classmate, wajina wangu upande wa mama Africa, nimependa Sana kupata story yako🥰

  • @SashaMadata-jc9jr
    @SashaMadata-jc9jr 8 หลายเดือนก่อน +2

    The best interview ever, huyu dada anajua kujieleza mpaka basi.....Nimejifunza mengiiiiiiiiiiiiiiiiii❤

  • @MsMasola
    @MsMasola 5 หลายเดือนก่อน +1

    Bertha umeongea vizuri sana kuhusu maisha ya huku ubarikiwe sana.

  • @hamisikisinzah8113
    @hamisikisinzah8113 6 หลายเดือนก่อน +2

    Very Interesting!!

  • @GetrudaMamiro
    @GetrudaMamiro 8 หลายเดือนก่อน +5

    Yaani kila atakae kuja anatoa ushauri wake .... Kwa kweli wanaushauri mzuri sana,,, dada nimekupenda bure unaushauri mzuri sana.. hilo swala la kanisani kwa kweli uko vizuri sana.. umefanya la maana... Ninaliweka kichwani

  • @maryability5773
    @maryability5773 7 หลายเดือนก่อน +2

    Barikiwa sana my Sister

  • @CatherineNyange-ku7yk
    @CatherineNyange-ku7yk 7 หลายเดือนก่อน +2

    Nimekukubali betha

  • @ZuzuTz
    @ZuzuTz 16 วันที่ผ่านมา

    ❤ nimependa. Somo lako dada

  • @Alice_Kazaura
    @Alice_Kazaura 7 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera sana Shena, napenda sana contents zako. Big up sister ❤️‍🔥

  • @JosephineNdanu-xs9ii
    @JosephineNdanu-xs9ii 4 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani dada Mungu akubariki Kwa hiki kipindi ninakipenda mnoo na kinanichekesha cnaaa

  • @VivianKidesi-ej8xr
    @VivianKidesi-ej8xr 3 หลายเดือนก่อน +1

    Yaaan nishawah kuskia ukiwahoji wengi ila Bertha amewazidi wote😍

  • @oldisgoldtaarabzanzibar7194
    @oldisgoldtaarabzanzibar7194 6 หลายเดือนก่อน +6

    Admin can you share your story we want hear about you as well

  • @HappinessSawe
    @HappinessSawe 8 หลายเดือนก่อน

    Thanks dada yetu wa Arusha unatuwakilisha vyema

  • @hellenelias8854
    @hellenelias8854 3 หลายเดือนก่อน

    kweli dada, aaah tuko wengii bora kudeal na wawest👌 Hongera sanaa safari yako haikuwa rahisi ila umewezaaa

  • @marymaige6466
    @marymaige6466 8 หลายเดือนก่อน +1

    You are such a strong woman. I can not be even half of you.

  • @sittandaki2135
    @sittandaki2135 7 หลายเดือนก่อน +2

    Asante sana sister nimejifunza mengi sana naomba website ya dating natafuta mke mzungu

  • @stellasimon8306
    @stellasimon8306 8 หลายเดือนก่อน +5

    Asante sana mimi nimejifunza vitu vingi. Mimi nashukuru mungu, niko Sweden. Mungu akubariki sana na wewe ni mwanamke wa nguvu ❤💪

    • @berthabella8654
      @berthabella8654 8 หลายเดือนก่อน +1

      ❤amen

    • @lightnessmarwa1755
      @lightnessmarwa1755 7 หลายเดือนก่อน

      Hongera sana Bertha, Mungu akubariki ​@@berthabella8654

    • @lightnessmarwa1755
      @lightnessmarwa1755 7 หลายเดือนก่อน

      Watanzania hata mkikutana China atakuaribia...yani tubadilike!

