Kamaliza Bundles kwa kufuatilia hotuba zako Nipo tayari nilale na njaa lakini Nijue kwa kila siku unaongea nini. Tulichelewa kupata Rais kama wewe. Najua wewe ni zawadi kutoka kwa mungu Mungu akulinde.
Siku zote hizo ulikua wapi mzee pole sana kwa kazi nzito unayoifanya wanaokupinga niwale ambao wamekosa myanya ya upigaji lkn wala usishtuke coz bado ni wachache ktk nchi yetu na hawana nafasi
Mimi m south Africa jah hundred thousand rand cash I have it lit now where can send please tomorrow we love you makufuli ninakuja uko morongoro kungombea cheo chochote kile kenye kuwatengenezea wana inchi maisha mazuri kwa watanzania wezetu kwasababu raisi wetu mapema kabisa kampeni tunapita bira jasho mabari amkeni mnayoyataka mnayapata kanali umesiki mjomba sasa tufanyaje kuusu mabaria wote to support makufuli wanaoishi south Africa wote Johannesburg pritoria Portethabert witbank Cape town Durban east London free state wote Richard bay tunaona fanya kazi baba wakimbie kama Sisi walivyo tukimbiza kukumbilia inchi za watu kwa siasa zao kwa manufa yao na watoto zao makufuri awee oyee 👍👏👏
Kama ulikuwa unamkubali DK magufuli gonga like hapa
Rais huyu Mungu ambariki sana.
I'm addicted to watching this man from kenya. Wa! Ndume huyu mh. Rais
Hakika watanzania hatutapata kiongoz kama JPM tuzidi kumuombea alale salama😭😭😭😭
Tutampata tuu
Tuombe Mungu .kwenye stoo yake naamini anao wazuri atatupa
@@luciasospeter6897Amen
Nimelia mnooooo😭😭😭😭😭😭we miss you daddy😢
Duuuu pole dada yangu😴😴 mungu ailaze mahali pema peponi 🤚🙏 😢
Bado tunakupenda mungu ailaze rohoyako mahal pema pepon
Kamaliza Bundles kwa kufuatilia hotuba zako Nipo tayari nilale na njaa lakini Nijue kwa kila siku unaongea nini. Tulichelewa kupata Rais kama wewe. Najua wewe ni zawadi kutoka kwa mungu Mungu akulinde.
Comment yako nimesoma zaidi ya mara tatu alikua zawadi kutoka kwa mungu 😢
una akili saaana mpwa JPM alale pema
Daah pole sana
Tanzanian failed to protect this kind man
@@mourinhonyamkekwa3568😢😢😢sana tu
Mungu akuhifadhi Rais wetu
Allah ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi
Maguful huwez kumfananisha kimaendeleo na mtu yeyote . wengn wapuuz tuu
magufulification big up father the best one in the world🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Daah!! Hakika hatuto pata raisi kama huyu tena 😔😔🙌
Nimependa sana ilikuwa habaguwi nanyi maraisi muigeni rasi makufuli tezi wanyonge
Najivunia kuwa na rais mwenye maono
Bado unaishi moyoni mwangu😢😢😢😢😢😢😢😢 JPM
missing you BABA haya mambo yalitupa UNDANI na UWAZI wa mambo ya WAJIBU na HAKI 😢😢😢😌😌😌🇹🇿
Lala salama mzee ❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Am from bungoma Kenya i still cherish Magufulu he stole my heart
Mimi mkenya lakini namlilia hayati raisi John pombe Magufuli. JEMBE kweli. Pumzika Kwa amani.
Hakuna kama Magu😢😢😢😢😢😢😢
Siku zote hizo ulikua wapi mzee pole sana kwa kazi nzito unayoifanya wanaokupinga niwale ambao wamekosa myanya ya upigaji lkn wala usishtuke coz bado ni wachache ktk nchi yetu na hawana nafasi
Baba tunakukumbuka tunalia kwa uzslendo wako Mungu akuangszie nuru ya USO wake
Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi
Vizuri havidumu 😢😢😢😢😢❤ baba pumzika kwa amani 2024 /7/9
Hivi huyu mama Samia haangalii hata hizi ziara za mtangulizi wake maana mm simuelewi
Hana muda muda wake kunahii tu na kunahii watu 😢😢😢😢😢
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂@@LatifaCharles
😅😅
Hata Mimi ningechangia laki 5 maaana ni kwa maendeleo ya Taifa letu uzalendo kwanza, RIP John
Maaa shaa Allah we miss you kama upo hai vile Alhamdhullah Alhamdhullah ❤❤❤😢😢
Dah sikumpa Kura lakini naijutia Kura yangu Bora ningempa tu
🤣🤣👍🙏magufuli his are very good Präsident..anajua hizo watu zinapata lushwa kwaleo zakomeshwa pesa yote yatoka 💝
Greatest president in Africa
Mungu akulaze mahali pema baba
hapa kazi tuu
Am a kenyan ila huyu Rais aliniliza sanaa😢😢😢 rest wel mh magufuli
God ww thank you for this Human being
Watanzania mlimpoteza mzalendo wa hakika kweli, Rais Magufuli Afrika yote itakukumbuka milele, may you rest in eternal peace 🇰🇪🇹🇿
Every Tanzanian must have loved this president
❤ jpm
Laisi mwenye hakili ndomaana uchumi ulipanda alikua na hakilii❤
Miami ni mukindi nikukumbush baba wawanyonge nalia Mungu nakuomba umulaze kwaamani Raisi ayati magufuli tunakukumbuka😭😭😭😭😭
😢😢😢 Tanzania nchi yangu
Next Magufulificationilists notes tunazo tuendelee kula pindi....😎✍🏽
Ruto anaambia moses kuria aty milioni moja na kuria amesema 10k 😅😅😅😅
Hakuna Kama uncle magu
Très bien
Hakika mungu Akutunze uko uliko baba twakulilia bado daddy 😭😭
Huyo si alikuwaka Malaika Alie shi nasi bila Sisi kumjuwa
Hii pressure haiko kenya 🇰🇪 mmekaliwa Tanzania
Continue rest in peace magufuli
Uras mzuri sanaa
Yona Kantu Kwanin Yona 🤩🤩
Asante pumzika Kwa amani
Mzee aacheni akumbukwe tu kwa mengi aliyoyafanya
Ndio rais pekee wa kujivunia.ana upeo wa maendeleo.pumzika baba
Mungu Ana sababu aliyekuwa ameleta kiumbe hiki magufuri.pumzika kwa aman!!
