Labda niwasaidie kitu kimoja....ni kwamba mwanamke akiwa na mwanaume huwa anakuwa na mawazo au vitu anavyofikiria na kujikuta wanakuwa waoga....wa tendo ilo hasa mwanaume unatakiwa kumuandaa kwa story kwanza ili kuanza kumtoa ule uwoga au wazo ambalo analoliwaza kwake...... Na kujikuta mwanamke mwenyewe anakuwa analainika hata bado ajavua nguo...nenda naye taratibu na kumvua nguo uku ile hali asiwe na hofu..... Romantic ni nyingi hadi mwanamke anakuwa tiari ameandaliwa mwisho wa siku ufika kilele na kujikuta mnashirikiana ktk tendo sio mmoja anajituma mwingine ajitumi
Thanks for good shoow, Big thaks for Dr. Eliu Aminiani, leo nimemuelewa sana, elimu ya kutosha.... Dr.. his sinior alway.... Nimekuwa nimemfuatilia sana... Mara nyingi sana...
ahaaa nimeelewa kweli. tujiandae. tendo litanoga. yaani ujijengee hisia za tendo kabla mwanaume hajaongezea. kweli kabisa ukijiandaa kihisia mwanamke kisha mwanaume ataongezea. tendomlazima.litanoga
haswaa hapo ndio kila kitu, shida iliopo ni kwamba wengi wanaingia kwenye mechi wakiwa wamejaza migogoro kichwani, amejaza kumbukumbu mbaya za huyo mwenza wake, amekuja bila hisia kabisa halafu anategemea ndani ya hizo dakika 30 mwenza aweze kuvifuta hivyo vyoote halafu uanze kazi ya kumtengenezea hisia hadi amalize mechi kwa ushindi. wakati inatakiwa akija awe anawaza mechi nzuri yenye vionjo vyote vitamu na akivaa uhusika mkuu wa mpambano huku akipiga danadana kama zote, hapo lazima ndani ya dakika chache ushindi uwe umepatikana na kuendelea kupatikana mfululizo
Kipindi kizuri sana 🔥🔥ila wanakera hawamuachi Dr Ellie akamaliza kuongea kila wakati wanaingilia 😈 wacheni mtu amalize point yake ndio muongeze hayo yenu 😠😠tunakosa kujua vingi kwa hashuo zenu hzo
Asanteni kwa kutuelimisha lakini mnanihudhi kitu kimoja Tumia lugha moja Kiswahili au Kingereza msidhani wote wanaelewa kingereza kwangu Mimi na waelewa. Nyie ni watu mnaotoa elimu basi tumieni Kiswahili.
Wanake wanachotakiwa kujua , mwanaume anaweza kumudu mda mrefu kama mwanamke atakuwa tayari kuenjoy , pia uke wa mwanamke unatakiwa kuwa na oil ya kutosha ili kumfanya mwaume kumudu tendo ole wake mwanaume aingize mashine kwa mwanamke uke ukiwa aujaloa oil my friend kumaliza ata sekunde ni inshu inashauliwa unapokuwa na mwanamke kwa kitanda ebu tufanye wote michezo ya kuchezeana nywele ili kila mtu awe tayari na sisi wanaume hatutakiwi kuwa na mahalaka mpaka mwanamke akuambie sasa baba nani nimeshindwa ingiza mashine ndio ingiza, ukingiza tu na mahalaka yako ni dakika tano tu umemaliza.
Mm nimekutana kijana mmoja hv yaan ni anapesa,lakn hajiwez masikin ila ukimwangalia kwa nje bonge la hamsam ilikua ni uchumba tu na alikua ananipenda kweli ila nikaona apa ndoa itakua haiendi nimeona nijikaze tu nimsahau japo ngum ila bora nisahau tuu
Nilichogundua kw haraka wanawake %kubwa hawajitayarishi kihisia ktk kufika kileleni wao wenyewe wanachojua no mwaname ndo mwenye wajibu huo na wkt mwingine hufanya kumridhisha mwenza hajakuwa tayari kw hilo
Anayeangalia kwa Mara ya pili Kama Mimi tujuane😍 Yani mambo konki mpka Cha ku comment Sina😂
Utakoment nini laty?.. Maongezi mazito hayo. Wamemaliza. Watu wanajua mambo bwanàa.