    • @ndogoroedson199
      @ndogoroedson199 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂du! Kama huko maisha mazuri mbona wengine wanalalamika? Kwa hiyo huko mliko maisha yakoje? Hiv wote wangekimbilia huko nchi ingejengwaje? Mh wabongo bhana mahali salama ni mbinguni tu huko ni kama huku tu

    • @rachelmakinda
      @rachelmakinda 4 หลายเดือนก่อน

      Woow

  • @kapeljjkapeljj5407
    @kapeljjkapeljj5407 8 หลายเดือนก่อน +22

    US visa yake only God knows.nilshanyimwa mara 3 sikukata tamaa now nimepata am in MD Glory to God

    • @JoyceakaJowi
      @JoyceakaJowi 8 หลายเดือนก่อน +1

      Hongera sana..hii visa ilinitoa machozi

    • @kapeljjkapeljj5407
      @kapeljjkapeljj5407 8 หลายเดือนก่อน +2

      @@JoyceakaJowi mh acheni kabisa jua labongo bns ngum kaz hakuna life iko tough but here nguvu yako tu unapiga kazi even no experience needed maisha yanasonga

    • @JoyceakaJowi
      @JoyceakaJowi 8 หลายเดือนก่อน +1

      Hongereni aiseee.kwakweli ukipata chance huko Duniani,pambana…

  • @BlackCeaser
    @BlackCeaser 7 หลายเดือนก่อน +2

    Hello queens I will love to support a queen dreams ❤❤❤

  • @petermagaka547
    @petermagaka547 8 หลายเดือนก่อน

    Wow tumejifunza mengi sana kwakweli mbarikiwe sana!

  • @chorinevalley6284
    @chorinevalley6284 6 หลายเดือนก่อน +2

    Uyu maama atabalikiwa so na Roho nzuri saana

  • @patricksebogodi4849
    @patricksebogodi4849 8 หลายเดือนก่อน +2

    Nataka nionje chakula chako ni kweli unaonekana unapika chakula kizuri na kitamu ❤

  • @ziadaskitchen5060
    @ziadaskitchen5060 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaallah maisha popote my

  • @BurtonSon
    @BurtonSon 8 หลายเดือนก่อน

    such a wonderful lesson

  • @SaidiRashidi-b7p
    @SaidiRashidi-b7p 8 หลายเดือนก่อน +5

    Kila jambo m' mungu amelikadiria kwa wakat wake na yeye pekee tumtegemee, hivyo bas subraa, uvumilivu vyahitajika sanaa

  • @JaneMlagala
    @JaneMlagala 3 หลายเดือนก่อน

    ❤ wawoo napenda kujua nini na Mimi nijiunge kuja usà

  • @ivankadaudi8161
    @ivankadaudi8161 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana mtafutaji hachoki❤

  • @MadinaMalk-yd6kp
    @MadinaMalk-yd6kp 8 หลายเดือนก่อน +2

    Nice interview da shena na da bertha♥️♥️♥️

  • @danielmakelemo2395
    @danielmakelemo2395 8 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera Bertha tumemiss msosi mtamu u turn hongera bonge umepata mzungu

    • @berthabella8654
      @berthabella8654 8 หลายเดือนก่อน

      Kila kitu kinawezekana

  • @Judy-dy4zt
    @Judy-dy4zt 8 หลายเดือนก่อน

    Mwenyezi mungu akutangulie azidi

  • @AlfredAloyce-wh5nq
    @AlfredAloyce-wh5nq 7 หลายเดือนก่อน +2

    Kweli kabisa

  • @enalderlogan
    @enalderlogan 4 หลายเดือนก่อน

    Mmmh! Hili balaa.

  • @marwamwita3571
    @marwamwita3571 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mafunzo mazuri sana
    Nipo Germany

  • @mohamedmwagao
    @mohamedmwagao 8 หลายเดือนก่อน +5

    Wa Kenya tuko na shida gani dada

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 7 หลายเดือนก่อน +1

    1:23:58 hapo umemaliza.. umejibu kijeuri sana.. hayo ndo majibu yanayofaa

  • @yvonneirakiza3990
    @yvonneirakiza3990 4 หลายเดือนก่อน

    Good

  • @LovelyRacingHelmet-iv6ti
    @LovelyRacingHelmet-iv6ti 6 หลายเดือนก่อน +4

    Dada mm na kushauri fanya juu chini umtafute yure kaka aliye kupa mwariko wa Kwenda huko marekani Kwani umesha jipata atafarijika Kwani mmesaidiana maisha unapo mfungia vioo Ana jisikia vibaya

