MAMBO HAYA YANAKUCHELEWESHA KUFANIKIWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ส.ค. 2024
  • Mambo matano (5) yanayochelewesha mafanikio yako:
    Mafanikio ya kweli hujengwa na tabia fulani maalum sana na kwa kuwa ni tabia basi huenda kuna muda tunafanya yale yasiyotupeleka popote kimaendeleo iwe kwa kujua au bila kujua. Karibu ujifunze kitu kwenye somo hili la mambo yanayokuchelewesha kufanikiwa
    .
    Usiache ku SUBSCRIBE na kuniachia mawazo yako kwenye COMMENTS, LIKE na SHARE PIA kwa wengine.
    .
    NIFUATE MITANDAONI
    INSTAGRAM: / ezdenjumanne
    TWITTER: / ezdenjumanne
    FACEBOOK: / ezdenjumanne
    LINKEDIN: / ezdenjumanne
    .
    For Business please send me an email
    ezdenjumanne@gmail.com
    Or leave a text/ Whatsapp : (+255)759191076
    #Mambo5 #Yanayokuchelewesha #kufanikiwa

ความคิดเห็น • 332

  • @linusbenignus2658
    @linusbenignus2658 4 ปีที่แล้ว +46

    Somo zuri sana brother .
    Jambo lingine ambalo linaweza likawa la nyongeza ni " KUIISHI HISTORIA YA KULE ULIKOTOKA"
    Nikiwa na maana kwamba kuna watu wamekata tamaa kwamba hawawezi kufanikiwa kwa sababu ndani ya ukoo au famila wote wana maisha duni. Kuna wengine utasikia anasema "ntawezaje kununua gari wakati baba yangu hana baiskeli" kwa hiyo unakuta mtu anaishi maisha kwa kuangalia chain ya kwao pasipokutambua kwamba kila mmoja kaumbwa akiwa na greatness ndani yake.

  • @salumyussuf2140
    @salumyussuf2140 4 ปีที่แล้ว +6

    Thanks brother, mm kiupande wangu nimejifunza vizur kiasi Kuna marafiki zng nimesoma nao chuo Ila hawanitafuti mpk wawe na shda zao wamekwama kimawazo huja kutaka msaada ktk Hilo Ila once tukianza kutatua tatzo wananisumbua sm hawapokei na miad haitimii au pia huwa na mawazo mfano ufugaji mm nilikubali na nikawa tyr kwa kila ktu Ila wao walinambia kuku hawana soko mm nikaanza peke yng ingawa cjafanikiwa hadi sasa ni mwezi wa 8 huu Ila naamini nitafanikiwa na la kushangaza ni kwamba wao huhitaji kuku Ila hela yng hawanipatii yote mpk Leo nawadai Ila wale watu kando wananua na wanalipa Cash na zote siwadai hebu nipe ushaur wko hapo

  • @muslimo6
    @muslimo6 3 ปีที่แล้ว +2

    Kwanza nikitaka kutowa shukran sana! Wallah namshukuru Mola. Ivi Sasa Nina mwezi 2 nakufatiliya na kufanyiya kazi ujumbe wako. Alhamdulillah mafanikiyo nayaona.

  • @whitesonkatunzi1003
    @whitesonkatunzi1003 3 ปีที่แล้ว +1

    Dah! mimi tatizo langu kubwa ni uwoga wa kuthubutu na watu watanichukuliaje nikithubut hila zaidi nafurah San mafundisho yako mpak mifano yako kama vile ushawai pitia hizo kitu thanks my brother

  • @mkiyastories3500
    @mkiyastories3500 4 ปีที่แล้ว +6

    Nilijilaumu sana kwanini nilichelewa kukufuatilia. Ila nafurahi kwasababu nimemaliza kufuatilia video zako zote. Allah akujalie Kheri na mafanikio zaidi. Nimejifunza mengi na ninaanza kujiona mtu wa tofauti sana..🤝🤝🤝

  • @josephjegizh7767
    @josephjegizh7767 3 ปีที่แล้ว +2

    Ndio bro jumanne nimekukubali sana kwa nasaha zako za maisha yetu ya kila siku wewe mkali unaaminika

  • @abdallahmuhammed2279
    @abdallahmuhammed2279 4 ปีที่แล้ว +2

    kaka hongera sana kwamafunzo yako mola atakulipa kweli

  • @helenamusa432
    @helenamusa432 4 ปีที่แล้ว +6

    Nakupenda sana Jumanne Ezeden kwa ucheshi ako maneno mazuli yanipayo ujasili kwel schoki kukusikiza yani namuomba Mungu anipatie mume yuko kama we we nipate laha moyoni

