Waziri AWESO AMTUMBUA ELIZA bila huruma, wananchi walipuka kwa shangwe

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 78

  • @festohaule9716
    @festohaule9716 วันที่ผ่านมา +6

    Kwanini Watumishi wengi sana hawatimizi wajibu wao..kwanini Hatuwezi kujenga Nchi yetu pasipo dosari!!!!!

  • @hashimmawazo5503
    @hashimmawazo5503 วันที่ผ่านมา +4

    Njoo kibiti mh,waziri kuna mengi uku miradi yote imekwama na pesa wamezitafuna

  • @user-tu9ps9kr2o
    @user-tu9ps9kr2o วันที่ผ่านมา +2

    Mhe waziri kwanza hongera.kwa msukumo wako wa nguvu hizo watabadirika Sasa watumishi .mhe makinda umetoa fundisho kwa wateule wa Mhe Raisi

  • @philemonmagesa5548
    @philemonmagesa5548 วันที่ผ่านมา +3

    Mweshimiwa Aweso ww chukua mfumo wa makonda kusikiliza kero nakufatilia utendaji utakusaidia kisiasa na kujenga imani kubwa kwa wananchi

  • @emilianchibinda82
    @emilianchibinda82 วันที่ผ่านมา +3

    Wizara ya Maji acheni masiala jamani!! Eti hadi aje Waziri! Wengine mpo wapi? Aibu!! Serikali ajirini watu wengine!! Mambo haya hayana afya kwa Watamzania.

  • @abdallahmmary8591
    @abdallahmmary8591 วันที่ผ่านมา +2

    Njoo arusha Waziri tunabambikiwa bill za majani

  • @msafiriomary893
    @msafiriomary893 วันที่ผ่านมา +4

    Vibaka WA Kodi zetu hao

  • @GodfreyOsward
    @GodfreyOsward วันที่ผ่านมา +1

    Poleni, ujinga uliopitiliza. Vitu vingine haviitaji waziri

  • @ChristianSebastian-rh2fq
    @ChristianSebastian-rh2fq วันที่ผ่านมา +2

    MH, njoo na kisesa Magu Mwanza ni taaabu tupu

  • @lukumanisharifu
    @lukumanisharifu วันที่ผ่านมา +3

    Uweso njoo masasi mtwara hufiki kabisa Kuna madudu sana

  • @user-nm2jq7xo5f
    @user-nm2jq7xo5f วันที่ผ่านมา +3

    Tusilee uzembe mheshimiwa waziri wengine wajifunze

  • @godfreylyimo4177
    @godfreylyimo4177 วันที่ผ่านมา +1

    Elizabeth ni mtendaji mzuri!!

  • @Kalunirashidi
    @Kalunirashidi วันที่ผ่านมา +2

    Uweso nimekusoma ukichekano utavuna mabuwa alafu wakika pembeni wanasema Sisi mbaya

  • @husseinamassanza50
    @husseinamassanza50 วันที่ผ่านมา +2

    Kero za wananchi zinasababishwa na nyie nyie serekali msione watu wapo kimya ipo siku haina jina.

  • @user-oy2gp3nq4j
    @user-oy2gp3nq4j วันที่ผ่านมา +2

    Wanauza Maji wanamagari yao waziri wanakudanganya
    Hata huku makabe

  • @nelsongodfrey9952
    @nelsongodfrey9952 วันที่ผ่านมา +1

    Msumi hatuna maji, lakini mbopo wana maji. 3km difference but dawasa wapo

  • @nurdinmfamau3493
    @nurdinmfamau3493 วันที่ผ่านมา +2

    Hiyo Nifuraha. Lakini Kiakili Nifuraha Iliyochanganyika Nahasira.

  • @jtheophil5499
    @jtheophil5499 วันที่ผ่านมา +1

    Sijui watu wana matatizo gani.Alafu kupata maji shida kweli kweli ukiritimba.

  • @reubenalfred9707
    @reubenalfred9707 วันที่ผ่านมา +1

    Chanika Nzasa mradi wa maji ulifunguliwa na mwenge lakini mpaka sasa hatuoni hata tone la maji..!

  • @stevensteve7519
    @stevensteve7519 วันที่ผ่านมา +2

    Watumishi wa serikali ni kikwazo kikubwa kwa maendeleo ya nchi kutokana na kutofanya kazi kwa ufanisi na kutotambua kuwa wao waajiri wao niwananchi. Hili hawalijui kabisaa, wanadhani kuwa wao wako juu ya wananchi.

