Ni MREMBO, MSOMI, ana miaka 25, ana KAMPUNI ya UJENZI kubwa inayotikisa Dar, atoa SIRI za kufanikiwa
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 27 ส.ค. 2024
- Unaipenda kazi yetu na ungependa kutuunga mkono? Sasa unaweza kutuchangia kiasi chochote kuanzia shilingi 500. Fuata link hii hiveticket.web...
Tunashukuru kwa kuwa Mwana SnS unayejali
Kuna nguvu ya mzazi kumtamkia maneno mazuri mtoto maana yanaishi
Kweli kbsa
Well said ni nguvu kubwa Sana mzazi aliiwekeza
Sawa sawa,kweli kabisaaa,
Wazazi tujifunze kuwaambia maneno mazuri watoto wetu.
❤I@@NataliaKenny-vb6os
Few year’s to come na mm nitahojiwa hapo sns na huyu huyu sky. #savethedate
Japokuwa now cna hata mia Ila kupitia kipindi hiki hiki nitatoboa
One day yes ❤
Amiin😊
Nimeangalia hii interview kwa muda wa week moja na sijatosheka, nampenda Sana uyu Dada anajitambua, ni muwazi, very inspiring documentary,
Japokua ni wakishua lkn unajielewa na umeweza kuendeleza wat yo dad was doing,nmekua inspired unlike Kuna watoto wakishua hata hawajielewi ,wanachowaza ni Mali za wazazi wao tu
Inspirational interview,, a good thing i noticed is thaat she started with a prayer before vthe interview, She puts God on top of all
I learn that, if we put God first in everything we do, what we do is going to successed!
God bless you Mkunde.
She is a mentor anafundisha hafichi namtakia in future awe big supplier in EAC and beyond❤
Ila wasomi na wafanyabiashara wengi wakubwa ni wachagga. Dah Kilimanjaro kuna nini? These people are amazing!
❤
❤❤❤❤❤❤
genetical
❤❤❤❤
Namuona mbali sans huyu mrembo.Sio unakuta mtu kabiashara kadogo hataki anajisahau na kurelax kama kamaliza 😢....tunsofanya bizness tunamuelewa🔥.....keep working smart and pushing harder baby boss👍🏻😍🙌🏼
Very nice interview... mume kapata mke na future kids kweli wamepata bonge la role model
Babangu pia ananiambiaga amka kabla jua halijatoka ndo pesa inakuwepo MUNGU awaweke wazee wakichaga mnajuaga kutupikaaa🥰
Umeonaeee ❤❤❤❤❤❤❤❤
Safi sanaaa MDOGO WANGU am 30+ndo nimeenzisha Shule yangu ya kindergarten.
Woow🥰🥰 hii intavyuu umenipa kitu.
Hongera mdogo wangu keep touching the rest of girls and women, God bless you. Thanks for sharing.
Jamani! hongera sana mdogo wangu, utafika mbali.
She is danger sky you are very talented unapoint nondo za maana this is not only interview but this is a lesson.
Japo kuw ni wakishua uyu sister but she looks smart, confidence & she puts her faith to God more.....Kiufup hongera yake aiseee🔥
Licha na hivo alikua na vision na mungu akawa anamsaidia
This is one of the best interview! I think mnatakiwa kuhost watu kama hawa ili kujenga imani kwa vijana wajitambue mapema! Imagine she is only 25 very inspiring ! Mungu amtunze 👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻🔥🔥🔥 blessed with this interview
Quite bright, inspirational and amazing lady! Hongera sana and I am super proud of you. Asante sana Mtangazaji kwa kumleta huyo binti. Anatia moyo sana
Daaah ❤❤❤
Upo vizuri Mkunde unajielewa
Binafsi nimejifunza sana japo familia inachangia sana mtu kufika mahali fulani
Ila in short unajielewa hongera sanaaaaaaa
Nimekupendaaaaaaaaa
❤❤❤❤
A truly admirable young lady. May God of Israeli increase and enlarge your territory and continually bless the work of your hands🙏
Wazazi wako wamechangia seem kubwa san kwen maisha yako washukur sana Tena sana alafu hongera saana piaaa
Heavy interview. Hongera sana Hilda, tuwatamkie watt maneno ya baraka kwa ssb yanaishi
Hongera kwake kama amepata mafanikio Kwa njia za Mungu maana siku hizi sio kutamanitamani mafanikio ya watu huwezi jua kapataje Cha msingi Kila mtu anauwezo wa kufanikiwa ,naamanisha Mungu kampa kila mtu nyota yake ndio maana anatuzuia kutamani mafanikio ya wengine someni Kutoka 20:17 najua wajinga watanishambulia ila werevu wamenielewa sijaona wivu
Washambuliaji huwa hawavutiwi n'a hivi vitu wangeona picha ya nusu uchi safari za china Dubaï hapo Sawa.