  • @victorianambololo5718
    @victorianambololo5718 8 หลายเดือนก่อน +1

    Bertha naomba namba zako dear.pole kwa shem yetu,Mungu amponye

    • @joejoshua7791
      @joejoshua7791 8 หลายเดือนก่อน

      Matapeli na dada zenu wanapenda sana pesa na sio waaminifu kwenye relationship

    • @victorianambololo5718
      @victorianambololo5718 8 หลายเดือนก่อน

      Kwa kweli ukiona mtu anamtapeli mtu mwenzake,ujue huyo hana hofu ya Mungu ndani yake.na huwa hata wakifanikiwa Hawafikagi mbali, mafanikio yao yanakuaga ya mda mfupi

  • @AtugineMpangwa-jr3rc
    @AtugineMpangwa-jr3rc 4 หลายเดือนก่อน +1

    Habari naweza pata mawasiliano yako

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 8 หลายเดือนก่อน +4

    Mungu ni mwema

  • @TausiHamisi-w9y
    @TausiHamisi-w9y 5 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba ku meet dating , kuelekezwa please

  • @bibyansimplis3791
    @bibyansimplis3791 6 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa nawashangaa wanawake , huo SIo udangaji na utapeli? Halafu unasema unaomba Mungu, huyo Mungu yupi? Kwa huyo wewe hupendi ila unaendesha maisha kwa kujiuza au kwa kutumia uwanawake wake. Kwa maana hii Mungu Huwa hawajibu watu waaminifu na wanaiishi ktk Sheria za Mungu.

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  6 หลายเดือนก่อน +2

      Hivi Mungu amekupa mamlaka ya kuhukumu na kutoa rizki ?
      Ingekua hayo unayosema wewe unaejiona mtakatifu ni kweli basi wenye dhambi wote wangekufa halafu watakatifu kama wewe mngebaki… Unavitu vingi sana by kuviwazia kwenye maisha yako ya wa Karibu yako hapa duniani, hukumu na kugawa rizki ni kazi kubwa sana isiyokuhusu kabisa, dhambi zingine ziepuke basi

  • @rosematiku1059
    @rosematiku1059 6 หลายเดือนก่อน +2

    Naomba uniambukize na mimi ilo pepo la safari jamaniii japo sina ndugu ulaya😂😂

  • @JaniferMichael
    @JaniferMichael 6 หลายเดือนก่อน +2

    ongeza sauti tafadhali

  • @dollymogosi6899
    @dollymogosi6899 3 หลายเดือนก่อน +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Umenivunja mbavu Bertha! Yaani ww bado upo kwenye mwendo kasi !!

  • @patricksebogodi4849
    @patricksebogodi4849 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hey sis where you stay in USA

  • @joharimillanga1587
    @joharimillanga1587 6 หลายเดือนก่อน

  • @SylviaMagoda
    @SylviaMagoda 8 หลายเดือนก่อน +1

    Daah dada bonge la jembe nimemuelewa sana

  • @yasinabdallah2541
    @yasinabdallah2541 หลายเดือนก่อน

    Sister siyo uko tuu kila sehemu hukienda hutakapo kuta watanzania ni matatizo tupu na hawana mpango kabisa

  • @marykennedymarwa1641
    @marykennedymarwa1641 8 หลายเดือนก่อน +1

    European and Americans , hawatahiriwi , hiyo ni kawaida wengi wao hawajatahiriwa . Wachache sana wanatahiriwa.

  • @usindemdamo5299
    @usindemdamo5299 8 หลายเดือนก่อน

  • @blessedaggie9159
    @blessedaggie9159 6 หลายเดือนก่อน

    Aisee, dada umepambana

  • @kilwadreamsbeachresort9319
    @kilwadreamsbeachresort9319 4 หลายเดือนก่อน

    Namba yako ya what up plzz

  • @fatmahussein1238
    @fatmahussein1238 5 หลายเดือนก่อน

    Nimekupenda ila umetutenga sisi wakenya imekuaje???

