Am very proud of you brother maana hujawahi kuniangusha najikuta napata majibu ya maswali ambayo nakuwa nayo lkn nashindwa majibu niyapate wapi ila ninapofatilia page au channel yako hakika kuna kaugonjwa huwa kanapona. Be blessed brother!!
Very GOOD point, toka nimeanza kufuatilia clips zako nimejifunza mengi hata nikilala late nikilala five to six hours huwa nakua vema kabisa, hii ulinifundisha jambo jema.
Kaka umenifunza ki2 ntajaribu kufuata sleepy time naona itanisaidia kwn naeza eka alarm na nkaamka ule mda bt nakuwa nmechoka ctaman hta kufanya chochote najikuta narud kulala tena akili inanambia rudi kitandani then ratiba zangu haziend tena km inavotakiwa. I will do dc naamin ntakuwa mtu tofauti thanx xo much for u'r lesson! Be blessed!
Asante teacher nimejifunza mengi kuhusu usingizi. Kama vile kupanga muda maalum wa kulala na kuamka, pia kulala kwenye mazingira tulivu wakati wa kulala. Asante Sana teacher kwa somo zuri
Hakika kila nipitiapo mtandao katika jukwaa hili kuna mambo mengi mnooo huwa najifuna tangu nilipoijua success path network na kukujua Brother EZDEN JUMANNE NTAMBI nimejifunza mengi mnoo na kiasi kikubwa kwa hatua niliyofikia ni mchango mkubwa kutoka kwako mkuu Mwenyezi Mungu akupe umri mrefu ili na kizazi chetu kiweze kujifunza zaidi na zaidi AHSANTEEEE
Vyakula vinachangia ujinga wa binadamu tulokuwa nao roho dhaifu tulokuwa nazo nimekusudia kwa kila kitu inatakiwa tujirekebishe kwa kila jambo na tuamini kuwa mungu yupo na ni muweza wa kila jambo sisi binadamu ni just banda bovu time yeyote linaweza kubomoka kwa uhakika tuwe makini sana na maisha yanavyo enda mungu ni mkubwa na ni muweza wa kila jambo inapaswa tumuombe sana ameen
Jampo LA msingi, chumba kiwe kisafi, hewa safi, usafi wa kitanda, oga kabla ya kulala, kula mapema. Mengine mbwembwe tu, chumba kikiwa na hewa ya kutosha uchovu utoke wapi? Pia choo kiwe mbali na vyumba vya kulala, hewa inayotoka chooni huuchosha mwili kwa 100%
asante sana nimejifuza mengi lkn ninacho kijuwa kwann unakosa usingizi au unaamka umechoka 1 kula vyakula vya barid 2kula chakula kizito 3kunywa chai ya rangi 4au una dalili ya vidonda vya tumbo
hata Mim kipindi bado sjaanza Mazoezi nilikua nalala pema na kuchelewa Kuamka lakin nilikua naamka nimechoka natamani kuendelea kulala lakin tangu Nianze Mazoezi Naamka vizur Kabisa
Asalam.alykum kaka mi nina dadanguu aani abalala sanaaa mpk aanii anatuboaa na nibongee uyooo ilaa anatumia dawa za psychology aanii kama anachanganyikiwaa et izo zinasababishaa usingz sana na kushindwa kufanyaa kaz
Kwa wakati huu sidhani kama kuna mtu analala kwa ufanisi problems ziko nyingi sana sio kwamba dunia imebadilika ni sisi binadamu tumebadilika kwa kila part ya maisha yetu si mtu maskini wala tajiri ilobaki ni kumuomba mungu tu
Am from Kenya, nafanya Saudi bt nimesaidikika Sana kuhusu hichi kipindi, coz nakala saa kumi na moja asubuhi namka Sa sita mchana, bt nilikuwa nalaumu boss wangu kwamba silali,bt niliposikia hii sleep sycoly nilielimika sana kwamba huo mda unatosha
