Women Matters: Hii ndio sababu KUBWA kwanini NDOA zinakufa! *MUHIMU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • PART FOUR
    Nini kinachofanya ndoa zidumu? Au nini kinachofanya Ndoa zingine zivunjike? Dr. Chris Mauki wa UDSM, Dr Ellie Vd Waminian pamoja na Aunty Sadaka wanajadiliana na Lillian Mwasha kuhusu suala hilo.
    #WomenMatters

ความคิดเห็น • 101

  • @T1tanGamingCsgoMore
    @T1tanGamingCsgoMore 5 ปีที่แล้ว +29

    I like when Dr. Elli speak English

  • @nyarkamrumbeayoma6886
    @nyarkamrumbeayoma6886 5 ปีที่แล้ว +26

    Huyu Dr Elly ni hatari

  • @kiazikitamu3985
    @kiazikitamu3985 5 ปีที่แล้ว +15

    Mapenzi sio kulalana, kulalana kuna nafasi ndogo sana ya kuimarisha ndoa watu wanatoka kulalana walimaliza wanagombana kwa sababu ndogo tu na kutupiana maneno makali na mmetoka kulalana muda si mrefu.

  • @marthaallen1164
    @marthaallen1164 5 ปีที่แล้ว +34

    Jaman alieelewa kingereza na matamshii ya dr elly 😘😘😘😘 plus namna anavoelezeaa hapaa ni vichwaa tuuu !!
    Hapa ni hot 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 asanten kwa elimu nzurii 🌷👏👏👏👏
    Point taken ✍️

    • @omarymb
      @omarymb 4 ปีที่แล้ว

      noted

  • @stephenmalilo9833
    @stephenmalilo9833 5 ปีที่แล้ว +23

    Dr Ellie ni fireeeeeee........

  • @rahillhamidu2544
    @rahillhamidu2544 5 ปีที่แล้ว +8

    Yaani munanielimisha Sana mungu awabariki mno, pamoja Sana Wana SNS

  • @elpidiusmulokozi9258
    @elpidiusmulokozi9258 5 ปีที่แล้ว +11

    Brother Sky Ubarikiwe sana. (Dr.Elly, Dr.Chriss, na wengine wote elimu mliotoa ni gharama na Tunu Kubwa Mno.

  • @arakazaarcade3692
    @arakazaarcade3692 5 ปีที่แล้ว +5

    Woow this man speak out English like 🥰🥰👌👌I understood A to Z Dr and i love this show anyone else here 🤷🏻‍♀️🤷🏻‍♀️💕

  • @EK-kp2np
    @EK-kp2np 5 ปีที่แล้ว +13

    Mko vizuri, mtaponya nyumba nyingi sana

  • @views-qk4fr
    @views-qk4fr 5 ปีที่แล้ว +11

    Mimi huwa nawaeleza wanawake kuwa ukishafanya ngono na mtu tayari umeshauza utu wako.

  • @munirsalman5910
    @munirsalman5910 ปีที่แล้ว +1

    Yani ukifatilia uislam utakuja kujua kwamba mtume wetu Muhammad (sw)alisema kwamba mwanamke ni kitulizo sha mwanaume.karibu kwenye uislam

    • @Maalim_Samatta
      @Maalim_Samatta ปีที่แล้ว

      Sahihi kabisa dada Muniyr, yaani hata hawa watangazaji hapo kama wangeufuatilia uislam wangegunduwa kuwa hayo wanayozungumza yamefundishwa na kipenzi cha umma Mtume Muhammad s.a.w wangesilimu hawa. Ila kwa fikra zao ni eti sayansi ndo ipo hapo.
      I proud to be a Muslim.

  • @nafisakhalfani2010
    @nafisakhalfani2010 4 ปีที่แล้ว +3

    Very informative & enlightening session. Much respect & love 💖. Kindly host Dr. Ellie again.