😅😅😅😅jamani mie hat siach kurudia kuangalia
Yaani Laty we kama Mimi......
nipoooooooooo criss kanifurahshaaaaaaa
This is very hot 👍👏💃💃
Dah madam lily jifunze kusikiliza jmn❤
nimekosa mengi toka kwa dR. ELIE kwa sababu mnaingilia kati bila kusubili amalize. peaneni nafasi tujifunze wote.
Uyo Lili anakera! Si atulie yupo kama ngedere
This is a nice content bringing professional people to talk about real problems especially psychological problems in the society. Kudos
Aaaaah naanzaj kuangalia womens matter najifunz mengi kupitia hiki kipind i love dis
Nimewaelewa sana kwakweli duuh....Lilian thanks for this
Docter ww kiboko... Nakukubali Sana nakupata vyema toka usa.... 😁😁😁😁👍
Ila kweli aaiiissee... Wanaume tunapenda wanawake vichaa kitandani...
Tunao boreka na tangazo la NETFIX tujuane hapa...😄
Ufahamu wangu umefunguka zaidi... Much love for that 😊
Great show 👏👏👏👏 watching from kenya
Daaaah... Yan we dada unakera kichizi... Acha wataalamu waongee...
Muongoza kipindi simuelewi.....
Labda niwasaidie kitu kimoja....ni kwamba mwanamke akiwa na mwanaume huwa anakuwa na mawazo au vitu anavyofikiria na kujikuta wanakuwa waoga....wa tendo ilo hasa mwanaume unatakiwa kumuandaa kwa story kwanza ili kuanza kumtoa ule uwoga au wazo ambalo analoliwaza kwake......
Na kujikuta mwanamke mwenyewe anakuwa analainika hata bado ajavua nguo...nenda naye taratibu na kumvua nguo uku ile hali asiwe na hofu.....
Romantic ni nyingi hadi mwanamke anakuwa tiari ameandaliwa mwisho wa siku ufika kilele na kujikuta mnashirikiana ktk tendo sio mmoja anajituma mwingine ajitumi
michael kessy goood bro hiyo ndo point
Asante
Kabisaaaa
Naomba ni kupate wwe 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
Sns mnatisha nawaona mbali big up sana sky
From 255... Usivojali ADUI uadui unakufa.. Thanx Dr.
Shubaamit, safii sana psychologists, saidia watu kama hao
Much Respect kwenu I really enjoyed the show especially Dr Ellie you made my day
Thanks for good shoow, Big thaks for Dr. Eliu Aminiani, leo nimemuelewa sana, elimu ya kutosha....
Dr.. his sinior alway.... Nimekuwa nimemfuatilia sana... Mara nyingi sana...
kipindi ni 🔥🔥🔥nakipenda sana 😍sijawahi kukosa hata siku moja ,tnx sns mzidi kutuleteya
ahaaa nimeelewa kweli.
tujiandae. tendo litanoga.
yaani ujijengee hisia za tendo kabla mwanaume hajaongezea.
kweli kabisa ukijiandaa kihisia mwanamke kisha mwanaume ataongezea. tendomlazima.litanoga
haswaa hapo ndio kila kitu, shida iliopo ni kwamba wengi wanaingia kwenye mechi wakiwa wamejaza migogoro kichwani, amejaza kumbukumbu mbaya za huyo mwenza wake, amekuja bila hisia kabisa halafu anategemea ndani ya hizo dakika 30 mwenza aweze kuvifuta hivyo vyoote halafu uanze kazi ya kumtengenezea hisia hadi amalize mechi kwa ushindi. wakati inatakiwa akija awe anawaza mechi nzuri yenye vionjo vyote vitamu na akivaa uhusika mkuu wa mpambano huku akipiga danadana kama zote, hapo lazima ndani ya dakika chache ushindi uwe umepatikana na kuendelea kupatikana mfululizo
Shikamoo Dr Elly
Kipindi kizuri sana 🔥🔥ila wanakera hawamuachi Dr Ellie akamaliza kuongea kila wakati wanaingilia 😈 wacheni mtu amalize point yake ndio muongeze hayo yenu 😠😠tunakosa kujua vingi kwa hashuo zenu hzo
Niffer Nurdin kama ww najua unaelewa hiii
Umewaona kama wana hashuo au ndio kisa wanawake wenzio ndio nyie mnashobokea wanaume
tatizo la wanawake wa kitanzania wanapenda kufanyiwa kilakitu na ndyo maana wanashindwa kujifanyia mwenyewe
Hawampi nafasi Dr wanaongea sana hao kuliko dr
New tanzania 🇹🇿 love you all incredible 💕
It's not new it's that you didn't know
Fact 👌🏾thank you Dr Ellie 😍nime jifunza mengi kwa kweli thank you guys.Well done SnS the best show ever I love it 👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
Asante sana aunt sadala, umeusoma mchezo
Aaaaaaa shukran mumenifunguwa macho mimi mwenyewe ndio majukumu kujifurahisha nimekubaliana na nyinyi .
