NI SAWA MKE KUOMBA TALAKA KWA MUMEWE? WANAWAKE WENGI HAWAJUI, UKWELI NI HUU | HARD TALK
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 17 ก.ย. 2022
- NI SAWA KUOMBA TALAKA KWA MUMEO? WANAWAKE WENGI HAWAJUI, UKWELI NI HUU | HARD TALK
HII ni sehemu ya kwanza ya mahojiano ya Mtumishi wa Mungu Lilian Mwasha na Mshauri na Mwanasaikolojia Dkt Ellie ambapo wamezungumza maisha ya ndoa na mahusiano ndani ya kipindi cha Hard Talk, swali kubwa likiwa ni sawa mke kuomba talaka kwa mumewe?
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline
Dr ana madini huyu sijawahi kujutia kumsikiliza na pia sichoki mashallah
Huyu baba ndie pekee nae maelewa maana anayo neno la Mungu kwanza na ana heshimu amri ya Mungu pili ni big role models kwa wanaume wenye knowledge na wisdom like ya Nabii Daniel na wenzake watatu .
God bless you mam of God we are learning from you sana 🙏
♥️♥️♥️♥️♥️Hapo umenikoshaaaa mwanamke anayeteswa na Mume hajitambui yeye ni nani?
Huyu mtu kama huna akili huwezi muelewa
Aaaah kweli,
Wanawake sisi ni waaminifu na tunapenda sana na tunajitoa mno kwa wanaume lakini wanatuumiza mioyo yetu.
Sio wote na wanaume sio wote kinachofanya msikike hamfichi hisia zenu
Kweli kabisa. Yani ni uwatimizie wao tu na hawajali. Hii topic haiko sawa
Kuna wanaume waumizwa daily that is reality sio wanawake tu
wanawake wanalenga sana mali
Sanaaa aisee
Jmni nampenda huyu baba🥰, I get new things everytime I listen to him
Huyu Dr Elie uwa namuelewa sana yaan ananifungua sana akili yangu yaan kuna vitu akiongea namuelewa sana na vinaniingia sana ubarkiwe sana Dr.
Watu wangu pendwa🙏🏾,napenda sana kuwasikiliza 🙏🏾
mubarikiwe sana da lilian na kaka.
Mwanaume wangu nitampa sumu tu maana sikwausaliti uo 🤣🤣
Hapana dear jipende tu mwenyewe,alafu umuache na dhambi zake
Doctor aendelee na episode nyingine tuna maswali mengi sana
HUYU DOCTOR ANATUFUNDISHA SANA LOVE FROM ITALY.
Namshukuru Dr Elie mm nimejifunza mengi sanaa
Tusichoshane bwana unakutana na jitu ambalo lina a lot of issues growing up,yaani wazazi wake wameliharibu , lilikua abandoned and bullied au limekulia sehemu mamake,shangazi zake wanapigwa mpaka wanazimia,liko na insecurities, alafu ukae eti unammudu how? Utaishia kukonda na kupauka because you are dealing na a broken man ambae hata hayuko tayari kukubali ana issues. Sasa uking'ang'ania si utauawa?
Umeongea point dear
Yani hawa viumbe sijui…
Hapo kwenye kitengoo sasa
Big salute kwa Dr.
Dr umesema kweli kabisa mungu atusaidie
tuletee dr MWAKA tena
Dr. Hongera sana. Mungu Akulinde.
Hongera maneno Docter niyamsingi sana iwapo dadaangu kakaangu tutayasikiliza.
Shukrani saana kwa madini dr& lilian
Nimejifunza kitu,asanteni Sana
❤❤❤❤❤ this is a very important good point interesting , be blessed
So many thanks to you Dr. Allie
Communication ni kila kitu
Lillian Mwasha I love you and thank you for obeying God's call over your life to shepherd His people!
Good job girl! Onwards and Upwards!
How can I reach this Dr Ellie? I'm your loyal fan from Kenya!
Dr. Ellie unafundisha vizuri saaana.
Huyu doctor Ana ufahamu Mkubwa sana
Tena ni binadam hatar sana
Sjawah ona uyu doctor
Ni kweli lakini sio kwa wanaume wa Leo,Ni hero kuishi bila mume
da lilian tuna naomba kaka aje tena ahendeleze hili somo tafadhali.
Dr upo saw kabisa.wanawake ndo wanatunza ndoa ama wanavunja ndoa kwa mikono yao.lazima mwanamke amuheshimu mume wake
Mnapotaka kuelimisha jamii tafadhalini muwe mnatafsiri mnapotumia lugha ya kigeni sio watu wote wanaofahamu kiingereza
Napenda mwasha anavyopiga makofi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nayo ni raha 😂😂😂😂
Tusipo kuwa makini ipo siku tutafundishwa na kazi about love maana mafundisho yamekua mengi af hatuoni kuwa ni uongo but Dr u a right
This man..