  • @self-mademillionaire4519
    @self-mademillionaire4519 4 หลายเดือนก่อน

    Mbona si wakenya

  • @mariambakari8065
    @mariambakari8065 7 หลายเดือนก่อน +2

    Umebarikiwa sana shena mm kwa siku chache tuu nilipoanza kukufatila nimejifunza mambo mengi sana na ninajuta kwanini sijakujua mapema

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  7 หลายเดือนก่อน +2

      Shukran dear, i’m humbled.. kikubwa tu subscribe and share with others wafaidike pia 🙏🥰

    • @mariambakari8065
      @mariambakari8065 7 หลายเดือนก่อน +1

      @@OfficialDatingAssistance tayari

  • @ninjaisma7983
    @ninjaisma7983 5 หลายเดือนก่อน

    Ujaribu pia wakenya tuwaskie idea zao

  • @jj-nj7gg
    @jj-nj7gg 3 หลายเดือนก่อน

    1:19:17 1:19:18 1:19:19 1:19:19

  • @kilwadreamsbeachresort9319
    @kilwadreamsbeachresort9319 4 หลายเดือนก่อน

    Naomba namba yako hapa plzzz

  • @anastaziamathias8861
    @anastaziamathias8861 8 หลายเดือนก่อน +2

    Story haieleweki mara mzungu umri umeenda mara nilitaka mzungu kama daraja sasa umri ulikuzuia nn wakati ulitaka awe daraja? Mara waafrica ndo nilivutiwa nilikuwa nampenda kweli mara nilitaka mzungu nizae chotara mara nilimsaidia mtu halafu miaka ikapita mingi akampigia sm mama inamaana namba yako hakuwa nayo namba ya mama yako aliipata huweleweki bhana hii story mengi tumepigwa

    • @zidatv1122
      @zidatv1122 8 หลายเดือนก่อน

      Huwa jui wanawake

  • @mohammedalwi1865
    @mohammedalwi1865 8 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @Riyovlogs789
    @Riyovlogs789 8 หลายเดือนก่อน

    Dah hii story ya marafiki au ndugu kumuongelea vibaya mtu wako iki akuache ipo sana hapa Tz, kuna dada mmoja alikua kashaolewa kabisa na wamezaa, lakn mwanaume aliambiwa maneno na ndugu zake, iliwapeleka pabaya sanamahusiano yao😢

  • @ZeishaFuture
    @ZeishaFuture 8 หลายเดือนก่อน +2

    Jamani ❤natamani kufika huko mungu yupo nipo visiwa vya comoro huku africa kama housemaid ila nahangaika nije huko jaman USA nimalize contract huku dada shena hakuna kazi huko za ndani za kuanzia huko Australia tuhangahike na visa passport tunazo

    • @MwanahamisiMasuo
      @MwanahamisiMasuo 8 หลายเดือนก่อน

      mambo

    • @helinahenry2363
      @helinahenry2363 8 หลายเดือนก่อน

      Amen AMEN, Mungu atatupigania, mwenyew nko hvyohvyo.
      Tuendelee kuomba kibali kwa MUNGU

    • @MariaMsabi-u7z
      @MariaMsabi-u7z 8 หลายเดือนก่อน

      Mie mwenyewe nipo Qatar natamani sana kufika huko

  • @CatherineNyange-ku7yk
    @CatherineNyange-ku7yk 7 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu dada amenipa madini mnooo shena,mpambanaji

  • @atomphoton5000
    @atomphoton5000 8 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu dada kapambana ni mjasilia mali mzuri wa mapenzi ila hapo 1:30:44 aliposema bado anasubiri makaratasi yake yaive atimize sara na ndoto yake ya kutafuta kuwa kwenye mahusihano ya kudumu na mtanzania mtu wa nyumbani, sijui hapa huyu shemeji yetu aliyenae sasa anaempatia makaratasi sijui aambiwe ukweli au tumuache kwanza atumike kama daraja.