We miss you papa😢❤ 17/10/2024
Rest easy Dad
Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema peponi
Uzidi kuendelea kupumzka kwa Amani mpendwa wetu wa muda wote
Miss you father
Tumekukumbuka Baba Magufuri Pumuzika Kwa Mani😢
Jaman magufuli mungu amlaze pema 😢
❤❤❤❤❤
Ila mwenyezi mungu aliamua kutuonyesha
😅😅😅😅we celebrate your life
We Miss you Dady
Jamaa alikuwa na mbinu za utendaji kazi kiukweli MUNGU aikumbuke roho yake
😰😰😰mungu akurehemu huko ulipo baba
Aiseee umetuweza baba🙌
Hakuna wakufananishwa na Magufuli
Tutakukumbuka kwer. Baba yetu hakuna mwingine ira tumuombee makonda kwabadae aje aombe kura awe rahis
Mama tulitaka na we usifiwe kama hivi but mh sijui unamfata nani badala ya mtangulizi wako
😮jamani
😭😭😭😭😭😭
Dady I miss you
Mimi m south Africa jah hundred thousand rand cash I have it lit now where can send please tomorrow we love you makufuli ninakuja uko morongoro kungombea cheo chochote kile kenye kuwatengenezea wana inchi maisha mazuri kwa watanzania wezetu kwasababu raisi wetu mapema kabisa kampeni tunapita bira jasho mabari amkeni mnayoyataka mnayapata kanali umesiki mjomba sasa tufanyaje kuusu mabaria wote to support makufuli wanaoishi south Africa wote Johannesburg pritoria Portethabert witbank Cape town Durban east London free state wote Richard bay tunaona fanya kazi baba wakimbie kama Sisi walivyo tukimbiza kukumbilia inchi za watu kwa siasa zao kwa manufa yao na watoto zao makufuri awee oyee 👍👏👏
Waooooo
Mcheshi mno prezzo
Matangazo mengi
Alie muuwa Magufuli sisi ni pipo japo kua kufa ni mpango wa mungu ila alie kua sababu ya kifo chake kwani ana aibu kweli
Pumzika kwa amani ❤❤❤❤
Ndo inavyotakiwa baba ulifanya kazi mpaka nikupenda lkn ulivyoondoa baba mambo........
😊
Ndyo basi tena !
Lkn magu eti musifikili sijaoa yaraab mpumzishe kpnz cha maskin na wanyonge
Duh ukiwa na Rais ujipange tu maana hapa kazi tuu
Cha upole mama kipenzi chetu. Maumivu. Ni makubwa roho inauma sana
Mie huwa inaniuma sana nilitamani uwepo
Rest in peace.
Ndo inavyotakiwa baba sema tu cku hiz toka umeondoka duuuuu. Ila pumzika kwa amani maana siku hizi toka ulivotutoka imekuwa............ 5:23 🎉
Yan tumepoteza mtu muhim sana mungu kwann lakini?
KWELI HUYU ALIKUA MWAMBA, MWAMBA KWELI KWELI.
Ndo inavyotakiwa baba sema tu cku hiz toka umeondoka duuuuu. Ila pumzika kwa amani maana siku hizi toka ulivotutoka imekuwa............
R I P uncle Mumagu
Lala xalama baba 🙌 😂😂
Alekumsalam😅😅😅😅 nmecheka kwel
Kipenzi chetu rais nimekukumbuka sana machozi Yamejaa
😥😥 😢
Pumzika kwa Aman baba
Inauma natokea kumpenda huyu magufuli baada ya kufa jamani😢
😅
😂😂sasa kwann umechelewa kumpenda
Rais kama huyu atoke wapi rest in dear brother
Wananchi tunamuelewa...wapigaji mtaelewa tu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Raaaha sana wachangishe hao
Nakupenda❤🎉 yaani
Mmh Sina hata chakusema