Dr elly... atari sana.
Asanteni kwa kutuelimisha lakini mnanihudhi kitu kimoja Tumia lugha moja Kiswahili au Kingereza msidhani wote wanaelewa kingereza kwangu Mimi na waelewa. Nyie ni watu mnaotoa elimu basi tumieni Kiswahili.
LILIAN MBISHI SANA NDIO MAANQ.HUNENEPI MBISHIIII
Ha Ha ha haaa Umetisha...
Huyo ata kumfika klln hawezi Ubish umezd mno
hahaha najifunza pia mimi nikamfanyie mume wangu mtarajiwa 😃😃😃thanx bby sky
Wote nawapenda apo aunt sadaka..mauki na Davie
Huyu Dr. Eli in no .1 e.Africa ,shida ni wanaomuhoji ovyoooo!!!!!
This is sooooooo amaaaaaaazing discuuuuuuuuuusion
Thank you
Nawapenda sna
I love this program women matters l believe this program will save many marriages were learning a lot
Bt Lily has a point...they should answer her question instead of kuipinga !
Yaan kipindi kipo moto hatar da! Acha nitafute ela nipendeze ili nipendwe upo # MVP
Tenaaaa tutafute pesa tupendwe my
@@husnauthman7609 kabisaaa
mmeonaeee
Nimeipenda kweli hii point
Anti sadaka ni MTU mzima anaelewa sn
Am officially a follower of this channel
Aunt Sadaka🔥🔥🔥🔥🔥
Dr. MAUKI, you killing me 🤣🤣🤣🤣
Doctor nimeipenda concept yako
Nimwitee nani aje apate madini hayaa sijui ni madin gan maaana ni zaid ya dhahabuu dr elie nimekuelewaaaa 🌹🌹🥰🥰🥰🥰
Lily unakelele mpenz punguzaa basii maaana 🏃🏃🏃🏃
Nimejifunza sanaaa😊
Wanake wanachotakiwa kujua , mwanaume anaweza kumudu mda mrefu kama mwanamke atakuwa tayari kuenjoy , pia uke wa mwanamke unatakiwa kuwa na oil ya kutosha ili kumfanya mwaume kumudu tendo ole wake mwanaume aingize mashine kwa mwanamke uke ukiwa aujaloa oil my friend kumaliza ata sekunde ni inshu inashauliwa unapokuwa na mwanamke kwa kitanda ebu tufanye wote michezo ya kuchezeana nywele ili kila mtu awe tayari na sisi wanaume hatutakiwi kuwa na mahalaka mpaka mwanamke akuambie sasa baba nani nimeshindwa ingiza mashine ndio ingiza, ukingiza tu na mahalaka yako ni dakika tano tu umemaliza.
Fantastic sjafika mwisho lkn nimekipendaaaa . .good work sky
Nashukuru kwa somo jamani mungu awabariki. Kuanzia sasa daah nitaenjoy saana. Nimeelewa saana
Hahahaha
Daaah kla cku najifunza uuuwiiiiii yuo guys nmejfunza nmecheka daah asanteeen bas ngoja tukalaneeeeeew
Uwiii lily jamani ananyamazaa akiibuka na swali utapendaaaa
Mambo 👋
😂😂😂😍
Jameni, give Dr Eric a chance. His talks are very beneficial
Very True 😍
@@kweka14l35 very very!
@@mnzavachris5423 😍😍😍😍
@@kweka14l35co kwa makopa hayo, mwenzio hoi!