Naomba mawasiliano ya Doctor
Kumuelewa huyu Dr. Uwezo mkubwa unaitajka
Part two please
Nimejifunza kitu kikubwa sana
Nimejfunza kitu mke wangu alinifos tuachane lakin baadae alikuja kuniomba turudiane.
What an absolutely Gem 💎… Dr your a genius and thanks so much for sharing what God gave you 🇬🇧🇬🇧🙏🙏🙏❤️❤️❤️
Extra mind, Lilian unaongea na akili kubwa Sina hakika kama unamuelewa vizuri
Hiyo ni ndoa ya mke mmoja, je kwa ndoa za wake wengi ikoje?
Huwa nampendaga sana uyu baba ongea yake tu
Doctor asante kwa kuwajulisha madada wengi wao wakiolewa wanajisaau ndo maana wanaume wana Chet
Ndo mseme tunajisahau na nn
SOMO LA HII CLIP...GREAT SN. SO MANY GREAT POINTS
"YES .. UTAYARI IS A TWO WAY STREET"
how can a talk to him
Doctor uko vizul sanaaa
Sanaaaa
Mwasha anatafuta hoja za kuonesha kuwa divorce yake ilikuwa sahihi 😅
Dr anajua kazi yake.naomba namba ya simu
Jamani asante
RAAHAAAA😍
Doctor uishi milele
Msikimbie waumme zenu, hakuna mwanamme asie cheat, ni heshima tuu.
Vipi kwa wanaume wanao tukimbia SS wanawake?
@@christinelihavi4068 Wanaumme pia wasikimbie, kuzungumza na kuwa wazi, kipi kirekebishe. Sivyo wanaweza kumkimbia mwanamke ambae 80% yuko ok, wakampata mwanamke ambae 20 % yuko ok
Ongereeni,
Dooo.... I gt smthng
Unaniponya mnoo 😶😶ninaving vyakunipona
Oya uyu Dkt nimemvulia kofia ana madini ya hatari sana..hichi kipaji maalumu aisee..yan kumsikiliza ili umuelewe dkt ellie unahitaj usikae hata sehem ya upepo ukae kulipotulia ndo utaelewa
.
KAMA WEWE NI MWANAMKE ULIACHIKA KABLA HAUJASIKILIZA NONDO ZA HUYU MZEE,BASI UTALIA NA KUSAGA MENO..
Uyu sio mume walilan faya uchuguzi vizuri kabla unaleta habari utaumbuka
Huyo ni mwanasaikojia anayetoa ushauri, sikiliza kabla hujakosoa
Hapo haongei kama mume anaongea kama mwana saikolojia
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️👍
Umalaya nikutumiya sehemu zote jee nisawa
Me me me me
Umeonaee?? It's all about men's.. maaan better to be single especially for women. This is slavery
Nimependa hicho kipengere cha kushikilia ndoa
@@victoryngilangwa4574 k
Kfjh
Doctor unakosea fanya style zote, atatoka tu awatosheki wanaume wametugeuza show yaani anataka kufunua kila design.
😂😂😂😂😂
Kabsa dada
Huyu Dkt. anasahau kuwa kuna wanaume mamilioni na hawa wote ni watu tofauti kuanzia makuzi yao,mambo waliyopitia na mambo chungunzima. Yupo mwanaume ambae kutokana na majanga aliyopitia kulala na wanawake tofauti ndo anajiona kakamilika,sasa huyu utamfanyaje?Mwengine lazima akukashifu na kukupiga ndio ajisikie ye ni mume,utammudu vipi? Mahusiano mengine ni sumu tu jamani,wakati mwengine ni bora hata kuwa pekeyako kuliko mahusiano yasiyo na afya. Na si kila kitu alichofanya mwingine kwenye mahusiano yake kitaaply kwingine.
Huu ni utumwa...,wanawake tafuteni pesa.,wachaneni kukimbilia kufua jeans
Yan dada Lilian maswali yako ban😂 anyway sio mbaya unawawakilsha wanawake najua wengi wana maswali kama hayo
I don't agree with you Doctor,mm nilifanya yote hayo,akawa ananiambia niondoke nikagomaa😂 mwisho wa siku yeye akaondoka akaniacha na watoto... Wanaume Wana tabia za kutamani tamani
Wanaume wote siku ya kufa uwa wanalia machozi,
@@happynescostat7420 Aaah!Kabisa,Wana laana sana
Ni ngum kuelew kam hauta taka kuelew ama kujifunza n somo gum Kwa season yetu hii
Mumeo alikuwa hasi na alishapata chanya huyo wakapata raha....
Mwanaume wangu nitampa sumu tu maana sikwausaliti uo 🤣🤣