  • @MOHAMEDSALEH-fl7kb
    @MOHAMEDSALEH-fl7kb 2 วันที่ผ่านมา +2

    Mama Huyo. Tanzania ya Maendeleo Tunaitaka

  • @Bifa_2024
    @Bifa_2024 วันที่ผ่านมา +1

    Wananchi wachonganishi ipo siku mwanao dadako Ndio atakuwa huyo Eliza alafu wamama wana midomo adui wa mwanamke ni mwanamke

  • @gililwise
    @gililwise 2 วันที่ผ่านมา +1

    Mh njoo Morogoro Morowasa utalia maji tunapata mara moja kwa wiki kwa mwezi mara 4 bili inakuja 40,000/= Bhopal kata us bigwa

  • @LovelyOmbreSky-pu4jt
    @LovelyOmbreSky-pu4jt วันที่ผ่านมา +1

    Naona sasa kakayangu umeamka sasa ila ujachelewa nilijuwa kasiyako imeisha ilanakujuwa Utendajiwako sinamashaka nawewe

  • @user-oy2gp3nq4j
    @user-oy2gp3nq4j วันที่ผ่านมา +1

    Wanajifanya Miungu watu watumishi hawa sana ata ukipiga awapokei

  • @user-oy2gp3nq4j
    @user-oy2gp3nq4j วันที่ผ่านมา +1

    TUNAKUOMBA SASA MTUPUNGUZIE MALIPO YA KUWEKA MAJI
    MAJI YANAPITA MLANGONI UKIULIZA KUWEKA MAJI SH 270,000/=

  • @user-ow7pl6tz2c
    @user-ow7pl6tz2c วันที่ผ่านมา +1

    Mh waziri dawasa nitatizo niwazembe sana

  • @user-kv8sq6qz7g
    @user-kv8sq6qz7g 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Moja Kati ya hazina kubwa ktika Taifa letu Ndugu aweso mzalendo wa kweli

  • @George-jz3jg
    @George-jz3jg วันที่ผ่านมา +2

    Aweso huo ni ujinga tu kuondoka naye huyo Eliza ndo umeleta maji hapo?

    • @MnubiMm
      @MnubiMm วันที่ผ่านมา

      Huo ujinga sawa Wewe ungefanyaje?mwenye akili

  • @HamadaZubeirTahir
    @HamadaZubeirTahir 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Musichikijuwaaa...mmmmmh..mpaka nawaonea hurumaaa

  • @chesconkwera2005
    @chesconkwera2005 วันที่ผ่านมา +1

    Ni actual au sinema

  • @monicamaganga8681
    @monicamaganga8681 2 วันที่ผ่านมา +1

    Waziri njoo kinodoni tunateseka sana

  • @ahmedronga7583
    @ahmedronga7583 วันที่ผ่านมา +1

    Ila wanawake dah!😅

  • @piusmapunda4255
    @piusmapunda4255 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mkuu njoo nahuku tanganyika dc kata ya ikola maji hayatoki nimwezi wa 3 sasa!,

  • @giftkalenge418
    @giftkalenge418 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Utashitaliwa waziri Sasa huyu dada anakosa Gani wakati mkurugenzi wako ndo tatizo

  • @albtstanislaus4319
    @albtstanislaus4319 2 วันที่ผ่านมา +5

    Masikini hua tunafulaiya mwenzetu anapo pata shida

    • @deozomboko8949
      @deozomboko8949 2 วันที่ผ่านมา

      Huyo ameshindwa kutumia cheo chake kwa hiyo anaenda kushushwa kwa lugha nyingine

    • @mahijayusuph8186
      @mahijayusuph8186 2 วันที่ผ่านมา

      Tenganisheni siasa na kazi

    • @mahijayusuph8186
      @mahijayusuph8186 2 วันที่ผ่านมา

      Nyie mnaoshangilia hamjitambui

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 วันที่ผ่านมา

      ​@@mahijayusuph8186inawezekana Wakawa Hawajitambui Lakini Katikati Kuna Uzembe Na Dhuruma Kubwa Inayowapa Au Kutupa Chuki.

  • @FarajaLusuka
    @FarajaLusuka 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Shida nini viongozi wetu jamani kwanini mnatufanyie hivyo maji hamna hata kwetu makurunge kigamboni hatuna maji wala umeme

  • @nahlaaasidee1848
    @nahlaaasidee1848 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Waziri Njoo Masasi-Mtwara kuna shida

  • @AminaAmina-cr8jq
    @AminaAmina-cr8jq วันที่ผ่านมา

    Wazir njoo arusha mateves tunateseka na idara,ya,maji bil laki 3 kwa,mwenx na,barabara,vumb tynashidw,hata,kuuza yaya

  • @monicachacha455
    @monicachacha455 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    awesoooooo safiiiiii

  • @HamadaZubeirTahir
    @HamadaZubeirTahir 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Eti Wazili..wazili...wazili...sioWazilii...ni Waziri ndio kiswahili sanifu

  • @dorahmushi-we6ts
    @dorahmushi-we6ts 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tunamuona mhshmw Makonda group kazini.

  • @HamadaZubeirTahir
    @HamadaZubeirTahir 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Anaweza akafukuzwa mbele ya Wananchi baada ya masaa akaitwa Ofisini akaambiwa endelea na kazi

  • @user-ch2it3qt5z
    @user-ch2it3qt5z 2 วันที่ผ่านมา +2

    Hiii 😂nchi inakiki 😂

  • @bahatielias6443
    @bahatielias6443 2 วันที่ผ่านมา +1

    Ila kunawakati mwingine inakela

  • @KilonzoGodson
    @KilonzoGodson วันที่ผ่านมา

    Hivi Tanzania tukoje?