Hongera Hilda. Nimekupenda sana na nimekuelewa mnooo. Mm nafanya Biashara ya vifaa vya ujenzi . Natamani kufanya Biashara na wewe. Naomba Mungu anipe kibali tufanye kazi.
Hata mimi pia mwenzangu upo mkoa gani?
Wajina Mchanga mwenzangu Hongera Sana nakuombea Mungu Azidi kubariki kazi ya mikono yako
Umeanza ubaguzi, sijui waga mnakwama wapi ninyi viumbe.....!
My goodness😮😮, what an inspiration journey, May God keep blessings this Young lady. 👏🏼👏🏼👏🏼
Mungu ni mwema
Sister I appreciate you so much ur very confident while talking, have learn many things from you, continue working hard and may Allah bless you more & more.
Asante sana Hilda....kuna vitu nimevichukua one day nitarudisha majibu
Mungu aendelee kukupigania ufikie lengo lako huku nikijifunza kuwa katika Dunia hii hatupaswi"""kukata Tamaa"""
Napenda unavyo ongeza ..you make me feel I can do something on my own and can be successful
Asanteee sana sns pia pongezi kwa dada yangu kwaku nipa motivation ❤
Masha Allah. Mungu azidi kkupa nguvu na nnaimani sio wanawake2 adi wanaume wanahitaji kuwa na confindence kma yko, na kujifunza kutokata tamaa. 4real SNS u'r inspiring, this is what we need to see everytime.
Faith,Displine,Confidence&Focus❤🙏 true inspiration
Sijafika hatah dakk10 ya hii story ila nimeshamskia God akitajwa mara kadha wa kadha. Everything is God guys. Let put him first in everything we do✝️
Asante sana Dada umenishawishi na mm kutokata tamaa kwenye biashara pia kujiamini na kuvutia wateja
THIS IS PURE INTELLIGENCE. WISDOM LOADED
Nimekukubali dada,hata Mimi naweza nafuata nyayo zako,nimeipenda hiyo ya Anza kidogokidogo mzuri sana
This was a very powerful interview! congratulations Hilder, meet you to the top!!
I'm so inspired, it's amazing,
You stop living when you stop believing in yourself
🤗🤗🤗🤗
One of the best interview in 2023...
Assante sana sister kwa interview 👏👏🇲🇿🇲🇿🇲🇿 nimeipenda na somo kwangu
Hakika usipo jituma utatumwa,, hongera my sster Hilda
Atakaye oa hii BIBI ajipange kiufupi awe mwanaume aliyekamilika kiakili asiwe MVAA NDALA PENSI NA SOKSI🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Jaman mbona kaolewa nenda kwa mc gara B utaona wedding yake Hilda and Moses mwaka huu tu mwanzon
Lol umeni inspire to the level ambayo cant explain, u so cute from in and out congrats HILDA
Wooow 😍😍😍
I love your energy,your confidence,your courage, I love everythng In and out mkunde wangu♥️♥️♥️
Go go go mama👏👏👏Mungu yuko na wewe
Great interview! It is very inspiring and powerful. Hongera zake nyingi sana, the best is yet to come. Keep your head up, and God first. ❤❤❤
Congrat's
We Dada naomba unisaidie kazi mm nimwanamke ambae nimechoka sana na maisha.
Nimekupenda Hilda
Mungu akuongoze!
Uso wa Mbuzi,hakuna kucheka cheka!
Prove them wrong wew ni jembe!
Hiii ndio best inspiration interview daaa nmeipenda sana naamini one day na my company nitafika uku kuwa inspire vijana wenzangu kama sis hilder
very good inspiration girl child 👏, I'm inspired 😊
Believe in God 🙏, believe in yourself, smart mind,less expectations, DISCIPLINE in business 🙌
Hongera Dada kwa somo hili umenikumbusha biashara ya cement ambayo niliona sio dili Lakin kwanzia sasa narudi kuipambania
Ah cement inapesa tna uchukue Saudi rahisiiii
@@malak-lz6kx Saudi arabia?