  • @maggiehazel2454
    @maggiehazel2454 5 ปีที่แล้ว +9

    🔥🔥🔥My all time class

  • @loycephaida5884
    @loycephaida5884 5 ปีที่แล้ว +2

    Nampenda sana Dr Elly, nmebarikiwa na kipindi hiki

  • @ashabrown1792
    @ashabrown1792 5 ปีที่แล้ว +14

    🔥 uyo mwana psychology namkubali sana

  • @neemambwambo8339
    @neemambwambo8339 4 ปีที่แล้ว

    Nimeelewa sana.yaan leo wanawake mmekuwa wasikivu.sio kila mmoja kupaza saut.
    session nyingine mngetulia hivi tungeelewa saana.love you all DR.ELLIE UNAONGEA MAGUMU JAMAN

  • @belindagiliard8977
    @belindagiliard8977 5 ปีที่แล้ว +10

    Jamani this time nitajihudumia mwanzo mwisho.
    Hii ndoa ijue Nina elimu yakutosha

  • @leimondyhands
    @leimondyhands 5 ปีที่แล้ว +4

    Still a teenager but I've learned a lot...

  • @neemakilomoni4258
    @neemakilomoni4258 5 ปีที่แล้ว +3

    Wow!! 😍👏🏾👏🏾👏🏾very true Maneno Matamu sana hayo thanks guys .

  • @bigboyben6932
    @bigboyben6932 5 ปีที่แล้ว +2

    asante sana kwa idea kubwa ya kuanzisha this WOMAN MATTERS
    thing

  • @chidiomari.65
    @chidiomari.65 5 ปีที่แล้ว +4

    Funguka zaidi Doctor..basata wenyewe wanapata somo hapo.

    • @luckydavid7475
      @luckydavid7475 5 ปีที่แล้ว +1

      Chidiomari. 😁😁😁😁😁😁😁 dah watu mmepinda, kwamba basata nao wanapata somo😋😋😋😜😜😜😜

  • @lightnessraymos8420
    @lightnessraymos8420 5 ปีที่แล้ว +18

    Mtupangie kuanzia y kwanza hadi ya mwisho ,namaanish session ya kwanza tuonyeshwe 1,the same ya pili hivohivo

    • @RamazaniMulongeca
      @RamazaniMulongeca 5 ปีที่แล้ว

      LIGHTNESS MVUNGI
      Ipokwenye description.. ingewekwa kwenye caption..👌👌👌

  • @ramadhanijuma7106
    @ramadhanijuma7106 5 ปีที่แล้ว +6

    Shangazi sadata, liliani, na doctor punguzeni kingereza sisi ni waswahili hatuwaelewi kabisa kuweni Kama Cris.

  • @lacksonomary9583
    @lacksonomary9583 5 ปีที่แล้ว +3

    dr elie ni 👍👍👍👍

  • @azzaalmaamry5817
    @azzaalmaamry5817 4 ปีที่แล้ว +1

    Maashaa Allah kinatupa furaha kujua zaid

  • @EmanuelMathias-v2p
    @EmanuelMathias-v2p หลายเดือนก่อน

    Nakumubali sana dr

  • @banguha
    @banguha ปีที่แล้ว

    Dr Asante kwa kweli hili somo ndo nalisikiliza leo lkin wakat wa tendo la ndoa najihudumia mwenyewe sbbu raha ni yangu na yeye ana raha zake sipend ujinga 😂

  • @joviangeofrey7212
    @joviangeofrey7212 5 ปีที่แล้ว +8

    nimeelewa sana mpaka siamini nilichokuwa nasikia na kuona.

  • @husnakh5136
    @husnakh5136 3 ปีที่แล้ว +1

    Najifunza sana
    Ahsanteni....

  • @phina8058
    @phina8058 3 ปีที่แล้ว

    Dr. Hiko kingerenza chako khaaa i like it

  • @upendomwalupogo462
    @upendomwalupogo462 5 ปีที่แล้ว +2

    Ni kweli kbxa xecx inatuliza hasira

  • @abdallahrenatus6677
    @abdallahrenatus6677 5 ปีที่แล้ว +9

    Mtangazaji inaonekana Kuna magum ya kimapenzi kapitia.

