Women Matters: Ni kweli Mwanaume hawezi kuwa na Mwanamke Mmoja?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ส.ค. 2024
  • PART ONE
    Lillian Mwasha amerejea tena na #WomenMatters. Awamu hii amewakutanisha magwiji wa Psychology na Mahusiano, Dr. Chris Mauki wa UDSM, Dr Ellie Vd Waminian pamoja na Aunty Sadaka. Kwenye video hii wanazungumzia iwapo inawezekana kwa mwanaume kuwa na mwanamke mmoja tu

ความคิดเห็น • 228

  • @karensalema6475
    @karensalema6475 5 ปีที่แล้ว +31

    Lily please let the speakers speak and stop interrupting them 🙏🏼

  • @belindaassey6228
    @belindaassey6228 5 ปีที่แล้ว +9

    Ninakubali Sana Mama na Dr na Mr mauki wanaume waaminifu wapo saaana!

  • @clarafussi8149
    @clarafussi8149 5 ปีที่แล้ว +11

    mm lily najielewa sana maana unaongea kama muhanga yani unajaribu kuvaa viatu vya watu huku nje unafanya good

  • @jessymalembeka6181
    @jessymalembeka6181 5 ปีที่แล้ว +12

    Dr Elly unaongea deep sana, kumwelewa inaitajika kuwa deep sana

  • @therapy2809
    @therapy2809 5 ปีที่แล้ว +11

    Finally nilichokuwa napigania leo kimepata wasemaji👏👏👏

  • @barakakambi1469
    @barakakambi1469 5 ปีที่แล้ว +33

    Skywalker please talk to this Host of yours to be calm when the visitors are explaining some important points please it's distracting

    • @silverman6930
      @silverman6930 5 ปีที่แล้ว +1

      baraka kambi I absolutely agree boss , she ain’t professional at all , let people answer the questions accordingly 🙏🏿

  • @julietkisura7242
    @julietkisura7242 5 ปีที่แล้ว +41

    Lily unaboa,,,relax Na uache MTU amalize kuongea

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 5 ปีที่แล้ว

      mbn yu saw tu asee

    • @samwelrobeth7763
      @samwelrobeth7763 ปีที่แล้ว

      Ili maswali yake na tupate majibu,ko Yuko sawa kabisa

    • @maishayetufilm
      @maishayetufilm ปีที่แล้ว

      Ni kweli yani anamswali mazuri lakini anapapala sana kuliko Anti Sadaka

  • @maggymm7302
    @maggymm7302 5 ปีที่แล้ว +11

    Dr.Elly.. i lov the wayyy he speaks.. slowly but surely n composed..his voice sasa!

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 5 ปีที่แล้ว

      + vile anavyosikiliza hasa pale aunty sadaka akiwa azungumza ila kiujumla aonesha ni msikilizaji mzuri!

    • @elizabethdennis4771
      @elizabethdennis4771 5 ปีที่แล้ว +2

      Yan, unapata hamasa ya kumsikiliza very impressive Dr..

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 5 ปีที่แล้ว

      Elizabeth Dennis unaachaje ss kwa mfano ani!

    • @vickyshio8732
      @vickyshio8732 4 ปีที่แล้ว

      Gud

  • @agapetouch903
    @agapetouch903 5 ปีที่แล้ว +8

    this Goes to Lillian Mwasha.. kipindi ni kizuri sana yaani sana. Ila jaribu kuwa msikilizaji zaidi.. uliza swali moja acha wajuzi waongee. We're Not Media expert but What Ur doing is not right.. Uliza Swali moja zito kaa pembeni watu wamwage hekima.. wabadilishane mawazo na kadhalika ila jitahidi sana kuwa na maswali mafupi na mazito (yanayohitaji maelezo yanayojitosheleza) au Swali Linalojitosheleza.. na muda mwingine kaa kimya kuitikia itikia kila mara inatuondoa kwenye concentration. thank you good show...

  • @kipipakipipa5050
    @kipipakipipa5050 5 ปีที่แล้ว +19

    Jamani Lilian haingilii wala hahatibu ila ni mchokozaji kwa niaba ya wanajamii wauliza maswali.