@@jacqueisaac8155 ndio
@@jacqueisaac8155 oman rahis pia ila hawatoi nje .
@@malak-lz6kx Kaka nataka niongee na wewe
🙏🥰🥰 sijui kwann watoto wa 1997 tunauchungu sana na maisha
Wa pili Mimi yaani hata nikiumwa naona napoteza time ya kufanya kazi😅😅😅
@@irakozegracia183 yani tupo ivi sisi tunachukia umasikini
Huyo wa miaka 25
@@hanifahanifa1010 naoan lkn watu watoto wa 1990 mpk elf 2000 wanazeeka haraka sjui kujipamba sna kma hyu 25 utasema 45
@@malak-lz6kx 😂 mbona mimi wa 90 kama ninamiaka 25 tu nikimwambia mtu miaka yangu hawamini 😂
BLESSED DADA HILDA, HAKIKA UMENIPA SOMO KUBWA.
Nimekupenda sana makinde like me💪💪
Eeeeeeeeh pole sanaa kwa kumkosaa babaa😢😢😢but nimejifunzaa mengi kiukweli babaa akiwaa hayuko watu wanaongea vibaya pole nayapitia hayo mm
😂😂😂yani huyu dada anapenda za kikorea km mimi nimekuwa teja na nataman bongo wangefanya km wakorea nimekuwa najifunza vingi sana wakorea ni hard working sana na hata ktk film zao wanaonyesja hawachagua kazi kitu muhimu ni kazi ya halali hilo limekuwa likinivutia sana na nimejikuta hata mimi napenda kufanya kazi sana na sikati tamaa nilikua nimechoka lkn nimejikufq napata nguvu ya kutaman kufanya vitu vingine vizuri nimejikuta naweka malengo makubwa sana ❤❤
Wow naomba unitajie short movies za kikorwa ata 5 tu nianze nazo, may be i can learn something from them
@@advocatekarama4917 love and secret,it's beautiful now
@@advocatekarama4917 still loving yo,sunny again tomorrow Jang bori is here 👈hii ndio moja kati ya best korean drama ninazo zipenda na huwa sichoki kuziangalia
@@pikanaauntzuu1466 sasa zinakusaidia nini tofauti na kukuibia muda tu
@@selemanihussein7873 ujitaka kujua utamu wa ngoma ingia ucheze km ulivyoingia hapa ukaangali hio habar
Mtoto wa maskini kufikia ndoto zake huwa ni mtihani zaidi ni Mungu tu
hakuna mtoso wa maskini wala wa tajiri ni kila mtu ana rizki yake na hupewa kwa wakati wake
Uko vizuri sana. Mungu akusaidie. Maelezo yako yanatia hamasa
I've found me in this lady kasoro his dad but i know i will succeed one day
Dada kanifurahisha sana ana confidence na anamtukuza MUNGU, Baraka nyingi zikuangukie dada yangu songa mbele songa dada....
Wow the best interview and I love her passion and how it originated. Congratulations dear Hilda (Aika). More blessings to you
I Loved what she said about the words from her Dad I am a testimony of that too inspiring words from parents can change your whole life.
l'un de meilleur interview de 2023 dirigée par Monsieur #Sky avec une Jeune Entrepreneure en matériaux de construction #HILDA MBUYEKO, Félicitation #HILDA
Nimegundua ni bora mtu ufanye biashara uweke watoto wako tuuu au mkeo
kbs mtoto wako unakua una mfunza kitu na mkeo siku apo au una umwa ata simama mbadala wako
je watoto ulionao wanauelekeo huo unaowaza wewe
Na huyo mtoto bora wakike co wakiume maana wakiume akioa tu umekwisha 😂
Sahh bos wangu kaweka watt wake mke wake wote wanaenda nje kufunga mzigo mtt wa kwanza had wa sita mdogo wote wapambanaji
@@catherinekiwipa9271 wow 🎉
Safi sana Dada umeniespaya sana💯🙏👍
hongera sana nimekiangalia kipindi chako upo vizuri
Hii interview kama hujajifunza kitu chochote kwa huyu Dada wew sasa sijui tukuweke kwenye fungu gan
😀😀
😂
Sky bro big up sana kwa hii interview
Am inspired ❤❤❤❤
Hongera sana binti, una akili sana na nimefurahi unavyoishi na ushauri wako mzuri kuhusu biashara.