    • @smavilifestyle2471
      @smavilifestyle2471 5 ปีที่แล้ว +1

      Hapana,yeye anawasemelea wanaopitia changamto...na anafanya ivo kuwapa challenge wageni ili wafunguke

  • @mnyopi
    @mnyopi 5 ปีที่แล้ว +1

    nimeipenda mpaka nimeishea kwa mke wangu

  • @solangesoso3100
    @solangesoso3100 2 หลายเดือนก่อน

    Nimekifumza mno,natamani hiki kipindi kingeendelea taklibani kila mwezi 😢

  • @abdiyjaaz8180
    @abdiyjaaz8180 5 ปีที่แล้ว +4

    Mzee nimekuelewaaa

  • @princessgrace21
    @princessgrace21 5 ปีที่แล้ว +4

    Ivo vingereza vingi wengine mnatuacha nyuma

    • @samsonchanela6052
      @samsonchanela6052 4 ปีที่แล้ว

      Kabisa kigereza mnatuuza mengine yanatupita

  • @modestawilliam7964
    @modestawilliam7964 3 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana

  • @hellenmrema8350
    @hellenmrema8350 5 ปีที่แล้ว

    Thank you for such an outstanding education!

  • @monicasamba2557
    @monicasamba2557 11 หลายเดือนก่อน

    Education for days

  • @zainabukassim9924
    @zainabukassim9924 5 ปีที่แล้ว +2

    Braaavooo

  • @stevenngaitv7001
    @stevenngaitv7001 5 ปีที่แล้ว

    Kweli doctor Elly nimekuelewa

  • @mwanaidiyousup8727
    @mwanaidiyousup8727 3 ปีที่แล้ว

    Ahsant sana kwakwel najifunza ving

  • @freddykulwa8190
    @freddykulwa8190 ปีที่แล้ว

    Kweli sana

  • @mrsmisifa7908
    @mrsmisifa7908 5 ปีที่แล้ว +1

    nimeipenda sanaa

  • @niwaelimsanga3182
    @niwaelimsanga3182 5 ปีที่แล้ว

    Ni kweli kabisa

  • @agneswanjiru3841
    @agneswanjiru3841 5 ปีที่แล้ว +1

    Nxt time.mtupangie. 1,2 iwe rahisi ku follow

  • @estermgaya5816
    @estermgaya5816 5 ปีที่แล้ว +4

    Jamani jamani😭😭😭😭🙌kipindi kizuri mpk basi

  • @mpundujeanine315
    @mpundujeanine315 5 ปีที่แล้ว

    That's interested thank you so much guys

  • @OmanOman-gc1zu
    @OmanOman-gc1zu 5 ปีที่แล้ว +1

    kun sehem sijaelew,,,, sas mwanamke atajiudumiab mwenyew, docter naomb jib😅😅😳

  • @dominickalume2891
    @dominickalume2891 5 ปีที่แล้ว +4

    #Womenmatters#$n$...Lilian Mwasha Unanimaliza na huo mdomo wako jamani😎

  • @rizikisamwel9904
    @rizikisamwel9904 5 ปีที่แล้ว +2

    Doctor yaani hapo si coment sahihi

  • @RamazaniMulongeca
    @RamazaniMulongeca 5 ปีที่แล้ว +6

    PATAMU HAPO😂😂😂😂
    3x😃😃

  • @linnetmbotto7212
    @linnetmbotto7212 ปีที่แล้ว

    Aloooh! Somo lirudiwe

  • @jamilajamila9682
    @jamilajamila9682 5 ปีที่แล้ว

    Uff ni moto kabisa issue hii ya leo🤣🙈🤭

  • @jenifatarimo3699
    @jenifatarimo3699 4 ปีที่แล้ว

    Nimempenda dokt al bure

  • @azzamahamdu7039
    @azzamahamdu7039 3 ปีที่แล้ว

    Dr ellie🙌

  • @zuhuramike1399
    @zuhuramike1399 4 ปีที่แล้ว

    Makubwa hayo ujumbe mzuri

  • @hafidhikassim8675
    @hafidhikassim8675 3 ปีที่แล้ว

    Uyu doctor kabarikiwa

  • @halimababu3256
    @halimababu3256 3 ปีที่แล้ว +1

    I love this😍

  • @tawoostanzania9602
    @tawoostanzania9602 5 ปีที่แล้ว +2

    Dr ELLY n dawa asie kuelewa basi ni bonzo....

