Women matters naikubali Asilimia Mia moja na moja ...mnatoa Nasaha vyema sana Kiukweli Sema Mmenikosea hamjamleta Mama Terry sasa....Nakupenda bure Lilian Mwasha unajua#Womenmatters#SnS...
Aisee,tangu nilipoanza kufwatilia #sns leo ndo nimepata content ninayoitaji,hawa wazee wako vizuri kichwani. They got more to tell. Naitaji kumeza vitu from ubongo wao
Auntie Sadaka usiwe na shaka dadaangu.. jaribu ku-update hiyo version angalau ikaribie kuwa Dr. Sadaka then utaona jinsi itakavyokuwa rahisi kumuelewa Dr. Ellis... Mama Terry pia msiwe mnamuacha nyumbani anapokuja Dr Ellis kwenye kipindi..atajifunza mengi na yeye!!!
Wow yan najikuta nacomment coz Dr chriss anaongea kwa uwaz coz weng wetu watz tunapenda direct story NC wenye uelewa km Wang wa kuelewa kwa haraka Dr chriss anatuelewesha cc wabongo
Aaa ugomvi ndio unaishia hapo na mnaongea huku mnafanya aliyekosa anaomba msamaha huku karot iko ndan weee inanoga mapenzi yAnanoga kuliko siku yeyeyoteee
The only thing i learn from Dr' Ellie sio tu kuwa mzungumzaji mzuri but kuwa msikivu mzuri pia. God❤ bless y'all
Your Wright, Dr.Elie alisema kusikiliza ni siri kubwa ya mafanikio lakini sisi hatujui
@@rahillhamidu2544 absolutely
Right
Aliyesikia not changanyaring kwa liliy like hapa
this Dr knows the power of a pause in a sentence, it keeps the audience glued to you.
Absolutely
He observes the punch lines and speaking skills plus the material content he deliver
Dr Elie unanikosha baba yaan una nondo za ukweli uko vzri Dr asiye elewe kwa darasa zako basi hata kaa elewa kamwe barikiwa Dr.
nimesha mtumia mke wangu maongez haya ili ayasikilize. always no comment juu ya mkiongeacho zaid ya ahsante
Dr. Elly akiudhuria kipindi, Mauki asikose, ni mtafsiri na mfafanuzi mzuri wa Dr!
me simuelewi dr Elly jamn
Ok...this Dr. W is officially my Man Crush, He knows what his talking about👌👌👌
Hakika mahaba sirin, upendo hadharan Dr love u kwa somo
Hili somo ni gumu najikumbuka "University" kwenye somo la "Determinism" yule Professor alinitesa sana.
Women matters naikubali Asilimia Mia moja na moja ...mnatoa Nasaha vyema sana Kiukweli Sema Mmenikosea hamjamleta Mama Terry sasa....Nakupenda bure Lilian Mwasha unajua#Womenmatters#SnS...
Dr ellie napenda sana aendelee kuongea mana maneno yake yanaingia vzr nakuyaelewa namkubali sana.
Dr. Elly ni konki but unaongea nondo ka Yesu! Tatizo "unauelewa mkubwa sana, wengine ni vigumu kukuelewa maelezo yako!"
Women Matters is a Life Changing TV Show.
Big Up Guys!!
Hii mixture nimeipenda❤
Asanteni sana wazazi wangu kwa kuendelea kutufundisha
Kama umemsikka lily akifurahia ashki gonga like hapa
My favorite show.....
Kwa kweli mmetimia.
Asante kwa hii team, Lilian and the rest I salute you
Nimejifunza sana....napend nione unaendelea kutoa mafunzo
Mwasha host, tafadhali usiwe unaingilia mazungumzo mpe nafasi mtu ukiwa anachangia ,upoingilia kunakuwa hakuna continuity ya mchangiaji. Plse
Aisee,tangu nilipoanza kufwatilia #sns leo ndo nimepata content ninayoitaji,hawa wazee wako vizuri kichwani.
They got more to tell.
Naitaji kumeza vitu from ubongo wao
Me2
Lilian nakukubali sana...😘 heko kwa wote kipindi kizuri mno...❣
Ahsanteni sana kwa somo zuri
Hawa madaktari ndio wanotakiwa kuwa kwenye kipindi hiki
Auntie Sadaka usiwe na shaka dadaangu.. jaribu ku-update hiyo version angalau ikaribie kuwa Dr. Sadaka then utaona jinsi itakavyokuwa rahisi kumuelewa Dr. Ellis... Mama Terry pia msiwe mnamuacha nyumbani anapokuja Dr Ellis kwenye kipindi..atajifunza mengi na yeye!!!