  • @DandasiKundi
    @DandasiKundi วันที่ผ่านมา

    Waziri njoo mkoa wa pwani usikilize vioja vya dawasa eneo la lukuruti, mihande karibi na shule ya skondari wanasema vifaa hamna na hata hivyo wengine wanafungiwa sijaelewa wziri hapo kuna nino happ

  • @florencekyande4443
    @florencekyande4443 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    mbona Eliza tu,huyo kaka aliyekosa mafaili ,yaoo wattsap je?mkurugenzi aliyeookea maelekezo kwa waziri asiyafanyie Kazi je?

  • @sharafisaidi7999
    @sharafisaidi7999 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Njoo na mbagala mheshimiwa maji tunayaonaga kwenye video tu kibondemaja mtaa wa kimbangulile

  • @masalidorice3402
    @masalidorice3402 2 วันที่ผ่านมา +1

    wanawake jamani wanashabikia mwanamke mwenzao afukuzwe

    • @bahatielias6443
      @bahatielias6443 2 วันที่ผ่านมา

      Ila tujifunze ukipewa nafasi watumikie wananchi,ukipewa maelekezo na mkuu wako tafadhali fuatilia ,hapo unakuta gari ya usafili kapewa lakin mtu anaagiza tu yeye yupo ofsini, ama fungu lapesa linatolewa halafu hizo pesa wanaingiza kwenye biashara zao kwanza mpaka mda unaeenda wee Ndio wanakuja kufanya ,Sasa wananchi inakuwa ni mateso

  • @josemalley1691
    @josemalley1691 2 วันที่ผ่านมา +1

    Arusha mtaa x ndo balaa

  • @YusuphMwangobola
    @YusuphMwangobola วันที่ผ่านมา

    Wananchi wamesha mchoka hyo dada

  • @FilbertKalembe-fy4oq
    @FilbertKalembe-fy4oq วันที่ผ่านมา +2

    Safi kabisa mumelea ujinga mda mrefu tusaidieni halmashauri zote ziko hivyo

  • @SultanaShaban
    @SultanaShaban วันที่ผ่านมา

    Njoo bonyokwaa mkuu

  • @monicachacha455
    @monicachacha455 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    timua haoooo

  • @LaizerSaitoty
    @LaizerSaitoty 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    if huu ugonjwa dawa yake nn

  • @hamredhamis-cz6qc
    @hamredhamis-cz6qc วันที่ผ่านมา

    😊

  • @fatmaathumani7116
    @fatmaathumani7116 วันที่ผ่านมา

    Watu tunahangaika kuzitafuta hizo kazi nyie mazwazwa mnanenepeana tu km mafurushi 😢😢😢

  • @FredMwamgogwa-td6ni
    @FredMwamgogwa-td6ni วันที่ผ่านมา

    Fukuzaaaa

  • @mamakayla6697
    @mamakayla6697 วันที่ผ่านมา +1

    Kwa kweli waziri umefanya kazi vizuri ya kuchukua hatua ya kuja wilaya hii ya Kibamba, njoo na wilaya ya Ubungo. Ni shidaaaaa,njoo Kimara Bucha.

  • @thomastemu3332
    @thomastemu3332 2 วันที่ผ่านมา

    Mtumbue huyo hawafai

  • @rahelmponda
    @rahelmponda 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kumbe unambadilisha kituo ila kazi yake Bado ipo, ujinga tupu na wanaokushangilia😅😅😅

    • @venancemwarabu7168
      @venancemwarabu7168 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ulitaka afukuzwe kazi? Kosa lake ni lipi? Matatizo ya kimfumo hata ukiwekwa wewe hapo utakutana na huo ukakasi

  • @user-nm2jq7xo5f
    @user-nm2jq7xo5f วันที่ผ่านมา

    Awesu fukuza kazi wazembe hao

  • @danielelikana2615
    @danielelikana2615 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mfumo wa kuajiri unatakiwa kufumuliwa upya kabisa!! Wanaajiriwa watu wasiokuwa na uwezo wa kufanya kazi, wenye uwezo wanaachwa!!

  • @monicamaganga8681
    @monicamaganga8681 2 วันที่ผ่านมา

    😂 7:28

  • @Mumewangu
    @Mumewangu วันที่ผ่านมา

    Kama umesikiwa mwananchi anauza bangi. Nipe like zangu

    • @wisemaliva5376
      @wisemaliva5376 วันที่ผ่านมา +1

      Wamesema anauza maji

  • @KhalidAlly-je8ky
    @KhalidAlly-je8ky วันที่ผ่านมา

    Ujinga mtupu

  • @hashimmawazo5503
    @hashimmawazo5503 วันที่ผ่านมา +1

    Njoo kibiti mh,waziri kuna mengi uku miradi yote imekwama na pesa wamezitafuna

  • @Kalunirashidi
    @Kalunirashidi วันที่ผ่านมา

    kweli uweso ndio mnatakiwa kufanya kazi siokupigiwa makofi wannachi wanaomie