RAIS MAGUFULI ALIVYOWAKIMBIA WALINZI WAKE AKIENDESHA GARI LA JESHI MWENYEWE

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 178

  • @roinajohnson9788
    @roinajohnson9788 4 ปีที่แล้ว +25

    Elf 2020 kula yngu unayo bila ubishi weka tiki kuwa una miaka 5 mingine y urais inshaallah Allah nimuaminie atakupa uhai n afya njema amiin

  • @kibasamohamedi8029
    @kibasamohamedi8029 4 ปีที่แล้ว +15

    Nakupenda bureeeeeee Rais wetu mzuri. Haaaaaaaaaaaa hujavaa mkanda notification Elfu 30. Mm nitakulipia hiyo fine.

  • @jacksoncharls228
    @jacksoncharls228 4 ปีที่แล้ว +56

    Huyu do rais mm huwa napigana na watu wanaomsema vibaya

    • @randikhamisi240
      @randikhamisi240 4 ปีที่แล้ว +1

      Hata mm.

    • @emmanuelbonifase1114
      @emmanuelbonifase1114 4 ปีที่แล้ว

      Nabiii akubaliki kwaoo shikaa iyoo

    • @adenihalisi4218
      @adenihalisi4218 4 ปีที่แล้ว +3

      @@emmanuelbonifase1114 pamoja na hayo kwa hakika Mh Magufuli tumemkubali kwa zaidi ya asilimia 1,000,000,000,000,000,000,000,000. Tumemkubali.

    • @evansmlalo4049
      @evansmlalo4049 4 ปีที่แล้ว

      Watanzania wajinga kweli kweli mnapigia makofi yaliyoletwa kuwanyima uchaguzi wa huru na wa haki. Kama kweli yeye ana nia nzuri na Watanzania asitumie vibaya kodi zetu anatakiwa ajenge hosipitali za rufaa kila mkoa. Watu tunakufa sana na maradhi. Sasa hivi kumezuka ugonjwa unawaua watu wetu na bado haujajulikana na Serekali haitaki kutamka wazi wazi.

    • @jimmysameji3602
      @jimmysameji3602 4 ปีที่แล้ว +3

      @@evansmlalo4049 wewe upo Tanzania kweli au unapewa habari na waongo?

  • @husseinshabani9522
    @husseinshabani9522 4 ปีที่แล้ว +14

    Mungu Amlinde Rais wetu na Ampe Afya tele pamoja na familia yake na viongozi waliomzunguka.

  • @rashidimpigachai7987
    @rashidimpigachai7987 4 ปีที่แล้ว +22

    Sijui nicheke vipi tu,daaa big up muheshiwa Rais na walinzi kazi mnayo poleni mtulindie Rais wetu.hataki kuhadithiwa safi sana.

    • @zachariazabron6894
      @zachariazabron6894 4 ปีที่แล้ว

      Rashidi Mpigachai wala cyo utani hawa jamaaa wanataabu sana juu ya ulinzi wa rais wetu maana yeye hajali anachojisikia anafanya

  • @listonmwangonda806
    @listonmwangonda806 4 ปีที่แล้ว +133

    Duh kichwa iki kimenishinda jaman kah 🚔🚔🚔🚔🚔 kama unaungana nami week like yako apo twenzetu 2020

  • @zakiazakia4552
    @zakiazakia4552 4 ปีที่แล้ว +4

    Tunakupenda rais wetu chaguo la watanzania wengi juhud zako za kuikomboa tanzania dhid ya umaskini unaonekana tunakupenda sana tunazid kukumbea uishi
    Miaka 1000

  • @simonsadala2386
    @simonsadala2386 4 ปีที่แล้ว +9

    Najivunia kuishi na kuzaliwaTanzania Rais wetu utabaki kileleni ukwl sioni wa kumlinganisha naye dunia nzima

  • @philonchimbi07
    @philonchimbi07 4 ปีที่แล้ว +34

    Mungu atupe nini?kama raisi tunaye.Mungu amjalie afya na ampe nguvu ni mtumishi wa kweli na wa dhati wa Tanzania.