Hongereni Sana kwa kuzidi kutuelimisha
Waooo nime enjoy kipindi kizuri na kinafundisha big up kwa Dr Ell e Dr Chris
Dr. Eli asanteee dah nakupendaa sn baba yani nakuelewaaa mnoooo ❤❤❤
Shukran Nyiewot❤👍👌
Nawapenda sana Dr Elie na cris mko vizuri.
nampenda bure huy alievaa nguo nyeusi
Nawaelewa sanaaa !
shukraan sanaa..kwa somo zuri.
anafanana sana Whozu
Kweli wanaojuakupenda ni wachache Asante doctor.
thanks
dah,madoct hao noma sana
Wow yan najikuta nacomment coz Dr chriss anaongea kwa uwaz coz weng wetu watz tunapenda direct story NC wenye uelewa km Wang wa kuelewa kwa haraka Dr chriss anatuelewesha cc wabongo
Jamn nmempenda Dr,naomba namba yake
Mungu awape Maisha marefu,mnatuelimisha Sana.
Nawapenda sana❤
Dr.Ellie i looooooooooooooooooooooooove you....mama mwasha plz tell dr......nimempenda mnooooo yaaaani nikimuona ntafurahiiiii😍😍😍😍😘😘
Na wapendaaa
Sio kweli
Its true,yaan nilikuwa sijuagi kwa nini?
Dr.Elie i miss you #mahabasiriniupendoadharani
Ukiyasikiliza haya maneno nirraha mnno mananiukweli halisi wamwanadamu ulio
Daaah naenjoy Sana hich kipind nahawa guyz
Lilian, aunt sadaka nawapenda, hiki ndio kipindi bhana
Yani nimeipenda
Hahaa very true kaka zng hehee
God bless you dct elly
Dr Elly axante .......
Jackline Swallo somo zuri sanaaa kwaambae anaelewa what's is talking about
Looh! Leo mmenikosha kweli
Nimependa mifano hiyo ya equaliser, yaani nimefurahi kwasababu pakipungua kitu kwenye mahusiano patatokea shida naomba namba yake kwa ushauri zaidi
Mapenzi hadharani# mahaba sirini #
kwa docta elieeee
sasa haya nayo ni ya kufundishana public jaman?
Ila Lily swali alilomuuliza Cris jamani
Sante sana
Nikweli
Dr Elly🙌🙌🙌
Nimejifunza kitu
Jamaa linajua hiliii
dr.elie
Nyie jamani nyiee hapo nimepapenda sana UMEME
Sikosi kipindi chenu kinanisaidia sana
Huyu doctor ana roho yangu jamani khaaaa
What is the meaning of changa moto
challenges
Challenge
Mume wangu anatizama video za ngono jee kunisaidia vipi wenzangu nikimwamb ia ananijibu kwa hili niwachie
Uwe unaangalia nae dear
😅😅 jaman nacheka kama mazuri
💖💖💖💖💖💖💖💖
Lillian unavituko wewe😁😁😁
Kuna vichwa vina akili wuiiii
Lkn mkifanya mapenz km mna hasira naona itakuw mnabakana
😂😂😂😂😂😂uwiiii
Aaa ugomvi ndio unaishia hapo na mnaongea huku mnafanya aliyekosa anaomba msamaha huku karot iko ndan weee inanoga mapenzi yAnanoga kuliko siku yeyeyoteee
Lili unaboa unaongea sana.
MWANAMKE NDIO ANAENJOY ZAIDI. SAWA NAKUBALIANA NA WEWE LKN, NIKWANINI SASA WANAWAKE HAWATONGOZI???? WAELEZE UHITAJI WAO.
W
piga keleleeeeee
Hahaha nyie jaman ukiwa unahasira unasex vzr
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️✌️
Huyu Lily anabisha bisha vitu vya ukweli Sana sijui Kama Ana mahusiano mbona vitu viko wazi kwenye swala la ugomvi na sex
nyasinde miggo hatulii akaelewa kwanza anakurupuka kubishaa ila ana ndoa
Dah mko poa sn mnaelimisha vby mno
Kweli sex mkiwa nahasira nitam aisee
S
😳🤣🤣🤣 lol
Liliani anamakelele sana
Halafu hii topic inamhusu alivunja ndoa ya mtu
Nimeelewa sana!!