"Kama ningekuwa msikilizaji, je ujumbe huu ungenifundisha kitu gani?" moja ya swali zuri sana na topic nzuri kwa speakers na wanaOtamani kuwa wazungumzaji. Shukrani sana kaka. We are really heading to the T.O.P!
Hello brother Joel, kiukweli kwa sehemu kubwa nakiri kabisa nimekua na tatizo la kuweka lengo la kueleweka katika kuzungumza na watu na hii ni sababu ya kutaka kujionyesha kuwa superior sana information wise. Shukran sana kwa somo hili na mengine yote uliyowahi kutoa na unayoendelea kutoa. Ni ndoto yangu siku moja kuvaa viatu vyako lakini kwa sasa ni wazi nahitaji mentors na wewe by far umekua msaada mkubwa sana kwangu. Kama maandiko yasemavyo Mithali 27:17 "Chuma hunoa chuma, ndivyo mtu aunoavyo uso wa rafiki yake." Mwenyezi Mungu azidi kukubariki na usiache kutunoa. Amen
Asante kwa elimu yako mr joel u make my mind free everyday nakufatilia sana katka chakula cha ubongo unatoa naomba mawasiliano yako ili unitibu zaidi kwa ushauri
dah changamoto tunayo weng sana tunapotaka kuongea tunajikuta tunaongea mambo meng mpaka tunapoteza maana yakitu chenyewe .ahsante broo angalau tutaeleweka
Ahsante Brother kwa kunipa Elimu hii, maana hiki kitu natamani kufanya kwa ufasaha zaidi ya kuwa mzunguzaji mzuri katika jamii kuwasaidia , maana naona kuna sehemu kama sipo sawa ila siachi kujinowa vyema.
Tuanze na wewe unavyozungumza unaonekana unajua sana na iko very intimidated watu wanaweza kukusikiliza kwasababu watakuogopa na jinsi unavyozungumza na sio kwasababu wamependezw na unavyozungumza. Ila sikujui in person maybe katika area zengine uko vzur
Kaka nikiwa nataka kitabu kimojawapo Cha kuichaji akili yangu kila cku maan navutiwa sana na elimu Yako ila nikipata nakitabu Cha kuniongoza ktk maisha ya mafanikio na kuiongoza fedha
Kaka Joel shida yangu ni kupanga mazungumzo yaan nianze Na nn kati, Na mwisho nahitaji kitabu ambacho kitanipa mwongozo kweny hilo nimetuma SMS whatssp lakini sijajibiwa!! Diana Lupi
Mm nafanya Kazi ya Uhamasishaji wa Vijana Hasa Kuunda Vikundi changamoto yangu ninayo kutana nayo ni hao vijana Kutokukubali hizo fursa ninazowapelekea Sasa nashindwa Kuelewa Je Ni mm ndio sieleweki au Ni wao vijana kutohitaji Fursa
"Kama ningekuwa msikilizaji, je ujumbe huu ungenifundisha kitu gani?" moja ya swali zuri sana na topic nzuri kwa speakers na wanaOtamani kuwa wazungumzaji. Shukrani sana kaka. We are really heading to the T.O.P!
Spn kumbe nawew una mfatilia Kaka joel
Hello brother Joel, kiukweli kwa sehemu kubwa nakiri kabisa nimekua na tatizo la kuweka lengo la kueleweka katika kuzungumza na watu na hii ni sababu ya kutaka kujionyesha kuwa superior sana information wise. Shukran sana kwa somo hili na mengine yote uliyowahi kutoa na unayoendelea kutoa. Ni ndoto yangu siku moja kuvaa viatu vyako lakini kwa sasa ni wazi nahitaji mentors na wewe by far umekua msaada mkubwa sana kwangu. Kama maandiko yasemavyo Mithali 27:17 "Chuma hunoa chuma, ndivyo mtu aunoavyo uso wa rafiki yake." Mwenyezi Mungu azidi kukubariki na usiache kutunoa. Amen
Mm nakuunga sana mkono joel mafundisho yako yananiingia na kunielimisha . nahitaji na mm niwe mzungumzaji mzur kama wewe.
Natamani wahubiri wa injili na waalimu wapate fulsa yakutazama hii video. Asante sana Mwl
Mwalimu joel wewe ni mwalimu wangi japo mm ni mwalimu wewe uko juu yangu asantee asante ninaomba namba ya kutafutaa vitabui
Asante Sana kwa mafundisho Yako Mimi ninatamani sana mwanzon mwa mazongumzo nikiwa mbele ya watu na anza anzaje
Asante kwa elimu yako mr joel u make my mind free everyday nakufatilia sana katka chakula cha ubongo unatoa naomba mawasiliano yako ili unitibu zaidi kwa ushauri
Da,,,nimejifunza sanaa ,yaani sasa nimepata pakuanzia nilikuwa napata tabu kuaandaa somo kanisani Rakini sasa nimesaidika,
Natamani kuwa motivation speaker nifanyeje iili niwe vizuri na nijulikane na watu
dah changamoto tunayo weng sana tunapotaka kuongea tunajikuta tunaongea mambo meng mpaka tunapoteza maana yakitu chenyewe .ahsante broo angalau tutaeleweka
Hapo ndo unakuta mtu anakwambia khee nilijua una akil timam kumbe zamwamwa nmejifunza kitu kikubwa sana mwl joel
Niko pamoja nawew Joel uko vizuri
Ahsante sana mentor
Hongera joel nanauka kufukisha subscriber 200k
Kaka nakufuatilia sanaaaa pia Nina ndugu yangu amefaidika sana kupitia wewe watu wa aina yako wapo wacheche sana
Hii speech imenifungua Sana
Kweli kabisa unaweza zungumza kwa uchache ila ukaeleweka kwa faida kubwa.