  • @noronhacompanylimited5370
    @noronhacompanylimited5370 4 ปีที่แล้ว +2

    Naomba Naomba sana Mheshimiwa Rais Magufuli aongezewe muda angalau miaka 20 katiba yetu sio msahafu ibadilishwe!!!!!

  • @pastorbonnyphillip8945
    @pastorbonnyphillip8945 4 ปีที่แล้ว +16

    Unajua bwana mh Rais wakati mwingine unatupa raha kweli. ..Ila Mungu akubariki na kukulinda. ...

  • @nisilesanga3602
    @nisilesanga3602 4 ปีที่แล้ว +10

    Raisi tunae🙌🙌🙌💪

  • @rumouramour6175
    @rumouramour6175 4 ปีที่แล้ว +3

    Mungu ndiye anatoa kiongozi MAGUFULI MHE amefanya mema yaliyopia Moyon mwangu ivyo hata kama sitakuja kuwa Rais Magufuli ameshakuwa kwa niaba

  • @jacksoncharls228
    @jacksoncharls228 4 ปีที่แล้ว +16

    Mungu akutuze akupe afya njema

  • @vitussimon9696
    @vitussimon9696 4 ปีที่แล้ว +38

    Wanao amini Magufuri atapata "A" % ya kura 2020 tulike hapa.

  • @badenbensoni7516
    @badenbensoni7516 4 ปีที่แล้ว +12

    Very good my President

  • @KP-kn2no
    @KP-kn2no 4 ปีที่แล้ว +24

    Kwakweli we rahisi nakukubari sana sema katiba hairuhusu ila binafsi napenda uwepo madarani milele

    • @musakidava6914
      @musakidava6914 4 ปีที่แล้ว

      Watanzania mungu atupe nn Rais tunae

  • @zakiazakia4552
    @zakiazakia4552 4 ปีที่แล้ว +6

    Mbele daima nyuma mwiko hongera

  • @gozbertjackson3049
    @gozbertjackson3049 4 ปีที่แล้ว +6

    angekamadarakani miaka Kama aliyo hudumu mwalim hakika wa Tanzania tusingeenda hata nchi zawatu kunyanyaswa huko

  • @mankamathayo4007
    @mankamathayo4007 4 ปีที่แล้ว +1

    Mimi ni mpinzani ila 2020 Kwa Kamanda,kuna mambo mengi yakikuwa hayaendi ila sasa big up,bado kwenye Elimu kina matatizo,JPM hiyeeeeeee

  • @binurusm8886
    @binurusm8886 4 ปีที่แล้ว

    Walinzi wa Mh. Rais nawapenda sana kwa umakini wenu, Mungu awazidishie Nguvu katika kazi yenu, Mungu Ibariki Tanzania yetu, Aamina.

  • @amosimwangonji6891
    @amosimwangonji6891 4 ปีที่แล้ว +41

    Mzee ujavaa mkanda kosa la kwanza ilo ooh utalipa fain

    • @mashakanyenzi904
      @mashakanyenzi904 4 ปีที่แล้ว +2

      Mkanda wa nini wakati anakata tu kiu

    • @500gts9
      @500gts9 4 ปีที่แล้ว +3

      Mkanda ndani ya geti? ndani ya makao makuu ya jeshi hapo

    • @wisperfect3860
      @wisperfect3860 4 ปีที่แล้ว

      😂

    • @stevek8318
      @stevek8318 4 ปีที่แล้ว

      Hahaha

    • @Mokiwa
      @Mokiwa 4 ปีที่แล้ว +2

      Amosi Mwangonji 🤣🤣🤣🤣🤣 nataka niulizie leseni nashindwa pa kuandikia... JPM ametutoa mbali Mungu amlinde zaidi maana namfurahia sana

  • @frankmakeula4506
    @frankmakeula4506 4 ปีที่แล้ว +4

    Huyu ndio Rais wa wanyonge hapa kaz 2

  • @meshackmeshack3945
    @meshackmeshack3945 4 ปีที่แล้ว +1

    Wah.! Huyo bodyguard man.

