PART 1: KWELI MZINZI ATAKWENDA PEPONI? HURUMA ya MUNGU INAVYOSHANGAZA - DK MWAKA AFUNGUKA |HARD TALK

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ธ.ค. 2022
  • PART 1: KWELI MZINZI ATAKWENDA PEPONI? HURUMA ya MUNGU INAVYOSHANGAZA - DK MWAKA AFUNGUKA |HARD TALK
    KWENYE HARD TALK ya wiki hii ya Mtumishi wa Mungu Lilian Mwasha, mgeni ni Dkt. Mwaka ambaye ametupitisha kwenye maisha ya ndoa na mahusiano huku akigusia mengi juu ya imani, ukweli wa dhambi na tusiyojaua kuhusu Mungu..
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 713 750910)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

ความคิดเห็น • 50

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  ปีที่แล้ว

    SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ

  • @MzaliwaEsube
    @MzaliwaEsube 2 หลายเดือนก่อน

    Nampenda sana lyliane mwasha pamoja na dr mwaka kwa kazi kubwa wanao fanya, mungu Awa zidishie maisha marefu

  • @yousramutwale2463
    @yousramutwale2463 ปีที่แล้ว +3

    Dr asante nakupenda umebarikiwa kipaji maneno unayo ongea point mwanzo mwisho

  • @hawaamohammed6687
    @hawaamohammed6687 ปีที่แล้ว +3

    Juma Mwaka nimwanaume mwenye Akili sana .MashaAllah MashaAllah

  • @davidlukumay2226
    @davidlukumay2226 ปีที่แล้ว +1

    DK.Mwaka akili nyingi Mungu azidi kukuweka uzidi kufungua wengiiiii 👍👍👍

  • @user-wk1ix1gm1p
    @user-wk1ix1gm1p ปีที่แล้ว +2

    Dr mwaka , najifunza menginkupitia wewe , asante sana da Lilian kwa kutuletea tena huyu mtu

  • @daud405
    @daud405 ปีที่แล้ว

    haya mambo ya ndoa uislamu umeweka wazi sana ni nini cha kufanya wakati unamtafuta mwenza.uislamu ndo jibu. mwaka hajui uislamu vzr

  • @namnam3771
    @namnam3771 ปีที่แล้ว +3

    Hard talk is literally my favorite class room....❤️

  • @hanifa9153
    @hanifa9153 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah absolutely Nondo Allah akbariki na atujaalie mwisho dr mwaka umetibu kote kote sasa ni mtu achague mwenyewe🙌🙌

  • @neemajohn6142
    @neemajohn6142 ปีที่แล้ว +1

    Dr Mwaka mm ni mkubwa kwako ila nakusalimia shikamooo/ walaaam / bwna yesu asifiwe 🙏

  • @mwaminindayishimiye3149
    @mwaminindayishimiye3149 ปีที่แล้ว

    Dr .Mwaka nimejifunza mengi sana thanks 🙏🙏🙏🙏👍👍👍👍👌👌👌

  • @fatmaahamadabass8080
    @fatmaahamadabass8080 ปีที่แล้ว +3

    Nampenda sana Dr mwaka ila napenda Zaid mumewangu Dr salum kiufupi napenda madactari Wana haiqiu kubw sana mashallah.

  • @zeinababdi4757
    @zeinababdi4757 ปีที่แล้ว

    Dr, Mwaka video vipo, kila mtu ana video anazozitaka kutoka kwa mwenza wake..mwenyezi mungu anampakila mmoja mwenza mwenye vigezo alivyotaka.

  • @georgehaule7022
    @georgehaule7022 ปีที่แล้ว +2

    Kuna hekima ya kibinadamu na hekima itokayo kwa MUNGU.