    • @ShannonSNsule
      @ShannonSNsule 5 ปีที่แล้ว +4

      People don't understand her at at all...she is running the show, she is actually supposed to cheer it up ask questions on our behalfs, that is what makes them talk more! Love you dada Lily! Love what your doing keep going!! Loving this!

    • @ramaaboki6255
      @ramaaboki6255 5 ปีที่แล้ว

      Too much

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 5 ปีที่แล้ว +1

      @@ramaaboki6255 hpana bn, hamumuelewi wengi wenu!

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 5 ปีที่แล้ว +1

      @@ShannonSNsule kabisa ani vile na ndo hivyo apaswavyo kua

    • @janethkilonzi4260
      @janethkilonzi4260 4 ปีที่แล้ว +1

      Mno maana anatuwakirisha vizur sana sana,nampenda mno

  • @zoey2635
    @zoey2635 4 ปีที่แล้ว +2

    Dr chris uko vizuri sana, kwenye issue ya ndoa ,wengi wameingia kisa alimpa mtu mimba but love doesnt exist

  • @jumajaffary9698
    @jumajaffary9698 5 ปีที่แล้ว +6

    Surah An Nisaa 4. 3 Na ikiwa mnaogopa kuwa hamtowafanyia mayatima uadilifu, basi oeni mnao wapenda katika wanawake, wawili au watatu au wane. na mkiogopa kuwa hamwezi kufanya uadilifu, basi mmoja tu, au wale ambao mikono yenu ya kulia imewamiliki. Kufanya hivi ndiko kutapelekea msikithirishe wana. Tusipooa wengi ikiwa every man, one woman, hao waliobaki wafanyiwe na nani huduma za kinyumba.. Angalieni kwenye vitabu vya dini

    • @noelashaoona
      @noelashaoona 5 ปีที่แล้ว

      Hao wa nani mungu aliumba kila mtu nawake

    • @jumajaffary9698
      @jumajaffary9698 5 ปีที่แล้ว

      @@noelashaoona kila nchi population ya watu wanawake ni wengi kuliko wanaume, tukigawana mmoja mmoja, wanawake walio baki wawe Lesbian? Mungu yeye ndio Muumbaji alilijua hilo, ndio maana ya hiyo Aya.

    • @user-zl5mt6lk4n
      @user-zl5mt6lk4n 7 หลายเดือนก่อน +2

      Alhamndulillah ......nlipoanza kusikiliza huyu mama nikajiona nachukia maana nlianza kuona wanapingana na Mafundisho ya Allah lkn nikasukumwa kutzama coment nmekutana na hii nimepata nguvu ya kuendelea kuskiliza......sisi waislam kila ktu tumeambiwa ktk quran Tukufu na mwanasaikolojia wetu kipenzi chetu .....mwalimu wetu mtume wetu Muhammad (s.a.w) Full stop

  • @linahmissanga4206
    @linahmissanga4206 4 ปีที่แล้ว +4

    Namfurahia sana dr ellie wangemwacha aongee mengi lkn ngenga nyingi kama lyli

    • @samwelrobeth7763
      @samwelrobeth7763 ปีที่แล้ว

      Ili kupata maswali na majibu ko Yuko sahihi kujifanya anauliza uliza ni ili tupate majibu mengi mno

  • @dominickalume2891
    @dominickalume2891 5 ปีที่แล้ว +7

    Safi kabisa.....Ulimwengu mwengine huu kiukweli hiki kipindi nichakipekee trust my words mko sawia#SnS#Womenmaters

  • @habilichenza1721
    @habilichenza1721 5 ปีที่แล้ว +6

    Nafurahii sana kusikiliza hii kitu proud kwenu

  • @azizakwileka1686
    @azizakwileka1686 5 ปีที่แล้ว +5

    Nawaelewa sanaa.... Dr Elly stay blessed papa!!😍

  • @winfridaw.mwashala289
    @winfridaw.mwashala289 5 ปีที่แล้ว +7

    Nachokusifu umeleta team nzuri Lilian, topic ni veeery hoooooot

  • @grantsumaye8139
    @grantsumaye8139 5 ปีที่แล้ว +17

    Lilian Jifunze kuwa Moderator. Unaongea kuliko wageni. Tunapenda kuwasikiliza zaidi experts. Ila panel ya Leo imekaa poa sana