  • @erickmkwera2784
    @erickmkwera2784 4 ปีที่แล้ว +11

    Umetufurahisha Sana watanzania kama comedy vile tuko nyuma yako

  • @twalibalihamza280
    @twalibalihamza280 4 ปีที่แล้ว

    THE KING OF AFRICA ITS TIME FOR AFRICA TO HAVE THIS KIND OF LEADERS WE HAVE SAFER ALOT WITH POVERTY AND WAR

  • @selemanimwendilemo9335
    @selemanimwendilemo9335 4 ปีที่แล้ว +10

    Mmh huyu rais ni kiboko..

  • @christophermlaponi534
    @christophermlaponi534 4 ปีที่แล้ว +4

    Walinzi wa mkuu wana kazi, maana mashtukizo ni hapo kwa hapo tu, hakuna taarifa wala nini !!
    Ila wapo fit !

  • @allymukhi2388
    @allymukhi2388 4 ปีที่แล้ว +2

    1:45 kwa Mara ya kwanza nimemuona yule jamaa the bodyguard amecheka.

  • @edsonmunuo7112
    @edsonmunuo7112 4 ปีที่แล้ว +1

    my president viva magufuli, wew ni mwamba i really appreciate you my dear president, hakika unatugusa wengiii

  • @stephenssapp2407
    @stephenssapp2407 4 ปีที่แล้ว +11

    Haha mzee wakat mwingne ss wapnzani unatuchekesha unaweka comedy watu hawana mbavu mb zetu znakwenda halali kabsa, lakin najifunza kitu hakuna kuzindua kwa macho ni vitendo.

  • @amosruta2308
    @amosruta2308 4 ปีที่แล้ว +2

    Magufuri miaka 💯

  • @frankangumbwisye6624
    @frankangumbwisye6624 4 ปีที่แล้ว

    raisi wangu Magufuli unafanya kazi nzuriii sanaa..umetufikisha mbalii sana japo kwa muda mchache,mungu akulindee kwa kweli

  • @adenihalisi4218
    @adenihalisi4218 4 ปีที่แล้ว +3

    Huyu mzungu amewahi kumgeukia Mh Rais Magufuli kabla ya kumalizana na aliyekata naye utepe yaani wanamhanya Magu haswa!

    • @amirikhalifa9543
      @amirikhalifa9543 4 ปีที่แล้ว

      Yupo sawa wala sio kumuogopa Magu yeye ndio senior hapo lazma amgeukie kumpigia salut

  • @micreuben982
    @micreuben982 4 ปีที่แล้ว +1

    Uishi miaka mingi rais wangu👍

  • @emmanuelmkelehe366
    @emmanuelmkelehe366 3 ปีที่แล้ว +1

    wangapi tupo hapa baada ya kifo cha hayat

  • @dottobussagwe5264
    @dottobussagwe5264 4 ปีที่แล้ว +1

    Huyu ni rahisi wa wanyonge kweli

  • @emmanuelbonifase1114
    @emmanuelbonifase1114 4 ปีที่แล้ว +3

    Tutaenda kuwakomoaa 2020 nkubaliana nawee

  • @billalphilip5776
    @billalphilip5776 4 ปีที่แล้ว +1

    Prezo umeingizwa boxx na machinku😱😱😱

  • @salmaoman6347
    @salmaoman6347 4 ปีที่แล้ว +8

    Najivunia wwe popote

    • @nelsonmakoye291
      @nelsonmakoye291 4 ปีที่แล้ว +1

      Huyu ndiye raisi jmn,tuache maneno ya wapiga majungu!huyu mtu ingekua sio katiba ningetamani akae miaka yote!