  • @jamilahmputu
    @jamilahmputu 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi nime mkataa mzungu kwajili ya ukafiri na uchafu sana

  • @Judy-dy4zt
    @Judy-dy4zt 8 หลายเดือนก่อน +1

    Asante yesu

  • @joycebenjamin6017
    @joycebenjamin6017 6 หลายเดือนก่อน

    Naendelea,kujifunza mengi kutokana na interview nyingi.

  • @lifeofyuri4020
    @lifeofyuri4020 7 หลายเดือนก่อน +1

    Apo kwenye ku innitiate talk ndio siwezi …. Yani sinaga cha kusema i dont even know how to flirt 😅😅 .. mtu anaweza kua ana flirt na mie na nisijue mpaka analoose intrest ndio ananiambia mbona upo slow

  • @mohammedalwi1865
    @mohammedalwi1865 8 หลายเดือนก่อน

    Mama

  • @joycechaka8433
    @joycechaka8433 8 หลายเดือนก่อน

    Habali dada Shena, naomba namba yako ninashida na wewe

  • @mohammedalwi1865
    @mohammedalwi1865 8 หลายเดือนก่อน

    Hi 👋

  • @DramaDive-8
    @DramaDive-8 8 หลายเดือนก่อน +1

    ukitaka uwajue wapopo waulize wadada wanaoishi Dubai, China na Uturuki huko zipo peple shetani akasome hizo engagement zao zimejaa ushetani mkubwa sana na ukiwa na Mungu wapopo wanaogopa kukusemesha kabisa maana kila kitu chao ni cha kimaagano achana na movie zao ila in real life hiyo ndio hali halisi yaani wanamitazamo michafu na mfumo dume wa kibabe mila na desturi zao hazimtendei haki mwanamke kabisa

    • @lydiampayo597
      @lydiampayo597 8 หลายเดือนก่อน

      Nimecheka Kama mazuri ,,mapopo ni wa Nigeria,,daaah maisha haya yanafanya ukumbuke mengi.
      Na usipo kuwa makin na mpopo umekwishaaa😂China,Dubai,uturuki kweli kbsaa wapo kibaoooo

    • @DramaDive-8
      @DramaDive-8 8 หลายเดือนก่อน

      🤣🤣😂🤣@@lydiampayo597 ndio wapopo ni wanajeria hao ni mshetani kwenye mwili wa mwanadamu hawana huruma ni dada zetu hawajali ni maumivu tu kuachiwa tunatakiwa kujithamini hawa watu utu umekufa ndani yao

  • @annamussa185
    @annamussa185 8 หลายเดือนก่อน +1

    Eti figa ya wazungu 😊

    • @berthabella8654
      @berthabella8654 8 หลายเดือนก่อน

      Wazungu hawachagui jaman

  • @fatmahamdoun74
    @fatmahamdoun74 5 หลายเดือนก่อน

    Upo state gani betha

  • @ahmadateguro4886
    @ahmadateguro4886 8 หลายเดือนก่อน

    Sister shena naomba unisaidie najaribu kilipia kwenye extended dating site lakini Kuna kipengele nashindwa wanataka address verification na hii dating site kilipia ni Kwa kadi tu nimetengeneza tigo pesa masta cadi sasa inagoma na tatizo ni hilo ni address verification nahitaj msaada wako sister shena

    • @ginagigigg7
      @ginagigigg7 6 หลายเดือนก่อน

      Adres verification unaweza tumia bank statement yenye muhuri au lawyer akuandikie affidavit of residential adress na muhuri kwny legal paper kabisa Itawork

  • @janechipeta6231
    @janechipeta6231 6 หลายเดือนก่อน

    Mmh si ilisema umefunga ndoa mbon unakaribisha wengine

  • @Ollykeke
    @Ollykeke 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hofu times 2😝

  • @marielouisekagoyire1378
    @marielouisekagoyire1378 7 หลายเดือนก่อน

    Uyu anasema kweli kabisa niko amerika lakini sio rahisi kupata mzungu na wa black tabia zawo nitufauti ya wafrika kwanza wanawake wao ni wakolofi sana

  • @mzalendomzalendo2567
    @mzalendomzalendo2567 6 หลายเดือนก่อน

    Mwacha asili ni mtumwa.