Asante sana Bukelebe Ngelela kwa kufuatilia. Tuko pamoja sana. Stay blessed. Kujiunga na group la vitabu la whatsapp tuma ujumbe WhatsApp "SPN BOOK CLUB" kwenda namba 0759191076. . Kununua vitabu tuma neno VITABU kwenye namba 0759191076
Mm nikibaatika kulala mapema naumwa sana shingo mgongo mbavu bora nikichelewa kidogo napata nafuu lakini naumwa kila siku niwai nichelewee hali yangu ni ileile uchovu tu
Assalam Alykum japo umerusha hichi kipindi miaka miwili ilopita lakin tunao join now itabidi ujibu maswali yetu Insha Allah.....wakuta mtu alala saa nne then anaamka saa tisa kwenye kuswali usiku...akishamaliza harudii kulala inamana apitiliza mpk fajri....kisha akishaswali fajri alala mpka saa moja ....jee kulala hivi ni sahihi ....maelekezo yako tafadhali🙏......shukran
Waaleykum salaam. Sasa hapo inabidi sana kuwa mtu wa kulala mapema zaidi ili kufidia kidogo muda unaoamka usiku. mathalan ukilala saa 3 usiku (nakushauri ulale muda huu) lala mpaka saa 10 kamili. hapa unapata ile theluthi ya mwisho ya usiku ni muda mzuri kwa ibada na utakuwa umelala masaa 7. yanatosha kabisa... hapa haulali tena... ndio siku yako ishaanza. kwa ratiba zaidi tuwasiliane tafadhali katika whatsapp 0759191076
Chakushangaza mm nalala sazingine saa kumi na moja namka saa sita basi hapo nakua mchangamfu lakin nikilala saa saba namke saa sita mchana nakua nimechoka sana
Am very proud of you brother maana hujawahi kuniangusha najikuta napata majibu ya maswali ambayo nakuwa nayo lkn nashindwa majibu niyapate wapi ila ninapofatilia page au channel yako hakika kuna kaugonjwa huwa kanapona. Be blessed brother!!
Very educative clip
.
Daaaah kwakweli asante
Nikweli kaka
Tuko pamoja broo munani fariji
Bwana Yesu asifiwe kweli nimebarikiwa sana na somo lakoo
Asante kwa somo nzruri MUNGU Akubri Sana unatupa vitu vizuri vya kutujenga kwenye maisha yetu me nitaanza kufata ratiba ya kulala na kuamka.
Mwenyez mungu akulinde na kukubariki uzidi kutupa mafundisho mazuri pamoja sana
Very GOOD point, toka nimeanza kufuatilia clips zako nimejifunza mengi hata nikilala late nikilala five to six hours huwa nakua vema kabisa, hii ulinifundisha jambo jema.
Kaka umenifunza ki2 ntajaribu kufuata sleepy time naona itanisaidia kwn naeza eka alarm na nkaamka ule mda bt nakuwa nmechoka ctaman hta kufanya chochote najikuta narud kulala tena akili inanambia rudi kitandani then ratiba zangu haziend tena km inavotakiwa. I will do dc naamin ntakuwa mtu tofauti thanx xo much for u'r lesson! Be blessed!
Asante teacher nimejifunza mengi kuhusu usingizi. Kama vile kupanga muda maalum wa kulala na kuamka, pia kulala kwenye mazingira tulivu wakati wa kulala. Asante Sana teacher kwa somo zuri
Asante sana naanzakulifanyia kazi kuanzia leo
Bro yan kila kitu ulichokiongea nahisi kama ulinionah mm maana kinanigusa.tenks bro nimejifunza kitu naamin nitalala vizuri na nitaamka vizuri.
Nakushukuru nimejua ni kwa Nini nilikuwa naamka nimechoka,nalifanyia kazi na sitachoka tena
Dahh nimejifunza kitu kikubwa kuhususu mda wa kilala, nitaanza kulifanyia kazi,ahsante sana.