  • @kizadina6448
    @kizadina6448 ปีที่แล้ว +3

    I was waiting for this finally

  • @King_186
    @King_186 ปีที่แล้ว +2

    Moja ya watu ninaowakubali ni Dr Mwaka,hongera sana

  • @michaelmgege4600
    @michaelmgege4600 ปีที่แล้ว +1

    Asante kutuletea mwaka tena

  • @azariahmakavelijr8755
    @azariahmakavelijr8755 ปีที่แล้ว

    Kuna dini flan inahalalisha unzizi .asee.i chose spirituality and never religion.wana support mambo ambaya wanafanya

  • @richardromanminja9675
    @richardromanminja9675 ปีที่แล้ว

    Kwa tafsiri sahihi zinaa ni kulikataa neno la Mungu sema watu wanahukumu matokeo ya kuto liamini neno la Mungu ambalo ambalo ndiyo kunazaliwa zinaa na matendo maovu yote.

  • @weahfeint3406
    @weahfeint3406 ปีที่แล้ว

    KAMA UMEKWISHA INGIA KATIKA NDOA NA UNAHISI MTU SIO WAKWAKO USIVUNJIKE MUOMBE MUNGU AMFANYE KUA WAKO🙏🏿

  • @mwanaidmohamed3321
    @mwanaidmohamed3321 ปีที่แล้ว

    Wow

  • @masungajp1
    @masungajp1 ปีที่แล้ว

    I enjoy listening to you guys. 😅😅😅😅

  • @ashadarusi5891
    @ashadarusi5891 ปีที่แล้ว +1

    Genius mwakaaa

  • @jimmysumbanga1691
    @jimmysumbanga1691 ปีที่แล้ว

    naitwa Jimmy Sumbanga naishi Congo mimi ni mpenzi wa iki kipindi nilikuwa naomba kwa niamba ya sisi weye hatukubatika kusoma lunga ya kingereza na sisi wa farasa mukuwe na tuelewesha vizuri kwa kiswahili ama mupunguze kingereza tuna waomba sababu tuna jifuza mengi

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 ปีที่แล้ว

    👌🏽

  • @Kidotii
    @Kidotii ปีที่แล้ว

    Dr. MWAKA akili nyingi sanaaaaa!

  • @dhafakisina5895
    @dhafakisina5895 ปีที่แล้ว

    Jj upo vizr

  • @mugishaestellachloe5452
    @mugishaestellachloe5452 ปีที่แล้ว

    😅😅😅😅dah

  • @catherinemuhungwa92
    @catherinemuhungwa92 ปีที่แล้ว

    Dr mwaka kuna mwanamke anajua kuwa huyu ni mme wa mtu bado anaolewa naye sasa mtu huyu tumwiteje?

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 ปีที่แล้ว

    🥴🙄

  • @jamirually893
    @jamirually893 ปีที่แล้ว

    Dr mbona tukija ofsini kwako ubungo wewe unakua haupo tunakuta watu wengne ni kwamba huduma hutoi ww sku izi

  • @kasimsaleh7103
    @kasimsaleh7103 ปีที่แล้ว

    Kwasababu hakuna mkailifu . Docker nitajiye mmoja tu alokamilika.

  • @masungajp1
    @masungajp1 ปีที่แล้ว

    Live abroad bro😂😂😂utaona.

  • @daud405
    @daud405 ปีที่แล้ว

    Mwaka this is for free.... usilinganishe uislamu na ukiristo hata siku moja. usipotoshe watu. wewe ni muislamu gani una amini sunday school????? what are talking abt?wewe mwenyewe ni mzizinzi wa kwanza

