Asanteni sana kwa vipindi vizuri. Ila ningependa mbadilishe jina la kipindi. Badala ya Women Matters, kiwe Real life issues. Kwa sababu Kinagusia real life issues and not exclusively women matters.
I love u aunt sadat una maneno ya hekima sanaa😘 Mr sigara wewe ni mwanaume na nusu... vijana wa kiume wanatakiwa kujifunza kupitia wewe🦋kipindi kinatujenga sanaaa vjana be blessd lilian
Yaan Kaka Max kuna kitu ulinifunza kuhusu kusamehe kwenye kipind kilichopita na kilinisaidia sana,Nmejikuta nakua mwepesi kusamehe kutoka rohoni!!! Mungu akubariki uendelee kutoa elimu kila wakati na watu waipokee!!!
Fungua moyo mpndwa,afu ujichunguze wew ni mangapi umesamehewa had sas,afu ukisamehe unakua huru,Amani inakutawala had unajikuta unatabasam mwenyew...kitu kikubwa ni Upendo ndio unasaidia kuweza kusamehe maana Upendo ni kila kitu!!!
Mimi ni erick nikiwa Qatar lakini nyumbani ni Kenya nafuatilia kipindi chenu kwa ukaribu napendezwa sana na Advise za kimaisha na ndoa kahdija anafurahisha sana kwa kutuimbia taarabu mungu awabariki
Aunt sadaka umeongea kitu kikubwa Sana, wanawake ndio tunafundishwa kufanya vitu vingi na tunajikuta mzigo Ni mkubwa lkn wanaume hakuna kitu wanafanya ili na sisi tupate moyo wa kuendelea kuwafanyia mazur datz y inafikia hatua tunachoka na hapo ndo wanaanza kusema umechange haukuwa hvyo kipindi tunaoana!
Hatukusikiya mlivyo msaaidiya ss uyo alo tuma msg maana topic hii hayija kaa sawa imechukuliwa nyingine yani hatu elewii muwe mna peana nafasi mtu afike mwisho katika kutowa hoja yake
Kaka max usiwe unakosa kweye kipindi bwana,kipindi kizuru sana ila utaratibu umekosa .aunty sadaka wewe nimsikilivyo mzuri kweli ,alafu unaongeaga point sana wewe na ka maxi
Khasante Bi khadija, nakaa umo umeongea point, mimi napenda Mapenzi ya dhati na napenda kujishusha ila Kiukweli kudeka pia 😂😂😀😀 ila cjapata wa kupendana nae, inshallah Allah nijaalie mume bora na mwadilifu🙏
Aunt Sadaka na Max leo mmenipa raha sana...Onni sikuelewagi baba...mara hutaki mabusu mara hutaki kuitwa baby usipopikiwa hujui kubembeleza...wai!! mume wangu angekua hvo ningeshahama nchi….
Ivi hata dela hajawahi kuninunulia alafu niamke sa tisa nisonge ugali?? Mamaaaaaaaaa atasubiry mpaka ajambe hadija anashadadia kw sabbu yy mume hana wala ndoa hana siunamuona binti sadaka anavyotoa ponti
Mimi hapo nakataa mwanaume arudi saa tisa usiku halafu kasindikizwa na mwanamke ndani ya gari eti walikuwa wanapiga dili hiyo kwakweli siwezi kuvumilia hata wikend kama hatuendi kazini basi huwa sipendi atoke hata nje ya nyumba
I loooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooove the hell out of this show...
Max hvo mnavifanya kabla hujaingia kwenye ndoa msikilize tu mzee anazungumzia yale maisha yetu halis 🤗
Asanteni sana kwa vipindi vizuri. Ila ningependa mbadilishe jina la kipindi. Badala ya Women Matters, kiwe Real life issues. Kwa sababu Kinagusia real life issues and not exclusively women matters.
I like Max, he has very positive mind. aunt sadaka big up
The guy on the left controversial
I love u aunt sadat una maneno ya hekima sanaa😘 Mr sigara wewe ni mwanaume na nusu... vijana wa kiume wanatakiwa kujifunza kupitia wewe🦋kipindi kinatujenga sanaaa vjana be blessd lilian
Max inabidi avae siket huyo
😂😀😁kweli
Asante sadaka uko vzr Dada
Ivi lilian unajua mi nakupenda sana, nafanya kazi kwenye refugee camp siwezi kuwa na tv lkn sikosi bando ya kukufwatilia i lov u
Rfk angu na mimi nitafutie kazi uko kwa refuge camp pliz
Thanks mungu awambariki
Onisigara your the best
Nampenda Max.....Ndoa aitak ubabe....na lily yuko really
Mzee sigara wew mtata sana 😂😂😂😂
Max & aunt sadaka much 💞 💋 show amazing 👏👏👏
Mama khadija nampenda sana nikimuona nahisi nimemuona mdogo wangu jamani duniani wawili wawili wallah nawapenda pia wote na kipindi ni moto
Nawapenda saaana 💖💖💖💖💖💖
True, kwenye ndoa lazima mmoja awe chini.