Amidah nalala sáanane usiku naamuka saatatu bt niamuka nimechoka kabisaa
Asante kwa mafundisho mazuri
Karibu sana
Karibu sana@@successpathnetwork
Hakika kila nipitiapo mtandao katika jukwaa hili kuna mambo mengi mnooo huwa najifuna
tangu nilipoijua success path network na kukujua Brother EZDEN JUMANNE NTAMBI nimejifunza mengi mnoo na kiasi kikubwa kwa hatua niliyofikia ni mchango mkubwa kutoka kwako mkuu
Mwenyezi Mungu akupe umri mrefu ili na kizazi chetu kiweze kujifunza zaidi na zaidi
AHSANTEEEE
Asante sana umenifundisha vitu Leo vya msingi sana
Mke wangu anasumbuliwa na tatizo hilo sna naomba msaada zaid.
Shukran ya babeeby nimejifunza time ya kulala
Mashaa Allah ❤ nimekupenda brother
Shukran jazillah yah ukhty... Allah akufanyie wepesi
@@successpathnetwork allahummah Amiina
@@successpathnetwork kwa sote pia
Duuuh nimefurah sana kujua hili kaka coz uwa nasinzia darasan ,pia nakua msahaulifu,but am gonna try ths hard.thanks Brthr.
Shukran nimehifuza cha maana
Shukran kwa mafundisho yako👍🤝
Pongezi bro kwamafundisho mazuri. Mi hulala 10pm : kwamka 4 am sina uchovu wowote nimezoea vivo hivo hongera sana.
Vyakula vinachangia ujinga wa binadamu tulokuwa nao roho dhaifu tulokuwa nazo nimekusudia kwa kila kitu inatakiwa tujirekebishe kwa kila jambo na tuamini kuwa mungu yupo na ni muweza wa kila jambo sisi binadamu ni just banda bovu time yeyote linaweza kubomoka kwa uhakika tuwe makini sana na maisha yanavyo enda mungu ni mkubwa na ni muweza wa kila jambo inapaswa tumuombe sana ameen
Yani km unanizungumzia mm kabisa maana nasahau kupitiliza af pia nakua mtu wa kughairisha Mambo ya msingi I will follow this way really amazing
Shukran sana Kaka Allah akubarik, nishadownload sleepy.time leo nitaanza
mimi
silali
hata
sijuikwanini
Nalala saa5 naamka saa 11 nakua nimechoka Sana
Hongera bro ila dkk 10 au 15 zingetosha
Safi sana edzen
Jumanne kazi nzur uendelee hivo hivo tupate elimu zaidi
#SUCCES PATH NETWORK
Shukran sana kwa Darsa zuri
Wow nimefurahi kujifunza hili💞💞💞💝💝💝💝💝💝💝💝much Love bro
Thnks bro. This is powerful 🙏🙏
Jampo LA msingi, chumba kiwe kisafi, hewa safi, usafi wa kitanda, oga kabla ya kulala, kula mapema. Mengine mbwembwe tu, chumba kikiwa na hewa ya kutosha uchovu utoke wapi? Pia choo kiwe mbali na vyumba vya kulala, hewa inayotoka chooni huuchosha mwili kwa 100%
Ohooo naondoa Choo chumban kwangu maana ni pua na mdomo
Asante Sana kwa masomo yako sijawah kujuuta
Na mimi nataman Sana kusoma vitabu ila ugumu namna ya kuvipata soft coppy
Asante umeniasha bloo
Nashukuru nimepona kwikwi kwa njia kati ya hizo ilizodema nimekunywa maji mfululizo na imenisumbus kwa zaidi ya nusu saa.Asante
Karibu sana
Punguza kidogo utangulizi, toa somo tufaidi. Hata hivyo nimejifunza 🙏.
Assalamu alykum mimi dokta umenigusa sana hayo mimi ndokabisa nikiamka huwa nimechoka mwiili woote unauma mgongo mbav kifuwa tatiz sijuwi😊
❤nimeipenda hiyo🎉🎉
Umetisha bro unasema ukweli kbs
Shukran sana unanisaidia sana
huyo broo mm namwelewaga sanaa
Nimekupata bloo nilikuwa sijui kianacho nichosha usiku, asante kwa elim uliyonipa.