  • @happinessmarijani2783
    @happinessmarijani2783 5 หลายเดือนก่อน

    Mimi nina 73yrs napeda sana kuja huko kuishi nafanyaje?

  • @ntayega.a.hamissi9760
    @ntayega.a.hamissi9760 8 หลายเดือนก่อน +2

    Wanugu vilevile wanadharau sn

  • @sungisungi6589
    @sungisungi6589 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hyu dada atakua ana mzigo

  • @sarafinayuwangi152
    @sarafinayuwangi152 8 หลายเดือนก่อน

    Story sijaielewa hii

  • @sophiakassim6784
    @sophiakassim6784 8 หลายเดือนก่อน

    Yani uyu dada naona kabisa story yake inafanana na mimi kabisaaaaa😂

  • @sophiakassim6784
    @sophiakassim6784 8 หลายเดือนก่อน

    Yani dada leo umejua kunifungua akili kuhusu hawa Wamarekani

  • @nicedavid8536
    @nicedavid8536 8 หลายเดือนก่อน +1

    Baada ya Corona ulikuwa tz,
    Na sasa unamiaka 4 US, tanga kuisha Corona ni miaka 3

    • @peaceisrael8158
      @peaceisrael8158 8 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂

    • @damariszuckschwert9489
      @damariszuckschwert9489 8 หลายเดือนก่อน +2

      Janja Janja mingi😅

    • @mmasipeter4157
      @mmasipeter4157 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@peaceisrael8158mwaka wa nne sasahv bhana

    • @berthabella8654
      @berthabella8654 8 หลายเดือนก่อน

      2021 to 2024 ni miaka mingapi

    • @nicedavid8536
      @nicedavid8536 8 หลายเดือนก่อน

      Mama hii ni feb, 24.na feb 21 bado kulikuwa na Corona ilikua imepungua namakazini tulikua tunapima kila siku, wengine mara 2kwa wiki. Na nchi nyingi zilikuwa hazitoi visa miezi hiyo.

  • @efrahfarahahmed8960
    @efrahfarahahmed8960 8 หลายเดือนก่อน

    Usafi hawana sababu wanavuta ya bangi

  • @Ollykeke
    @Ollykeke 7 หลายเดือนก่อน +1

    Watu wa Magharibi ya Africa (inSwahili’s tone) wana hiyo tabia na kutumia watu kuvuka kwenda wanakotaka ni kama ndo jadi yao😢 Ila ukisema hiki kitu kwa ndugu zetu wa Kenya watakubishia😊😁

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 8 หลายเดือนก่อน

    Kutokuacha uasilia hapo dada kaongea kweli kabisa. Na pia kwenye swala la wivu yuko sahihi kabisa., wabongo siyo kabisa

  • @liannsambu7264
    @liannsambu7264 8 หลายเดือนก่อน

    Hakika black Americans ni Zaid ya MZUNGU AKASOME 😂😂😂😂

  • @ChikoMathias
    @ChikoMathias 8 หลายเดือนก่อน

    Ninaomba namb , tuongee binafsi

  • @peaceisrael8158
    @peaceisrael8158 8 หลายเดือนก่อน

    Jamani unaapa kutokurudi nchini kwenu😢

    • @berthabella8654
      @berthabella8654 8 หลายเดือนก่อน

      Kutafuta maisha ndugu

  • @zaydelabay9776
    @zaydelabay9776 8 หลายเดือนก่อน +2

    Wapopo 😂

    • @lydiampayo597
      @lydiampayo597 8 หลายเดือนก่อน +1

      Nimecheka Kama mazuri,,,Kama hujawahi kutana na mapopo bdo dunia hujaijua😂,,,China wapo kibao,Dubai na uturuki.hawajawahi kushindwa na kitu,,,
      Mapopo shikamooo😅😂😂😂

  • @ummyabubakary685
    @ummyabubakary685 8 หลายเดือนก่อน

    Mwanamke na robo tatu

  • @sungisungi6589
    @sungisungi6589 6 หลายเดือนก่อน +1

    Wanawake sio wa kuamini sana. Ktk mapambano Yao ni pamoja na kutafuta mwanaume wa kumchuna.