  • @theresiangunda2298
    @theresiangunda2298 4 ปีที่แล้ว +10

    Msukuma wa Chato

    • @loyakanuda2521
      @loyakanuda2521 4 ปีที่แล้ว +1

      Very good 😊 😊

    • @sundaymgimba5521
      @sundaymgimba5521 4 ปีที่แล้ว +1

      Mungu akulinde miaka yote raisi mheshimiwa jpm mungu akubariki sana pamoja na familia yako umeiinua inch ya tanzania nakuwa na hadhi bora

  • @abelmirwatu544
    @abelmirwatu544 4 ปีที่แล้ว +3

    Hii kazi ni ngumu mno dah, alufu Urais huna uhuru hakyamungu fanya kazi mkuu ili tufike.

  • @dgt6303
    @dgt6303 4 ปีที่แล้ว +1

    Daaah anko Magu bana...😘😘😘

  • @masongamasonga8146
    @masongamasonga8146 4 ปีที่แล้ว +2

    Makosa Yote aliyoyafanya Rais kwenye harakati za ku test hilo Gari faini Zake nitalipa mimi.

    • @masalukulwa8911
      @masalukulwa8911 4 ปีที่แล้ว

      Masonga Masonga Hilo ni gari la kijeshi.. Mambo ya mkanda inategemea na situation...

    • @masongamasonga8146
      @masongamasonga8146 4 ปีที่แล้ว

      Nimekusoma mazeee

  • @fidessalema5744
    @fidessalema5744 4 ปีที่แล้ว +1

    hapo kaz ipo duh,,,,nipeni kaz Na mm nkimbie nyuma yenu😁😁😁😁

  • @saidmatola8015
    @saidmatola8015 4 ปีที่แล้ว +1

    Kiongozi yuko vizuri bado helicopter kuendesha bravo Mr. President......

  • @salemkambuteh1409
    @salemkambuteh1409 4 ปีที่แล้ว +4

    Mimi napenda kuwakumbusha waTanzania tuna raisi wa ukweli.
    sisi raisi wetu sio wa mchezo mchezo.
    like it plz.

  • @jamesjamesh.5822
    @jamesjamesh.5822 4 ปีที่แล้ว +4

    Nafikiria mara mbili mbili ni nani wa upinzani atakayepoteza muda wake kuzunguka nchi nzima kuomba kura za Urais 2020... kama huoni na huamini kama ambavyo mimi siamini gonga like za kutosha

  • @dechardavid2555
    @dechardavid2555 4 ปีที่แล้ว

    Hatua nzur sana Raisi anatupigisha....
    M4c 4rever

  • @williammwita79
    @williammwita79 4 ปีที่แล้ว +1

    mungu ni mwema ametupa rais mzr

  • @adenihalisi4218
    @adenihalisi4218 4 ปีที่แล้ว +2

    Yaani ningekuwa mimi ningechomoka na hilo gari mojakwamoja walinzi watanikuta ikulu au watanikuta nakagua maduka huko kariakoo au niko ubungo naangalia ujenzi.

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 ปีที่แล้ว

    Wew ndo mogozi wa tanzania 😭💔💔💔Allah akurehm habby ♥️

  • @josephinemecky9278
    @josephinemecky9278 4 ปีที่แล้ว

    Sina hofu na Mungu wng Magufuli kuwa raisi wng naipenda na nchi yng Mungu barik

  • @alimajootingi7398
    @alimajootingi7398 4 ปีที่แล้ว +10

    Yule msema ovyo yuko wapi aseme na ili sasa

  • @benedictkenedy2173
    @benedictkenedy2173 4 ปีที่แล้ว +6

    Najivunia paka nalia

  • @simonpure109
    @simonpure109 4 ปีที่แล้ว +1

    Haya magari si apewe kagame,Sasa haya maleft si usumbufu. Uwezi just pengine ni mbinu za kijeshi

  • @mengikiguruwe6750
    @mengikiguruwe6750 4 ปีที่แล้ว +1

    Misaada km hii (ya magari) ni mizuri ila lazima yafuate 'specification' zinazoendana na nchi yetu;
    Gari za kuendeshwa kushoto (LHD) siyo muafaka kwa nchi hii nadhani hata Mhe lilimpa changamoto kidogo!