    • @witneywilly
      @witneywilly 5 ปีที่แล้ว +1

      Nilijua nimeona mwenyewe tu aisee na mmmh zimekua za kukera as if anasikiliza ili apinge... Dah mtangazaj anaongea utasema yy ndo mgeni anachosha

    • @faaali244
      @faaali244 5 ปีที่แล้ว

      I think ni mtu wa funny lili anafanya funny tu

  • @avelinekafuru5146
    @avelinekafuru5146 ปีที่แล้ว +2

    I just don't know your ages and experiences. But, what you are dealing with is beyond your knowledge and experience.
    GOD IS LOVE, AND LOVE IS GOD.
    UPENDO hauna wivu, husamehe, huvumilia, hauhusudu, hauhesabu mabaya, haujivuni, hukemea maovu, hautaki faida, husimamia kweli, hautaki dharau na kejeli, hupenda unyenyekevu, toba ya kweli, utii, kujitoa na kujitolea, IMANI NA TUMAINI KWA MUNGU. 🙏🙏🙏

  • @Boaz22
    @Boaz22 5 ปีที่แล้ว +6

    It’s a good matter discussion but host try to be quiet when someone is talking,I like Dr.elly.he is smart..but interruptions makes it boaring

  • @rauhiyaomar2585
    @rauhiyaomar2585 5 ปีที่แล้ว +5

    Namkubali aunty sadaka ba chrismsuki

  • @saudaa6738
    @saudaa6738 5 ปีที่แล้ว +22

    yan Leo hapo ndani upo na mabichwa sio vichwa ni balaaaa hayo mamtu hapo

    • @dominickalume2891
      @dominickalume2891 5 ปีที่แล้ว

      Mimi nimefall in love 💟 na huo mdomo wa Lilian mwasha#SnS

  • @zenasmjema4050
    @zenasmjema4050 6 วันที่ผ่านมา

    Wapo kwa kuamni tu ila siku wakijua maumivu ni makali sana.kuamini ni pale hujawahi kuona au kusikia.huwa tunajenga imani ila anayoyafanya ni balaa.

  • @silverman6930
    @silverman6930 5 ปีที่แล้ว +65

    Please the host stop killing the show , when someone is talking try and stay away from the mic , you keep on making those annoying noises and is so distracting we are trying to listen and you keep making those annoying noises #PLEASE STOP 🛑

  • @lightnessraymos8420
    @lightnessraymos8420 5 ปีที่แล้ว +16

    Mama debora yuko wapi jamani naona amemiss hapa

  • @agapetouch903
    @agapetouch903 5 ปีที่แล้ว +28

    Kingine cha muhimu sana Lillian punguza maneno ya KIHUNI... Hicho kipindi ni kikubwa sana unatumia maneno ya kuhuni "Nimekusoma" huyo mama hapo ana umri wa mama zetu.. unamuita "shosti" waite kwa majina yao Please.. Kipindi hiki ni cha watu wazima "wenye mahusiano / Ndoa" hivyo tumia lugha za kusikizana na kuelwana..

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 5 ปีที่แล้ว +3

      mbn mama sadaka mara nyingine huwa anatumia + wanataka kutatua matatizo ya ndoa ambazo nyingi ni zile za kisasa yaani changa hivyo wanatembelea njia zao vijana.,nfkr hakuna tabu sana ndugu!

    • @sarahmwendi506
      @sarahmwendi506 4 ปีที่แล้ว +2

      Mmmh haina Shida bhana . Maisha hayapo serious kiasi hicho .....Enjoy life si poa Sana kuji-limit limit na vitu trivial Kama misemo.....plus unaweza kukuta huyo mama Wala haoni Shida ....anyway Mara nyingi tunaongozwa na core beliefs.