Congratulations to you young lady
Good Job Hilda😘
Dada asante sana,interview nzuri sana,imenifundisha vzr sana
Nime enjoy sana na hii interview ongera sana mdogo wangu I real Love u
Am so excited with you
This woman has the ability to change the trade and dynamics of how to excel she needs to share her experience ❤
Very nice your powerful girl, long life, never ruturn back, be blessed more
Mimi kama muha nawapenda wachaga kinoma Ni Watu smart
You truly look classy,❤❤❤❤KEEP IT UP,NEVER GIVE UP💪👍💖
Wow But GOD🙌🏽🙌🏽❤. Sis we wish you all the best, Blessings za BABA na Baba yako zitakubeba.
NIMEKUPENDA BUREEE MKUNDE NIMEONA BANGO LAKO PALE UBUNGO MAJI KUMBE NI WWW MASHALLLAHLIBARIKIWE TUMBO LA MAMA ALOKULETA DUNIANI ABARIKIWE BABA ALLAH AMPE MWANGA KTK NYUMBA YAKE YA MILELE YAANI UMENIHAMASISHA SN MAANA NAAMINI NA MIMI NDOTO YANGU ITAFIKA NINA KITU MOYONI MWANGU NATAMANI KITIMIE INSHAALLAH MUNGU ASIKUPUNGUKIE MDOGO WANGU UMETUPA MADINI
This story melt and touch my heart ❣️ , i see me from her .....
Ahsante na hongera sana,mungu akusimamie usibadilike unapendeza sana ulivyo naamini mtu hupeneza sana akiwa mwema.mungu akubariki sana nimejifunza kitu kikubwa sana
The name HILDA 😭😭😭 reminds me many things, my wife Hilda I wish she could be here aone another HILDA, she is making a break even 🙋🙋😭 everything happens for a reason.
Am Hilda am here
Sky, kwanza hamna mtu ambaye anaweza kujiita self made, kila hatua ni watu wanashiriki kuanzia wanaokuuzia, unakonunua, unapokaa and etc, so there is nothing like self made, ili uwe self made, ujizae mwenyewe, ujilee mwenyewe, ujisomeshe mwenyewe and etc, so no one is self made, hata hao waliomuamini ni kwa sababu at least walimjua baba yake and experience aliyoipata kutoka kwa baba yake and etc.
Kabisa
Your talking to much with alot of nothing bro. We say selfmade, meaning we designed ourselves. #Period
Kaka umeongea pumba😂🚮🚮🚮🗑
Self made bse ure the cause of every thing.
Very inspired
Hilda is very powerful
Uko vizuri madame na nimekuelewa sana wewe ni mpambanaji 👍. Natamani nifanye biashara na na wewe siku moja
Woooow so cute I'm proud of you namesake hopeful I shall be so successful just like you dr
I hope this inspire every women who is giving up
Mmeshaanza na habari za women women, everyone is inspired with this bana, hakuna anayestahili kugiveup, hata wanaume wanastahili kutiwa moyo!!!
@@bernarda.ngonyani-tma7170 😂😂😂 Meeeen, you just said what they had to hear!. ✌️
Hongera sana , umeweza 👏🏻
Siku moja inshallah nitahojiwa mm hapo sns ❤
Ishallah na Mimi .
Inspiration.....yuh gud
Congratulations dear, keep shinning!.
Powerful
Nimependa history ya hyu, But ingekuwa vzr ukamleta yule ambaye ametoka kwenye familia duni kbsa, ambaye hkupata hta nafasi ya kusoma,
She is definitely smart and God fearing❤...
Wau im very inspired with you girl... you are my age mate darling....im also into supply.....and agri business.....lots of love from kenya.....ina faaa tutaftane.
tuseme tu dada ni wa kishua,na ana support ya familia
Hyo haitoshi bro. Bila na yye kupambana hasingefika hapo
@@JELSONMAUKIsure
Waooo ...umetuinspire saaana
Huyu dada nimemuelewa sana aisee dah
Maisha ya watu yana siri sana , tunaambiwa cha kuambiwa tu ila hongera kwake
kama vile hujaamini maneno yake!
😂 😂 😂 eti tunaambiwa cha kuambiwa tu, kwahyo nyuma ya pazia kuna mengine ambayo siyo ya kuambiwa 😆😆😂😂
Kapaniki
True changanya na yako
am so inspired , this lady she looks smart very confident 🙌
Mdogo wangu umeongea point sana,Kila neno linanigusa