  • @ibrahimyussuf3350
    @ibrahimyussuf3350 4 ปีที่แล้ว

    Safi sana muheshimiwa watu Mungu akulinde

  • @monalisajuma5641
    @monalisajuma5641 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sana rais wetu jembe letu

  • @charlyb3560
    @charlyb3560 4 ปีที่แล้ว +1

    Haya magari ni mabovu...kenya bought this cars but after 6months yote yamekufa..

    • @bongesele6009
      @bongesele6009 4 ปีที่แล้ว

      Acha ujinga wewe unatuletea Mambo ya story hapa eti walinunua

  • @freddymello3227
    @freddymello3227 4 ปีที่แล้ว

    J.P.M anauwezo mkubwa sana.
    Amewahi kuendesha greda kule Dumila.wakati anasimamia ujenzi wa daraja.
    ameendesha basi la mwendokasi.
    ameendesha na hiyo gari ndogo .
    huyu ni genius wa kipekee!!

  • @peterkailembo4101
    @peterkailembo4101 4 ปีที่แล้ว

    Good job Mr preza

  • @hafidhali815
    @hafidhali815 4 ปีที่แล้ว

    Watanzania wote tuko nyuma yako Rais wetu mpendwa Rais magufuri

  • @danitarimo5013
    @danitarimo5013 4 ปีที่แล้ว +1

    Katika maraisi tumewahi kupata Tanzania huyu ndye Raisi anae jenga hili Taifa letu

  • @markomteka9998
    @markomteka9998 4 ปีที่แล้ว +3

    Rais huyu ni wa mfano mno

  • @witnessmsigwa3845
    @witnessmsigwa3845 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akupe uhai zaidi ya Adam

  • @roinajohnson9788
    @roinajohnson9788 4 ปีที่แล้ว

    Safi sn mh.magufuri nakupenda mpk napata homa wallah

  • @simonwestke9976
    @simonwestke9976 4 ปีที่แล้ว

    Hilo gari LA jeshi jamani.. Jujeni apa Kenya muone gari la jeshi

  • @jumailyass9308
    @jumailyass9308 4 ปีที่แล้ว

    Msitusahau na Zanzibar hayo magari mkuu

  • @evancemoevt8597
    @evancemoevt8597 4 ปีที่แล้ว

    Magari yenyewe mbona Ni Left hand!! Watayaendeshea Barbara gani ya Tanzania!??

  • @jonaskilomba4094
    @jonaskilomba4094 4 ปีที่แล้ว +1

    2020 Kura yangu tiyari nilishapiga

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 4 ปีที่แล้ว +4

    Lazima ajikumbushie enz hzo

  • @emmamuelfrancisco9247
    @emmamuelfrancisco9247 4 ปีที่แล้ว

    Ni mazuri good

  • @raymondkaswaga6340
    @raymondkaswaga6340 4 ปีที่แล้ว

    Huyu ndio Rais sasa

  • @jenipherkavusha506
    @jenipherkavusha506 4 ปีที่แล้ว

    Hahahaha hongera sana Rais wetu

  • @youngassaidy7845
    @youngassaidy7845 2 ปีที่แล้ว

    Roho inaumaa yaanii magufuli 😪😪

  • @goodluckgozbertgoodluckgoz2648
    @goodluckgozbertgoodluckgoz2648 4 ปีที่แล้ว

    Nice JP magufuli

  • @stevencraudy3209
    @stevencraudy3209 4 ปีที่แล้ว +1

    Samata kuongoza genki leo?

  • @rasheedabby2871
    @rasheedabby2871 2 ปีที่แล้ว

    Kuna mlinzi ana tako hatar

  • @wildlifeanimals6377
    @wildlifeanimals6377 4 ปีที่แล้ว +1

    Hlfu mbona kama wanene hv jmni

  • @ammaryasir5940
    @ammaryasir5940 4 ปีที่แล้ว

    Kua mwanajeshi china ni raha sana kuliko hapa tz

  • @yusufmdami6724
    @yusufmdami6724 4 ปีที่แล้ว

    Noma aana

  • @MambaAfrica
    @MambaAfrica 4 ปีที่แล้ว

    Nafikiri raise hange endesha gari hilo, wanaweza kuweka madawa kama yale waliyo mwekea Bob marliy akafa.