  • @leahmnkeni7466
    @leahmnkeni7466 4 ปีที่แล้ว

    Lili umenichekesha et inauma jamani msiongee haya maneno

  • @danielsamson7885
    @danielsamson7885 3 ปีที่แล้ว

    Host unakera sana, wape watu uhuru wa kujielezea, kila kitu unakuwa wa kwanza kucomment au urged. What was the reason yo invented the panelists. Jifunze kuwa msikilizaji na sio muongeaji zaid kuliko uliowaalika

  • @sialadymosha3355
    @sialadymosha3355 5 ปีที่แล้ว

    Jamani host wa kipindi usipandishie disk unatukata bwana hatupati in full

  • @esterpaul795
    @esterpaul795 5 ปีที่แล้ว

    Dr.... Punguza kinge

  • @tawoostanzania9602
    @tawoostanzania9602 5 ปีที่แล้ว +1

    Hpo kwenye maziwa nimecheka sanaaaa ila lily umecheka snaa kiswahl 🤣🤣🤣

    • @user-fv2sn7js7g
      @user-fv2sn7js7g 2 ปีที่แล้ว

      😂🤣🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣🤣😂😆😆😆😆😆😁

  • @asinathasinath5090
    @asinathasinath5090 5 ปีที่แล้ว +2

    Kulia sawa😁😁🔥🔥🔥🔥👏👏👏

  • @nazmaabdullkarim8022
    @nazmaabdullkarim8022 4 ปีที่แล้ว

    Najifunza kitu

  • @makaaya_3449
    @makaaya_3449 4 ปีที่แล้ว

    lili acha kimbelembele tulia mama

  • @jamesharrison1553
    @jamesharrison1553 5 ปีที่แล้ว +1

    Uwezi kukomoa shimo kwa kuchimba shimo!!!

  • @catherinemseke8976
    @catherinemseke8976 3 ปีที่แล้ว

    Dada Lilian Mambo! Tunapata contact zenu jamani?

  • @asinathasinath5090
    @asinathasinath5090 5 ปีที่แล้ว +3

    🔥🔥🔥🔥👏👏👏❤❤❤❤

  • @mr.yahzadochuno7914
    @mr.yahzadochuno7914 5 ปีที่แล้ว

    😍💪

  • @edwardmdee6100
    @edwardmdee6100 5 ปีที่แล้ว +2

    Upuuzi wa kuongea kingereza kwenye mada za kiswahili siupendi sana niushamba sana

    • @abelimasau905
      @abelimasau905 3 ปีที่แล้ว

      Samahani dct VIP kwa mwanamke amba haitaji kuguswa kabisa au hataki kabisa kusikia kufanya tendo LA ndoa zaidi ya wiki mbili adi tatu na yupo kwenye ndoa

  • @beckymsupuu7328
    @beckymsupuu7328 4 ปีที่แล้ว

    Mafunzo mema

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 2 ปีที่แล้ว

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️✌️

  • @noveehermany
    @noveehermany 5 ปีที่แล้ว

    ᴅʀ ᴇʟʏ' sʜɪɪɪᴅᴀ ᴍᴇɴ

  • @mukhtarjuma6871
    @mukhtarjuma6871 5 ปีที่แล้ว +1

    Wanaume selfish

    • @elineematarimo1076
      @elineematarimo1076 5 ปีที่แล้ว

      Isaya 30:20b... Na waalimu wako hawatafichwa tena, Bali macho yako yataona waalimu wako. Wakisema njia ni hii ifuateni..) Kipindi ni kizuri na mafundisho ni bombaaaaa.Wadau tunaomba Mpesa/Tigo pesa ya kutuma maji ya waalimu wakiwa studio.

    • @rinnahquillahthebossthesou5160
      @rinnahquillahthebossthesou5160 5 ปีที่แล้ว

      Safi dor shukran

    • @suzzynkohi7444
      @suzzynkohi7444 4 ปีที่แล้ว

      jamani