  • @elimika7ayo
    @elimika7ayo ปีที่แล้ว +3

    Wee noma sana kaka😀😀😃

  • @dodysngl4428
    @dodysngl4428 4 ปีที่แล้ว +2

    Mimi niwa Burundi tena mchristo lakini vidéo zako na shauri zako mengi yakusem ninayo ila mungu aku ongoze sana na akufungue zaidi ili uweze kusaidiy watu wengi kma mimi you are blessed

  • @meleniaelikana7345
    @meleniaelikana7345 4 ปีที่แล้ว +3

    Uko sawa mungu akutumie vile yeye apendavyo,uwe chombo sahihi kwaajili ya wengine akupushe na mabaya ya dunian

  • @sharifaabdul4850
    @sharifaabdul4850 4 ปีที่แล้ว +2

    Dah ezden wewe kama unanijua vile. Aise dah Mwenyezi Mungu akuweke miaka mingi bado tunakuhitaji mno.

  • @abdullamohd7224
    @abdullamohd7224 4 ปีที่แล้ว +2

    Shukrani. Leo nimejifinza kujitoa woga ktk kitu ambacho nakifikira kukifanya

  • @bekaseurizo8669
    @bekaseurizo8669 4 ปีที่แล้ว +2

    Nimependezwa na mafunzo yako kaka Mungu akubariki

  • @lucasmollel2522
    @lucasmollel2522 4 ปีที่แล้ว +2

    Aise umeongea some strong point..kuwa muwazii iko poa Sana na it has motivated me a lot.. the best lesson don't listen to people thoughts

  • @sylvestermushy7540
    @sylvestermushy7540 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana bro, kwa point zako nimezielewa endelea kufanya hicho kitu maana unatufundisha vitu vingi sana kwenye uhalisia wa maisha

  • @lucyjeremia1381
    @lucyjeremia1381 ปีที่แล้ว +1

    Nimejifunza kile ninachokiogopa yaan kama biashara naogopa kuanzisha kumbe apo ndo kuna mafanikio yangu Asante Sana kaka 🙏

  • @landemauriac7232
    @landemauriac7232 4 ปีที่แล้ว +2

    Haya mafundisho ni zaidi ya shule
    Asante sana kwaku tu elimisha

  • @janethkomba4787
    @janethkomba4787 10 หลายเดือนก่อน +1

    Yaani hapo kunavitu 3 vimenigusa kabisa😂 nimejifunza kitu kipya asante sana

  • @farajiawesi5254
    @farajiawesi5254 4 ปีที่แล้ว +2

    Nilichelewa sanaa

  • @ElimikaTz
    @ElimikaTz 4 ปีที่แล้ว +1

    Well said!👍🏽 kitu kingine nadhani wengi wana shindwa kufanikiwa kwa sababu ya imani zuizi. Kwamba kwasababu mimi ni kitu flani.. labda msichana, mzee, Maskini, sina uzoefu, sijasoma shule n.k basi siwezi kuwa mtu flani Au siwezi kufanya kitu flani. Inasikitisha sana mindset za baadhi ya watu zilivyo fungwa na limiting believes.

    • @joycechaz2840
      @joycechaz2840 3 ปีที่แล้ว +1

      Umenena dear yani mimi napataga wazo la kufanya kitu lkn najisemea komyomoyo kuwa cjui kingereza nitawezaje hili jambo basi ndoto zangu zimekuwa zikiishia hewani kwa style hiyo

    • @ElimikaTz
      @ElimikaTz 3 ปีที่แล้ว

      @@joycechaz2840 pole kwa changamoto hiyo , natumaini kuwa sasa unatambua kuwa unaweza kufanya chochote kile ukituliza akili, kuwa na nia na kufanyia kazi ndoto hiyo. kila la kheri :-)

  • @zahrakitchen5880
    @zahrakitchen5880 4 ปีที่แล้ว +3

    Shukran.....Allah akuweke Aamiin 🙏

  • @verodeuss8007
    @verodeuss8007 4 ปีที่แล้ว +8

    Kaka J yaan me najituma sana kwenye kazi lakin nashindwa kitu kimoja tu kutunza hela zangu