Max and sadaka mna nikosha sana stay blessed 💃🥂🙏
Nampenda aunt sadaka msikivuu Sanaa
David D yapu me natamani siku awepo mama tery, max, aunt sadaka na on sigara
Hongera baba chanja kaa na max kwa akaitwa mume ...
Nawapenda je
Yaan Kaka Max kuna kitu ulinifunza kuhusu kusamehe kwenye kipind kilichopita na kilinisaidia sana,Nmejikuta nakua mwepesi kusamehe kutoka rohoni!!! Mungu akubariki uendelee kutoa elimu kila wakati na watu waipokee!!!
Njooo unifundishe na mim dear maaaaan
Fungua moyo mpndwa,afu ujichunguze wew ni mangapi umesamehewa had sas,afu ukisamehe unakua huru,Amani inakutawala had unajikuta unatabasam mwenyew...kitu kikubwa ni Upendo ndio unasaidia kuweza kusamehe maana Upendo ni kila kitu!!!
Max upo vzr hongera sn unajua mapenzi
Max👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻sichoki kukusikiliza , ww umepiga dili kwanini usichukue ubar ukarud home
Najma 3 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙏🙏🙏🙏🙏
MillianMusic 😂😂😂
Baba Chanja yuko vizuri sana
Sannaaaaa
Mzee unanifurahisha sana vijana hawana ushauri akina mama pongezi
Max nakupenda buree
Mimi ni erick nikiwa Qatar lakini nyumbani ni Kenya nafuatilia kipindi chenu kwa ukaribu napendezwa sana na
Advise za kimaisha na ndoa kahdija anafurahisha sana kwa kutuimbia taarabu mungu awabariki
Ha ha ha omi sigala bhana etii mtoto kapatikana safi sana
Lengo la kipindi ni zuri ila punguzeni kubishana na msijiandae kuhalalisha misimamo binafsi ;hatupati somo
Love u max and Aunty Sadaqa
Max kaongea point sana
Khadija ndie anae sherehesha kipindi
Aunt sadaka I love u. Umenizungumzia Leo aaaah mama weee
The topic is hot 🤗🤗
Hahaaaahaaaaa eti anzisha mbio,nimecheka kweli,mzee Oni Sigara,uko sawa kabisa
🤣🤣🤣🤣🤣
Sawasawa. Ninasimu3 moja ya ofisi moja ya gari moja ya home. Upo
Mnanipa raha sanaa.
Max, hicho unachoongea wengi hawakijuui,Mimi nakukubali sana.
Priscilla Amossen 🙏🙏🙏🙏🙏
Nawapenda bure
Nampenda sana Kopa sanaaaa! Gonga like hapa 😊
Sema anaongea kwa fujo
Warereeee amehamisha mashat baada yakuonja andazi🤣🤣🤣wapiii khadija kopa
Max yaani nakuelewa sana..tatizo Baba Sigala anaongea kizamani sana. Na hapa ndio naona usasa na uzamani unavopingana. Big up sana Max..
Bi khadija mzito sana kuelewa....
Max big up aunty sadaka nmekupenda buree
Auntiee Sadaka na Max mwaongea point sanaaaa
Zipo ndoa za kibabe zinaenda vzr sana nimekuelewa huyo baba vzr
Max and mama sadaka got a point
Huyo mwanamme mpuuzi tuuu,kama unataka kula vizuri gharamia mwanamme
Nimependa Sana kipindi cha leo... Mko vizuri Sana.. Keep up the good work guys!.
Aunt sadaka umeongea kitu kikubwa Sana, wanawake ndio tunafundishwa kufanya vitu vingi na tunajikuta mzigo Ni mkubwa lkn wanaume hakuna kitu wanafanya ili na sisi tupate moyo wa kuendelea kuwafanyia mazur datz y inafikia hatua tunachoka na hapo ndo wanaanza kusema umechange haukuwa hvyo kipindi tunaoana!
Nikwel wanawake tuna mzigo mingi wanaume walipa ada na kutoa ela yakula na uboo ukisimama bassi wamemaluza
Very true... its so tiring af they keep blaming women for everything
Asante sana Mr. Sigara kwakutulinda mabaharia 🤣🤣
Hahahahahahaaaa
Lightness Pastory unatucheka eh
Waooooooooooo 🍒🍓🍉sauti yako hadija jaman mimi naridi africa nikuoe kabisa
Hi nzuri yaani tamu haswaa maana mmebalance mzee Oni na kijana Max. Hapo murua kabisa. Women matters forever!
Bi hadija wee kama mimi 😍💕maashaaallah
Napenda maxs anavyomuangalia khadija kopa kwa mankini
Big up Max na aunt Sadaka, much love guys 😘 ...... watching from Italy
M watching from HOLLAND
omary rehema Asante
Max walahi mashallah
Baba yupo sawa ameongea uhusika km baba
Max big up from 254, wengine hawajali hata ukinunua gari hataki kujua pesa umetoa wapi Kwanza wakenya ni shida
Programme ni nzuri kinachoniboa, hampeani nafasi kila mmoja kumaliza mawazo yake kisha mkaanza ku jaji.