Ahsante Sana kaka
asante sana nimejifuza mengi lkn ninacho kijuwa kwann unakosa usingizi au unaamka umechoka 1 kula vyakula vya barid 2kula chakula kizito 3kunywa chai ya rangi 4au una dalili ya vidonda vya tumbo
😊😊co amazing🎉❤
Nalala sanne naamka Saa kumi na mbili asubuhi nimechoka mwili unauma
Tangu nianze kufatilia page yako nimejifunza mengi asande sana brother
Kwa sisi tulio waarabuni tutateseka sana basi mana tunalala kulengena na vitoto vitakapo lala
hata Mim kipindi bado sjaanza Mazoezi nilikua nalala pema na kuchelewa Kuamka lakin nilikua naamka nimechoka natamani kuendelea kulala lakin tangu Nianze Mazoezi Naamka vizur Kabisa
Safi sana kaka
Shukrani nimeanza kulifanyia kazi
Asalam.alykum kaka mi nina dadanguu aani abalala sanaaa mpk aanii anatuboaa na nibongee uyooo ilaa anatumia dawa za psychology aanii kama anachanganyikiwaa et izo zinasababishaa usingz sana na kushindwa kufanyaa kaz
Komment as zann'zawtu?.tunataka somo2 ndomuhm
Asante
Nimekuelew san bro am so proud of you
Furaha
Ohooo ok sasa apo mimi nilikuwa naomba uniambie mda upi uko pw kulala na kuamka
Napenda Uko vzr hata comment unazifanyia kaz mwenyew Tatizo hilo ninalo
Nzuri sana
Naomba msaada me nalala saa tatu usku lakin naamka saa kumi na moja na nusu nimechoka alfu kichwa kizito sana
Thanks for the educative post
Thanks alot , Allah bless u, I will start this .
HAO waliochoka wamelimishwa na wanga usiku wao wenye we hawajuwi,, mmm nangoja kuvuna.
🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣
Kwa wakati huu sidhani kama kuna mtu analala kwa ufanisi problems ziko nyingi sana sio kwamba dunia imebadilika ni sisi binadamu tumebadilika kwa kila part ya maisha yetu si mtu maskini wala tajiri ilobaki ni kumuomba mungu tu
Asalam alykumu warhmatullah wabatakatuh bro asante kwa somo rako nimejifunza mengi kutoka kwako shukuran
Am from Kenya, nafanya Saudi bt nimesaidikika Sana kuhusu hichi kipindi, coz nakala saa kumi na moja asubuhi namka Sa sita mchana, bt nilikuwa nalaumu boss wangu kwamba silali,bt niliposikia hii sleep sycoly nilielimika sana kwamba huo mda unatosha
Shukran allah barik
May he bless us all. Aamiin
Mm I should avoid Naps Sasa 😅 And I recommend "The Miracle Morning"
Magreth from Mwanza
Mimi nalala saa 4 uck naamka saa 2 asubuhi na baada ya chai saa 5 asubuhi nalala pia masaa 2 yaaan ni mchovu hadi sioni raha ya maisha
Ahsante bro yaani umetibu maradhi yangu
Somo zuri
Asante sana Bukelebe Ngelela kwa kufuatilia. Tuko pamoja sana. Stay blessed.
Kujiunga na group la vitabu la whatsapp tuma ujumbe WhatsApp "SPN BOOK CLUB"
kwenda namba 0759191076.
.