    • @vickysteven1172
      @vickysteven1172 7 หลายเดือนก่อน

      Vijana wanahitaji lugha zao

  • @suedissa7500
    @suedissa7500 5 ปีที่แล้ว +2

    Safii sana maukii,huyu manz anakera asee

  • @rahillhamidu2544
    @rahillhamidu2544 5 ปีที่แล้ว +3

    Yani Leo mambo ni 👌👌👌👌👌👌👌

  • @user-up1sc3kw8r
    @user-up1sc3kw8r 4 หลายเดือนก่อน

    Imani ni kua na uhakika

  • @ramlaramadhan4206
    @ramlaramadhan4206 5 ปีที่แล้ว +3

    I have subscribed to your channel because of#WomenMatters. Keep them coming

  • @upendomtambo5103
    @upendomtambo5103 4 ปีที่แล้ว

    Dr.Ellie nimekuelewa sana

  • @witneywilly
    @witneywilly 5 ปีที่แล้ว +13

    Sorry dada usitumie nyinyi kwa watu walokuzid umri

  • @paulconrad7091
    @paulconrad7091 ปีที่แล้ว

    Nimependa iyo upo sawa mama..

  • @chainbre275
    @chainbre275 5 ปีที่แล้ว +5

    Haya hebu sasa nisikize kimakini much love guys

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 5 ปีที่แล้ว

      huku ni kwa wakaribiao kufunga ndo na si kwa wasiyo na mpango huo!!

    • @chainbre275
      @chainbre275 5 ปีที่แล้ว +1

      @@mnzavachris5423 hahahaaha wacha zako bana kwani uliambiwa ntakaa single for good?????

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 5 ปีที่แล้ว

      @@chainbre275 ndio ndo ulichoniambia

    • @chainbre275
      @chainbre275 5 ปีที่แล้ว +1

      @@mnzavachris5423 huwenda ulimi uliteleza Ila kuolewa ntakuja olewa wakati wangu sahihi ukifika na sisai😂😁😜

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 5 ปีที่แล้ว

      @@chainbre275 bhasi mieh akusubiria 😊

  • @aishaelias420
    @aishaelias420 5 ปีที่แล้ว +2

    Mada mzuri sana najifunza mengi

  • @lilianjeremia1024
    @lilianjeremia1024 5 ปีที่แล้ว +2

    Yaan mwanaume akiwa n wanawake wengine tofaut na mkeo anakuwa anakuwa nao kwa starehe ila mkeo ndo anampenda sana du kwaiyo wengine anakuwa anaeatamn apo nimewaelewa sana

  • @mytelecom2019
    @mytelecom2019 5 ปีที่แล้ว +10

    najifunza mengi ongereni SNS/Woman matters

  • @mutwalesylvie7443
    @mutwalesylvie7443 4 ปีที่แล้ว

    Dr kaongea point sana

  • @msangisalha8509
    @msangisalha8509 4 ปีที่แล้ว

    Wanaume wote wana tabia moja hii mada nimeipendo hongereni sana watowa mada

  • @neemakilomoni4258
    @neemakilomoni4258 5 ปีที่แล้ว +4

    Dr Chris very true what you said .Thank you 😉👏🏾👏🏾👏🏾

  • @sharonndowo6922
    @sharonndowo6922 5 ปีที่แล้ว +5

    Jamani Lil hii mada imemfanya asitulie kabisa, sio tabia yake kabisa

  • @geraldmussa5838
    @geraldmussa5838 5 ปีที่แล้ว +1

    Kipindi Kizuri ila Dada Lily jitahidi sana kutambulisha mada alafu waache watalaamu watoe elimu ambayo haipo sana kwenye jamii yetu ndio maana tunapata mitazamo hasi juu maisha ya ndoa na mahusiano.

  • @RamazaniMulongeca
    @RamazaniMulongeca 5 ปีที่แล้ว

    Konki sana hizi contents HEAVY DUTIES... WEKA MBALI NA WATOTO
    It’s another one ☝️.. atininiiiiiiiiiii lamba loloooooo iyooooooooo 🙌🙌🙌😂😂😂😂

  • @mwadinimohamed883
    @mwadinimohamed883 5 ปีที่แล้ว +4

    Naomba aalikwe Masoud kipanya aichangie mada hiyo pia kwa upande wa wake wengi kuwa ni sahihi