    • @madambebiz6179
      @madambebiz6179 4 ปีที่แล้ว

      ushaur wang Dada kma ukiweka kwenye ACCOUNT naitoa au moins bdo unatumia njia rahis chongesha kibubu cha chuma uwe unadumbukiza na utagute kikundi kidogo kinacho aminika ili PESA yako izunguke uiwekee marengo. I swear utadhukuru one Day

    • @hassanmasoud965
      @hassanmasoud965 4 ปีที่แล้ว

      Fungua account ya benki

    • @emanuelmwanga4
      @emanuelmwanga4 4 ปีที่แล้ว

      @@madambebiz6179 Dada ushauri wangu pesa haikai jaribu kueka ktk mzunguko at a kwenye biashara na so lazm uwe na biashar moja apan unaeza ingiza pesa zako ktk biashara mbali mbali

    • @mussalulenga9939
      @mussalulenga9939 3 ปีที่แล้ว +2

      Pole ila jiunge na vikundi mbalimbali ,wekeza kwenye biashala ,au fungua fixid accaunt ambayo unakua unaweka hela kila siku hata 5000tzsh kila siku ueke mda wa mwaka utaiona vizuri mno kwa mwaka utakaua 2400000

    • @nasibumtulo3252
      @nasibumtulo3252 3 ปีที่แล้ว

      @@mussalulenga9939 umenifundisha kitu shukurani

  • @LawrenceKakuba-xe5zm
    @LawrenceKakuba-xe5zm 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akubariki bro,mafundisho Yako yananifanya nijitambue na nijiamini kazi njema Mr .

  • @shadyaseif7782
    @shadyaseif7782 3 ปีที่แล้ว +2

    MASHALLAH Allah azidi kukupa afya uweze kuendeleza darsa zako....kiukweli nimepata faida nyingi asante

  • @masanjamalugwaja9972
    @masanjamalugwaja9972 2 ปีที่แล้ว

    Wengi tunasoma Hadi vyuoni tukiwa na imani ya kuja kupata ajila ikiwa na maana tunahakikisha kujibu maswali kwa usahiri tunashindwa kujifunza uhalisia wa maisha hatimae tunashindwa hata kufikia mafanikio

  • @sadikathumani1003
    @sadikathumani1003 4 ปีที่แล้ว +2

    Brother kwa masomo haya mungu atakulipa dunian na akhera! Thanks.

  • @jamesmwajombe3429
    @jamesmwajombe3429 4 ปีที่แล้ว

    Oooh umenifungua akili real you are more gifted and smart

  • @josephmethod5509
    @josephmethod5509 4 ปีที่แล้ว +3

    Fact. Ila kwa Wanafunzi wengi tunakosea Sanaa hii tunageuza Kama chuo Ni sehemu ya kujifunza kumbe chuo Ni maisha na sio sehemu ya kujifunza.

  • @brysonaidan7956
    @brysonaidan7956 4 ปีที่แล้ว +1

    Brother shukran nazid kuelimika kila siku ,,ubarikiwe sana.

  • @kelvinkeejone7371
    @kelvinkeejone7371 4 ปีที่แล้ว +1

    What i learn most dont be yes man....Dah mm sema ukweli umensaidia knomaa yaan nlikua naona km ntamboa mshkaji afu mtu flan hv wa "no worry about" thanks brah,i believe now its a time to change

  • @AlAl-sd9pl
    @AlAl-sd9pl 4 ปีที่แล้ว +5

    Ninapenda Sana einglish yako unapo ongea big up brother

    • @djcolor3238
      @djcolor3238 2 ปีที่แล้ว

      My brother the word einglish kindly correct spellings....
      Jummanne congratulations bro I always learn alot here... may God blesa you... kalasinga from Kenya

  • @funniestvdo9804
    @funniestvdo9804 ปีที่แล้ว +1

    Thank you so much

  • @worldhiphopcompanybesthiph2610
    @worldhiphopcompanybesthiph2610 4 ปีที่แล้ว +1

    Bro I like the way you advice people.thank I get it

  • @theddymkenda7659
    @theddymkenda7659 4 ปีที่แล้ว +1

    Nimeipenda kweli

  • @lionelkibwana6688
    @lionelkibwana6688 4 ปีที่แล้ว +2

    Broo nakubali sanaa maarifa yakoo 🙏

  • @user-ci2mw8mt2i
    @user-ci2mw8mt2i 3 หลายเดือนก่อน

    Nimechelewa sana ku join success path ila nipo hapa 2024
    Sema bro nimependa ulivyofunga show 😊