Kununua vitabu tuma neno VITABU kwenye namba 0759191076
Shukraan Kaka Ezden Allah bless you 🙏
Good teachings congrats
Habari kaka hiyo ya kulala saa chache na kuamka nipo fit mimi hapa naongoza nalala saa saba usiku alafu saa mbili naenda job na hata sina uchovu
Jaribu chai ya camomile pia Ni ya kiilinjaro tea blender... Inasaidia kulala vzr
Mimi nalala vibaya sana usingizi mbovu mzito sana naamka nimechoka kupitiliza
Asnte sana mpendwa
Mm nalala sa sita namka sa mbili mwili unakua hoi sana coz ni lazima kazin
Asante sana kaka
Umekuwa. BorA. Shout-out 2u
Nakupataje
Nalala saa nne naamka saa kumi na moja najikuta Kama nimepigwa na marungu.nakua nimechoka saaaanaaa
Allah akubariki kwa somo zuri bro
Mimi narara1:00 zausiku nasipate usingizi ira usingizi unakuja asubuhi niamuke 12:00awo11:0 natures florence
Nalala saa 11 naamka saa 05: 00 asbh lakn naamka Niko fit nimeshazoea
ALLAH bless you
May he bless us all. Aamiin
May he bless us all. Aamiin
Mm nikibaatika kulala mapema naumwa sana shingo mgongo mbavu bora nikichelewa kidogo napata nafuu lakini naumwa kila siku niwai nichelewee hali yangu ni ileile uchovu tu
Assalam Alykum japo umerusha hichi kipindi miaka miwili ilopita lakin tunao join now itabidi ujibu maswali yetu Insha Allah.....wakuta mtu alala saa nne then anaamka saa tisa kwenye kuswali usiku...akishamaliza harudii kulala inamana apitiliza mpk fajri....kisha akishaswali fajri alala mpka saa moja ....jee kulala hivi ni sahihi ....maelekezo yako tafadhali🙏......shukran
Waaleykum salaam. Sasa hapo inabidi sana kuwa mtu wa kulala mapema zaidi ili kufidia kidogo muda unaoamka usiku. mathalan ukilala saa 3 usiku (nakushauri ulale muda huu) lala mpaka saa 10 kamili. hapa unapata ile theluthi ya mwisho ya usiku ni muda mzuri kwa ibada na utakuwa umelala masaa 7. yanatosha kabisa... hapa haulali tena... ndio siku yako ishaanza. kwa ratiba zaidi tuwasiliane tafadhali katika whatsapp 0759191076
Mimi ni mwanafunzi ila shida ninachoka sana hata wakati mwingine nashindwa kujisomea
Nice kk
I’m going to work on it and I’ll give you feedback. Thank you brother.
Nalala saa 4 uck namka saa 2 asubui nakua nimechoka sana hutasema nikifanya kazi uck.
Kaka ezden assalam alaikum
Hapo kuhusu aina za kulala (milalo) nadhani ni muhim sana
Mpingo , _uzingizi noma,,
Thanks
Samaha niulize, Kama mtu anaejisaidia mara Kwa mara usiku Sleep circle zitaesabikaje.
Asante sana nafurahi kua sahihi kwa mda nnaolala na kuamka
Mambooo
Ahsante
Mm nalala saa saba lakn namka nmechoka
Assalam alaiykum warahmatullah wabarakatuh
Nalala saa Tatu mpaka kumi na mbili lakini naamka nimechoka naomwa nambavu
Nice bestie
Chakushangaza mm nalala sazingine saa kumi na moja namka saa sita basi hapo nakua mchangamfu lakin nikilala saa saba namke saa sita mchana nakua nimechoka sana
Kaka Mimi Nina shida ya kulala nifanyaje niweze kulala vzr
Sijaelewa unalala masaa mangapi ili usichoke?
Mimi nikilala sasita usiku naamka satano mchana 😂 nikilala sainne usiku naamka sambili asubui uku nine relax sana mwili unanyooka nashinda vizuri sana ila sinaga kanuni zakulala kuna mda atasiku nzima inapita silali usiku mzima atamchana sitolala
Hahaa
Hahaha
Shukraan sana brother Allah akubariki 🙏🙏
da,
Asante kwakunisaidia Mana napenda kulala San nitajitaid kuway kuamka
Thanks Bro......
Mambo
Mm shida ni chumba aiiiiii mpaka kuamka mwili imechoka na job inafaa nifanya mpaka najipata na makasiriko sana hata mtu asiniongelesha
Mbona umepotea ezden ?? Nakukubali