    • @nagmaali3650
      @nagmaali3650 5 ปีที่แล้ว

      mwadini mohamed hakunaga wanawake wengi kaka tafuta maalifa

  • @paulinamloka2817
    @paulinamloka2817 5 ปีที่แล้ว +2

    Anty Sadaka....🔥🔥🔥

  • @estermgaya5816
    @estermgaya5816 5 ปีที่แล้ว +1

    Kipindi nnachokipenda zaidi😍😘🙈

  • @gloriamalisa3033
    @gloriamalisa3033 5 ปีที่แล้ว

    thanxs much

  • @therlmahweezle5529
    @therlmahweezle5529 5 ปีที่แล้ว +13

    Lilian hapo anachofanya ni kuchangamsha mada
    Sasa mnataka akae kimya mwanzo mwisho kipind kinaendeshwaje

  • @juliethlyimo1110
    @juliethlyimo1110 5 ปีที่แล้ว

    Dr Chris well said

  • @benfordmathias2140
    @benfordmathias2140 5 ปีที่แล้ว +6

    Dr elly dah ikooo kichwa ni hatariii xn

    • @kipipakipipa5050
      @kipipakipipa5050 5 ปีที่แล้ว +1

      Sana. Na usipotuliza akili unaeza usimuelewe.yuko vizur

    • @benfordmathias2140
      @benfordmathias2140 5 ปีที่แล้ว

      yah uwez muelew usipotuliza akili cz anaongea deep xn

  • @dianaroserusimbi6003
    @dianaroserusimbi6003 4 ปีที่แล้ว

    Lily anadakia sana kwa mbele,..

  • @suzanpeterjacob9264
    @suzanpeterjacob9264 5 ปีที่แล้ว +5

    Mama Deborah yupo wapi nampenda jamani

  • @husnajohn7466
    @husnajohn7466 4 ปีที่แล้ว +1

    Baba yng alikuwa ana muda na sisi kuliko watu wengine

  • @mugikoniiwacu296
    @mugikoniiwacu296 5 ปีที่แล้ว

    Nimewapenda sana

  • @barakaalecnathaniel3716
    @barakaalecnathaniel3716 5 ปีที่แล้ว +1

    Basically Wanaume ni wengi Duniani kuliko Wanawake..Thats a statistical fact..

  • @stevemwingira2393
    @stevemwingira2393 5 ปีที่แล้ว

    Napenda sana channel hii

  • @mohamedidd7385
    @mohamedidd7385 5 ปีที่แล้ว +11

    Huku tunakula madini tu, kongole kwenu kwa kutuletea kipindi hiki

  • @Unknow9473
    @Unknow9473 5 ปีที่แล้ว +1

    Thanks a lot

  • @rodgersedson9629
    @rodgersedson9629 5 ปีที่แล้ว +1

    Safiiiiiiii

  • @allykassim9826
    @allykassim9826 5 ปีที่แล้ว

    Thx SnS

  • @omaryiddy1652
    @omaryiddy1652 5 ปีที่แล้ว +2

    Hapo mnakaz yakubishana kutokana na ufinyu wa maono yenu, huezi pingana na uuambaji wa Mungu, kwn mungu kamuumba mwanaume ktk maumbile yakuto ridhika na mwanamke mmoja, hata vitabu vya dini vimeeleza jambo hilo, unahisi n kwnn M/Mungu aturuhusu wanaume tuoe wana wake 4, je mnahisi Mwenyez mungu ni mzembe wakufikiria kias hicho!...masoud kipanya alitoa poit Muhimu sana nataman angekuepo hpo namkubali sana yule jamaa anaakili nyingi sana

    • @luckydavid7475
      @luckydavid7475 5 ปีที่แล้ว

      Omary Iddy ebu acha huo ukuda wako Mungu yupi unaemuongelea?? Mungu angeumba mwanaume kwa maumbile hayo angetoa mbavu nne kwa Adam, aliumba mwanamke mmoja mwanaume mmojaa, angeweka hayo mapubgufu angetuwekea mfano. Hayo ni mafundisho ya muhamadi mpenda wanawake Na c Mungu

    • @kaiemujaya7697
      @kaiemujaya7697 5 ปีที่แล้ว

      I beg to differ.