Ahsante Brother kwa kunipa Elimu hii, maana hiki kitu natamani kufanya kwa ufasaha zaidi ya kuwa mzunguzaji mzuri katika jamii kuwasaidia , maana naona kuna sehemu kama sipo sawa ila siachi kujinowa vyema.
Ahsante Sana kakaangu
Binafsi nashukuru sana kwa mafunzo yako
Safi Sana brother Joel, nimekupata vizuri kabisa
Asante Sana kaka...kwakweli unatupa elimu ya kutosha....unatufumbua macho yetu kila kukicha...mungu akupe kila lenye kheri ...
Naomba uniunge kwenye magroup yako ya wasap joel
Lakini piah nahitaj vitabu vyako
Asante sana kwa somo zuri kaka Joel
Nimejifunza kitu muhimu sana
Nitaendelea kujifunza zaidi katik vipind vyako
Nakupenda sana my kaka,
Ubarikiwe Sana na BWANA wa majeshi.
Mazidi kujifunza.
Shkrn sana brother kwa somo zuri sana. Nifanye nini km wasikilizaji wako tofauti kiumri na kielimu.
Shukran Ndugu hatuta kata tamaa,ya kusikiza,mawaida yako Kaka tuko pamoja ........
Tuanze na wewe unavyozungumza unaonekana unajua sana na iko very intimidated watu wanaweza kukusikiliza kwasababu watakuogopa na jinsi unavyozungumza na sio kwasababu wamependezw na unavyozungumza.
Ila sikujui in person maybe katika area zengine uko vzur
ahsant san brother nimeelewa kuongea kwa mpagilio mim nikiongz nilikuwa naonge mpaka watu wang wanalalamika
Barikiwa
Jaman natamani sana kupata kitabu chako
Masha Allah...Uko Vizuri Broo kwa ushauriii👍...
Kaka nikiwa nataka kitabu kimojawapo Cha kuichaji akili yangu kila cku maan navutiwa sana na elimu Yako ila nikipata nakitabu Cha kuniongoza ktk maisha ya mafanikio na kuiongoza fedha
Asante bro Joel nazidi kujifunza kutoka kwao be blessed
Niko ruvuma wilaya ya mbinga town na Bei zake
Safi tu kaka unanifunza vitu vingi sana
Ahsante SANA Teacher Kwahili
Kaka whatsapp group pia vitabu. Nakubali sana kazi yako inanipa ujasiri wa kua wa tofauti
Namba NNE yan kutaka kuonekana najua zaidi
Ahsante Sana bro🙏
Nimekupata mkuu
Pamoja
Asante ubarikiwe
Unafanya vizuri sana kaka
Thx you so much brother
Mungu akubariki sana
Ahsante sana mentor
Asante saana
❤️❤️❤️
Mimi nikitaka kuzungumza na mtu ninakua nina sau ninacho kizungumza au nina ama mada
I get you well brother
Hakika
Awesome thank
Kaka Joel shida yangu ni kupanga mazungumzo yaan nianze Na nn kati, Na mwisho nahitaji kitabu ambacho kitanipa mwongozo kweny hilo nimetuma SMS whatssp lakini sijajibiwa!! Diana Lupi
Mimi ninahitaji kuwa mwalim bora kaka nini nifanye??
Much respect brother 🙏
Naomba namba
❤️❤️Helpful
Kuongea mambo mengi bila kukadiria mpaka najikuta natoka njee ya mada
Thank you
Thanks bro
Mm nafanya Kazi ya Uhamasishaji wa Vijana Hasa Kuunda Vikundi changamoto yangu ninayo kutana nayo ni hao vijana Kutokukubali hizo fursa ninazowapelekea Sasa nashindwa Kuelewa Je Ni mm ndio sieleweki au Ni wao vijana kutohitaji Fursa
Mim nimekuelewa sana,
Great
Elimu ipo
Bro kiukwl Madini unayo tema yanat bless Sana tuliyo wengi Mungu akupe nguvu uzidi kua n ubora uleule
Nina shida na namba yako bro
Kwa mtu wa mbali anaetaka vitabu vyako anavipataje?
Umenifundisha kitu flani kaka kupitia hii video..🙏🙏🙏
Kaka naomba zako za whattsapp