  • @mahamoudabas8555
    @mahamoudabas8555 4 ปีที่แล้ว

    Raisi anafanya kazi na wananchi tunaona, tena anapambana kusikiliza shida zetu wanyonge, mabadiliko ya maendeleo ktk taifa letu yanaonekana, jaman kujenga nchi sio mchezo tusione wenzetu ulaya wako juu, wako juu kwasababu wametuibia na walikua wakishilikiana na viongoz wetu ktk wizi huo. Nchi ilijaa mafisadi tupu! Wafanya kaz ktk sekta ya serikal walijisahau wakaona wamefika kupata hizo nafas, walikua hawakusikilizi bila hongo. Jaman tufumbue macho watanzania tusiwe kama Matonya, matonya alikua kipofu sasa sio watanzania wote ni vipofu.

  • @daudpius8591
    @daudpius8591 4 ปีที่แล้ว

    Hakika mheshimiwa rais ukovizur

  • @barakamfugale1049
    @barakamfugale1049 4 ปีที่แล้ว +1

    Mnaandikaga uningaujingaa tu

  • @anovenord
    @anovenord 4 ปีที่แล้ว

    Ankol tukumbuke nasisi wasomi kwa ajila

  • @abubakarhassan1915
    @abubakarhassan1915 4 ปีที่แล้ว +5

    Magufur wewe ni kiboko

    • @davidwandelage6627
      @davidwandelage6627 4 ปีที่แล้ว

      Wamenyanyasika sana na wao kidogo wachukue gari wamfukuzie walijua anatoroka .Mr. President you are good at all also a good Anjel help you in all things you do or you judge to (be President is a taff job)

    • @ezekielsaitoti4967
      @ezekielsaitoti4967 4 ปีที่แล้ว

      @@davidwandelage6627 angel

    • @ezekielsaitoti4967
      @ezekielsaitoti4967 4 ปีที่แล้ว

      @@davidwandelage6627 not anjel

  • @saidsoud5967
    @saidsoud5967 4 ปีที่แล้ว

    Nasononeka natamani nengezaliwa Ulaya

  • @damacynyangaka1017
    @damacynyangaka1017 4 ปีที่แล้ว +3

    Kuchukia Rais Magufuli nisawa nakuanzisha safari yakuelekea Sayari ya pluto.

  • @thomaszacharia6442
    @thomaszacharia6442 4 ปีที่แล้ว +4

    Duuh walinzi wanakazi jaman

  • @habibatally6392
    @habibatally6392 4 ปีที่แล้ว

    big up

  • @Chiwaligo
    @Chiwaligo 4 ปีที่แล้ว

    Kudaiwa kubaya sana yaani hataki kuachiwa hata nukuta wanahis atawakimbia 😂😂😂😂😂

  • @Kifyasi
    @Kifyasi 4 ปีที่แล้ว

    My president

  • @kajumaa4276
    @kajumaa4276 4 ปีที่แล้ว

    Sanatuu

  • @radhiambwana2026
    @radhiambwana2026 4 ปีที่แล้ว

    Huyu komandoo au mlinzi waupande wakulia namuelega sana yaan kama anasmaku Ata nzi skipita anadakwa Kwakwel anastahki kupewa nishani

  • @DZASTER_ON_DA_BEATS_TZ
    @DZASTER_ON_DA_BEATS_TZ 4 ปีที่แล้ว

    hahahaha sio poa jamaa wametolewa mchaka mchakaa hahaa hapo ugali wote kwishney

  • @habibumallanga6392
    @habibumallanga6392 4 ปีที่แล้ว +1

    Raha san

  • @jumannehemeid9932
    @jumannehemeid9932 4 ปีที่แล้ว

    Good

  • @JM-eo3wo
    @JM-eo3wo 4 ปีที่แล้ว

    Rais tafuta vijana hawa askari wamenona sana hawesi bio