    • @lucyjohn7904
      @lucyjohn7904 5 ปีที่แล้ว

      mungu wenu ni kipofu ndomana kawaruhusu uzinz,Mungu wetu Sisi wakristo hajaturuhusu uzinz,Mme na mke mmoja,mnaooa 4 endeleen mfike salama

    • @marymabuubakari653
      @marymabuubakari653 4 ปีที่แล้ว

      Sema Stafiruwaa umekosea sana

  • @chainbre275
    @chainbre275 5 ปีที่แล้ว +3

    Weweeeee maumivu yasipo kuwepo maisha yanakosa ladha

  • @gabrielbahat9107
    @gabrielbahat9107 5 ปีที่แล้ว

    I like this matters!

  • @geraldobed9847
    @geraldobed9847 5 ปีที่แล้ว +6

    unagunia kwenye mic sanaaa

  • @fifijay5883
    @fifijay5883 ปีที่แล้ว +1

    Kipindi Raha mpaka nimecheka.

  • @user-nc2pu6jm8w
    @user-nc2pu6jm8w ปีที่แล้ว

    nice

  • @suedissa7500
    @suedissa7500 5 ปีที่แล้ว +5

    Aaagh,binti usilete ujuzi wako na maumivu yako hapa

  • @hassankongolilo8408
    @hassankongolilo8408 4 หลายเดือนก่อน

    wataalamu mmesahau kuongelea suala la maumbile. kwa nini imekua ivyo mwanaume karuhisiwa kua na zaidi ya mmoja ila mwanamke haruhusiwi ?🤔

  • @lailatyabdallah1723
    @lailatyabdallah1723 5 ปีที่แล้ว +2

    🔥🔥🔥aunt sadaka😘😘😘

  • @grantsumaye8139
    @grantsumaye8139 5 ปีที่แล้ว +5

    Chris umenikosha sana hasa kwa mifano yako.

  • @davidluje168
    @davidluje168 4 ปีที่แล้ว +2

    Viingileza vingi punguzeni
    Tuwaelewe

  • @chainbre275
    @chainbre275 5 ปีที่แล้ว +3

    Ila wapi bby sky Leo jamani???🌷

  • @olivaandrew3605
    @olivaandrew3605 5 ปีที่แล้ว +2

    Lilian habari za kazi please naomba namba ya Dr. Elie please

  • @ashaabdallah1718
    @ashaabdallah1718 5 ปีที่แล้ว +2

    Sasa static zinaonesha kbs wanawake wengi afu unalazmisha 1 to 1 logically tu inajieleza... we mama in pink unalazimisha wkt ukweli sio uo...

    • @nagmaali3650
      @nagmaali3650 5 ปีที่แล้ว

      asha abdallah tafuta maalifa Usijali kila kitu kinamajawabu

  • @hawahussein3751
    @hawahussein3751 5 ปีที่แล้ว

    Cool down da Mwasha

  • @jackieskitchentz
    @jackieskitchentz 5 ปีที่แล้ว +11

    HOST PUNGUZA KUINGILIA MTU AKIWA ANAONGEA , UNAKATISHA SANA...IT BORING SOMEHOW

    • @wahidawahida6675
      @wahidawahida6675 5 ปีที่แล้ว

      Anaboa

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 5 ปีที่แล้ว

      @@wahidawahida6675 no bn

    • @janethkilonzi4260
      @janethkilonzi4260 4 ปีที่แล้ว

      Hapana ndio vizur ananogesha na ndio anachokonoa vya ndan zaid ndio tunazd kujifunza

  • @hassanothman5390
    @hassanothman5390 5 ปีที่แล้ว

    Nice show

  • @plumbingtanzaniaplumber7570
    @plumbingtanzaniaplumber7570 10 หลายเดือนก่อน

    Inaonyesha bado umetawaliwa akili lugha unayoitumia unajificha hamna kitu hapo

  • @mzungukiboli8153
    @mzungukiboli8153 5 ปีที่แล้ว +1

    Kipindi Kizuri.mtangazaji zingatia ushauri punguza kumkatisha sn muongeaji

  • @queenandchill91
    @queenandchill91 5 ปีที่แล้ว +2

    Lily waache waongee acha kuwaingilia na kuwakatisha...unabore

  • @chelseadiva1072
    @chelseadiva1072 5 ปีที่แล้ว

    Fanya tafiti vizuri UN hawatambui hilo kuwa kuna wanawake wengi zaidi usiongee usichokijua dada fatilia vizuri ndio uongee