  • @shabandar2702
    @shabandar2702 4 ปีที่แล้ว +1

    Umenisaidia sana kaka angu

  • @patrikeramazani3806
    @patrikeramazani3806 4 ปีที่แล้ว +2

    Asante

  • @avitusjovin
    @avitusjovin 3 ปีที่แล้ว

    Nakukubali sana kiongozi Yan unanipa ujasili wa mafanikio mpaka najiuliza kwann neme chelewa kuzaliwa

  • @JumanneShingsha-ks4vb
    @JumanneShingsha-ks4vb ปีที่แล้ว +1

    Kwanz kabsaa nashkru sana Kwa kukutna na chanel yako Kwa kwel Mungu akubark 🙏🙏

  • @winfridaadam7951
    @winfridaadam7951 7 หลายเดือนก่อน

    Ahsante sana,,Nimejifunzaa kitu hapoo,, Mungu akubariki sanaaaa

  • @damarsd4599
    @damarsd4599 4 ปีที่แล้ว

    Namshukuru Mungu kukupa neama Na hekima ya kutufundisha vile tunavyo kuwa kimaisha, Mungu akubariki Sana

  • @saleheabdallah3438
    @saleheabdallah3438 3 ปีที่แล้ว +1

    Najifunza kujali mda na kufocus kwenye mamb yang ya msing .zaid umenifumbuwa jamb zur ALLAH AKUZIDISHIE ZAID YA HAPO INSHAALLAH

  • @shamsiamsaghati
    @shamsiamsaghati ปีที่แล้ว

    Nimejifunza mengi
    Ila hili la kuwa YES MAN yaani unkuta mtu anatumika mpaka unajiuliza huyu kweli hana kazi yoyote ya kufanya. mana twende wapi Sawa nisindikize cjui wapi Sawa kuna shughuli ya mwajuma cjui twende yaani yeye yupo kila wakati anatumia kwenye mambo ya watu
    Umkute kwenye kulalamika maisha magumu sasa loooh. Hivi hujishughulishi zaidi ya kuvaa vijora kila siku una shughuli utafanikiwa lini
    Pia kuendekeza starehe watu wengi inawacost lakini wao hawajatambua bado
    Yaani watu bado hatujajua hata jinsi ya kutumia muda vizuri pia mana mtu kutwa anafatilia udaku mtandaoni hajifunzi mambo yenye kumnufaisha hata

  • @kidyangle
    @kidyangle ปีที่แล้ว +1

    Allah Bariki ili pindi liluke kwenye channel kubwa hapa nchini naimani kitasaidia watu wengi saana ichi kipindi

  • @bekaseurizo8669
    @bekaseurizo8669 4 ปีที่แล้ว +1

    Main point FEAR FEAR.........

  • @jameskulengwa9333
    @jameskulengwa9333 2 ปีที่แล้ว

    Ezden napenda sana kazi yako kwani unayo yazungumza ndio yanatokea kwa asilimia kubwa ktk maisha yetu ya kila siku

  • @papaangazisaba803
    @papaangazisaba803 4 ปีที่แล้ว +1

    Mentor Me✊✊

  • @motivational2556
    @motivational2556 3 ปีที่แล้ว +1

    Bro I pray to the almighty god to bless you on the work that you doing to save people’s life,I always find the time to watch your videos and they inspire me a lot!!

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  10 หลายเดือนก่อน

      You're so welcome... And thank you for your words of encouragement. Stay blessed

  • @zaynabhussein6825
    @zaynabhussein6825 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akuzidishie

  • @safiasuleiman3119
    @safiasuleiman3119 4 ปีที่แล้ว

    Unanifunua ubongo nzuri Sana ata wanangu nitawaambia wakuwatch umenifundisha elimu hii ata mabinti mitaani na wanangu nitawafundisha so good .

  • @ashaomary347
    @ashaomary347 4 ปีที่แล้ว +1

    Kaka salama shukran kwa somo

  • @kacherosimba5762
    @kacherosimba5762 3 ปีที่แล้ว

    Ndugu zangu naomba ushauli wenu kuna jambo haliko sawa kwangu mimi napenda sana kufanya biashara mwaka 2018 nili fungua duka la vitu vya nyumbani nikiwamtaji wa milioni moja nalaki mbili nikaa nakumbuka siku ya kwanza nili uza 800 tu siku ya 2 nika uza elfu20000 baada ya mwezi nika wa nauza elfu 40000 mpika 50000 baada ya mwezi sita ile sehemu nika hama kwa sababu yakushindwa kulipa kodi nikaenda sehemu nyingine hiyo sehemu kuna wateja wengi sana lakini nikawa sina vitu vingi ikabidi nimweke mdogo wangu mimi nika fanya kazi baada ya miezi sita aseee nililia sna dah mpaka sasa nahangaika ili niongeze mtaji lakini watu wanao simamia wana nikwamisha sana kila mwaka naanza umpya naona siendelei nikopalepale dah nashindwa kabisa

