🤣🤣🤣🤣🤣ndio mkuje vyama vingine mchangie sio blablaa maendeleo hayana vyama👏👏👏👏wallah rais kauzu eti na ww sio unakaa tuu nyuma yng na ww unachangia ngp . Asante mr president
Kweli nimeamini hali ngumu mbele ya raisi watu wana pledge mapaka laki🙆🏽♀️🙆🏽♀️ tena kutoka kwenye ofisi za selikali na taasisi🤪🤪mimi ni nani hasa nikaone aibu kupredge elfu kumi kwenye michango ya harusi 🙄🙄🙄
Km upo chama tofaut na ccm lkn unamkubal anko magu like yako tafadhali
Nimeamua kuamia CCM maana inanikonga moyo
Huyu ni rais wa kipekee so Tanzania tu bali duniani
Na wewe umekaa mno kwenye mgongo wangu, na wewe unachangia ngapi?
Hayo maji ya kunywa au
05:50 😂😂😂🏃🏽♂️😂Mlinzi wa Rais kanikosha sana daah!! INACHEKESHA japo CHUMA KIMEONDOKA R.I.P#
🤣🤣🤣🤣🤣ndio mkuje vyama vingine mchangie sio blablaa maendeleo hayana vyama👏👏👏👏wallah rais kauzu eti na ww sio unakaa tuu nyuma yng na ww unachangia ngp . Asante mr president
😃😃😃😃
Halima saidi. Yupo vzr raisi wetu
halima saidi sanaa nasimama na rais wng
I love Magufuli/from Kenya
Baba wa kujali wanyonge ameenda huyoo jmn daah alhamdhulillah 😭😭😭😭😭😭😭
Nimecheka kwa sauti kubwa....Kisha nikahisi naonekana Kama chizi vile......😂😂😂😂😂😂
😍😍😍Nampenda sana anko magu yaani natamani hata aiendeshe nchi mpka tuseme bassssssss
Imebaki ndotoo😢😢😭😭😭😭
😂😂😂😂😂magu haki baba kula yangu aijaenda bule
Na wewe unatazama mno sema unachangia ngapi
04:02, I will miss his sense of humour terribly😢🙏
😁😁😁😁 sema uncle magu kauzu katojolesha hadi bodyguard miksa dereva wake
Hadi bodigadi😁😁 Dah safi sana mkuu wetu Wa nchi,Mungu akutunze
Magu ww n kiboko ya watanzania
6:26 Kanali kacheka kiana alipoambiwa John Mabogo achangie sijui wanajuana 😂
Ya bwana mpe bwana ya kaizar mpe kaizar # anko magu
Nimeipenda hiyo
Uyo sio body gad uyo anaitwa mpambe body gad avai magwanda
Duh🙏
Kweli nimeamini hali ngumu mbele ya raisi watu wana pledge mapaka laki🙆🏽♀️🙆🏽♀️ tena kutoka kwenye ofisi za selikali na taasisi🤪🤪mimi ni nani hasa nikaone aibu kupredge elfu kumi kwenye michango ya harusi 🙄🙄🙄
suzana mpanda husomi alama za nyakati wewe ..hatakama mtu anazo izi sio zile nyakati zakutaka sifa zakijinga mbele ya mjomba .....ujifanye unapayuka mihela hapo utajikuta kesho unatakiwa kuzitolea maelezo
Pumžika kwa amani baba
😃😃😃 anko magu anachekesha
Nimecheka kwa nguvu
🤣🤣Changa ya lazima upite hivyo hivyo kwa wagonjwa wasio jiweza na wazee angalau wapate msaa🙏🙏🙏
Nawewe umekaa mno kwenye mgongo wangu, unachangia ngapi?
4:05
Haaaaaaaaaaaaa nimechekaaaa maguuu juu
Weeee joni mapogo njooo hapa uchangie huwez ukakaakaa tu hapa😂😂😂
😁😁😁mapogo kamute2
😂😂😂 huyo ndio magu
Rais alikuwa chawa wa wamaendleo ❤❤
Magufuli apana chezea kabisaaaaaaaaaaa
Huyu nikimnyima kula yangu niwe chizi kula yangu ni yamagu
We we ndio rais hapana chezea uncle mangu pigs kaziiiii
😂😂😂
Daah..mlinzi anaumia sana
😭😭😭😭😭🗣️😭😭
Kama namuona hiv jaman😢😢
Good job rais
Nawewe umekaa mno kwenye mgongo wangu,, unachangia ngapi?😂😂😂
Who is Here Again June 2024..!?
BAADA ya Muda mrefu UDP yatajwa.
Nice
Mbunge kijana umetoa sana
Nakubali
Hahahahahaha
hahahaha kajua kumshika ananusa mgongo tuu 😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 naomba namba yako
@@gkaniel87 😂😂😂😂