  • @user-hi5pg4vp2u
    @user-hi5pg4vp2u 7 หลายเดือนก่อน

    Wewe mtangazaji punguza wenge kidogo, mmh, mmh, mmh ndo nini

  • @jessydaktari5209
    @jessydaktari5209 5 ปีที่แล้ว +8

    Mama deborah yuko wap☹

  • @madamboss348
    @madamboss348 5 ปีที่แล้ว

    Kweli

  • @user-bw5wj8dw5q
    @user-bw5wj8dw5q 8 หลายเดือนก่อน

    Mambo ya ndoa magumu tumwachie mwenyezi hivi umeoa na umekaa zaidi ya miaka 5 utaacha kutoka ?

  • @jimmysumbanga1691
    @jimmysumbanga1691 3 ปีที่แล้ว

    tuna wasikiya sana uku kwetu ila tuko kwenye inshi ya kifarasa kingereza kina tushanganya yani mtupe kaulizuri za kiswahili

  • @evamarua4998
    @evamarua4998 11 หลายเดือนก่อน

    Luga gani rasmi inatumika hapo Ni kiswahil au kizungu mnatuchanganya

  • @furahaabdallah7369
    @furahaabdallah7369 5 ปีที่แล้ว +1

    Dada Lili nakupenda ivoivoo wewe ndo unaongoza kipindi usipooongea alafu takuaje

  • @ramaaboki6255
    @ramaaboki6255 5 ปีที่แล้ว +3

    Lilian punguza kukatiza maelezo
    Mtu anapokuwa anaongea alafu ukaingilia maengezi unasababisha apoteze baadhi ya madini.

  • @UfalmeTV
    @UfalmeTV 5 ปีที่แล้ว +1

    Chriss nimekuelewa hapo kwa Displine

    • @khamiskombo5965
      @khamiskombo5965 4 ปีที่แล้ว

      Jamaa yupo sawa, ila anatumia nguv nying kusema na kutete hoja zake, tuwe wakwel banaa m/me hatosheki kwa mw/ke 1...

  • @robertgwelela2301
    @robertgwelela2301 5 ปีที่แล้ว +2

    Nimebarikiwa na mifano ya Chris.inampa MTU kuelewa kwa haraka.

  • @leylahley3542
    @leylahley3542 5 ปีที่แล้ว +1

    💥💥💥💥💥

  • @righitkileo
    @righitkileo 2 หลายเดือนก่อน

    Lili umewaalika bac wape nafas hao maprofessional waonqeee .Tulia dada

  • @husnajohn7466
    @husnajohn7466 4 ปีที่แล้ว

    Nyie ni walafi

  • @cleverjohn1969
    @cleverjohn1969 3 หลายเดือนก่อน

    Kwanini kuna mda wanatumia kingereza? Ni kwamba kiswahili hakina vibe ama?

  • @michaelkessy5740
    @michaelkessy5740 5 ปีที่แล้ว +1

    Ukiona mwanaume ametulia kwa mwanamke mmoja ujuwe amepata mwanamke anayejua kumtuliza ila kwa wanawake nao mwanamke atulizi na mwanaume bali yeye mwenyewe akiamua kutulia kutoka ktk moyo wake.

    • @nassramalik5666
      @nassramalik5666 5 ปีที่แล้ว

      Hakuna mwanamme atayeganda Kwa mwanamke mmoja

  • @MaulidMpira
    @MaulidMpira 3 หลายเดือนก่อน

    We lilin unaboa embu tulia bas

  • @asinathasinath5090
    @asinathasinath5090 5 ปีที่แล้ว

    Nice 🔥🔥🔥🔥❤❤💞💞💕💞👏👏😜

  • @fortnataangelo4805
    @fortnataangelo4805 5 ปีที่แล้ว

    Mh wote tu wala sio baadhi

  • @azzamahamdu7039
    @azzamahamdu7039 3 ปีที่แล้ว

    Lily ww ni mm kbsaa🤣staki kupelekwapelekwa kama sielewi lazma niulzee.🙌safi keep it up.ila wote hapo ni genius.lkn dr elly🤗🥰lkn mbon dr mwaka Alisema upendo unagawanyika mpka yy kaoa wake 3🤣🤣basi wengne anawadanganya anampenda bi mkubwa