@@mnzavachris5423 hahahaha ushaanza wewe 😆😆😆😆
dah uyo baba yuko vizuri
The MVP
Nambie bro.. PATAMU HAPO.. mpaka dr anatoa maneno konki...😂😂😂
hhhhhh,nawaelewa sana na huyo docta rafziyake ya maneno yanifurahisha but namwelewa sana nn anamaanisha
Wanao twanga mahindi acheni likes apa 😂😂😂😂 niwajuwe
Nice show watching from Kenya
I dint know Tanzanians can speak English ....am humbled .....nice talk show....
Ordo Templi Orientis 🙄🙄🙄🙄
Really?
@@eddalubinza8087 Mmenikunaaa
toeni makelele apo kama amuwezi kuongea mmoja
thank you am learning dear lilly be blessed
Show ya kitaalaam saaaana i love it
Very interesting and powerful topic
Doctor Elly anaongea vizuri sana sana uwiiii
Show nzuri sana
Kupata mda n kuskilz sns kipindi hiki ni bora kuliko kutumia mda kwa mambo maovu n yaliyokatwaza kidin na kijamii
Nice show , I really enjoyed, and I have learned a lot
Big up sns.. Dr Eli, mauki nawaelewa Sana.. Hahaha eti tulane
Binti yupo vizuri mimi nimeelewa
Mpeane nafasi kila mmoja achangie ili show ilete mvuto zaidi
Dr Elly ni🔥🔥
Nice vichwa vitatu navikubali sana💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻
Mama mbn umekazia sana hapo kwenye msuguano
Ok thanks
Kifupiii ata Mimi nilikuwaa si enjoy lakin nilipopata MUME MWINGINE na enjoy mapenziii
Phinerywizk Classic 😂😂😂
nimemtumia hii video haraka sana mke wangu ili apate madini haya ambayo mmevumbua na hayapatikani popote dunian tofaut na hapa SnS
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ah ah ah ah ah ah ah
Asante nyote mambo ni moto
Women are different bro... Halima sio Grace kila mmoja ana vibes zake uskariri... Msome manz nn anapenda then mchezeshe.
I love sister lily coz is so real,
huyo mzee baba,anaelezea vzur
mnakatisha sana point nyie wamama khaa
Mm nimekutana kijana mmoja hv yaan ni anapesa,lakn hajiwez masikin ila ukimwangalia kwa nje bonge la hamsam ilikua ni uchumba tu na alikua ananipenda kweli ila nikaona apa ndoa itakua haiendi nimeona nijikaze tu nimsahau japo ngum ila bora nisahau tuu
nicheki inbox plz
@@lufrazolla6346 TH-cam kuna ibox me cjuwag
Nilichogundua kw haraka wanawake %kubwa hawajitayarishi kihisia ktk kufika kileleni wao wenyewe wanachojua no mwaname ndo mwenye wajibu huo na wkt mwingine hufanya kumridhisha mwenza hajakuwa tayari kw hilo
Mmemaliza kila kitu asanteni sana
Nawatakia maisha marefu yani nafurah sana😁😁😁😁😁😁
Lilia bwanaaaaaa! Usiharibu shoo.
Sns mtaniuwa na muda! Mara women matters, Mara smart talk, Mara Dr. Chachu, Mara black chair, Mara round up🙊🙊👍👍👍👍🤗🤗🤗🤗💪💪💪🤔🤔🤔😍😍😍🤣🤣🤣🤣
😁😂😂😂
@@kweka14l35 htr sn!
Lily anaingilia maongezi sana
haki kadada ni kabishi kweli daaah
Nawapenda sana ila Lillian Leo umekamatwa😂😂😉😂
Nimekuelewa sana Dr.Elli....Hy concept ya mwanamke kujihudumia nimeipenda .....
Omg !nasheka sana lakini na barikiwa sana mungu awabariki sana 😂
mnahongea sana kingereza
I love the show
hamsikilizani ndiyo shida aongee mmoja mmoja bac
Kipindi nimekipenda sana
Hilo ni sahihi
Dr.Eli anavyoongea mm hooi, tchaaai. where did learn to talk like that jmn.lol
Amesoma na kuishi na kufanya kazi marekani muda mrefu
Nilitarajia kumsikiliza sana mtaalam kuliko malumbano "
Ongeeni kiswahili ili maadhui yafike Sawa Sawa,kipindi chenu kimebeba upatanisho.
Kingereza kingi sana mnatuacha sana...
Oyoooooo 🙌 anti sadaka