  • @JJTSUPERCLEANER
    @JJTSUPERCLEANER 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hapo nimejifunza 1.kuepuka marafiki weng 2.kjjisimamia

  • @sipolasafi9225
    @sipolasafi9225 4 ปีที่แล้ว

    Shukrani sana kaka somo nzuri katika maisha

  • @edisonmaganga5010
    @edisonmaganga5010 4 ปีที่แล้ว +1

    Nzur

  • @rosepeter8996
    @rosepeter8996 3 ปีที่แล้ว

    nimecheka,nikaelimika,na nikaishia kukupa like bro👍.good advice be blessed for us;👏👏👏.

  • @agustinosanga6754
    @agustinosanga6754 ปีที่แล้ว

    Asante sana broo MUNGU akubaliki

  • @Patrickpatrick353
    @Patrickpatrick353 4 ปีที่แล้ว

    Nakubali ulicho kiongea chote mzee baba

  • @wahidkombokhamis4330
    @wahidkombokhamis4330 4 ปีที่แล้ว +2

    Iko poa sana, shukran kaka

  • @careenchengula2682
    @careenchengula2682 3 ปีที่แล้ว

    Kaka napenda sana masomo yako maana yamenibadirisha sana, Asante kaka.

  • @johntaino6411
    @johntaino6411 2 ปีที่แล้ว

    Shukrani sana brother kwa kupush my hope na nina imani itafanya kazi, uwoga pia utaondoka yaa

  • @barakanjiku3166
    @barakanjiku3166 3 ปีที่แล้ว

    Nimejifunza mengi sana kaka uko vizur sana mungu akubark

  • @chriskinn7544
    @chriskinn7544 3 หลายเดือนก่อน

    Now nimejua nikokundi gani thanks bro naenda kutekeleza majukumu yang now

  • @jumaahmad4117
    @jumaahmad4117 4 ปีที่แล้ว

    Hapo pa kuogopa kufanya kitu kisa watu watanichukuliaje Ndio wengi tuna feli au mtu kchagua
    Kaz wakti yy mfukon Hamna kitu
    Dont fear how People What say about u look your futuer
    (Thanks broo Ezden)

  • @martinamlowe6312
    @martinamlowe6312 3 ปีที่แล้ว

    Thanks much for this lesson,God bless you

  • @shamsiamsaghati
    @shamsiamsaghati ปีที่แล้ว

    Thanks kwa somo
    Jazakallah

  • @officialadili5376
    @officialadili5376 4 ปีที่แล้ว +3

    hua nakuelewa sana broo

  • @herielykaluse4422
    @herielykaluse4422 3 ปีที่แล้ว

    Thanks brother Ezden

  • @adamusadiki5661
    @adamusadiki5661 4 ปีที่แล้ว

    Nice nimejifunza big up sana 2ko pamoja

  • @youngleey7669
    @youngleey7669 4 ปีที่แล้ว +1

    dah!! kaka me nikiwa na mawazo yangu nkiingia kwenye hii chanel tuu basi napata muamko mkubwa sna be bless broo hakika unatuma elimu kubwa sna kaka.

  • @nashirshaban7066
    @nashirshaban7066 4 ปีที่แล้ว

    Mashaallah. Nimejifunza. Barakallahu fyk

  • @libepaul6896
    @libepaul6896 4 ปีที่แล้ว

    Asante kwa kunipa maarifa

  • @tomolenty
    @tomolenty ปีที่แล้ว

    God bless you brother

  • @daudiombeni7996
    @daudiombeni7996 2 ปีที่แล้ว

    Thank you so much bratha

  • @mussaambokile3849
    @mussaambokile3849 3 ปีที่แล้ว

    Point ya tano bro ezden kilchobaki n kutendea kazii sante

  • @harmal7_
    @harmal7_ 4 ปีที่แล้ว +1

    Elim nzur sana kak

  • @Mrshillah
    @Mrshillah 4 ปีที่แล้ว +1

    Ipo sawa👍

  • @renatusmatungwa6800
    @renatusmatungwa6800 3 ปีที่แล้ว

    Ahsante sana braza

  • @chieffofofoodinternational4102
    @chieffofofoodinternational4102 2 ปีที่แล้ว