  • @ibnomar8144
    @ibnomar8144 ปีที่แล้ว +1

    Unaropoka saaana hakuna mwislam wa kweli anaejuwa uwislam wake bila short cut anaweza kuongeya maneno ya ivo acha kupotosha umma ila danganya hao hao ali sio wa islam . Allah hawezi kumsame mtu alishirikisha hata atasaidiya maskini wa dunia nzima na hayo unayo potosha ummah usiku na mchana utaulizwa kwa hayo .
    { وَمِنَ ٱلنَّاسِ مَن يُجَٰدِلُ فِي ٱللَّهِ بِغَيۡرِ عِلۡمٖ وَلَا هُدٗى وَلَا كِتَٰبٖ مُّنِيرٖ }
    [Surah Al-Hajj: 8]
    Na katika watu wapo wanao bishana juu ya Mwenyezi Mungu bila ya ilimu, wala uwongofu, wala Kitabu chenye nuru.
    { ثَانِيَ عِطۡفِهِۦ لِيُضِلَّ عَن سَبِيلِ ٱللَّهِۖ لَهُۥ فِي ٱلدُّنۡيَا خِزۡيٞۖ وَنُذِيقُهُۥ يَوۡمَ ٱلۡقِيَٰمَةِ عَذَابَ ٱلۡحَرِيقِ }
    [Surah Al-Hajj: 9]
    Anaye geuza shingo yake ili kupoteza watu waache Njia ya Mwenyezi Mungu. Duniani atapata hizaya, na Siku ya Kiyama tutamwonjesha adhabu ya kuungua.

    • @iddrashid7054
      @iddrashid7054 ปีที่แล้ว

      Wewe kawasikilize masheikh huko Wacha sisi tumsikilize huyu maana huko wanazuoni wenzako wanapambana kuhusu maswahaba omary na Ali sijui Abubakar

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 ปีที่แล้ว +1

    Ss tunasubiri mashekhe wa michongo wazipunch hoja zako

  • @ghelimafilemon9653
    @ghelimafilemon9653 ปีที่แล้ว +1

    Ni kweli kabisa, ukiingia kwenye ndoa ndio utagundua umefunga ndoa na mume asiye wako.please muache aende anakotakiwa kwenda. Usifanye mtoto wa watu aione jehanamu duniani. Mpe nafasi aende. Siyo lazima wanawake wote waolewe ila wanaume wote wanapaswa kuoa.

  • @richardromanminja9675
    @richardromanminja9675 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU HAWEZI KUKUPA KITU USICHO STAHILI HATA SIKU MOJA

    • @evampuya4552
      @evampuya4552 ปีที่แล้ว

      Tunaomba namba za Dokta

  • @faridamohamed3561
    @faridamohamed3561 ปีที่แล้ว

    wewe ni muongo huyo atayechukia kwa wewe kusema unampenda yesu sio muislam. wacha uongo wako

    • @Ndesaproducts
      @Ndesaproducts ปีที่แล้ว

      Hujamwelewa my dear ndio maana amesema ukimtaja issa wanatabasam. Maana yake ni nini. Sifa anayobebeshwa Yesu ni tofauti na aliyoibesa Issa. Inahitaji uelewa kuelewa.

  • @Boaz22
    @Boaz22 ปีที่แล้ว +3

    Dada mwasha,usitaje jina la BWANA MUNGU Bure, kila mda unataja JESUS, it's not right and your breaking one of the 10 commandments, Try to control yourself.

    • @lillianmwashatv
      @lillianmwashatv ปีที่แล้ว +1

      Ahsante Kwa USHAURI.

    • @jan6703
      @jan6703 ปีที่แล้ว

      Kadhalika hizo "interjections" zako nyingine achana nazo. Mara upige makofi mara heeeeeee!! That does not augur well with Hardness. La sivyo change the name of your talk show to "LOUNGE TALK"🙏🙏

    • @dereckndasalama1002
      @dereckndasalama1002 ปีที่แล้ว

      No no Lilian mwasha endelea kumtaja Jesus usimsikilize huyu Fredrick ajui bible

    • @whatisthetruth.8793
      @whatisthetruth.8793 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa

    • @alinanisimbeye9512
      @alinanisimbeye9512 ปีที่แล้ว

      Aaa na wewe hujielewi kibisa,nenda kaendeshe kipindi wewe basi aaaa