Pmj san
Hatukusikiya mlivyo msaaidiya ss uyo alo tuma msg maana topic hii hayija kaa sawa imechukuliwa nyingine yani hatu elewii muwe mna peana nafasi mtu afike mwisho katika kutowa hoja yake
Kweli kabisa simu zime vunja doa sana mimi mshaidi
Simu hazivunji ndoa ila mambo tunayofanya na kuhifadhi kwenye izo simu ndo huleta maafa
Mm mwenyewe ipo hapa ipo ICU
Max uko sawa unajua kweli kutunza mwanamke
Angejua si angeshaoa,kila siku demu mpya,anabadili badil kila sk,muhuni tu.Wadada ndo mnampendaaa mambo ya maigizoo
Max is very wise.
Max you are the best 👍🏿
Antonia Milinga thank you
Max 👌
Points max nahisi kila mwanamke anapenda kufanyiwa hivo hasikwambie mtu😘
Ahsante WOMEN MATTERS
Maneno mazuri sana..lkn sina hakika kama yanatekelezeka kwa wawezeshaji...but ni mada muhimu kwa jamii yetu.
I lv u max
Lily is very funnie
😅😅😅wanaume wa sasa wote mabaharia.
Max huyooo😍😍😍😍😍😍
Aaah Max weee kaka naomba unisomeshee mchumba wangu
Kweli baba usipo mujali mwamu hawezi kuku Kali na wewe una ongea kweli baba
Nice
Mashaalah
Namkubali sana ! na madini yake mzee wangu Sigara
Aiseeee endeleeni kutuelimisha,naendelea kujifunza mko vizuri
Max today I’m impressed ✌️
Kaka max usiwe unakosa kweye kipindi bwana,kipindi kizuru sana ila utaratibu umekosa .aunty sadaka wewe nimsikilivyo mzuri kweli ,alafu unaongeaga point sana wewe na ka maxi
Max wallah unapoint sana , yaan kama wanaume wangakuwa wanasema ukweli kama hivi ndoa nyingi zisingevunjika
Najma 3 🙏🙏🙏
Max❤❤❤❤
Shetani kavaa pembe huyo aunty Sadaka 😂 amehamisha, amehamisha mashati alipo-alipoona andazi😂😅
Mnabishana sana mpaka inaboa. Why msiwe mnamsikiza mmoja mmj
This young man has a point ,so true .
Maxrioba ur the best 😘😘
Max ni genius
Yudatade Shayo Fact na anaongelea maisha ya sasa
@@veronicadaniel1122 kabisa ila anaoneka ana mapenzi ya kizungu ndo maana hajaoa bado
Yudatade Shayo 😂😂😂 Jmn
@@Nyamisango eeeeh unajua mapenzi hayataki kubembelezana sana wal nguvu sana
Yudatade Shayo 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Lily, napenda women matters ,
Max na aunt i like dat na ndo ukweli
Max 😍
Aunty sadaka leo kala tu , alikua kimya sana hajaongea kama siku nyingi
Bi Khadijaaaaaa!!! Mi nakupenda hivyo tu !!!😅😅😅😘
Punguzeni kelele... kipindi kizuri sana.... but too much noise
Kelele za taarabu🤣
Yani hao watu wanafaa iki kipindi lili your the best i like your choice mamy
kipindi kizuri sana ila nimependa point ya max mwanaume naye asababishe yeye kufanyiwa mazuri.jua mkeo anahitaji nini kutoka kwako
Khasante Bi khadija, nakaa umo umeongea point, mimi napenda Mapenzi ya dhati na napenda kujishusha ila Kiukweli kudeka pia 😂😂😀😀 ila cjapata wa kupendana nae, inshallah Allah nijaalie mume bora na mwadilifu🙏
Aunt Sadaka na Max leo mmenipa raha sana...Onni sikuelewagi baba...mara hutaki mabusu mara hutaki kuitwa baby usipopikiwa hujui kubembeleza...wai!! mume wangu angekua hvo ningeshahama nchi….
Max! Wewe ni boyfriend wa Taifa!
Angelina Mwakilufi 🤣🤣🤣🙏🙏🙏🙏🙏
🤣🤣
Jamani tunaomba number ya WhatsApp kwa sisi tuishio nje.
Aunt Sadakaaaa oyeeee! Bashashaaa hiyo natoka wapii?
Ivi hata dela hajawahi kuninunulia alafu niamke sa tisa nisonge ugali?? Mamaaaaaaaaa atasubiry mpaka ajambe hadija anashadadia kw sabbu yy mume hana wala ndoa hana siunamuona binti sadaka anavyotoa ponti
Mimi hapo nakataa mwanaume arudi saa tisa usiku halafu kasindikizwa na mwanamke ndani ya gari eti walikuwa wanapiga dili hiyo kwakweli siwezi kuvumilia hata wikend kama hatuendi kazini basi huwa sipendi atoke hata nje ya nyumba
Max...
Max 🥰❤️
I loooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooove the hell out of this show...
Huyu mzee mbishi sijui nimuha
Mhehe huyo mkimbeza Sana anajinyonga