    Uko vizury broo Yani nimeeelewa sana

  • @melancolin1207
    @melancolin1207 4 ปีที่แล้ว +1

    Unanifurahisha unanifundisha upo vizuri Sana'a😂😂😂😂

  • @user-of5sk5yy6q
    @user-of5sk5yy6q 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ukweli mtaalam jambo la uoga nitatizo kubwa

  • @jackycute2047
    @jackycute2047 4 ปีที่แล้ว

    Aise nimejifunza mengi Sana mungu akubariki

  • @vincentmongi2897
    @vincentmongi2897 4 ปีที่แล้ว

    Nice lesson,kitu kingine kutumia pesa kwa mambo ambayo sio lazima

  • @benardpeter1853
    @benardpeter1853 4 ปีที่แล้ว

    Kweni bro MWENYEZI MUNGU akubariki sana

  • @deusmanasseh1941
    @deusmanasseh1941 4 ปีที่แล้ว +1

    Jamaa EZDEN ,nimekuelewa sana Kaka Be blessed much more!!!!

  • @gracegrace2561
    @gracegrace2561 8 หลายเดือนก่อน

    Thank you 🙏

  • @allyiddy1169
    @allyiddy1169 4 ปีที่แล้ว

    Ebwana twende kaliakoo mala moja poa hahahaha sema unatukopi bro

  • @finajohn7539
    @finajohn7539 4 ปีที่แล้ว +1

    Samahan kaka nauliza mzaz wako anaweza sababisha kutofanikiwa sjamaanisha ushilikina lakn namanisha anavyo kupelekesha kisa yeye ni mzaz

  • @zaituniyusuphjuma3356
    @zaituniyusuphjuma3356 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nakupenda naamini ipo siku tutaonana

  • @musadismass2884
    @musadismass2884 4 ปีที่แล้ว

    Vizur sana kaka nimejifunza kusubutu kileunacho kiona hakiwezekan kumbe tukijiamini wenyew kwanza hakuna jamboambalo unaweza sem nigum kwanza amin unaweza itakuwa vile unavyoamin pasipo shaka hatamaandiko yaa mungu yanasema afikiliavyo mtu nafsini mwake ndivyoalivy tusijiwazie mabay maana yatakuw badae ubarikiw kwa somo zur

  • @goodluckfelix3776
    @goodluckfelix3776 4 ปีที่แล้ว +1

    U're my role model Mr. ezden.

  • @miligretlaidson2659
    @miligretlaidson2659 4 ปีที่แล้ว

    Bro unaelewesha vzr. Kwa anaekufatilia mafanikio n lazma. Pia unampa mtu kujiamin. Mm naipenda sana hiyo.

  • @frankmsangi
    @frankmsangi 2 ปีที่แล้ว

    broo nakushukuru sana umenifundisha mambo mengi sana Mungu azidi kukubariki broo nilikuwa gizani kwa muda mrefu lakni nilivyoanza kukusikiliza kipindi hiki nikapata mwanga mkubwa na yale yote uliyoyaongea nimeanza kuyafanyia kazi yan huwezi amini maisha yangu yamebadilika san asaiv tofaut na mwanzo kwahyo nakushukuru sana broo unafanya kazi nzuri sana🇹🇿🙏your the best well done broo unasaidia san watu broo Mungu akubariki

  • @mathiaslaban8530
    @mathiaslaban8530 4 ปีที่แล้ว

    Daaaaaah mungu akujarie ili uzidi kutuelimisha mengi zaidi

  • @palemonladislaus6741
    @palemonladislaus6741 3 ปีที่แล้ว

    Somo zuri sana kska

  • @mhandondahani2656
    @mhandondahani2656 4 ปีที่แล้ว

    Asante Sana kiongozi umenisaidia

    • @despnawilliam2889
      @despnawilliam2889 4 ปีที่แล้ว

      Asante kaka ed.. Unatumia ujana wako kutoa mafunzo bora ktk jamii. Vjana tuamke jamn tukijunza yaliyo mema kutoka kw wenzet

  • @deleali7893
    @deleali7893 3 ปีที่แล้ว

    Somo zuri sana

  • @musasuccessline9713
    @musasuccessline9713 4 ปีที่แล้ว

    Kaka asante sana naingia chuo unanijenga sana